Mwanaume ana akili sana,ukiona mwanamke anatumia mapenzi ili ufuate anavyotaka yeye ujue ndiyo mwanzo wa kutawaliwa.Utakaa uwe na sauti au maamuzi kwake yeye ndiye atakuwa........... big up bw.arusi.
We Bibi arusi acha ujinga Tena achana na mambo ya kushabikiamipira je Hawa alishabikia mipira ?kazi Yako ni kumtunza mmeo kiroho na kimwili achana na hayo Tena Wanawake wote wanaoshabukia mipira ni wajinga hawajui wajibu wao katika jamiii badilikeniii
@@oswardlonginoosward9832 we acha tu we uliwahi ona wapi mwanaume anamfata mwanamke lazima mke utii kwa mumeo mwanaume ni haki yake kukataa mwanamke amefeli apo
Nimeona msimamo kwa mwanaume lakini ame disappoint mke wake angeshiika tu kinafiki kumfurahisha jaamaa amefeli game hata hiyo ndoa itakuwa na kutokuelewana kimsimamo kila wakati mama hata sahau hicho kitendo cha mzee kukataa jezi
Ila wametoa burudani nzuri tu hawa maharusi.
Hongera sana kwao.👍👍👍
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Me n Simba itokee mwanaume ananiambia hivyo subutu Bora ukanidunde tuu usiku sihami😂😂😂😂
Sikiza Adamu Angela ya Hivyo mwanzo, hatumgwingia katika mashaka. Hongera Bwana Harusi. Kupenda mtu haimanishi kupoteza mzimamo
Hongera MwanaNchi 💛💚💛💚 Bibi harusi akili zake anazijua mwenyewe
Bwana harusi me nakupenda sana 7bu me pia ni mwananchi og karbu sana kwenye ulimwengu wa dunia yang❤😂😂
Bwana harusi umetisha sana kweli ww ni mwanaume
Bwana harusi Kakazaa😂😂😂 kama mbwai na iwe mbwaiYanga oyee
Hiyo ngumu kwakweli! Ni sawa kumbadili mtu KABILA lol mm mwenyewe siwezi! Bibi harusi uliyatimba!! 😂😂 by the way hongereni sana !! 🎉🎉🎉
Ndoa na mpira ni vitu tofauti
Mwanaume ana akili sana,ukiona mwanamke anatumia mapenzi ili ufuate anavyotaka yeye ujue ndiyo mwanzo wa kutawaliwa.Utakaa uwe na sauti au maamuzi kwake yeye ndiye atakuwa........... big up bw.arusi.
Umeona ee
We Bibi arusi acha ujinga Tena achana na mambo ya kushabikiamipira je Hawa alishabikia mipira ?kazi Yako ni kumtunza mmeo kiroho na kimwili achana na hayo Tena Wanawake wote wanaoshabukia mipira ni wajinga hawajui wajibu wao katika jamiii badilikeniii
Yeye na ujinga wake shenz kabisaaa@@SethCharles-f4o
❤
Ujinga cna@@SethCharles-f4o
🎉 bwana harusi Nina zawadi yako Tena umefanya vizur kukataa lasivyo ungevalishwa chupi kwa kigezo eti ulimwahidi
Hongera mwanamume kwa msimamo
Mmmmm aka mambo ya ndoa siweeziii mie,pole My bibi harusi
Yanga yangu kaka usije kubariiii😂😂
Yanga tuna misimamo bn ❤
saf sa bwan harus .ikiwezekn kachukue sod kwa mang namtumia hela chap
Hongera sana umefanya maamuzi ya kiume by janeth
Leo akipewa unyumba mnipige 😂😂niko nimekaa pale😂😂
Kaanza jeuri mapema....ataanza kukupangia Kila kitu....daah mke wa hovyo Karne hiii😢
Wa hovyo kabisa anataka kuanza kumpangia cha kufanya mapema mbele za watu...
