NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE STEVE MWEUSI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @PeterMabula-f1e
    @PeterMabula-f1e Рік тому +13

    Steve akipelekwa milembe basi nawahudum watakuwa vichaa🎉🎉

  • @DicksonOdera-p9i
    @DicksonOdera-p9i Рік тому +25

    Entree Steven hana makosa. Kwa kweli mwalimu wewe ni mrembo😂😂😂❤

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 Рік тому +16

    Wanao Vaa viatu vya vitenge wapewe maua Yao Kwa mujibu wa stivu kichaa😂😂😂

  • @nuratyfulaa
    @nuratyfulaa Рік тому +6

    Steve acha ukuma kaza kweli kwel unaweza xana tna xana ukilegeza watakunyoa

  • @augustinemakoba5622
    @augustinemakoba5622 Рік тому +20

    Daar hicho kiboko umechapa kwel 😂😂😂😂

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx Рік тому +16

    Steve Mweusi Kwel Umehuwa Kwa Kwel God Bless You

    • @hamisandrea5626
      @hamisandrea5626 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂umetisha kinoma yan

  • @carengerold7421
    @carengerold7421 Рік тому +37

    😂😂😂Jamani mbona kama fimbo za kweli au macho yangu

  • @stevemutinda-id8lt
    @stevemutinda-id8lt 9 місяців тому +2

    Steve manzi umeweza sana..dada ni mrembo sana..mlete kenya 🇰🇪 nim treat..❤❤

  • @PacifiqueSumaili-xg5xk
    @PacifiqueSumaili-xg5xk Рік тому +27

    Steve, umejiamini kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umtongoze madam 🤔🤔🤔🤔🤔

    • @ZenaChai
      @ZenaChai 8 місяців тому +4

      Zenachi579 2:02

    • @jumavoma7224
      @jumavoma7224 2 місяці тому +1

      Aiseee anahak ya kumtamani sio kwa MZIGU HUO NYUMA maana kajaziq sio poa

  • @TalemwaCaleb-z7o
    @TalemwaCaleb-z7o Рік тому +33

    Tunakupenda Steve natoka Uganda 😅😅 unanifurahisha sana

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Рік тому +10

    😂😂😂😂😂sema madam kaza tu lakn mbona safi tu mwezio amekulewa mtunuku ache ujinga 😅😅😅😅😅

  • @ngisian
    @ngisian 4 місяці тому +2

    Heheheee.... ! Ukweli usemwe, Steven ni ndume kamili....
    😂😂😂😂

  • @goodluckmhagama5363
    @goodluckmhagama5363 Рік тому +12

    Walimu wenyew wazuri hawa tunapeana majaribu tuuh😀😀😀

  • @FlavianMoraa-x8h
    @FlavianMoraa-x8h 2 місяці тому +1

    Steve ako sawa,,alitaka kujitetea ndio moyo uache kumsumbua🤣🤣🤣

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 Рік тому +12

    waooo seteve na tim yake mpo vizur sana nawapenda

  • @chustekimani
    @chustekimani 6 місяців тому +3

    Chapa yye hadi haonge ukweli mpenzi wangu Steve 😂😂😂😂😂😂😂😂acha upumbavu ...anajaribu mwalimu.

  • @benjaminbensuda1110
    @benjaminbensuda1110 Рік тому +13

    Kakangu Steve nitafutie mrembo TZ ndugu yngu 😅😅😅

  • @moneychangeseverything1092
    @moneychangeseverything1092 7 місяців тому +3

    I only know nakupenda but I think I understood what was happening. Steve even wanted a cheek kiss 🤣🤣🤣🤣

  • @jeremisiyang
    @jeremisiyang Рік тому +9

    mwalimu ungemwelewa tu jamani steven!!! bt nice job brathar

  • @danielbarasa3342
    @danielbarasa3342 Рік тому +28

    Ningekuwa Steven mbona ningekuwa nishawachanganya mwalimu pamoja na mkuu,yani wote pisi kali ❤❤😂😂😂😂😂

