Mnyika Asimulia Alivyokamatwa: Walinipiga Sana, Ilibidi Nipige Kelele 'Mnaniuwa, Mnaniuwa'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 291

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 2 місяці тому +15

    Pole Sana kiongozi wangu

  • @shakiru-y7g
    @shakiru-y7g 2 місяці тому +12

    pole kamanda.wapo wanaharakati wanawapambania.

  • @asheryruboze4930
    @asheryruboze4930 2 місяці тому +5

    Dawa ya hao wadudu sungusungu itapatiana na mungu anayo.poleni sana makamanda.

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 Місяць тому

    Pole sana mr. Mnyika haya yote yataisha 2025 ni sana mungu yuko nanyi dhidi ya manyang'a poleeeeni wPiganaji wetu

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 2 місяці тому

    Daaa pole sana

  • @AlumanaPilla
    @AlumanaPilla 2 місяці тому +1

    Ahsante Yesu alie atetea hata kuwa wazima ni Mungu tuu

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 2 місяці тому +10

    Poleni sana makamanda.Mungu awatete. T upo nyuma yenu.

  • @EsterAloyce-m4j
    @EsterAloyce-m4j 2 місяці тому +9

    Ukijua kama wote tunapita uwezi kumfanyia ukatili mwenzako poleni sana

  • @annabyekwaso-wt7oi
    @annabyekwaso-wt7oi 2 місяці тому +8

    Poleni sana aisee!Nimetoa machozi.

  • @JustusKasopu
    @JustusKasopu 2 місяці тому

    Pole sana

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 місяці тому +4

    Duuu poleni .Mungu nimkuuu atajibu yte yliowakuta.

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 Місяць тому

    Poleni sana Tanzania hii mungu tutetee

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 2 місяці тому

    Why why why watu wanapigwa.Mungu simama mwenyewe mana ukisimama mwenyewe wewe Mungu unajibu kwa moto.Poleni sana viongozi wetu msichoke kuitetea nchi yetu Mana naye Mungu anawatetea

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 2 місяці тому

    Mungu tumemweka pembeni kwa kusahau kuna mwisho wa kujibu tuyatendayo kwa wenzetu. Sote tuna pumzi ya Mungu!!!

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 2 місяці тому +7

    Poleni sana wakuu mungu awatie nguvu

  • @BabMuniwe-pg7el
    @BabMuniwe-pg7el 2 місяці тому +5

    Pole ndo Tanzania yetu

  • @mage5371
    @mage5371 2 місяці тому

    Poleni sana na Mungu aendelee kuwainua hata YESU aliyapitia hayo hadi leo anatukuzwa🙏🙏

  • @WhiteMgeni
    @WhiteMgeni 2 місяці тому +3

    Poleni Sanaa ndugu zetu

  • @SamwelyMasopango
    @SamwelyMasopango 2 місяці тому +1

    Kauli ambayo sijaipenda uyo mnamuita makamu kasema huyu mama kwanza hajachaguliwa inaonyesha dharau polisi wapo vzr

  • @chumamasunga8855
    @chumamasunga8855 2 місяці тому +12

    Police wa bongo aisee, Bora wa ukoloni ingawa siwajui😢😢😢😢😢

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 місяці тому +4

    Sasa kwa nn aliondoka? Kwani alifukuzwa na mtu sikaondoka mwenyewe kwa kutaka kua kibaraka upuuzi mtupu halafu huyu huyu anakuja kumsifia yule anaedai aliondoka nchini kwa sababu yake wakati yupo hai alikua akimuita dikteta baada kufa anaenda kwenye kaburi lake anamuambia wewe ni jembe ujinga mtupu endeleeni kujazana ujinga huko vichochoroni lakin sisi tunataka serikali iheshimiwe na itiiwe

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq 2 місяці тому +1

    Mungu atajibu kwa wakati wake,wao waendeleze mateso kwa watanzania watetea haki.

