NI BALAA!! MASHA LOVE APIGANA NA JIMMY MAFUFU MBELE YA HAJI MANARA, ASKARI AINGILIA KATI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Usikose kutazama Manara Tv kupata Habari zote kwa Uhakika zaidi

КОМЕНТАРІ • 841

  • @emmanuelsiwale155
    @emmanuelsiwale155 Рік тому +31

    Nimecheka mpaka nimepasuka jino ama kweli Kuna watu wanapendana uyu wivu uyu nae wivu 😅😅amazing Sana mafufu na mashalove mungu awape miaka 100000 wote

  • @mohammedathman5816
    @mohammedathman5816 Рік тому +11

    Mjomba manara kwa mara ya kwanza umeniacha hooii much love from Kenya 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 Рік тому +55

    😀😀😀nimecheka sana jimmy anampenda sana masha na anawivu balaa😂 sema tu masha mwenyewe akili zake anazijua mwenyewe

  • @Ohhvio
    @Ohhvio Рік тому +5

    Ila jimmy gentleman 👌😍kachukua glass kaficha chini ya kiti👌👌 anajua hasira zetu wanawake za hapohapo😂

  • @nunketenkamu1402
    @nunketenkamu1402 Рік тому +48

    MANALAAAAAAA MANALAAAAA KWA HII UMENITOA STRESS ZA MIAKA YOOOOOTE😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ashaomary5745
      @ashaomary5745 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @rukiasalum2248
      @rukiasalum2248 Рік тому +3

      Ndugu yangu ya Mungu mengi mimi siku moja nilimkuta huyu baba anajitamba istgarm na mke wake anatutangazia mganga mtu asimguse mume wake mafufu atamuua nikatia neno kuhusu mashalove jamaa akaniblock sasa leo nacheka hapa sina mbavuu

    • @lydi791
      @lydi791 Рік тому

      😂😂😂😂

    • @sistymbombo1616
      @sistymbombo1616 Рік тому

      @@lydi791 maaha love bonge la cheche

  • @enezermwafrica7443
    @enezermwafrica7443 Рік тому +7

    The Big Interview👍 Nimemaliza Stresi zote kwa kicheko🤣🤣🤣

  • @WikundaSA
    @WikundaSA Рік тому +50

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 THIS IS BEST INTERVIEW OF ALL TIME

  • @1salema1
    @1salema1 Рік тому +2

    The best interview ever

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 Рік тому +6

    TV namba 1

  • @yussuphnassoro3434
    @yussuphnassoro3434 Рік тому +1

    Anae subili rushaina na manara kuojiwa kama ivi gonga like

  • @billysavage9746
    @billysavage9746 Рік тому +5

    Sema brother Mafufu unamaneno sana yani wasije waka jikany’aga warembo unaletea shobo masela

  • @carenbryton1606
    @carenbryton1606 Рік тому +6

    Kha hadi dunia ije kusimama tutaona mengi Mungu atusaidie sana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +1

    Nyie hii manara TV imevamiwa Hadi camera zimevunjika SASA tungoje jina kusikia Tu JB katajwa nikagundua tunachezwa ni filam hii💯💯💃💃🔥🔥

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 8 місяців тому +1

    Yani

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb Рік тому +9

    😂😂😂😂nawapenda sana nyote nimecheka sana ❤❤❤

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Рік тому +4

    Mimi ni Mama hapo Masha anamponda sana Mafufu hapo yataisha nawatakaa sawa kabisa🤣🤣❤️🔥🙏🙏🙏🙏

  • @user-co3yk5jl6b
    @user-co3yk5jl6b 6 місяців тому

    Mungu akubariki kaka manara nimeongeza siku 😂😂😂😂😂😂 i love u masha

  • @omarymasanja4587
    @omarymasanja4587 Рік тому +9

    Sikiliza vizuri utasiki masha anamuita mafufu baby😂🙌

  • @MrsgloryPacian-yl2qr
    @MrsgloryPacian-yl2qr Рік тому +6

    Jimmy anampenda Masha ndio maana wivu kibao.anaumia Sana kumbuka akiwa karibu.

