Maulid Mnukwa
Maulid Mnukwa
  • 58
  • 98 814
Joto la urusi na Nato
Uchambuzi unaangazia harakati zinazoendelea upande wa nchi za ulaya kiujumla hasa kupitia mikakati ya Umoja wa kiusalama wa jumuiya ya kuijihami ya NATO sambamba na mikakati ya nchi ya Urusi kwenye kukabiliana na kile kinachoonekana kwamba ni tishio katika mipaka yake.....#crownmedia #wasafimedia #azamtvhabari #cloudsmedia #bbcswahilileo #dwswahilihabarileo #bbcswahilihabalileo
Переглядів: 2 942

Відео

Taharuki ndani ya Lebanon (sehemu ya kwanza)
Переглядів 3,4 тис.4 години тому
uchambuzi unaangazia matukio ya milipuko katika vifaa vya umeme yanayoendela katika nchi ya Lebanoni milipuko ambayo kwa hakika inahusianishwa na Nchi ya Israel kutokana na uhasama uliopo kati ya Kundi la hizbullah na Israel....... #crownmedia #wasafimedia #azamtvhabari #cloudsmedia #dwswahili #dwswahilihabarileo #azamtv
Hali ya Siasa Mashariki ya kati
Переглядів 1,4 тис.12 годин тому
Uchambuzi unaangazia mgogoro unaondelea mashariki ya kati ya nchi ya israel na kundi la hamasi, ukihusianisha na mashambulizi tofauti yaliyofanywa na nchi ya israel katika maeneo ya nchi za pembezoni kama nchi ya Syria na Maeneo ya kusini mwa nchi ya Lebanon...... #crownmedia #wasafimedia #azamtvhabari #bbcswahilileo #cloudsmedia #dwswahili #bbcswahilihabalileo
Safari ya Putin nchini Mongolia na Ukuaji wa BRICS
Переглядів 7 тис.14 днів тому
Uchambuzi unaangazia maendeleo ya harakati za kijeshi na Kidiplomasia katika eneo Eurasia hasa ukiegemea maeneo ya mashariki na kusini mwa ulaya, eneo la caucuses, na eneo la kusini na katikati ya bara la Asia maeneo ambayo yanaleta taswira ya msuguano wa dola kubwa katika kuongeza ushawishi wa kisiasa,kiuchumi, kijeshi na hata kijamii....... #cloudsmedia #crownmedia #wasafimedia #bbcswahilileo...
Pumzi ya mwisho ya Netanyahu katika Siasa
Переглядів 4,6 тис.14 днів тому
Uchambuzi unaangazia matukio ya karibuni yanayoendela katika maeneo ya Ukingo wa Magharibi (west bank), Gaza pamoja na nchi ya Israel kiujumla, pia uchambuzi unaangazia athari ya mgogoro ikuhusianishwa na tishio la anguko la kisiasa la waziri Netanyahu, na matarajio ya mbele ya kuendelea kusambaa kwa athari ya mgogoro katika nchi za pembezoni hasa nchi ya Jordan.... #cloudsmedia #crownmedia #wa...
Je serikali ya Rais Ibrahim Traore wa Bukinafaso inaelekea kuanguka?
Переглядів 3,8 тис.14 днів тому
Uchambuzi unaangazi tukio la shambulizi katika nchi ya bukinafaso lilotekea kwenye eneo la Barsalogho mkoa wa Kay lililopelekea vifo vya watu miambili (200) na idadi ya majeruhi ikitajwa kuwa ni miamoja arobaini (140), uchambuzi pia umehusianisha matukio husika na uchambuzi wa awali kuhisiana na eneo la Sahil unaopatikana kupitia video hapo chini ua-cam.com/video/pSxIyRDfnFo/v-deo.html #crownme...
Urusi na Ukrain katika vuta ni kuvute
Переглядів 2,1 тис.21 день тому