  • @fabianmihafu697
    @fabianmihafu697 2 місяці тому +4

    Poleni sana, hii ndiyo Tz nchi ya amani

  • @amaninyekele5002
    @amaninyekele5002 2 місяці тому

    Pole sana Mhe Mnyika. Hatuna cha kuwafanya hao watesaji.
    Poleni sana sana. Mungu atawalipia. It so painfull kuwa na watu wakatili hivyo.

  • @AggyManya-qr1xd
    @AggyManya-qr1xd Місяць тому

    Pole mpendwa

  • @SalimHaule
    @SalimHaule Місяць тому

    Poleni sana nduguzangu munguatawajibia shida wenyemaishamagumu naelimundogo kwenyenchihii nipolic wakiwemo wanapelekeshwa kisaikologia acheni wanahalakati wafanyeyao ili nanyi mjekua namaishamazuri kamasisi

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 2 місяці тому +5

    Wanao SEMA Mika apingwe ni wafuasi wa shetanii hizo sio tabia za mungu aliye hai watahukimiwa

  • @GodwinRafael
    @GodwinRafael 2 місяці тому +1

    Poleni sana niuwoga inawafanya wawasumbue amuna lingine wanaogopa mtafichua mambo Yao.

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 2 місяці тому +6

    Tunatoa mitozo yote kumbe ni kwaajili ya kututesa watanzania ipo siku mtajibu mbele za mungu

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 2 місяці тому

      AFADHALI MAKABURU WA AFRIKA YA KUSINI KULIKO SERIKALI YETU YA CCM!!!

    • @omariKalyango
      @omariKalyango 2 місяці тому

      Porojo hizo we unajua kipigo aliepigwa anakuagahivyo demokrasia ni mradi mpya wa wazungu wa kutugawa​@@FrankMwakatundu-cu6bd

  • @TatuWambura
    @TatuWambura 2 місяці тому +1

    Mungu atajibu Kwa wakat

  • @daviddsouza735
    @daviddsouza735 2 місяці тому +1

    Pole kwa walioathirika na mkasa huu. Hela za walipakodi zinatumika sio kuwalinda raia lakini kuwaonea.

  • @ReginaSwahi
    @ReginaSwahi 2 місяці тому

    Pole sana kiongoz

  • @JenniferSamawa
    @JenniferSamawa 2 місяці тому

    Daa jmn mungu anaona kikombe kikijaaa machozi ya watu imeenda

  • @AnjelaMatiya
    @AnjelaMatiya 2 місяці тому

    Pole mnyika mungu ulinzi wa mungu uwe na wakati wore

  • @HappyAsenga-t4b
    @HappyAsenga-t4b 2 місяці тому

    Pole sana mungu anawaona hawa ccm

  • @shabanirashidi2218
    @shabanirashidi2218 2 місяці тому +3

    NIWAPE POLE ILA SERA ZA CHAMA CHA CHADEMA ZIMEWAISHIA SISI TUNATAKA MAPAMBANO YA HOJA SIO KUJA KUNISHAWISHI KWENDA BARABARANI KUANDAMANA JAPO KWA ELIM NDODO NILIO NAYO SIWEZI NINAFAMILIA INANITEGEMEA NA KILA SIKU NILAZIMA NITOKE KUWATAFUTIA MAISHA SIO KUANDAMANA MTAJIJUWA WENYEWE

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому

      Kweli kabisa

    • @davidsilwamba2465
      @davidsilwamba2465 2 місяці тому

      Shabani rashidi acha ujinga mbwa wewe unatumiwa nawajinga wenzako wa ccm takataka wakijaniwe

    • @saidakiwale9227
      @saidakiwale9227 2 місяці тому +1

      Kwani hamna njiýa nyingine ya ku mwaga. Sera zidi ya kuandamana nyie hamna familia zinazo wategemea kila mkiandamana mwisho wa siku mnapiga kerere wenyewe usilalamike mnayataka wenyewe

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 2 місяці тому

      ​@@saidakiwale9227wajinga sana hawa kwa hadithi ndefu mahodari.wangeanzisha shule za kuwapigia hadithi chekechea wangetajirika zaid.

