Mauji ya Kiongozi wa hamas Ismai Hanniye - (Sehemu ya kwanza)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 3 місяці тому +1

    Asante maulid wewe mtu na nusu tunakushukuru Sana kwa uchambuzi wa kina na kwa taarifa za uhakika

  • @SimonKefa-lz1kd
    @SimonKefa-lz1kd 3 місяці тому +1

    Uchumi wa israel hauhalibiki, israel ina hela chafu ile mbaya.

  • @petermvellah4120
    @petermvellah4120 3 місяці тому +1

    Hongera sana mchambuzi .ukipata muda naomba kama utaweza uzungumzie kuusiana na matumizi ya mbegu za GMO.

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 3 місяці тому +1

    Allah akubaariq Sana

  • @allyhussein9024
    @allyhussein9024 3 місяці тому +1

    Mchambuzi bora

  • @hajinachembe4310
    @hajinachembe4310 3 місяці тому +2

    Brother uko vizuri saana kwenye kuchambua maswala haya geological na diplomacia, ila tatizo lipo kwenye sauti, sauti ambayo tunaipata sisi waskilizaji hua inakua ya chini saana, kwahiyo nadhani ungeliangalia hilo.

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171  3 місяці тому

      thanks beloved brother.... noted, kindly regard

  • @AminaMuslih-mq6by
    @AminaMuslih-mq6by 3 місяці тому +1

    Asant

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 3 місяці тому +1

    Nilikuwa nasubiria kwa hanu uchambuzi wako, mwalim

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 місяці тому +1

    Maurid uko vizur kuliko sns

  • @shabanibussara8454
    @shabanibussara8454 3 місяці тому +1

    Marekani ni kirusi kibaya sana kwa dunia ya sasa.

  • @AGM19697
    @AGM19697 3 місяці тому

    Umechambua vizuri sana in neutral sense.
    Hekima itumike otherwise mashariki ya kati inaenda kuharibika Kiuchumi, ila upande mwingine Saudi Arabia na kundi lake wanachekelea kimya kimya kwa Iran kuingia vitani na Israel

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 3 місяці тому +1

    Asante sana mchambuzi Niseme kwa kilichotokea Iran kiongozi mgeni kufaliki katika nchi yao ni aibu sana Kwa Iran taifa kubwa intelejensia yao ni ndogo sana mm mwenyewe nimeumia sana sasa viongozi wengine wakubwa wataogopa kwenda Iran putin mshikaji wao awezi kwenda China korea kasikazini ni ngumu kuitembelea iran na pia urusi au china wamsaidie upande wa intelejensia mbona wao wanashilikiana vzr tu

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 3 місяці тому

      😂😂😂😂 israel akili nyingi msiwalaume iran mkamuulize iddi amin atawaambia israel ni watu gani

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn 3 місяці тому +1

    Macho yote mashariki ya Kati yukrein amesahaulika anapigika

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 3 місяці тому +1

    Mashia sio wa kuwaamini wamoja na Israel

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 3 місяці тому

      Wewe unaendekeza ushia na usuni.Ni kwamba Iran ndio nchi iliyobaki kutetea PALESTINA ni nchi pekee inayojitambua hapo mashariki ya kati.Hapo Saudi Kuna masanamu TU wanaoitawala ni vibaraka wa Israel & Marekani.Waislamu wengi pia hawajui historia.Tuamke tufahamu mambo ya geo politics.

  • @AGM19697
    @AGM19697 3 місяці тому

    Hisbura wanapiga kokote ndani ya Israel

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 3 місяці тому +1

    Iran wanafiq ndio walimuuwa kiongozi wa Hamas

    • @SwedyMohamed-vt5zm
      @SwedyMohamed-vt5zm 3 місяці тому

      Hamna kitu kama Hicho,Iran imewekewa vikwazo kwa muda mrefu sana tangu 1979.Iran ndio nchi inayojitambua vizuri hapo mashariki ya kati.Nchi nyingi za Waislam ni vibaraka wa Marekani na Mashoga wenzake akiwemo Israel.

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 місяці тому

    Piga kelele kwa islaeli wewe