Uchambuzi unaangazia muendelezo wa mgogoro baina ya nchi ya urusi na ukrain huku tathmini ikiangazia zaidi maendeleo ya mapigano na mikakati ya kijeshi na kisera hasa katika eneo la kursk,bolgorod, Bryansk pamoja na maeneo ya mashariki mwa ukraini hasa katika eneo la Donbas...... #cloudsmedia #crownmedia #wasafimedia #bbcswahilileo #azamtvhabari #dwswahilihabarileo @CLOUDSMEDIA @CrownMediaTZ @W...
Mashambulizi ya Israel kusini mwa lebanon..
Переглядів 2,2 тис.21 день тому
Uchambuzi unaangazia mgogoro ambao umekuwa ukiendelea katima mpaka wa kaskazini mwa Israel sambamba na Kusini mwa nchi ya lebanon kati ya Kundi la Hizbullah na Jeshi la IDF, mgogoro ambao hivi karibuni umepata taswira ya kuongezeka kwa mashambulizi yaliyo tishia kusambaa zaidi kwa mapigano... #cloudsmedia #crownmedia #wasafimedia #bbcswahilileo #azamtvhabari #dwswahilihabarileo @cloudsmedia @cr...
Usiyoyajua kuelekea Uchaguzi wa Marekani 2024....
Переглядів 81421 день тому
Uchambuzi unaangazia ulekeo wa mwenendo wa uchaguzi wa marekani ukihusisha sehemu ya baadhi ya changamoto za kimataifa ambazo wanakwenda kukabiliana nazo wagombea uraisi wanchi ya Marekani kwa kuzingatia uelekeo wa dunia katika 'Multipolar world' dunia yenye ushindani wa nchi nyingi zenye nguvu na ushawishi... #cloudsmedia #crownmedia #wasafimedia #bbcswahilileo #azamtvhabari #dwswahili #dwswah...
Urusi, marekani, na china katika uelekeo mpya (sehemu ya pili)
Переглядів 3,2 тис.28 днів тому
uchambuzi unaangazia uelekeo wa siasa ya kivita na kiuchumi katika eneo la ulaya mashari, caucasus, asia ya kati, kusini na mashariki ikiwa kama eneo muhimu linalokuja kutoa uelekeo mpya wa kiushindani baina ya dola tatu zenye nguvu duniani ikihusisha nchi ya marekani na washirika wake, urusi pamoja na china....... #cloudsmedia #crownmedia #wasafimedia #bbcswahilileo #azamtvhabari #dwswahili #d...
Makubaliano ya Amani ya Israel na Hamas.
Переглядів 1,4 тис.28 днів тому
Uchambuzi unaangazia changamoto za usuluhishi katika mgogoro baina ya Israel na Hamasi na nafasi ya Marekani katika kumaliza mgogoro unaoendela kwa kuzingatia utofauti wa mitazamo baina ya wahusika wakuu katika mgogoro jambo ambalo linapelekea changamoto kubwa katika msingi wa mazungumzo.............. #cloudsmedia #bbcswahilileo #crownmedia #wasafimedia #dwswahili #azamtvhabari @cloudsmedia @bb...
urusi, marekani na china katika uelekeo mpya (sehemu ya kwanza)
Переглядів 2,7 тис.Місяць тому
Uchambuzi unaanganzia mwenendo wa mgogoro wa nchi ya Urusi na Ukrain lakini pia unaangazi kuibuka kwa uelekeo mpya wa kiushindani kati ya Urusi, Marekani na China katika maeneo ya katikati, Kusini na kusini mashariki mwa bara la Asia ukihusianisha pia na Eneo la Caucasus............ #cloudsmedia #crownmedia #bbcswahilileo #wasafimedia #azamtvhabari #dwswahili #dwswahilihabarileo @CLOUDSMEDIA @C...
Matumaini ya makubaliano ya amani kati ya Israel na Hamas
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Uchambuzi unaangazia matarjio ya makubaliano ya Amani baina ya Nchi ya Israel na Kundi la hamas ifikapo tarehe 15/8/2024...... #cloudsmedia #crownmedia #bbcswahilileo #wasafimedia #azamtvhabari #dwswahili #dwswahilihabarileo @bbcswahili7924 @azamtvtz @CLOUDSMEDIA @CrownMediaLLC @dwswahilileo @Wasafi_Media