@sulleymanjimmy2214 😂😂 hajapata jiko huyu
bi harusi mpumbavu kabisaaa
Bwana harusi kafanya sawaaas
Alitakiwa kubeba zawadi aina mbili akikataa jezi anampatia ingine sasa baby hajapata zawadi apa ndipo alipofeli😢😢😂😂😂😂
Yanga oyeeeeeeee. Piga kelele kwa bwana kharusi wwww😂💚💛
😂😂😂😂😂
Chizi kweli wewe@EstherMaina-d7s
Mjue yanga Haina mbadala, yangae hoyeee
Hili ni jambo la kuzungumziwa wakati wa kuchumbiana. Sio kumweka mwenzako kwenye mtego siku ya arusi
Mambo ni 🔥🔥🔥🤲 ubaya ubwela hatuna mbambambaaa
😂😂😂
Mnaleta kulemba hapa
Kaolewe na ubaya ubwela
Bwan harusi hongera
Yanga oyeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉
Aibuuuuuu
@@oswardlonginoosward9832 we acha tu we uliwahi ona wapi mwanaume anamfata mwanamke lazima mke utii kwa mumeo mwanaume ni haki yake kukataa mwanamke amefeli apo
Ukisikia mix by yas do hii😅😅 huyu dada kavurugwa kwel 😂😂😂
,😂😂
Hahajajaja
Iyo nguo ya mpira anamaanisha amukule vizuri kama mpira kwenye uwacha au vipi,wa Kenya wenzangu kujeni😂😂😂😂😂
Nilichogundua apa amna mapenzi
Bwana harusi nina zawadi yako ❤
Kamuoe atutak zawad😂😂
Mmb
@@johnlemama721 mnatisha
😂😂😂😂
Huyo mume anapenda yanga kuliko mkewe😂😂😂😂
Hyu hakufanyiwa kitchen party.unatoa maelekezo mbele ya Kadamnas kwa mumeo😂? Umelogwa
😂😂😂 Simba oyeeeeeeee
Alitakiwa ampe jezi ya yanga
Wanyaturu bhana 😅😅
Yaani bwana harusi atoke club bingwa aende shirikisho kwa akina mutale kweli jamani au unataka mkateseke wote na mumeo..😂😂
🤣🤣🤣
Kuna kitu kikubwa cha kujifunza kwa wanandoa, hengera kwa mwanaume. Msimamo ndio dira ktk ndoa.
Uvuuzi huku Kenya we don't exchange gifts between the lovers on a wedding day
Huku ni kenya ama ni wapi?
Tanzania
Wajumbe wa kamati ya ushauri mlifeli wapi😂😂😂.... mwanaume na mpira/timu ni kama ulimi na mate
Niutani tu anajua asingekubali
Ayaaa mamboo ya hovyoo sanaa😮
Bwana harus safi sanaaa we ndo kidume
Vnzur borah ujakubali simba broo
Kwenye Habari za kweli huwa namuamini millard ayo tu
Kidogo na global tena huhoji live ndo maana pia iz media zina followers mamilion kadhaa wengne washereheshaj tu😂😂
Mimi pia Millard sns lakini sns siku izi wameanza ufala
Hapo umenena✍️✅
Tuko pamoja d
Kumewaka, 🔥🔥🔥🔥lakini hii jersey na harusi zinatokwa wapi
Makasiriko ya nini wapendwa, ni katika utani, mnamhukumu saana binti
Mwanamke ndo anapaswa kumtii mumewe kwa hiyo ahamie Yanga
Yanga hatupelekeshwi
Broo bg up sana
Which country os this
Tanzania 🇹🇿
Stanza😊
Singapore
Umeanza ujinga mapema saana bibi harusi
Unataka aanze akiwa na miaka 40 au
Yan ata mm niiache YaNGa 💚 kisa mwanamke weeeee aijawah bas😂 fanya vyote lkn sio kuniambia kuiacha kuishabika YaNGa 💚 alafu huyu mwanamke anataka madaraka mapema Sana kikao kichajo Kaka njoooo ukae mbele KBS
mapenzi yakichaga bwana yanaushamba mwingi bora nliamua kubadili kabila nikaungana nawana mbagala kwasasa mi mmakonde hahaaa
Ubaya UBWELA, achana nae akaolewe a simba mshamba huyo. Yanga hoyeeee.
