MASHA LOVE AMPA VICHAMBO MANGE KIMAMBI - "AKIFA NITAFURAHI/SIJAWAHI KUKUPENDA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 чер 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 345

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 роки тому +8

    Mange Kimavi achana wana wa bongo wajitafutie 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @kituochahadithi204
    @kituochahadithi204 2 роки тому +43

    Masha bwana. Utaishi miaka mingi sana. Kwanza unajikubali kama wewe ni chenga! Safii!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 роки тому +30

    Wale mnamiliki funguo za nyumba inueni juu tuzione🔑🗝masha ameshainua ya prado inatosha🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🙌

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 2 роки тому +34

    Mashallah. Mondi anaroho yakipekee sana 🙏

  • @gladysrodrick3228
    @gladysrodrick3228 2 роки тому +5

    Ila huyu mtangazaji ana fanana na richi mitindo kama nikwel 👍

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 2 роки тому +12

    Nakupenda vituko vyako tu dada masha nachekaga mno nikitizam interview zako yaan nafurahi

  • @calouothman500
    @calouothman500 Рік тому +1

    Jamaniii masha nakupendaaa kufaaaa wewe dada hujui kuongea uongo… ndio kwa maana Mungu nae anakubariki big up love u darling am ur big fan truely….mm Niko india ila nakufwatilia sanaaaa….

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +26

    Aisee eti kweli nilimtongoza live akakataa😂😂😂

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 2 роки тому +9

    Sura kama mavi jamani ety hawa ndo staa wetu bongo kweli Mungu tusaidie vizazi vyetu

  • @agnesandrew3151
    @agnesandrew3151 2 роки тому +30

    Mange break down🤣🤣😂😂 nywele zilizoanzia kati na card d🤣🤣🤣🤣🤣 nakupenda masha

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 роки тому +16

    Mungu wangu tusaidie

  • @pellahmdee9189
    @pellahmdee9189 2 роки тому +7

    Uyuu dada na gigy nawaqubali sana😝🤗🤗🤗

  • @everlynkadenge9552
    @everlynkadenge9552 2 роки тому +1

    Miki minaji😂😂😂🙌🙌🙌 anyways more love from kenya🇰🇪🇰🇪nakutambua masha💥❤️

  • @noelajonathan6052
    @noelajonathan6052 2 роки тому +3

    I love u Masha love napenda San watu wanao jikubali km wew

  • @rosemsemwa2226
    @rosemsemwa2226 2 роки тому +4

    Masha love wee umenifanya nicheke aisee ❤️❤️

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 роки тому +11

    Kuna mda nakaa nawaza watu kama hawa wanafaida gani katika jamii Au wanafundisha nn kwa vijana wa kileo nakosa jibu, ila kwa kua watanzania tunapenda haya tuendeleee tu

  • @LauhyaMjaka
    @LauhyaMjaka Місяць тому

    Uyu dada nampenda sn anamakandokando❤❤❤❤

  • @cutefrolagodfrey9149
    @cutefrolagodfrey9149 2 роки тому +3

    My favorite Masha🥰

  • @agapemahenge7731
    @agapemahenge7731 2 роки тому

    Aiseeee she is soo sweet.. mkweli had kwereee

  • @123kerim23
    @123kerim23 2 роки тому +11

    Hap amilik prado hap anamilik funguo akizingua tu anarudish kila kitu

  • @Mymiss_gina
    @Mymiss_gina 2 роки тому +2

    Mick minajii na caddidii 😆😁😁😍😍masha nakupendaa

  • @mr.romancer9160
    @mr.romancer9160 2 роки тому +10

    Eti kama kuna dish moja limekatika🤣🤣🤣💔🙌

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 роки тому +2

    Hili li dada na wehu wake nalikubali🥰🥰

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 2 роки тому +9

    Masha uko juu

  • @bernardzuhura4187
    @bernardzuhura4187 Рік тому

    Jmani. Masha nimecheka hatari we ni mkweli. Always utaishi miaka mingi Don dada

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 2 роки тому +3

    achualiiiii nakupenda masha

  • @anifajonathan9250
    @anifajonathan9250 2 роки тому +8

    Nimepewa Kwa ajili y kuzungulukia😂😂😂♥️♥️♥️masha

    • @3malis
      @3malis 2 роки тому

      Watu wanazinguluka bhana 😂😂😂😂😂

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 роки тому

      Ila hana chura

  • @lolyngoty4573
    @lolyngoty4573 2 роки тому +14

    ‘’Mange breakdown’’ 😂😂jmn Masha nakupenda

  • @lunalulu2499
    @lunalulu2499 2 роки тому

    Ooooh masha mwenyew nakupenda san

  • @fatimarita6490
    @fatimarita6490 Рік тому

    Wah nimeipenda hii interview

  • @hashimsalehe8118
    @hashimsalehe8118 2 роки тому +1

    masha love♥️ mjukuu wa b chum

  • @hadijabgapsanauyomamaamiri6381
    @hadijabgapsanauyomamaamiri6381 2 роки тому +1