Putin: hakuna mazungumzo tena na Ukrain
Переглядів 3,9 тис.Місяць тому
uchaambuzi unaangazi mgogoro bainaya Urusi na Nchi ya Ukrain hasa baada ya kufanyika mashambulizi katika vinu vya nyukliaeneo la zaporizhia ukiachilia mbali uvamili uliofanywa na nchi Ukrain katika maeneo Kursk nchini russia..... #cloudsmedia #crownmedia #bbcswahilileo #wasafimedia #azamtvhabari #dwswahili #lumumbaspeaks @CLOUDSMEDIA @CrownMediaTZ @bbcswahili7924 @Wasafi_Media @azamtvtz @Kiswahili
jeshi la ukrain lafanikiwa kuingia Urusi
Переглядів 3 тис.Місяць тому
Uchambuzi unaangazia hatua ya Jeshi la nchi ya Ukrain kuingia katika mji wa kursk ambao unapatikana Magharibi mwa nchi ya Urusi sambasamba na mashambulizi yaliyofanyika siku kadhaa zilizopita kaskazini mwa nchi ya mali ikihusianishwa na ushirikiano baina ya nchi ya Ukrain na vikosi vya Watuareg.......... #cloudsmedia #crownmedia #bbcswahilileo #wasafimedia #azamtvhabari #dwswahili @CLOUDSMEDIA ...
Je Iran itaishambulia Israel?
Переглядів 4,6 тис.Місяць тому
Je Iran itaishambulia Israel?
Msuguano Katika Uchaguzi wa Venezuela
Переглядів 1,7 тис.Місяць тому
Msuguano Katika Uchaguzi wa Venezuela
Mauji ya kiongozi wa hamasi (sehemu ya pili)
Переглядів 2,1 тис.Місяць тому
Mauji ya kiongozi wa hamasi (sehemu ya pili)
Mauji ya Kiongozi wa hamas Ismai Hanniye - (Sehemu ya kwanza)
Переглядів 3,6 тис.Місяць тому
Mauji ya Kiongozi wa hamas Ismai Hanniye - (Sehemu ya kwanza)
Harakati za Urusi na China dhidi ya Marekani
Переглядів 4,6 тис.Місяць тому
Harakati za Urusi na China dhidi ya Marekani
Vita vya Gaza katika Njia Panda
Переглядів 1,3 тис.Місяць тому
Vita vya Gaza katika Njia Panda
Mashambulizi ndani ya urusi na hatua za NATO mipakani mwa Urusi
Переглядів 6 тис.2 місяці тому
Mashambulizi ndani ya urusi na hatua za NATO mipakani mwa Urusi
Jaribio la Mauaji ya Raisi Donald Trump
Переглядів 7122 місяці тому
Jaribio la Mauaji ya Raisi Donald Trump
Urusi katikati ya Africa
Переглядів 1,7 тис.2 місяці тому
Urusi katikati ya Africa
video mpya za kijasusi za hizbullah kwenye kambi za israel golan
Переглядів 8 тис.2 місяці тому
video mpya za kijasusi za hizbullah kwenye kambi za israel golan
Siasa ya marekani na matumizi ya NGO
Переглядів 5192 місяці тому
Siasa ya marekani na matumizi ya NGO
Ziara ya Rais Putin Korea kaskazini
Переглядів 2,3 тис.2 місяці тому
Ziara ya Rais Putin Korea kaskazini
Mapigano ya Hisbullah na Israel, Makubaliano ya Amani baina ya Israel na Hamas
Переглядів 9673 місяці тому
Mapigano ya Hisbullah na Israel, Makubaliano ya Amani baina ya Israel na Hamas
Mgogoro wa kikatiba nchini Ukrain na maandalizi ya Nato dhidi ya Urusi
Переглядів 3,3 тис.3 місяці тому
Mgogoro wa kikatiba nchini Ukrain na maandalizi ya Nato dhidi ya Urusi
Umuhimu wa elimu na nidhamu kwa wanawake
Переглядів 673 місяці тому
Umuhimu wa elimu na nidhamu kwa wanawake

