jeshi la ukrain lafanikiwa kuingia Urusi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Uchambuzi unaangazia hatua ya Jeshi la nchi ya Ukrain kuingia katika mji wa kursk ambao unapatikana Magharibi mwa nchi ya Urusi sambasamba na mashambulizi yaliyofanyika siku kadhaa zilizopita kaskazini mwa nchi ya mali ikihusianishwa na ushirikiano baina ya nchi ya Ukrain na vikosi vya Watuareg..........
    #cloudsmedia #crownmedia #bbcswahilileo #wasafimedia #azamtvhabari #dwswahili ‪@CLOUDSMEDIA‬ @crownmedia ‪@bbcswahili7924‬ @wasafimedia @azamtv

КОМЕНТАРІ • 28

  • @AboubakarNgondo
    @AboubakarNgondo Місяць тому

    Nakubali mkubwa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому

    👊✌️👍.

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel Місяць тому +1

    Pamoja sana ndugu mchambuzi

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 Місяць тому

    Hongera snaa mnukwaa kwa uchambuzi mzuriii

  • @heriurio6410
    @heriurio6410 Місяць тому +2

    Kamanda unachelewa sana ao watu washauawa wote

  • @MsomaliOmary
    @MsomaliOmary Місяць тому

    Shukran mwalim upo vzr sana kwa uchambuz wako usiyo egemea upand mmoj.

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 Місяць тому +1

    Kaka Maulid sauti ipo chini sana

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd Місяць тому

    Abali zuri

  • @cghoneylimited5693
    @cghoneylimited5693 Місяць тому

    Ticha uko vzuri sana,endelea kutuhabarisha walau nasisi tujue kinachoendelea huko mataifa ya magharibi

  • @AminaMuslih-mq6by
    @AminaMuslih-mq6by Місяць тому +1

    Asant

  • @chriscao9828
    @chriscao9828 Місяць тому

    Urusi waongo hakuna NATO hapo.. walilala kazini

  • @theophilmawe9776
    @theophilmawe9776 Місяць тому

    Sauti ipo chin sana

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti Місяць тому

    Wewe chambuzi kweli sio wachongo

  • @mussammsaji1110
    @mussammsaji1110 Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn Місяць тому

    Mrusi kashindikana ukimvamia unatafuta kifo wamefyekwa wote

  • @AbduliAbdulisaidi
    @AbduliAbdulisaidi Місяць тому

    Bss jitahid kuricodi shm tulivu

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 Місяць тому

    Hiyo Ni speshoo mission ya NATO

  • @MsomaliOmary
    @MsomaliOmary Місяць тому

    Mwalim mm naswali moja tu nikuulize, km litakupendeza utanijibu, je nikwanini putin Asiwapige ukraini tu kwa nguvu kubwa na kumakiza vita ? Nikwanini anapigana pole pole na nahic km madui zake ndo wanapata nguvu sasa au hana uwezo wakuipiga ukraini na kuiteka kwa muda mfup?

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb Місяць тому

    Duuuh!! Vita ishakuwa biashara kubwa duniani

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 Місяць тому

    Hata wakiingia urusi sana sana wataenda kufanya ugaidi tu huko wamepigwa huko kwao wakapindue urusi?

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 Місяць тому

    Wew mambo yauchambuz mkuu uyawez unachoweza niplopaganda zakini tu ndicho unachoweza

  • @SanguloRaahoo
    @SanguloRaahoo Місяць тому

    Sauti ipo chini kdg

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 Місяць тому

    Wew bado ktk uchambuz unachoweza niplopaganda za kidini tu

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Місяць тому

    UKIWA MUONGO NA MWISI KILASIKU UTAKOSA WAFUASI WAKWELI KAMA AMERICA NA WASHIRIKINAWENZAKE. URUSI ANAJIZOLEA WASHABIK MPAKA NDANI YA NCHIZAAO WA MAGHARIBI KWA UKWELIWAAO.

  • @richardsalala
    @richardsalala Місяць тому

    Yawezekana Huwa husomi comments za watu, sauti ipo chini kama inawezeka tafuta fundi akurekebishie sauti ya vyombo vyako! uchambuzi mzuri lakini we don't enjoy!

  • @GoodluckMichael-f2p
    @GoodluckMichael-f2p Місяць тому

    Wewe muongo kaka angalia aljazila unacho ongea ni tafauti kabisa

    • @Greatamir
      @Greatamir Місяць тому

      11:26 ww ndo humfahamu jamaa anaongelea uhalisia