Oh my God..sikutaka mmalize.Nzuri nzuri mno.Haji you are good in representing. And your wife was very professional. Oh my one kn the best interviews.❤❤
Zai dada mie nimeolewa nikiwa miaka 16 mbaka leo niko naye Alhamdulillah mme wangu alikuwa 24 tukiolewana😂😂Na sasa mie niko 42😂Dada angu nimesikia hii interview yako. Dada kama unataka kuwa na Ndoa inabaraka uwe na SUBRA Nimesema uwe na SUBRA InshaAllah utafaulu na hio ndoa yenu. More life ❤❤❤❤❤Haji ni mme unamweza vizuri 😂😂😂😂😂
sio suna tatzo uyo mdada naona bado yupo kistar apo nipesa tu mapenzi ya kweli hana haji anampenda san zai ila zai anamapezi ya kwel mmm 😂😂😂😂 pole haji kwa kupenda🎉🎉🎉🎉🎉
Haji manara ww umeshika dini sana Allah akuzidishie iman katika dini yako ila huyo mwanamke anakutoa katika maadili ya dini katika muonekano wake jaribu kurud nyuma kumbuka dini inasema nini katika mwanamke kujistiri Lakini jua huyo yupo kwenye shingo lako lolote analofanya kinyume na sheria ya dini na ww una msaport başı jua ww ndo utakae biba mzigo wake Ila naomba unisamehe kuingilia maisha yako Ila tumeabiwa tuongozane kilichokuwa na kher nasie
Kuna message imejificha katika maswali ya Manara. Anampa ujumbe kwamba kuna mapungudu yalotokea ndoa zilizopita yanaendelea tena sasa hivi na kuna vitabia havitaki. 2 years maximum hapa😔
Zai ss unakimbia mke mwezio chukua kitoka nyumba kaaa kimyaa 😂😂😂acha ahangaike na dunia yake mpk akichoka anarud wanaume km haji sio wakuwatia moyon usishindane nae ndo utaishi nae
Manara anajua kutunza zaid ya mke mmja shida anawapa tu dunia ajui kesho akhera atakwenda ulizwa na huyo mke anaweza kukuingiza moton mstir mkeo mavaz gan haya uumaaruf wa dunian tu kwa mwenyezimungu hamna umaaruf tusiishi kwa dunia tu kuna maisha baaday ya dunia
Mungu wangu kahukum wap siku zote mkiw na pumuz jeur haziishi kutetea upuuxi et ukijistir ww inatosha my frend hiyo ni pumzi inakupa jeur anae imiliki hiyo kibur chakutetea upuuz kam huu utajuta utakuja kukumbuka huo ushaur hapo juu
Haji hongera kwa kuwa na mke mzuri, lkn kwanini unamtoa na mavazi ya uchi Tena majira ya mchana?, HAJI NAKUSHAURI RUDI NYUMA KIDOGO KWA AJILI YA MUNGU, KWANI UKIMVALISHA NGUO ZA STARA ATAPUNGUWA NINI ZAY WAKO?
Dunia ya sasaivi ukipata mwanaume anakujali imetosha unaweza ukampenda unae mtaka akaja kukusumbua akili .ukaishia kipigo hata maitaji ya ndani ukayakosa 😂😂😂😂😂 , bora manara nimkorofi lakini anaubinadamu ,kumjali mwenzie zai kawa vizuri kuliko kwa mpiga sengele 😂😂
Haji ni mume mzuri lkn bado hujapata mke wa maana unachukua visichana vya mjini hutadumu nao nakwambia toka mwanzo unashindwa kumdhibiti mwanamke mjeuri na hasa hao wasichana wa kitanga ni wajeuri na hawana adabu wana midomo kukushinda wewe ! Si ajabu unamwambia avae nguo za stara anakukatalia sababu kazowea kukaa uchi na ulimpa sifa za uongo ulipoanza nae sasa anakushinda!
Daaah!! Mja weka akiba ya maneno,acha kuwahukumu wenzako huenda yeye hajistiri wewe unafanya hivyo lakini wewe ukawa mwongo,msengenyaji na pengine mchawi au mshirikina,hebu mengine tuwe tunaombeana tu
Zaylissa usikubali uke wenza, wanawake wengine watakuletea mikosi ndani ya nyumba, wengine wanavitabiatabia, wengine washirikina kaeni hivyo hivyo, wamoja havai mbili,
Zai nimekupenda bure wivu ndo kila kitu utampendaje mtu na huku huna wivu naye❤❤❤❤
Oh my God..sikutaka mmalize.Nzuri nzuri mno.Haji you are good in representing. And your wife was very professional. Oh my one kn the best interviews.❤❤
Zay kujielezea hawezi kama mimi tuu😂
Allah awalindiye ndowa yenu. Mjuwe kuvumiliyana🎉🎉🎉❤❤❤
Huyu Binti ni mstaarabu sana na anamuheshimu sana Mzee.
