Subhanallah muogopeni mungu tokea lini mganga wa matunguli akawa Shekhe?? Kwanza mshenzi mkubwa kazi yake kuchezea wake za watu na kuvunjisha ndoa za watu. Pili Mario Hana pesa kazi yake kutegemea pesa za wanawake kwa kuwalaghai. Nashangaa eti munamuita Sheikh. Labda sheikh wa uasherati na umalaya. Huyu Ana bahati ya kuishi mpaka leo hii, bado hajapata mtu atakayemchezea mke wake na akammaliza kwa risasi.
Achana nae huyu jamaa yako Malaya tapeli mkubwa Hana mpango wowote. Alivunja ndoa ya mke wa mtu Mbeya akamuoa huyo mwanamke baada ya kumzalisha akamuacha. Na sio huyo tu wanawake wangapi kawaharibia maisha yao. Ashukuru mungu hajachezea Familia ambazo hawana mchezo angetolewa roho yake.
Ama kweli wanawake mwalimu wao kipofu hivi huyu mwanamme nae wanawake wana haja nae kweli mtu ana vituko kila siku kuoa na kuacha tu? Huyu nae yatamshinda pia tumpe muda atakuja hapa hapa akilalamika utadhani kashikiwa bunduki kuingia kwenye ndoa . Mmmh haya yetu macho.
Hongera sana . To be honest huyo Diva alikuzalilisha sana .hata Kama mwana umme anaweza kuwa nama pungufu yake lakini mufichiye ayibu yake . Tuliya sasa naweye umepata chombo kabisa tusije sikiya tena mambo hatutaki tuliya tuliya uyo akuwe wamwisho umesha owa sana
Alikuwa ana maradhi ya kisaikolojia but hakuwa anajua so akaenda hospital kufanyiwa vipimo vingi sana na baadae ndo ikagundulika ni stress tu. So hakuwa anaumwa maradhi haya unayoyafahamu wewe.
Ila wanawake mnavyodhalilishwa waona mwezio kaachwa na wew waenda hapo hapo 😅😅daah embu ona jamaa anavyo wapangilia tena anawaita chombo daaah nimelia saana😢
Msiwape wasostahiki vyeo visivyowahusu sasa unavyojita wewe shekh lakini Kila jambo mitandaoni kweli umejulikana kuwa na diva basi ndio umeshakuwa star badilika wewe
Jamaaa anajiona sukari ya wadada😂😂 ila huyu mke wake hana uchotora wowote ni weupe tu ila ni mswahili tu. Abdulrazak punguza uongo na kutumia neno chombo ivi hamjamuelewa? Nini maana ya chombo? Ukishakitumia kikiwa useless utakiacha na kuchukua kipya sindio? Basi hivo ndivo anavowachukulia wanawake

Punguza chuki wewe pia mwanadam unayako sirini
Achana nae huyu jamaa yako Malaya tapeli mkubwa Hana mpango wowote. Alivunja ndoa ya mke wa mtu Mbeya akamuoa huyo mwanamke baada ya kumzalisha akamuacha. Na sio huyo tu wanawake wangapi kawaharibia maisha yao. Ashukuru mungu hajachezea Familia ambazo hawana mchezo angetolewa roho yake.
Mange alisema Abdul kaoa mkakataa leo mwenyewe yuasema, jamaniii mange sio chizi yule ana akili zake😊
Kabisa
@@matridamwalyoyo1735 mange ndio wa kwanza kutangaza magufuli amekufa kwaivo sio kichaa yule
Likaka la hovyo sana🫨
Ama kweli wanawake mwalimu wao kipofu hivi huyu mwanamme nae wanawake wana haja nae kweli mtu ana vituko kila siku kuoa na kuacha tu? Huyu nae yatamshinda pia tumpe muda atakuja hapa hapa akilalamika utadhani kashikiwa bunduki kuingia kwenye ndoa . Mmmh haya yetu macho.