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 місяці тому

    Nawapenda

  • @jacksonmchami930
    @jacksonmchami930 2 місяці тому

    Mungu aliye hai atasimama.

  • @evaemil856
    @evaemil856 2 місяці тому

    This is the reason now Mnyika decided to resign so he can live and be with his family.

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 2 місяці тому +1

    Rudieni tena muone kazi nyie hamna sera sera yenu ni kuandamana haya andamaneni tena chukuweni baba mama wake madada kaka zenu mtangulie nao mtaishia kukong'otwa lakini nchi hamtaitawala ng'ooooo!!!

  • @jamesmhangwa9672
    @jamesmhangwa9672 2 місяці тому +1

    Poleni Sana

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 місяці тому

    Poleni sana yanafanya madudu katika uongozi ndiyomaana hayajiamini yanatumia askali vibalavyao

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 2 місяці тому +1

    Hao watesi Mungu awalipe Sawa Sawa na uovu wao, najuwa haki iko kwako Mungu .hawa watesi walipe Sawa Sawa na uovu wao

    • @jescarwegoshola1754
      @jescarwegoshola1754 2 місяці тому

      Nikuwamuvuzisha msalabani, iko sku haya yataisha msijali 😭

  • @paulmabena5684
    @paulmabena5684 2 місяці тому +2

    Poleeni wanachama ila siku nyingine sikilizeni maagizo na taratibu ,mnataka kutuandamanisha kwa faida yenu ruzuku hatujui mnazifanyia nini

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 2 місяці тому

    Pole sana😭😭😭

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 2 місяці тому +1

    Tz Bora muunge chama kimoja raia wajue mnaunga nyama vingi ikisha mnawapija mnawazalilisha lakin ipo siku watachoka

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 2 місяці тому

    Pole

  • @LevinoLalika
    @LevinoLalika 2 місяці тому +1

    Nyinyi mnachonga sana watakuja kuwauwen shauli yenu

  • @RachelMligwa
    @RachelMligwa Місяць тому

    Pole sana Myika, hivi polisi kazi yenu ni nini?

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 2 місяці тому +8

    Poleni sana makanda inaumana sana ivi mweshimiwa laisi anaona unyama huu yani watu wanateswaa kama majambazi 😭😭😭😭

    • @raymondjohn3798
      @raymondjohn3798 2 місяці тому +3

      Ashaleta wakoloni nchini,hafai kuwa kiongozi wetu Tena, labda watumie nguvu, Rais Gani !,watu wetu wakimchagua Tena ujue akili zao sio timamu

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 2 місяці тому +2

    Mungu wangu tunusuru nahaya mambo yanayojitokeza hii nishida

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 2 місяці тому +1

    Kweli Hawa Majamaa watu, wa storry sana

  • @estherkitundu5240
    @estherkitundu5240 2 місяці тому

    Pole Sana kiongoz wawatu

  • @mathiasmageni-bf7en
    @mathiasmageni-bf7en 2 місяці тому +2

    Inauma sana ushamba wa massm nchi hii. Lkn mwisho wao umefika.

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 2 місяці тому +1

    Inauma sana jamani mmepata mateso makubwa sana,naamini mungu yupo,Tulia hajiamini uroho wa madaraka

  • @BatromedHili
    @BatromedHili 2 місяці тому

    Hatari sana

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 2 місяці тому

    Poleni sana makamanda wetu
    Tuko pamoja

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 2 місяці тому

    Aiseee

  • @adelgotingingo8396
    @adelgotingingo8396 2 місяці тому

    Inauma sana

  • @JudicaShoo-x9n
    @JudicaShoo-x9n 2 місяці тому +1

    Hila mmejaliwa kusema uongo

  • @SarangeWapili
    @SarangeWapili 2 місяці тому

    Noma

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 2 місяці тому

    Makamanda ikiwa mnaipigani haki katika kweli aminini MUNGU hatakawia atawalipa ujira wenu upesi

  • @SilahMasima-pi7bn
    @SilahMasima-pi7bn 2 місяці тому

    Poleni jamani

  • @PatrickMgovano
    @PatrickMgovano 2 місяці тому +1

    Pole. Kwani kwani hamna kazi Ya kufanya zaidi ya siasa?