  • @jadeideus6389
    @jadeideus6389 Рік тому +17

    Steve jiachie wew mtoto yupo majumba 6 hapo huyo😅😅😅😂😂

  • @KelvinKimani-ew3db
    @KelvinKimani-ew3db 4 місяці тому +3

    Hujaskia kesi ya mwalimu aliyemuuwa mwanafunzi....😂😂😂😂

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Рік тому +22

    Steve acha Bangi utauponza 😂😂😂😂😂❤

  • @magretndinda1455
    @magretndinda1455 Рік тому +5

    😂😂😂 aky Steph na ndaro kujeni Kenya😂😂

  • @beniardajuna2580
    @beniardajuna2580 Рік тому +10

    Mbona kama anapiga Sana Steve haumiii

  • @ChothembuChristopher-qc2ui
    @ChothembuChristopher-qc2ui Рік тому +6

    The teacher is so cute and beautiful even me NIMEKUPE DA

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 Рік тому +8

    Steve, kimekuramba😂😂😂

  • @NaamanNzaro
    @NaamanNzaro Місяць тому +2

    Jamani kwelimapenzi hayana mipaka hadi mm hapa mfuasì wake mkongwe 😂

  • @danielmunyaka5848
    @danielmunyaka5848 Рік тому +21

    Pure talent 😅😅😅 Kidoti pia yuko sawa sana acting kama mkuu

  • @yohanasamwel3958
    @yohanasamwel3958 2 місяці тому

    Stevu moses 😂😂😂 anataka mbadilishie Madame maisha😅😅😅 ety kanianza😅😅😅

  • @NewtonMgodo-mj3ok
    @NewtonMgodo-mj3ok Рік тому +11

    Mwalimu iyo nikitu ya kuambia mwalimu mkuu 😂😂😂

  • @kiptumkirwa3652
    @kiptumkirwa3652 5 місяців тому +2

    Steve eti kwenu magari meupee daaah mistari kalii

  • @ThaghembwaEzekiel-fj9jm
    @ThaghembwaEzekiel-fj9jm Рік тому +12

    Tosha nyengine plus stive mweusi ❤❤❤

  • @danielmlewa4936
    @danielmlewa4936 Рік тому +15

    Kwa hiyo steve unanipenda,hahaha steve" pigia mstari"

  • @rithakimolo1832
    @rithakimolo1832 Рік тому +21

    Steve wewe ni kiboko duuu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @fazawalya7567
    @fazawalya7567 Рік тому +21

    "Mwalimu nakupenda..." Aaash! Steve, you're a man😂😂😂

  • @pados2481
    @pados2481 Рік тому +23

    Steve ni mwanafunzi shujaa sana 😂

  • @i4ReonaldSaimon-y8l
    @i4ReonaldSaimon-y8l 2 місяці тому

    ila steve ameongea kweli ata ingekua mimi ningemuambia hivyo kwa hlo shepu la kidawa😂😂😂😂😂😂

  • @Kinglaysb
    @Kinglaysb Рік тому +13

    Hii ni kali ya mwaka ❤

  • @abubakermugwera1724
    @abubakermugwera1724 3 місяці тому +1

    The way am enjoying here in Uganda, really Tanzania is No. 1 shukuran wandugu zangu

  • @samuji10hatangimana70
    @samuji10hatangimana70 Рік тому +16

    Hata mkuu anataka kutongozwaaaaa makubwaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @peterwalucho-cu6dj
    @peterwalucho-cu6dj 8 місяців тому +1

    Aki stive waaaa🤳😂😂😂😂😂😂😂🤪ni PETER WALUCHO from Bungoma 👍.

  • @JosephKarani-si7jc
    @JosephKarani-si7jc Рік тому +11

    Wacha bangi steve❤❤❤

  • @LucyEdward-m5y
    @LucyEdward-m5y Рік тому +3

    Steven kapenda kweli so utani jani ❤😅

  • @boniphacefundisha7268
    @boniphacefundisha7268 Рік тому +5

    Ila hawa walimu angewakazia kidogo tu wangeeleweka wanaeleweka kabisa😂😂😂

  • @DominicStephano-e8y
    @DominicStephano-e8y 3 місяці тому

    Steve hapo unyama haraka mimi huyo madam ninge mu😂😂😂😂😂😂eeeee

  • @petermaina-nb9xh
    @petermaina-nb9xh Рік тому +25

    Steve the master🎉 though mwalim ameweza kusema kweli kumbe Tanzania kuna warembo mwalim mahali upo hi👋 from kenya🇰🇪