Huyu muongo sana hawezi kaa na bibi mmoja ata huyu ataachavalimtesa sana sabrina na hayo machizi yake hatawahinpata peace in his life
Hongera sana . To be honest huyo Diva alikuzalilisha sana .hata Kama mwana umme anaweza kuwa nama pungufu yake lakini mufichiye ayibu yake . Tuliya sasa naweye umepata chombo kabisa tusije sikiya tena mambo hatutaki tuliya tuliya uyo akuwe wamwisho umesha owa sana
Kweli 💯
MADAM ALIYOVAA KISLAM APO STUDIOS MNAMDOMO MZURI SANA ❤
Jamaa mlaghai huyo, na kujiona bora kuliko .Mara alikuwa mgonjwa mara hakuwa anaumwa Tapeli huyo
Ana sifa
Alikuwa ana maradhi ya kisaikolojia but hakuwa anajua so akaenda hospital kufanyiwa vipimo vingi sana na baadae ndo ikagundulika ni stress tu. So hakuwa anaumwa maradhi haya unayoyafahamu wewe.
Davis unajua kuigiza
A najuwa kuwalahai wanawak
Kaka mshenzi hyu😂😂😂
Huyu mshenzi tu kila uchi anataka aujaaribu 😂😂 atamaliza makabila yote duniani 😂😂😂
😂😂😂😂kabsa
Mmmmh lakini mafahari wawili hawaishi zizi moja tuangalie wa sasa yukoje
Huyu mzima kweli
Janaume Jinga.
Wanawake wana huruma...
Loooh mtu kesha jitambulisha kwako ni mganga,na shughuli za kiganga na kichawi ni moja, sasa unaanzaje kumkubali mchawi?
Eti kwenye list unaona sifa
Mimi naiombea hii ndoa khery inshallah 🤲
Nani alikuwa anamjua? Diva ndiyo kakupa jina. Na ndiyo Type yako. Eti Bikira...😅
Ila wanawake mnavyodhalilishwa waona mwezio kaachwa na wew waenda hapo hapo 😅😅daah embu ona jamaa anavyo wapangilia tena anawaita chombo daaah nimelia saana😢
Ni kujaribu bahati😅
Unalilia nn swalha😂😂😂
@@estherpaul3864 😅😅😅 nimelia sababu ya hawo wanawake wanaojipeleka kwa domo la mamba mwaya😅
@@swalhawerema57😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu kaka hajawahi kupona kabisa
Sycophat 😢 Womaniser, Muongoooo🤣🤣🤣🤣
Mmmmh Check up that amount jamaa kaongoooo
Msiwape wasostahiki vyeo visivyowahusu sasa unavyojita wewe shekh lakini Kila jambo mitandaoni kweli umejulikana kuwa na diva basi ndio umeshakuwa star badilika wewe
Hivi mganga huyu hospital 🏥 yake iko wapi? Kwa kweli ningependa kwenda kwenye hospital hiyo.
msio lijua huyo bint mwezi uliopita amuacha akarudi kwako then kamrudisha tena
Sio mwezi uliopitia tu hata mwezi huu alirudi pia kwao
Jamaaa anajiona sukari ya wadada😂😂 ila huyu mke wake hana uchotora wowote ni weupe tu ila ni mswahili tu. Abdulrazak punguza uongo na kutumia neno chombo ivi hamjamuelewa? Nini maana ya chombo? Ukishakitumia kikiwa useless utakiacha na kuchukua kipya sindio? Basi hivo ndivo anavowachukulia wanawake
Wewe acha ujinga na masifa mwanaume mweupe kama wewe uwamna chembechembe za ushoga sasa ukiendelea ivyo utakuja kuolewa wewe
Wapi ful interview
😂😅
Mxuiiiiiiiwe yaan hili likaka mmmmmh
Uyu mganga anajiona sugar sukar
Mshamba wewe mfyuuuu
Sasa mnamtukana kijana wawatu bure ye diva mwenyewe mnara
huyu na kiboko ya wachawi chupa na mfuniko