Uyo bi harusi faraaaa kwelii
Hiyo ndy maana ya shabili
Bwana harusi kanywe soda kwa mangi nakuja kulipa
Bi harusi umejichanganya
Hiyo t shart ina mambo ya kufunga bwana kwa sababu bna amekasirika lakini mungu kampa kaka ujasili wa kuikataa😢
Yaani kwenye ndoa yangu, halafu niletewe jezi ya Yanga? Naweza kuwa front page magazeti yote kesho yake! Natoa onyo hapo hapo!
Bwna harusi Nina zawad yk🎉
Sina ndoa. Lkn bi harusi kama kajinga😂
😂
Umeona eee kajinga kweri
@@Octavinaelisakageni na hayo manbo😅
😅😅😅😅
Ukweli umenichekwsha
Watanzania mna mambo advert kwa harusi
Huwezi kujua maana fiche ya "simba au 😂😂
ILa msii una malelele bhana Khan nini
Utopolo mpooooo
Kuna jicho Mc kamkata bi harusi alipo rudisha maik
Matatizo mengine watu wanajitakia
Shenzi huyu wa kuachika kabisa yaani Team ya mpira inahusika vipi kwenye mahusiano Tena ndoa
Wacha yakamkute
Hata Mimi sikubali kudadek 😂😂
Kuna mambo ya kuvunja moyo kama haya kwa harusi
Hio n kama mimi wife Aniambie Niondoke Manu Tuamie Arsenal Ciwezi Tunawachana hapo hapo🤣🤣💔🤣
Hapo wakumsifia ni MC ndio kabalance mambo vinginevyo kitumbua kiliingia mchanga
Kwanzaa harusi ikishakuwa na mc mwanamke hamna harusi hapo 😅
Mc Hilo jicho hapo mwisho vp😂
Mwamàmke mwerefu uyo ooyee
Mtoto Mkuria,M-bantu-Mrembo sana!!Sisi Bantu twapendeza sana🇰🇪
Msimamo
Utakatifu na mpira haviwez patana
Ndio maana mpira waharibi ndoa mingi
Mi najuaga mnaga mwanachi mshamba😂
Msenge bi arusi
Ukiamua.kula kuku kula na mayai yake
Ongera bwana arusi
Hamna ndoa hapo😄😄
Nimeona msimamo kwa mwanaume lakini ame disappoint mke wake angeshiika tu kinafiki kumfurahisha jaamaa amefeli game hata hiyo ndoa itakuwa na kutokuelewana kimsimamo kila wakati mama hata sahau hicho kitendo cha mzee kukataa jezi
Alikua anazingua mimewe tu uyo
Bola uniache siwe kubadi timu
Hapo wewe kwa mfuaji Hilo jicho LA Mc wee LA wivu na chuki kabisa 😂😂😂😂
Mapenzi na mambo ya mpira wapi na wapi huu ndo ushabiki maandazi unaharibu ndoa kwa ajili ya upumbavu
Hiii ni comedy tuu
Kidogo bi harysi alie
Dada Ndoa Sio Vile Unawaza Utapigwa Autaolewa Mpaka Kifo
Bwana harusi nina zawadi yako❤❤❤
Kwa yanga hi bora mapenzii yaisheee tuu me na yanga hatujamalizana💚💚💚💚💛💛💛💛
Bwana alusi saluti nakkubali uwe namsimamo uouo eti uame Yanga uende kwa makolo
Nimejikuta nimempiga kelele kama Nini yaan kaka kanifurahisha Jaman Yanga mbele nyuma mwiko
Bi harusi hajitambui utaletaje mpira kwa harusi
Umemhurumia wapi 😅
Bi Harusi nae kutuchosha tu asa si aongee haraka jmn 😢😅😂
😂😂😂😂
Hilo jicho Mc amempa hapo amesema wewe do mvuaji weee😂
Huu ni mwanzo subiri sasa atakukataaa mazimaa