Shukrani sana mwalimu kwa uchambuzi ulio mzuri, fantastic job Kweli hawa hawa jamaa wameamua kumdhoofisha urusi, sio fear kabisa kama urusi itaanguka kutakuwa hakuna nchi inayoweza ku mdindia marekani
Waafrica tumelala sanaa hatusaidiani wazungu wao hauwezi mshambulia mwenzao wakakuangalia hii inaonyesha jinsi gani hatupo vizuri leo hao wafalasa wakishambulia na hao washiliki wake wapo organised sisi tunaangalia
Jambo la kwanza kujifunza sababu za madai ya vikundi husika kuamua kuchukua msimamo wa kupigana au kufanya upinzani ni bora saana kuliko kuzingatia jina la ugaidi ambalo wakati mwengine linahusishwa na vikundi husika... lakini kubwa zaidi Ugaidi ni concept ambayo pia ni silaha inaweza kutumika kwa maslahi yeyote ya kisiasa, Nelson Mandela na Mahtma Gandhi wa india wote walikuwa wanatajwa kama Magaidi kabla ya uhuru wa nchi zao na vipo vikundi ambavyo ni vya kikristo na vinakuwa lebled kama vya kigaidi japo inaweza isiwe maarufu kwa watu wengi mfano Lord restance army ya Uganda, Irish republic army ya Ireland(sinn fein), Azov group ya Ukrain, na FARC ya colombia kwaiyo wakati mwengine kupinga aina flani ya sera kwa staili ya mapigano inaweza ikakufanya ukatajwa hivyo hata kama jamii yako haiamini jila hilo la ugaidi na wakati mwengine ukikubaliana na aina flani ya mashart ya nchi kubwa kunaweza kukakufanya ukaacha kuitwa gaidi hata kama malengo ya harakati zako hayajabadilika Mfano siku za Karibuni Kundi la Hizbullah liliahidiwa kutolewa kwenye list ya ugaidi na marekani ikiwa litaweka makubaliano ya amani na Israel japo malengo yake kama kundi hayajabadilika. kwaiyo binafsi naona Ugaidi wakati mwengine ni political concept ambayo wakubwa wanajua zaidi matumizi yake kinyume na watu wengi tunavyo toa tafsiri . kindly regard
Makundi tajwa hapo juu ni makundi yanayopatikana katika maeneo ambayo wakazi wake wengi ni Waislamu kwaiyo ni rahisi wakazi wa eneo husika kuathiriwa na siasa ya eneo hilo na ushiriki wao kwa namna moja ama nyengine unaweza ukaathiri aina ya majina ambayo wao wenyewe ndio wanayoamua kujiita ingekuwa ni maeneo ambayo jamii yake ni ya tofauti pia ungepata majina ya tofauti mfano Uganda kuna Lord restance army ambalo linaongozwa na Joseph Konny, Ireland Kuna Irish republican army na mfano wa hivyo, muhimu tuiangalie siasa zaidi yaeneo husika . Shukran
Tunaokubaliana Mwalimu ni AI inayotembea gonga like hapa kwenye hii comment
Sauti iko vizuri mwalimu, tunashukuru kwa uboreshaji wewe ni AI inayotembea,, dunia yote ipo kichwani, unachambua bila kuegemea upande wowote,,,
Mungu aisaidiye serikali ya Ibrahim Traore
Na urusi ndio ilikuwa back up ya Ibrahim thoure
Aamiin
Shukran sana mwalimu wetu kwa taarifa yako nzuri
Shukrani sana mwalimu kwa uchambuzi ulio mzuri, fantastic job
Kweli hawa hawa jamaa wameamua kumdhoofisha urusi, sio fear kabisa kama urusi itaanguka kutakuwa hakuna nchi inayoweza ku mdindia marekani
Ww mjinga kweli.Tatizo ni sisi Waafrika wenyewe na sio hao wamarekani.Utatoaje wazungu uwalete wazungu.
shukran na leo chaneli iko vizuri volume. au sijuwi naona pekeanguuu !!!. .
Sahuti iko vizuri saaaaaaaana mzee wakazi
Nitamwomba MUNGU amuhifadhi Ibrahim
Kwa hiyo unataka Magharibi na Marekani warudi na traore aondoke! Nimekuelewa
@Atwib Hassan
Atwib HASSAN
I wish watu wampokee Yesu kristo na kuwa wakristo,,..amani itatawala
YESU YUPI
WEWE MWENYEWE HUNA AMANI
@@maalimhamad1297 Nina amani katika kristo yesu..wew ndo huna amani mana unaumwagaji dam katika maandiko yako
@@maalimhamad1297 yashua
Sisi tumefunzwa upendo,kutokulipa kisasi,hatumwagi dam,hatubagui kisa dini ila tunawaombea
Waafrica tumelala sanaa hatusaidiani wazungu wao hauwezi mshambulia mwenzao wakakuangalia hii inaonyesha jinsi gani hatupo vizuri leo hao wafalasa wakishambulia na hao washiliki wake wapo organised sisi tunaangalia
Huwezi kutoa wafaransa ukawaleta warusi.Hapa ilitakiwa wazungu wote watoke,sisi Afrika tupambane na wenyewe na hao maharamia.