КОМЕНТАРІ

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 Годину тому

    Nimekuelewa🎉

  • @SokratesStallin
    @SokratesStallin Годину тому

    Mku upovizuri sana tenasana

  • @KhadijaAli-j7r
    @KhadijaAli-j7r 2 години тому

    Bg up

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 3 години тому

    wa zayuni wenyewe Wana ifahamu vizuri Hezbollah

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 3 години тому

    Israel anaingia cha kike mwenyewe

  • @AminaMuslih-mq6by
    @AminaMuslih-mq6by 4 години тому

    Asant

  • @thomaslali705
    @thomaslali705 6 годин тому

    Well explained

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 6 годин тому

    Upo vzr sna Mr.Maulid... Hua napenda sna updates zakooo🙏🙏

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 6 годин тому

    ahsante sana bro

  • @mrabdultv8356
    @mrabdultv8356 7 годин тому

    sawa sawa

  • @zuberympulo6564
    @zuberympulo6564 7 годин тому

    Shukran sana kaka Unaupiga mwingi

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 7 годин тому

    Shukrani sana, hongera kwa kazi nzuri mwalim

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 7 годин тому

    Uchambuzi mzuri sana.❤

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 7 годин тому

    Nato

  • @josephmkindi8254
    @josephmkindi8254 7 годин тому

    Nakukubari Sana brother,, we ni zaidi ya BBC News📰😊

  • @MichaelLambo-oh4bw
    @MichaelLambo-oh4bw 11 годин тому

    Fala wewe

  • @DoctorBondia
    @DoctorBondia 13 годин тому

    Asante mchambuzi

  • @petermugurubi7837
    @petermugurubi7837 17 годин тому

    Atwib HASSAN

  • @petermugurubi7837
    @petermugurubi7837 17 годин тому

    @Atwib Hassan

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg День тому

    Allaah atulinde na wayahudi Hawa waisrael nikiwasikiza kutoka Beirut🇱🇧🇰🇪

    • @hollymore4904
      @hollymore4904 День тому

      tulia dawa iwaingie

    • @hanifahassan-sf1gg
      @hanifahassan-sf1gg 18 годин тому

      @@hollymore4904 ww kafiri ulaaniwe na ukoo wako alafu katafute bibilia usome vizuri yule unae msheherekea ana dini Gani mbwa ww NXT time watch ua mouth kenge mjusi yatima na ukoo wako

    • @joshuakasemelo1675
      @joshuakasemelo1675 10 годин тому

      Israel iliihisi kuwa iko vitani nipale nipopiga na mataifa matano yakiarabu na kuendekea​@@hollymore4904

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila День тому

    Www......achna na hawa wayahudi....kakipindi kako kenyewe kanatumia UA-cam ya myahudi....anaweza akawazima

  • @ReyzDon
    @ReyzDon День тому

    una ivuta Sana story

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 День тому

    Hivi vifaa vilipenyezwa kinyemema na mosadi israel na likua ni lengo mikakati kuua viongozi wa hezbullah lakini walishidwa malengo yao na ilikua ni mpango wa usa kwa israel wakubali kushidwa au wafanye tukio lakini bahat mbaya lengo lao halikutimia

  • @rickyphilemon2623
    @rickyphilemon2623 День тому

    Daah Hawa jamaa wa Israel ni hatari sana.