  • @khadjaiddlis283
    @khadjaiddlis283 Рік тому +43

    Hapa nimeelewa kitu Jimmy wivu unamuuwa wallah

  • @rashidywandwi1543
    @rashidywandwi1543 Рік тому +9

    Manara utakua umetukosea heshima sana mwendelezo usipokuwepo👌👼

  • @adamsilumbe8356
    @adamsilumbe8356 Рік тому +1

    Hii manara TV haina muda mrefu kufungiwa.
    1) inakosa maadili
    2)mahojiano hayo na kurushiana maneno machafu.
    3)manara mwenyewe badala ya kusuluisha ndio anazidi kuchochea
    4)pia kutaja majina ya celebrate wasiohusika pia ni makosa.
    Namengine mengi. TV hii isipokua na maudhui mazuri bro manara utaikosa hii online TV yako

  • @naymar8823
    @naymar8823 Рік тому +28

    Nilichogundua ni kuwa jimmy Bado anampenda sana Masha😂🙌

  • @zuhurazuh516
    @zuhurazuh516 Рік тому +2

    Mm sipendi Kucoment ila nimeelewa kuwa Masha Anajutia Kuwa na Mafufu ila Mafufu anampenda Sana Masha Pia Ako na Wivu mnoo juu ya Masha Hvy tu tu Ndio mana Mara Kumbuka Mara JB Mara hv hvy tu yaan

  • @mvfff7224
    @mvfff7224 Рік тому +5

    Nitampiga kichwa uy😅😅😅 wakat umeshikwa !! Masha love oyeeeee❤

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 2 місяці тому

      😂😂😂😂kampiga kichwa 😂😂😂

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 Рік тому +11

    😂😂😂😂Masha kaona Kuna waamizi Anajishauwa kama anaweza kupigana kweli.

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 Рік тому +16

    Manara mshike ivyo ivyoo, sikuogopii😂😂😂🤣🤣🤣 we Jimmy weeee huo ndo wivu sasa ulonao kwa masha 👌😜😃😃😃😃

  • @zainababdullsadik1247
    @zainababdullsadik1247 Рік тому +4

    Loo ramazan yote allah atupe mwisho mwema nitakutandika na maziwa yangu jamaani masha hm

  • @Tchidymbanga
    @Tchidymbanga Рік тому +4

    Masha anasema ana wanaume zake wanajielewa yaani sio mmoja.
    😂😂😂 Dah kweli wanaume tunapigwa mshikaki🔥🔥🔥

  • @marthaadammakatobemwakatob4246

    Nimecheka mpaka machoz🤣🤣🤣 Masha unapiga kichwa unaanguka mwenyewe , nawe mnyakyusa utikupilika ugwe halafu wanapendana hao

  • @faridamohamed8322
    @faridamohamed8322 Рік тому +7

    Hii interview sitaman hata iishe jaman hakuna part 3

  • @everlynkimaro40
    @everlynkimaro40 Рік тому +9

    Hizi kiki hizi🙌🙌🙌🙌

  • @Suzylovette
    @Suzylovette Рік тому +7

    Tunawataka tena jamani ebu walete tena kwa interview😄😄😄😄😄😄

  • @naymar8823
    @naymar8823 Рік тому +2

    Mbona kodi inaisha kesho kutwa unanifanyia jeuri🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 Рік тому +5

    Bro Haji Manara interview ijayo tunaomba umuite Rushaynah ufanye nae mahojiano itapendeza sana..😅

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 Рік тому +1

    Hawa wanapendana Sana tena Sana mungu awabariki

    • @christianmenas9528
      @christianmenas9528 Рік тому

      Ni kweli mapenzi ya kweli ndo yalivyo. Wanapendana sana hawaa..😅

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Рік тому

    Ningekuwa manara huyu afande hana kazi.anatakiwa kufunza how to take care of clients.client anadondoka mpaka chini na ni mjamzito according to her

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 Рік тому +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂yani nimeipenda iyi mpaka imenitowa stress ya mwarabu 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lydi791
    @lydi791 Рік тому +5

    😂😂😂😂 ila Masha na mafufu wote akili zawo zinafanana

  • @mshindochanga902
    @mshindochanga902 Рік тому +5

    😹😹😹 Esmah Yuko Singali

  • @jameschumbula7351
    @jameschumbula7351 Рік тому +6

    Maxha😂🤣😅 kaxhindwa kufurukuta kwa mwamba😂

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 Рік тому

    am sammy from zanzibar... axante warda kwa ku2xogeza manara tv tunainjoy xn xhoct🤣🤣🤣🤣

  • @arafatmiraj9926
    @arafatmiraj9926 Рік тому +1

    Umeweza sana ,manara

  • @yoramswagala6715
    @yoramswagala6715 Рік тому +5

    Manara mshike vivyo hivyo Wala simuogopi😂😂😂😂

  • @yusuphmakhahala6570
    @yusuphmakhahala6570 Рік тому +29

    Brother Manara piga interview na hawa kwa mwezi mara 20 tupate uhondo😂😂

  • @wardatwaha3334
    @wardatwaha3334 Рік тому +12

    😅😅😅😅eti nitakupiga Tama la maziwa Masha bhana

  • @matekerekurwijira1576
    @matekerekurwijira1576 Рік тому +3

    Manara nilikuwa nimekukataa kutokana na shobo zako lkn kuanzia leo nimekukubali tena , hii blog umebuni sana