    Yan Masha nampenda sana ❤️❤️❤️

  • @aminaosman888
    @aminaosman888 2 роки тому

    Masha umezeeka saiv

  • @hilalclinton9849
    @hilalclinton9849 2 роки тому +3

    Akyamung nimechek peke angu masha nakupenda hatar😂😂😂😂😂

  • @rahimabarawaummumahdinahuz637
    @rahimabarawaummumahdinahuz637 2 роки тому +1

    Hiyo tunaita qadari dada masha masha allah

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 2 роки тому

    Masha nakupenda sanaa

  • @aishanasri7561
    @aishanasri7561 2 роки тому +3

    Duuuuu Masha nishida

  • @niccahcarrieh790
    @niccahcarrieh790 2 роки тому +1

    Oya Cardi d.... Jaman Meek Ninaj weh 😂😂😂

  • @eastafricasounddrop8248
    @eastafricasounddrop8248 2 роки тому +6

    Sio vizuri kumuombeh mwizio ubaya

  • @valentinegodson3522
    @valentinegodson3522 2 роки тому

    Seema Masha unanipa Raha Sana ujuweeeee

  • @mwanajumawachu7543
    @mwanajumawachu7543 2 роки тому +6

    Hawa ndio waislamu ,kujiachilia miwili Yao,mungu tusamehe

  • @joycekunyanja1027
    @joycekunyanja1027 2 роки тому +4

    😂😂😂😂Masha bwana,kweli dishi limeyumba Bora umejitambua

  • @dianerditto
    @dianerditto 2 роки тому +15

    Masha sio mzima jamn😀😀

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому +8

    She's so open anajisemea tu!! hajali wala nini...

  • @khamsoleen
    @khamsoleen 2 роки тому +5

    Wakwanza kucomment

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 роки тому +11

    Ina sanya ni mkaka mtulivu sanaa kwa Masha wapi kabisa awaendani ata kidogo si kwa tabia wala kwa muonekano😓😓

  • @juma6253
    @juma6253 2 роки тому

    Dah

  • @jasminramadhan2887
    @jasminramadhan2887 2 роки тому

    Nakupenda shoga yangu

  • @rhemah1276
    @rhemah1276 Рік тому

    Nkupenda tu sana masha

  • @stellatogolai1633
    @stellatogolai1633 2 роки тому

    Nimecheka sanaaaa yani wewe Dada raha

  • @ik3934
    @ik3934 2 роки тому +12

    Aisee..
    Sijawah kuona mtu kituko kama huyu dada.
    Ni kwel kama anavyosema "Dish limeyumba"

  • @enjobw5682
    @enjobw5682 2 роки тому

    😁😄😃😃😀😃😄😄😄masha ma nyonyo nakupenda bure

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 2 роки тому +3

    Kwel dishi haliko sawa

  • @zeyanaalgheithy6561
    @zeyanaalgheithy6561 2 роки тому +6

    Lkn masha anasema.kweli mange kazidi kufatilia maisha ya watu

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +4

    Acha tabia mbaya ya kutangaza mabinti wa watu kwaiyo kula kwako adi uuze wadada

  • @brianboniface4283
    @brianboniface4283 2 роки тому

    Masha mi nakupenda buree

  • @ShekhaAzizi-yb1ow
    @ShekhaAzizi-yb1ow 5 місяців тому

    Masha love Huwa mkweli ajui kuficha

  • @molomiraj809
    @molomiraj809 2 роки тому

    Masha ww kichwa yako kwel haiko sawa

  • @fatmaabdallahassan9711
    @fatmaabdallahassan9711 2 роки тому

    Goood

  • @hilalclinton9849
    @hilalclinton9849 2 роки тому +4

    Pole mom masha love ulifany nn

  • @asiacruiz5165
    @asiacruiz5165 2 роки тому +1

    Jamani masha baby umenichekesha

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 роки тому +4

    Hahahaha mie nae nilichanganyikiwa🤣🤣🤣

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 2 роки тому +3

    Huyu hata Mimi sikubali labda anipe milioni kumi ndio nitambaluza Mara moja tu 😄😄😄😄

  • @rojaamos4097
    @rojaamos4097 2 роки тому +4

    Kupendwa sio kaz

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣Aki Masha..🙄i.love this woman free

  • @nuraynmakoya803
    @nuraynmakoya803 2 роки тому +1

    Ila mashaallah mkwel kakubali

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 2 роки тому +5

    Ustaa wko cjajua wa kitu gn lbda ustaa wko kwnye ufuska

    • @modysultan6170
      @modysultan6170 2 роки тому

      ufuska wameuweka mbele wamesahau kama dunia nimapito

  • @alifaki8086
    @alifaki8086 2 роки тому

    masha kma masha uko juu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому

    Why They dont let people Judge Kama ni Mzuri au La?