One of the most honest interview🎉🎉❤
Mungu awajalie mvumiliane mtafika mbali. Hakuna ndoa isiyokuwa na changamoto❤❤❤
Allah akusimamie zai katika ndoa yako
Sijawahi kujua kama Zai Ana mtt Hongera sana Zai happy Mother’s Day cjawahi kujua Haki
Ata mimi sijawai jua kama nimama
Mtoto wake kama alikufa au nimesahau
Umbra acheni😀😀
Zai dada mie nimeolewa nikiwa miaka 16 mbaka leo niko naye Alhamdulillah mme wangu alikuwa 24 tukiolewana😂😂Na sasa mie niko 42😂Dada angu nimesikia hii interview yako. Dada kama unataka kuwa na Ndoa inabaraka uwe na SUBRA Nimesema uwe na SUBRA InshaAllah utafaulu na hio ndoa yenu. More life ❤❤❤❤❤Haji ni mme unamweza vizuri 😂😂😂😂😂
Swadqta
hapo kweny ndo ni ya,4 sio tatu moja,aliolewa yombo
Maa Shaa Allah ❤❤❤❤❤❤❤ Allah awajaalie maish marefu Kwa ndo yenu
Mashallah ongera sana 👏
@@Mohaa4309 Amiin🥰
Saafi kabisa Zaylissa, unajua kujieleza ma Buggat
Nimeipenda interview yenu
Safi sn nawapenda sn mungu atawaweka maisha malefu
Wanaume kama manara ni washenzi sana yani kwenye dini wanatimiza sheria moja tu ya Allah yakuoa wake wengi ila zingine hawazioni. Tumbafu
Kikweli ndoa uvumilivu namie niliolewa na miaka 19 mume hakiwa na miaka 30 mbaka sasa nina miaka 40 naona matunda ya ndoa
Kljkillkjilhjl
sio suna tatzo uyo mdada naona bado yupo kistar apo nipesa tu mapenzi ya kweli hana haji anampenda san zai ila zai anamapezi ya kwel mmm 😂😂😂😂 pole haji kwa kupenda🎉🎉🎉🎉🎉
Masha Allah Haji Manara umependeza.
Mungu awablesss xana
❤❤❤❤❤❤❤ unapendezasana
Bado hujaekaaaaa😂😂😂😂 maswali mazuri Ila hajibuuu aiseee mpaka Sasa hajasemaaaa
Kabisaaaa,
Lazima uogope 😅😅😊😊😂
PRESS ni hatari kabisaaaa
Nimekupenda Zay, upo real
Mungu azidi kuwasimamia kamwe msiachane nawapenda Sana🥰🥰
Wawooo hongeren Sana ♥️♥️ Mungu aendelee kuwainua kwaviwango vyajuu sana 🙏
😢😢mmmmh ila nawasi wasi sana na haji usije kumwacha zaylissa
Hongera Hajji, umempendezesha zai saan
Allah akuzishieni upendo kwenye ndoa yenu Inshaallah
Hongeren sana nimewapenda
Hongeren sana wanandoa.ila manara mstil sana mkeo,mavaaaz
hongera haji uko vzr na zai wako
Ila Zai kwenye suala la kuongezewa mke mwenzio nimeona hisia zako seriously!!yaani mpk kuhema kumebadilika😂😂
wew utakubali ama
Sio rahis kukubali vo kikawaida
Kumbe anamtt huyu dada jmn hongera
Talented bro
Haji manara ww umeshika dini sana Allah akuzidishie iman katika dini yako ila huyo mwanamke anakutoa katika maadili ya dini katika muonekano wake jaribu kurud nyuma kumbuka dini inasema nini katika mwanamke kujistiri Lakini jua huyo yupo kwenye shingo lako lolote analofanya kinyume na sheria ya dini na ww una msaport başı jua ww ndo utakae biba mzigo wake Ila naomba unisamehe kuingilia maisha yako Ila tumeabiwa tuongozane kilichokuwa na kher nasie
Wake zake wote walikua hawajisitiri sio huyu tu.hapo ni manara ndo anataka wake zake wake hivyo
Manara pia ana makosa kwanini anamruhusu kutoka nae akiwa hana Stara
Zai. .you are very beautiful...God bless you guys
HUYU MANARA KWA KUVAS NI 💯 NADHANI NDIO MWANAUME TANZANIA ANAYEJIPENDA NA KUVAA VIZURI
Ww umezunguka Tanzania nzma kuangalia wanaume wote na mavazi yao au una maanisha tu macelebrate
Ommy utamu acha wp
Je Mwijaku unamuacha wapi Mwijaku Sana anapendeza anajua kupangilia kuvaa
Na baba levo utamwacha wapi😂😂
Na baba levo fundi majumba je..utamwacha wapi😂😂
Allah awatunze muishi milele ,mpendeza
nawapenda sana napenda sana couple yenu , pia zai umejibu vizuli
Nimeipendaa
Sema hii media ya haji kila kukicha inamuoji yeye tu sizan km ina afya kwny ukuaji jifunze kwa mshikaji wako chibu mawazo yangu lakin😊
HAHHAHHAHAHHAHAAHAHAHAHHA BORA UMESEM NIMECHEKA
Bugat family...bravo..