  • @billysavage9746
    @billysavage9746 Рік тому +2

    Kumbe brother Mafufu kashazoea kuona machozi ya warembo sopoa mpo wachache brother angalia kuliliwa pasi kuponze bro

  • @myseramatamu7409
    @myseramatamu7409 Рік тому +3

    😃😃😃😃😃😃😃 hizi ndio interview za kuongeza siku jamaniiiii

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 Рік тому +2

    Masha anampenda sana mafufu hayupo tayari kuachika

  • @peternyambo1439
    @peternyambo1439 Рік тому +1

    MANARAAAAAAAAAA DAH! OK BRAZA HAPA UMEUA MCHANA NA USHAHIDI UPO!

  • @stelayunami7779
    @stelayunami7779 Рік тому +1

    😁😁😁natamani wangekuwa mke na mume ndo ingekuwa raha zaidi,,wamenifanya niongeze siku za kuishi walahi sijawahi kucheka hivi toka mwaka umeanza😁😁😁

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 Рік тому +2

    Wanawake walojaatele ukenda kutafuta vichaa mtu unamkewo kazieno umalaya tu munawazalilisha wakezenu mtu kaka ndani katulia munapita mukiangaikatu nawawake wasojielewa wacha yakukute

  • @chichiereyh
    @chichiereyh Рік тому +10

    Jimmy anampenda sana masha😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @mpozenzidavid4801
    @mpozenzidavid4801 Рік тому

    Yanii iyi Kali saana manara uko juu

  • @puridangote2701
    @puridangote2701 Рік тому +3

    Make kwanza ncheke🤣🤣😂😂😂😂

  • @ainsesseverest1136
    @ainsesseverest1136 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂full comedy watu wanapendana zao😂😂😂

    • @annadaudi3114
      @annadaudi3114 Рік тому

      Hivi mmeona alivo binuka na kiti hahahahaaa

  • @eunicephillip5347
    @eunicephillip5347 Рік тому +1

    Hiii movie itakuwa kali sana

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 Рік тому +1

    Kuanzia Leo nikiwa na stress nakuja hapa nicheke mpaka bas😂😂😂😂😂😂😂

  • @aminahkhuzwayo-iv1wl
    @aminahkhuzwayo-iv1wl Рік тому +1

    Hahah walioona kichwa cha mkopo cha masha naomba like za kutosha ndugu zangu!!

    • @emanuelkayuni7889
      @emanuelkayuni7889 Рік тому

      Yaani hawa wasanii wamekubaliana kutafuta kiki kwa makusudi, Manara umejitahidi kuwachokonoa

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 Рік тому +2

    Anampenda sana masha

  • @khondwanijere1643
    @khondwanijere1643 Рік тому +2

    Esmar yuko singer

  • @IssaNassir-tv6lh
    @IssaNassir-tv6lh 7 місяців тому

    Hpa wengi haelewi huku kuhojiwa ni km ku shoot sinema ckuizi hpa yte ni malumbano ya kirongo n kiki tu video inatungwa watazamaji wengi hawaelewi mbn manara anachchea

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Рік тому

    Kifua cha baunsa kaka mafufu mmenasa kwa masha yaelekea masha mtamu😅😅😅

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому

    Dah Bora ungejenga nyumba Masha kuliko ulivyonunua gari,usingeteseka kulipiwa kodi