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 2 місяці тому

      Hebu waulize maana wamekazania siasa lazima kuna ulaji ndio maana wanakubali kuvumilia yote haya wasitusumbue sisi shida zikiwakuta.

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 2 місяці тому

    Ningekuwa mimi IGP,polisi wote ningewachukulia hatua kali,ikiwepo ya kuwafukuza kazi,na IGP kwasababu ameamua kuchezea amani ya Tanzania hastahili nafasi hiyo.

  • @agreyanyimike4700
    @agreyanyimike4700 2 місяці тому

    Wezi mpaka simu

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 2 місяці тому +1

    Tuombe mungu wote waliofanya hivyo atawahukumu tu .

  • @EdinaMwakitwange-x2l
    @EdinaMwakitwange-x2l 2 місяці тому

    Poleni jmn

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 2 місяці тому

    Ukweli watu wengi tumechoka na ccm kw vitendo vyao ,hawana ucha
    Mungu kabisa.kila mtu aombe Dua atuondoshee watu hao

  • @pendobruno111
    @pendobruno111 2 місяці тому

    Kila kitu kina mwisho Mungu yupo watanzania ni tumekuwa kama wanyama

  • @JacksonJoseph-h9r
    @JacksonJoseph-h9r 2 місяці тому

    Poleni sana makamanda wetu

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 2 місяці тому +3

    Chadema hacheni comedy. Tumia muda mwingi kunadi sera zenu kwa wanachi. Mnapoteza muda kwenye vuruguvurugu

    • @BarakaMaglaniLaizer
      @BarakaMaglaniLaizer 2 місяці тому

      Haya maccm makuma San .
      Ndio maana wanaruhusu ushoga haya mafala

    • @davidsilwamba2465
      @davidsilwamba2465 2 місяці тому

      Acha usimbwa mbwa wa ccm we

    • @juniorndambalilo66
      @juniorndambalilo66 2 місяці тому

      Sasa wewe kuma la mama yako...iko wapi vurugu ya chadema?

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 2 місяці тому

      Vulugu inaletwa na ccm kengewewe nyamatulo mabilingisu

    • @SleepyBacon-hy2lv
      @SleepyBacon-hy2lv 2 місяці тому

      we naww km shoga tuu asa unajiona naww umecoment kwy

  • @SalumFuraha
    @SalumFuraha 2 місяці тому +1

    Mtihani

  • @Enugundani8299
    @Enugundani8299 2 місяці тому

    what was the energy ratio between policemen vs CDM members during that event?

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 2 місяці тому +1

    Msigwa kawatuma hao polisi ukiwa ccm raha sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 місяці тому +2

    Alafu mnasema Tanzania kuna amani,Aman gani?

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 2 місяці тому

    Yaani jeshi la polisi halina weledi ni kucheza na mali za serikali watanzania masikini mwisho upo

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 Місяць тому

    Iposiku mungu atatenda ktk inch hii

  • @JacklineMnganya
    @JacklineMnganya 2 місяці тому

    Mmekosea Nini kwanini umnyanyase binadam bila hatia. Mungu azidi kuwapigania

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 2 місяці тому +3

    Poleni sana nchi yetu jamani inaelekea wapi?

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 місяці тому

    Tanzania tunanyanyasika Sana ipo cku Mungu atawajibu wabaya wote

  • @mejamollel3828
    @mejamollel3828 2 місяці тому

    Poleni sana😂😂😂

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 2 місяці тому +2

    Inabidi mjiulize sana kwa nini? Ninyi tu
    Kila uchao
    Ni VIZURI MPIGWE ILI MUACHE KUTUKANA HOVYO
    TENA INGELIKUWA BUSARA MNGESHINDWA HATA KUTEMBEA ILI MUONE MAUMIVU MNAVYOWASHAWISHI
    VIJANA WAJITOE MUHANGA