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 Рік тому +2

    😅😅😅
    Nimecheka sana hongera sana mwl mpenzi wa mtu..safiii

  • @bosshapendi
    @bosshapendi Рік тому +20

    Hii ya steve 😂😂😂 ni kali😮😮❤❤❤❤🇰🇪💪

  • @ibrahimmwakengwa
    @ibrahimmwakengwa Рік тому +5

    😂😂😂😂namkubali sana brother Steve

  • @iamFestanny-tz
    @iamFestanny-tz Рік тому +12

    Lakini huyo Dem huwa mrembo na mwenye figure sana❤❤huyo ni wangu Steve🥰🥰

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 Рік тому +4

    Hivi husikii huyo mtu ana kithethe, mi nina kithethe kweli😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @noahkajinga7599
    @noahkajinga7599 Рік тому +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mwalimu kaambiwa

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila tuache masihara Steve apewe maua yake ktk tasinia ya uigizaji👍👍💪😅😅 halaf wizara ya michezo ianze kutoa tuzo za Mwigizaji bora na Steve apewe tuzo wa kwanza maana hawamtendei haki huyu mtu

  • @gazatv12
    @gazatv12 Рік тому +13

    Maua Kwa mwalimu jamani😂😂

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Рік тому +8

    Mimi ananimalza uyojamaaa anaechekatu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nauyo anaesema eeeeeeeeeh😅😅😅

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany5902 Рік тому +29

    Wew steve unaweza you're pure comedian 😂😂😂

  • @Chum.user-di7jg2rn2q
    @Chum.user-di7jg2rn2q 10 місяців тому

    Congratulation Steve lakini lasima ikurambe 😂😂😂😂😂😂😂

  • @shaddy_da_traveller.7314
    @shaddy_da_traveller.7314 Рік тому +15

    Kumbe kutongoza mwalimu ni tamu sana na zaidi ni wale wa kiswahili.

  • @GonsyaBakali-h8s
    @GonsyaBakali-h8s Рік тому

    Kweri kutongonza madam ni mkosa at Steven irifanya vizuri eri asisindishye wabint schyren

  • @CarlosBeat_
    @CarlosBeat_ Рік тому +5

    Kali hiii inaenda inaenda kwenye top 10

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 Рік тому

    We piga unadhan nakukataza bas😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Kanumbasteven
    @Kanumbasteven Рік тому +10

    Kichaa wetu Steve 🙌🙌

  • @Charlenechance
    @Charlenechance 8 місяців тому

    Steve wewe ninoma bwana, chapa ule murembo mwalimu ❤😂😂😂

  • @kianda973
    @kianda973 Рік тому +7

    Bonge la igizo...😂😂😂❤

  • @imma_kumala
    @imma_kumala 4 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
    Msimchape bana mbona kijana ana mistari mizuri tuu anaeleweka anachotaka

  • @YoungboyNeverBrokeAgain3845
    @YoungboyNeverBrokeAgain3845 Рік тому +5

    Dah uyu jamaa bhn et "mamboo"😂😂

  • @LucasMkude
    @LucasMkude Рік тому +7

    kuna kitu nimeikubali hii, story imewekwa vizuri wahusika wamecheza vizuri

  • @uzabakirihojpaul9934
    @uzabakirihojpaul9934 Рік тому +4

    Steve unacekwa Sana kweri😃😃😃😃

  • @simonwitila4653
    @simonwitila4653 8 місяців тому

    Mwanafunzi roho JUU 😅 kamtongoza mwalimu mrembo shuleni😅😅

  • @bakalikutafuta-pe3og
    @bakalikutafuta-pe3og Рік тому +14

    Yani madam boss wenu mwampiga viboko mkitoka hapo mwataka mshahara dah nimecheka sana

  • @festusmutie5397
    @festusmutie5397 Рік тому +7

    Steve kula mwalimu ,,,😂😂ata yeye anaeza lika tuu😂😂😂

  • @johnmulelamuthoka2310
    @johnmulelamuthoka2310 Рік тому +53

    From Kenya 🇰🇪 Steve Mweusi have made my day congratulation keep it up

  • @asumbaMtabi
    @asumbaMtabi 4 місяці тому +1

    Mwisho njo nafurahi , Nili chukiya kuhona hali ya stiven aki tongoza mwalimu kwa ujinga wake wote huu😅
    Sasa mwalimu punguza asila bwana