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 День тому

    Pegers zilitengenezwa Hungary

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 День тому

      @@bongomastory791 Thanks for comment na kwa kutufuatilia vizuri, ila kampuni ya BAC ni ya Hungary ambayo ilipewa Kazi kule Taiwan hivyo haizingatiwi kuwa zilitengenezwa Hungary. Regard!.

    • @bongomastory791
      @bongomastory791 День тому

      @@maulidmnukwa3171 pager model AR-924, mentioned in media reports, was produced and sold by BAC

    • @bongomastory791
      @bongomastory791 День тому

      Gold Apollo has a long-standing partnership with BAC Company, involving private label authorization and regional distribution. Under this agreement, BAC is authorized to use the Gold Apollo brand in specific regions, but BAC is solely responsible for the design and manufacturing of the products.

    • @bongomastory791
      @bongomastory791 День тому

      Pagers zimetengezwa Hangary na kampuni ya BAC ila logo ni ya Gold Apollo kutoka Taiwan ambayo wana ushirikiano nao

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 День тому

      @@bongomastory791 correctly brother, naona BAC wamekuwa licensed approximately three years back to use the brand of Gold Apollo baada ya kuwa walitaka mwanzo kununua pages kutoka gold wawe wanauza ulaya deal ikashindikana wakaamua waanze kutengeneza zao with brand of gold appolo na specification ya pages za BAC zilizokuwa distributed via Gold Appolo ndio zikaleta shida. Great appreciate you brother bongomastory!

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 День тому

    👁️👁️🇫🇮🇫🇮🤝🙏

  • @bekamicky1071
    @bekamicky1071 День тому

    Ubarikiwe sn broo

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 дні тому

    Sio israel ndo wanaza ayo.marekani sapoti kubwa.

  • @LukasSikanyi
    @LukasSikanyi 2 дні тому

    Israel wana elimu kubwa sana kijeshi

  • @rashidikhalfani-qt8rp
    @rashidikhalfani-qt8rp 2 дні тому

    Mmawiya anaakiri ya maana Israel siyo wakristo wale mazayuni Awana mpango na njinji hata kidogo fuatiriaya siasa ya ulimwengu utajuwa ubaya wao.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 День тому

      Mbona hata nyie waislamu mnawachukia wakristo sana.

    • @MgangaMalugu
      @MgangaMalugu 13 годин тому

      Wewe huwez kuwapenda wakristo akati quoran inakuamru kumua mkristo na myahudi kaa kimya kingine sijui umeongea nin inaonekana uko empty hiv tofaut Kati ya wayahudi na wazayuni ni ipi

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 8 годин тому

      Suala la ubaya au uzuri sio issue hapa

  • @AronMassawe
    @AronMassawe 2 дні тому

    Kwahyo unataka kusema intelijensia ya lebanon iko chin sana hata washindwe kuchunguza hivyo vifaa kama vinamilipuko? We wape israel maua yao tuu acha maneno mengi na kwa taarfa yako Muda si mrefu watazima satelite zote za hapo mashariki ya kati

    • @humphreymwihambi4330
      @humphreymwihambi4330 8 годин тому

      Intelligensia ya Israel ni ya hatari sana duniani. Huwezi kulinganisha na nchi yoyote ya mashariki ya kati.

  • @AronMassawe
    @AronMassawe 2 дні тому

    We unaelezea kitu gani wewe hata hujui unachoelezea

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 2 дні тому

    Kwa kweli Israel sshv wamebanwa kila kona... Maana ktk medani ya kivita sshv Israel ni average tuu

  • @Joneslaizer100
    @Joneslaizer100 2 дні тому

    Mbona waishutumu Israel direct

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 дні тому

      kila ntu hunjuwa adui yake, Lakini israel atajua asie lijua subiri wa huthi wajibu😂😂😂

    • @Joneslaizer100
      @Joneslaizer100 2 дні тому

      @@MikelSitoe Sawa maana waona Kama waangalia sinema za Rambo lakini inafaa ujue kuwa ni roho za watu zinatoka kilasiku. Sema MUNGU awasamee Kama kunakosa walilifanya basi tuombe ifike mda MUNGU aigeuzie hasira yake mbali waarabu wanajitahidi kufunika kombe mwanaharamu apite lakini kagoma kupita