    • @KasongoRugina
      @KasongoRugina 2 місяці тому

      Adam rudawa ww ni nguluwe

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 2 місяці тому +1

      @@KasongoRugina ikiwa mimi nguruwe wewe ni ngiri kabisaaa

    • @juniorndambalilo66
      @juniorndambalilo66 2 місяці тому

      Wewe adamu mkundu wa bibi yako ujui unachoongea

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 2 місяці тому

      Adamu kenge yamtoni Tena nyangau Tena muwaji kibaka Tena kinyamkila kibundali kihona tena wewe wewe wewe sijuinikuambiaje ngoja nikuwache

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 2 місяці тому

      Chadema nimti wenye matunda ndiyomana wanapigwa mawe umesikia kinyambulu wewe

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 2 місяці тому

    Hao ndiyo majambazi ccm niwezi hawajiamini wanatumia nguvunyingi kweli mungu simwanada laitiagekuwa mwadamu sijui

  • @sarahmwakipembe5033
    @sarahmwakipembe5033 2 місяці тому +1

    Mhhh pole mheshimiwa

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 місяці тому

    Pole kijana wetu lakini mungu ni mwema

  • @EliyaKanji
    @EliyaKanji 2 місяці тому

    Ao nimagaidy

  • @mage5371
    @mage5371 2 місяці тому

    Kauli ya mwisho ya mhe: Mnyika ina maana na uhalisia mno

  • @danieljoram8533
    @danieljoram8533 Місяць тому

    Kwa nini CCM mikutano yao sio hatarishi😂😂😂

  • @ramadhanmangala-pw3vx
    @ramadhanmangala-pw3vx 2 місяці тому

    Poleni

  • @kheryonlinetv292
    @kheryonlinetv292 2 місяці тому +1

    Hii ndio Mbeya bhana, poleni sana

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 місяці тому +4

    Jmn hiiTanzania Vita tutaiharibu wenyewe mbona ccm inafanya chochote wanacho take na hakuna chochote?

  • @CeciliaShauri-vc7up
    @CeciliaShauri-vc7up 2 місяці тому

    Jamani kwani hawa walikuwa majambazi au? Huu ni ukatili usiofaa, Mungu anawaona na malipo watayapata. Machozi yenu hayatapotea bure.

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 2 місяці тому

    Kutumia polisi kwenye siasa ni mbaya sana, inazarisha chuki kwenye jamii

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 2 місяці тому +2

    Eti nilipigwa sana. Si bora ungelifanya comedy ukafunga bandeji za uongo
    Sugu yuko hoi ila anatweet 😂

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 2 місяці тому

      Wafuasi wa Ccm hamna Akili Yani sijui mna akili za Namna Gani?

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 2 місяці тому

      Yaani kuwa ccm ndiyo unadhani una maisha mazuri sana, pole

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 2 місяці тому

      Watunzi wazuri wa hadithi za cheichei shangazi😂😂😂

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 2 місяці тому

    Poleleni sana wote kwa mlkokutana nayo. Binadamu ana mfanyia binadamu mwenziwe hayo bila huruma?? Hawaogopi laana itatafuna uzao wao???

  • @ezekielmadindula2679
    @ezekielmadindula2679 2 місяці тому +1

    Hii nchi hii ikiingia kwenye machafuko ni jeshi la polisi

  • @HemedKiama
    @HemedKiama 2 місяці тому

    Dah,kumbe tuna polisi wezi!..pumbaf mnaiba mpaka simu?!...polisi wote marafiki nafuta namba zenu sitaki mazoea,na wote mliotenda haya Mungu awalaani!..

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 2 місяці тому +3

    LISSU NI MGONJWA NA MLEMAVU MWENZANGU ANAACHA KUJIANGALIA HALI YAKE ANAJIWEKA KIMBELEMBELE
    LISSU TULIA ULE PESA ULIYOCHANGIWA NA WASIOJIELEWA

  • @isaacjoe3329
    @isaacjoe3329 2 місяці тому

    Duh