  • @maryamhilal9820
    @maryamhilal9820 Рік тому +7

    Jimmy unawivu wewe😅😅 alafu hao unaowatag si wana wake zao jamani😅

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 Рік тому +3

    Haya toweni hio filam itakuwa nzuri

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 Рік тому

    Daaah wanahotembeaga na uyuu demu alooh sijuagi ataa

  • @edislauskambona6524
    @edislauskambona6524 Рік тому

    Hii top interview

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Рік тому +7

    Et niachane nimmalize hyu,jmn masha una mbwembwe sasa utamuweza mwanaume jmn

  • @miriammwemzundu7536
    @miriammwemzundu7536 Рік тому

    Manaraaaaa unaweza baba mbona umechelewa kufungua Manara TV 😄🤣😂

  • @hassanndayishimiye4753
    @hassanndayishimiye4753 Рік тому +8

    Manara aliye kufungiya anafanya sis tunapata raha kabisa

  • @husseinbadru2646
    @husseinbadru2646 Рік тому

    Weee wallah bongo nIpenda kwa hizi show ..jimmy mafufu my best actor

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 Рік тому +3

    Mashaaaa jamani unaweza kupigana na mwanaumee 😭

  • @Makole17Makole17
    @Makole17Makole17 Рік тому

    Manara nae alivyokuwa mmbea anapenda kweli hayo mambo😂😂

  • @justinelaizer4252
    @justinelaizer4252 Рік тому

    manara mshike hivyo simuogop😂😂😂😂

  • @happinessmtalika16
    @happinessmtalika16 Рік тому

    Manara inabidi uwe namabaunsa Ili kukusaidia kuwatenganisha watu kama hawa wakianza ugomvi la sivyo utapata hasara

  • @Kevworx
    @Kevworx Рік тому +2

    Jimmy nakubali mzee baba ila uliuvamia mtumbwi wa vibwengo mzee uliyakanyaga sikiliza ushauri wa Shamsa Ford

  • @anthonylugoi6269
    @anthonylugoi6269 Рік тому

    Bugati bonge la interview kaka Mafufu 🔥😂😂🙌

  • @edsoniminani
    @edsoniminani 8 місяців тому

    😂😂 Kaaa uku we naniii Rapia

  • @slaykingthestar4465
    @slaykingthestar4465 Рік тому +2

    hela zako sasa tafuta zakooooo nawew ujifunze kutoa hizo elf tano tano😂😂😂😂😂

  • @ashahakizimana721
    @ashahakizimana721 Рік тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana jinsi Masha alivyo anguka kutoka kwenye kiti

  • @magigemwita9880
    @magigemwita9880 Рік тому +7

    Nimecheka sana duuu😂😂😂😂😂😂

  • @husseinmjema85
    @husseinmjema85 Рік тому

    Umetisha manara nimependa haya mahokiano

  • @zenabali568
    @zenabali568 Рік тому

    hii interview hakuna mwenye hatawarch hasicheke😂😂😂😂pambeee sana😅😅😅wote mume na mke wanye mipasho😅😅😅tupo nyonyoooo😅.big work manara😂😂😂😂

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 Рік тому +1

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Jamani punguza kuwaloga dawa uwafanye mwenyewe halafu unawatesa.

  • @maggiebrian2592
    @maggiebrian2592 Рік тому +2

    Manara mshike hivyo hivyo simuogopi 😂😂😂😂😂

    • @bekokamendu7687
      @bekokamendu7687 Рік тому

      Mkuki kwa Nguruwe, Hadji Manara nae apatanishwe na Rushayna live hapohapo Manara TV.

  • @kelvinkangomba9590
    @kelvinkangomba9590 Рік тому

    Bwana Hajji hapa ulipatikana sana

  • @shebbymazua8216
    @shebbymazua8216 Рік тому +5

    Daaah😂😂😂😂😂😂😂mshike ivo ivo simuogopi daaah

  • @MrsgloryPacian-yl2qr
    @MrsgloryPacian-yl2qr Рік тому

    Manara akikaa vibaya tu mafufu anaanza kusema naye anatembea nae

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 Рік тому

    Mbona kama movie? ni mtazamo wangu tu hawawezi kuwa serious mbele ya kamera

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 7 місяців тому

    Jimy kasema wallah 😂😂😂😂 mapenzi Shkamoo hadi mafufuw kasema wallah kasahau kusema yeau Kristo

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 Рік тому +1

    myamba y juu kusini tupo apa

  • @officialidakeys
    @officialidakeys Рік тому +1

    Mafufu bado anampenda saana Masha anashidwa kumuacha ila tuuu ataki kusema ukweli Wanaume bhana Duuuuuh

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 Рік тому

    Mtihani kweli mafufu eti analiya labda unamfikisha kileleni vizuri wanawake wakitanzaniya mna mambo

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 4 місяці тому

    Khaaaah nmecheka mie

  • @mghazamghaza3361
    @mghazamghaza3361 Рік тому

    Hajj weka bodyguards

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 Рік тому

    Mmmmh jmn huyu Mafufu si alimkana Masha jmn🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @amerjuma4574
    @amerjuma4574 Рік тому +4

    Jamani nauliza hii action ni move au nikweli wapo serious?

  • @elizabethasajile9380
    @elizabethasajile9380 Рік тому +1

    Mwamba wa nyanda za juu kusin si mchezo mashaa kasema hamuachi