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 2 дні тому

      @@Joneslaizer100 ina uma Sana kuzaa ntoto wako na kulea Bada ya miaka 2 anauwawa ki katiri, yaani israel yeye hapiganitu na adui yake bali yeye anaua hadi Raia Duu

    • @Joneslaizer100
      @Joneslaizer100 2 дні тому

      @@MikelSitoe kabisa huyu mwamba yupo chini ya kivuli cha American wala tegemeo lao haliko juu ya MUNGU tena. Laiti wange mtegemea MUNGU basi wasingekuwa wanayatenda hayo. Tuombe MUNGU hii vita iishe kwakuwa hata waarabu Pia niwatu Kama Sisi tuwaombee wote kwani wote wanateseka si mwisraeli si muarabu wote ni wahanga.

  • @kassimbayuu
    @kassimbayuu 2 дні тому

    Shukrani sana mwalimu kwa uchambuzi ulio mzuri

  • @AminaMuslih-mq6by
    @AminaMuslih-mq6by 2 дні тому

    Asantesana

  • @Kachelo96
    @Kachelo96 2 дні тому

    Vp mpango wairani kuishambulia Israel kk au wanaogopa kuuwawa kiongozi wawo mpya

  • @Kachelo96
    @Kachelo96 2 дні тому

    Nilikwambia mchambuz awo Israel kk niatari kk nampango uliopo nikupiga vyukri mataifa yote yakiarabu ngojea muone

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 День тому

      We akili huna yaani wahi haraka hospital kafanye vipimo vifuatavyo 1. Akili 2. Mkojo 3.IQ Hujuw Nyuklia ni nini

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 2 дні тому

    Sasa ndy mtambue nyiny magaidi mnao uongoza kufirana mmezidiwa kila kitu 😅😅😅😅

    • @jumaali4893
      @jumaali4893 День тому

      Huna haja ya kutukana ndugu haya matusi ujue yanaweza kubakia kwa muda mrefu zaidi ya unavyofikiria Unaweza kufa, huku watu wakawa wanasoma matusi uliyo yaandika.

  • @KokaStore-m4i
    @KokaStore-m4i 4 дні тому

    Uraaaaaaaaaaaa

  • @ChukuMrido
    @ChukuMrido 4 дні тому

    Shekh uko vizuri

  • @ChukuMrido
    @ChukuMrido 4 дні тому

    Safi mchambuzi

  • @SwedyMohamed-vt5zm
    @SwedyMohamed-vt5zm 5 днів тому

    Ni kweli kabisa,hao wengine ni Arabic Zionists.Hao ni vibaraka wa Marekani na Ulaya.Marekani na Ulaya ndio wazazi na walezi wa Israel.

  • @catherinegadi3607
    @catherinegadi3607 5 днів тому

    🥰

  • @salumkhalid9485
    @salumkhalid9485 5 днів тому

    uko vizuri brow nimekuelewa uchambuz wko

  • @MkhayaSogadari
    @MkhayaSogadari 5 днів тому

    Napenda mauzuwi Mazur mzee Nami familiya yako nakufatiliya nikiwa southa Africa druben

  • @anoldishengoma4229
    @anoldishengoma4229 5 днів тому

    Nakukubali chief

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee01 5 днів тому

    Wahutu Wa Yemen wametuma kombora Tena israel

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 3 години тому

      kweli hiyo? Nna hamu Sana Na wa huthis❤

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 5 днів тому

    Ahsante snaa Mr.Maulid kwa kufungua mabongo yetuu

  • @ahmadabdu2998
    @ahmadabdu2998 5 днів тому

    Lebanon, Yemen, Syria,Iraq na Iran ndio watetezi wakubwa wa Palestina hzo nchi nyingine ni vibaraka wa Israel...