Mtu akiwa na imani inayo ruhusu kuuwa imani nyingine anazowea na kuishiwa huruma inayoperekea kutokua na huruma hata kwa ndugu zake !
Ni hatari snaa, maana Traole anpgna na magharibi kwa nyuma ya pazia... Shukran maulid
Kwanini hayo makundi yanahusishwa na Waislamu,
Walasio dini nyengine?
Mimi kwa mtazamo wangu ilitakiwa urusi akishirikiana na china wawapelekee vikosi vingi vya kijeshi ili kupambana na hivyo vikundi.
China mnafiq sio wa kumtegemea
Maclo,mwenyewe,ikohatarini,bayideni,sikuzake,zinaesawiya,sasa,kwaninihawajipiganiye,mongowewe
Hawa ni waislamu wanaua waislamu wenzao
Vibaraka ni hatali na mabwana zao
Nchi za magharibi Ufaransa, Marekani na Uingereza ndiyo wanaowafadhiri hawa magaidi.
Waafrika wenyewe ni tatizo,katu tusiwalaumu wazungu.
Ni kwanini vikundi vingi vya kigaidi vinatumia majina ya KIISLAM????
Jambo la kwanza kujifunza sababu za madai ya vikundi husika kuamua kuchukua msimamo wa kupigana au kufanya upinzani ni bora saana kuliko kuzingatia jina la ugaidi ambalo wakati mwengine linahusishwa na vikundi husika... lakini kubwa zaidi Ugaidi ni concept ambayo pia ni silaha inaweza kutumika kwa maslahi yeyote ya kisiasa, Nelson Mandela na Mahtma Gandhi wa india wote walikuwa wanatajwa kama Magaidi kabla ya uhuru wa nchi zao na vipo vikundi ambavyo ni vya kikristo na vinakuwa lebled kama vya kigaidi japo inaweza isiwe maarufu kwa watu wengi mfano Lord restance army ya Uganda, Irish republic army ya Ireland(sinn fein), Azov group ya Ukrain, na FARC ya colombia kwaiyo wakati mwengine kupinga aina flani ya sera kwa staili ya mapigano inaweza ikakufanya ukatajwa hivyo hata kama jamii yako haiamini jila hilo la ugaidi na wakati mwengine ukikubaliana na aina flani ya mashart ya nchi kubwa kunaweza kukakufanya ukaacha kuitwa gaidi hata kama malengo ya harakati zako hayajabadilika Mfano siku za Karibuni Kundi la Hizbullah liliahidiwa kutolewa kwenye list ya ugaidi na marekani ikiwa litaweka makubaliano ya amani na Israel japo malengo yake kama kundi hayajabadilika. kwaiyo binafsi naona Ugaidi wakati mwengine ni political concept ambayo wakubwa wanajua zaidi matumizi yake kinyume na watu wengi tunavyo toa tafsiri . kindly regard
Wekumasana hwatahanguka warahanguka kwako ww nimtu wamagaribi weshenzi watapambana
Usilamu nilanatu wana wauwa wezaotu ujinga
Je swali kwanini makundi yote yanatajwa na makundi ya Waislamu,
Je Kwa Nini Waislamu tu
Makundi tajwa hapo juu ni makundi yanayopatikana katika maeneo ambayo wakazi wake wengi ni Waislamu kwaiyo ni rahisi wakazi wa eneo husika kuathiriwa na siasa ya eneo hilo na ushiriki wao kwa namna moja ama nyengine unaweza ukaathiri aina ya majina ambayo wao wenyewe ndio wanayoamua kujiita ingekuwa ni maeneo ambayo jamii yake ni ya tofauti pia ungepata majina ya tofauti mfano Uganda kuna Lord restance army ambalo linaongozwa na Joseph Konny, Ireland Kuna Irish republican army na mfano wa hivyo, muhimu tuiangalie siasa zaidi yaeneo husika . Shukran
@@maulidmnukwa3171na hivi vikundi vya kiasi vinataka nn hasa mpaka kuua watu kwa kiasi hicho
Watu tunapenda uchambuzi wako uko sahii ila tumacho omba kwako uwe unasema ukwer unapunguza mnyenendo yakidini ila tunakupenda weeee nimsomi kbs
Huyu Hana hizo bhn, Udini nenda SNS hasa yule DJ-SMA.
Wewe huegemei popote uchambuzi wako ni ukweri mtupu
Kwanini hayo makundi yanahusishwa na Waislamu,
Walasio dini nyengine?