  • @citizenmistik2258
    @citizenmistik2258 Рік тому +17

    😂😂😂😂😂😂je ne comprends rien de cette langue mais j’ai aimé 🥰

  • @JamesHonest-k6f
    @JamesHonest-k6f 2 місяці тому

    Steven unajuwa mpaka unakela😂😂😂😂

  • @bayubahejames7536
    @bayubahejames7536 Рік тому +14

    Steve we big up sana we follow you big time kutongoza mwalimu yeah you don't joke lakini uyo mwalimu nimrembo sana beautiful woman

  • @MustaphaMwarabu-it6nf
    @MustaphaMwarabu-it6nf 7 місяців тому +1

    Mwanahume nimnjanja tu APA n'a Ku cheza mawa 😂😂❤😅

  • @davidkimani4623
    @davidkimani4623 Рік тому +33

    wow the acting here is top notch😮

  • @bigmandubesamuelndetsa268
    @bigmandubesamuelndetsa268 Рік тому +2

    Mu poste ingine😂 kabisa mimi niliongopa viboko tangu zamani ila na mimi nili mpenda mwalimu wangu Sasa fimbo ili nizuiya😂

  • @petermauta5789
    @petermauta5789 Рік тому +20

    Mulete next episode ya hii tunaipendanga sana

  • @BelinderAkinyi-k6m
    @BelinderAkinyi-k6m 3 місяці тому

    Hhm kimekuramba mwanafunzi dudu😂😂😂😂

  • @SirWamochaa12
    @SirWamochaa12 7 місяців тому +3

    Kuna day niliwai penda madam mwengine shule na akaamishwa niliskia vibaya sana😢

  • @AllemaqueManirambona
    @AllemaqueManirambona 8 місяців тому

    Hapo kweli stev anacheza au anapigwa kwelikweli😂😂😂

  • @ugisingoma9397
    @ugisingoma9397 Рік тому +9

    mwalimu heshima kwake 😂😂🙏

  • @SalomonRwanika
    @SalomonRwanika 3 місяці тому

    Wewe utakunja kuniuwa n'a cheko 😂😂😂😂😂😂

  • @FaustinMulondablessing-dr5jv
    @FaustinMulondablessing-dr5jv Рік тому +18

    Wewe mkali kutongoza jamani ahiseeeee❤

  • @ThomasiKaminyoge
    @ThomasiKaminyoge 3 місяці тому

    Duuu Dunia tumeisha kutoza mwalimu woko mwnafunzi hatar dana😅😊

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 Рік тому +12

    Majina yananza na Steve wanakuaga wasanii wakubwa sana

  • @ÉtienneKiyungi
    @ÉtienneKiyungi 2 місяці тому

    Bonjour Steve Mweusi. Juste te dire que tu es vraiment très fort. Kiekiekiekkkkkk 😅😅😅. Courage, allez de l'avant 👏👏

  • @mulei2024
    @mulei2024 Рік тому +12

    The voice of UHURU for me "eeeeeh"😂😂😂

  • @abdul_aziz_tee
    @abdul_aziz_tee Рік тому

    sema madamu na yeye ni beautiful hata ningekuwa ni mm uhakika namtongoza ase hiyo haipingwi

  • @sharifahmed7346
    @sharifahmed7346 Рік тому +8

    Mwalimu twakupa pongezi kwa Action, best greetings from Adelaide Australia ❤

  • @shabanmatimpa8884
    @shabanmatimpa8884 4 місяці тому

    Kaka steve noma sana hapa naishia kucheka😂😂

  • @esthermunanie6381
    @esthermunanie6381 Рік тому +5

    Kenya 🇰🇪 twacheka kutinzama video zako Steve mweusi 😍😍😍

  • @paulnganga898
    @paulnganga898 Рік тому

    😂😂 kwani mwisho ikawa yuachapwoooooo❤😂😅😅

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 Рік тому +15

    🤣🤣🤣mwalimu apewe maua yake kwakwel katishaaa

  • @NgamabalegaNicolas
    @NgamabalegaNicolas 7 місяців тому +1

    Ngama balega Nicolas journaliste toka kamituga Jimbo la Kivu ya kusini Steven Hana kosa

  • @Mnyanyi199
    @Mnyanyi199 Рік тому +7

    ❤❤❤❤❤Nmecheka San jamn duuuu sio kwa kujing'ata ng'ata huko

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 Рік тому

    Uyu jamaa ni mimi kabisa
    Hata anavojitetea ni mimi uyo kabisaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