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 2 роки тому

    Umejua kunichekesha masha lv

  • @agnessmasogange778
    @agnessmasogange778 2 роки тому

    Jamn nampataje uyu mremb🥰

  • @anetjoseph1826
    @anetjoseph1826 2 роки тому +2

    Nampendaga masha akifanyiwa interview aNajua kujielezea

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 роки тому

    Masha umepinda

  • @ankochoka
    @ankochoka 2 роки тому +2

    BONGO SIHAMIIIIIIII KABISAAAA 😁😁😁😁😁 DAAAH

  • @priscaprisca6191
    @priscaprisca6191 2 роки тому

    😍

  • @jasminbeno6203
    @jasminbeno6203 2 роки тому +16

    Masha unajua kunifuraisha🤣🤣🤣🤣❤️

  • @cleartzboy
    @cleartzboy 9 місяців тому

    Dada la hovyoo hiliii yan linafundisha nn jamii ila hii nchi ya watu wamwishoo

  • @natamushi1894
    @natamushi1894 2 роки тому +1

    Mange breakdown 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @rahiymaallawi6551
    @rahiymaallawi6551 2 роки тому +2

    Masha wewe .......

  • @Moregun619
    @Moregun619 2 роки тому +2

    Miki minaji na cardi d😑 alafu Mchagga nae mahenzi kweli, ati “ ati nani…?” Masha ..” miki minaji sijui ama wanavyomuita” 😂😂😂😆

  • @harymo-by8gh
    @harymo-by8gh 2 роки тому

    for sure nimekukubali we noma 😂😂😂😂😂😂🧡🧡

  • @mamakeaisha4926
    @mamakeaisha4926 2 роки тому +4

    Atulize miziwa yake io kama ya ng'ombe mfiwa na mtoto maringo yote hayo yuaramba makalio ya mwanamke mwenzie na kuenua kata mkundu juu kabisa kweli masha love looooh

    • @modysultan6170
      @modysultan6170 2 роки тому

      kwakweli aibu sana msagaji uwezi ukabusu nakuchezea makalio ya mwanamke mwenzio asa akiwa uchi

    • @mariamnjama3963
      @mariamnjama3963 2 роки тому

      @@modysultan6170 ww kama n muislam kweli nenda umuoe Masha na atabadlka 🙏wanaume wengi cku Hz wanazengua wanawake wapo single na wakiwa wengi n single mothers waoweni

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому

      Mm jmn sijaona video zake wala kuzisikia😂😂😂😂😂😂

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 роки тому

      @@modysultan6170 Hiyo video mmeiona wapi?

  • @tausindekwa7314
    @tausindekwa7314 2 роки тому +3

    Jmn mm ningekua host ningehalibu kazi maana ngecheka kwa saut

  • @abiollashayo5698
    @abiollashayo5698 2 роки тому

    kuzungulukia aisee

  • @user-qi2bt7mw4x
    @user-qi2bt7mw4x 29 днів тому

    😂😂😂😂😂 masha love nimecheka mpaka nimelia anahisi kichwani kuna dishi moja limekatika daah sio poa

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 роки тому

    Uzuri WA Dar magari Una kodisha tu

  • @elinakitta3650
    @elinakitta3650 2 роки тому +5

    Mm nasema masha sio mzm jamn 😂

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 2 роки тому

    Acha tu sisi tumtumie sanya tulio tongozwa 😋😋😋

  • @bibibomba9799
    @bibibomba9799 2 роки тому

    Masha ww kiboko

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 2 роки тому +8

    Ila masha ww 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 роки тому

    Masha love

  • @lulndege4607
    @lulndege4607 2 роки тому

    Only

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 2 роки тому

    Wangewachatu kwanza uko ndo mmngejua kama kuna mungu wanake

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 2 роки тому

    Haija mpende za kabisaaa

  • @salamamsusa731
    @salamamsusa731 2 роки тому +2

    Make kwanza nchekee 😂😂😂 nywele zimeuanzia hapa

  • @bonfacemuhammed
    @bonfacemuhammed 2 роки тому +1

    Mashaa love 💖

  • @swaibahhassan5056
    @swaibahhassan5056 2 роки тому +8

    😂😂 nimecheka mbayaa Mick Minaj na Card D😂🤣🤣🤣🤣

  • @Khadija.pande6
    @Khadija.pande6 2 роки тому +26

    Masha you make my day 😂😂😂😂😂😂

  • @mariahwayesu7312
    @mariahwayesu7312 2 роки тому +1

    Micky Minaj na Card D😂😂😂😂😂😂😂

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 2 роки тому +1

    Masha Allah