😢MWANAUME MJUAJI WADINI KISHA MKE WAKE KAMUEKA HADHARANI UCHI
ALLAHUL MUSTAAN
Mmejua kutofautisha mapenzi na kazi, kwa mtu asiewajua hawezi kujua kama ni mke na mme
Haji hiyo Aya unampa nani nahuyo unaempa yukoje tafadhali muogope mungu haji msitiri mk wako.Allahumma Amiin.
hapa ni kazini,mke na mume ni nyumbani
Kipindi kizuri ❤❤
Wa jina mbona zainab warefu😊😊😊😊😊, kama mm
Mmmmh maswali mazuri Ila Majibu aaaahhhhhhh😂😂😂😂
Teachie bae wetu
Manala awa,,,,Manara hawa
Nimewapenda buree
Kwa interview hii...haji ameanza kumchoka huyu dada
Nimeipenda Sana,hongera sana buggati,duh!
Jamani tuwacheni unafiki tuacheni manara toka awe na zai anapendeza sana
Wameridhiana
Samahani...weye Uko Haji unaaja mkewako ana vas Ivo ana onekana ...Ina kufurahisha?
M/Mungu awatunze miaka yote❤
Manara muambie mkeo akavae nguo unamaswali ya jibu mbele allah
Zaynab wajina wangu hata mimi sitaki mke mwenza kabisaa nimeolewa mim ndio wa kwanza naweka nukta
Kuna message imejificha katika maswali ya Manara. Anampa ujumbe kwamba kuna mapungudu yalotokea ndoa zilizopita yanaendelea tena sasa hivi na kuna vitabia havitaki. 2 years maximum hapa😔
Nawapenda sana jaman
Huyo dada bado hajajua maana ya ndoa ndo kwa maana anaona ufakhari kusema asubuhi mtagombana mwisho wa siku maisha yanaendelea! mpaka lini?!
Waah hapo kwa mke mwenzako 😅
Mungu akawatangulie katika ndoa yenu ❤
Safi
Zay umejibu vzr
Very professional interview
yan sana Mwakajumba
Alafu zai amekua kweli. Anazidi kujifunza interview zinaanza kumzoea
O😊😊😊😊😊m😊😊m😊😊😊😊m😊😊😊😊m😊k😊k
Uyu Zai nae hajuwi ata kujieleza Vizuri 😒😕
Jamani 😂😂😂
Zai ss unakimbia mke mwezio chukua kitoka nyumba kaaa kimyaa 😂😂😂acha ahangaike na dunia yake mpk akichoka anarud wanaume km haji sio wakuwatia moyon usishindane nae ndo utaishi nae
Manara anajua kutunza zaid ya mke mmja shida anawapa tu dunia ajui kesho akhera atakwenda ulizwa na huyo mke anaweza kukuingiza moton mstir mkeo mavaz gan haya uumaaruf wa dunian tu kwa mwenyezimungu hamna umaaruf tusiishi kwa dunia tu kuna maisha baaday ya dunia
Ukijistir wewe inatosha hujawahi kufa wewe ukaenda ahera ukarudi kuhukumu wenzako
Mfyuu
Mungu wangu kahukum wap siku zote mkiw na pumuz jeur haziishi kutetea upuuxi et ukijistir ww inatosha my frend hiyo ni pumzi inakupa jeur anae imiliki hiyo kibur chakutetea upuuz kam huu utajuta utakuja kukumbuka huo ushaur hapo juu
@@Juke995ww ni ubwa kam hawa maubwa wezie unae watetea ok
Nimtihan san ila ni pumzi ndo zinawapa kibue wakiumwa wao ndo wakwanza kuja hum kutuomba misaad ma ubwa haw
😂😂😂hii interview itafutiwe jina!!mtu a-google chap jina la hii interview...eti "plan ikoje umejipa muda gani wa kukaa muda gani kwenye ndoa"😂
Haji hongera kwa kuwa na mke mzuri, lkn kwanini unamtoa na mavazi ya uchi Tena majira ya mchana?, HAJI NAKUSHAURI RUDI NYUMA KIDOGO KWA AJILI YA MUNGU, KWANI UKIMVALISHA NGUO ZA STARA ATAPUNGUWA NINI ZAY WAKO?
Mbona kama majadiliano ya familia
Kuna majibu km manara hakuyatarajia esp kwny magomvi😅😅😅
KUMBE ASHURA CHEUPE HUJITAMBUWI UNAJIULIZIA MWENYEWE TABIA ZAKO ZIKOJE 😂😂😂😂😂😂 OWA TOTO LIONDOKE 😂😂😂😂
😂😂😢
Mm nawaombea msiachane😢😢
😅😅😅😅kumbe anayoyasemag mange ni ukweli kwmba hawa wanagombana sana hadi zai anabebag mabegi anarudi kwao hata week 😅😅😅😅
Dunia ya sasaivi ukipata mwanaume anakujali imetosha unaweza ukampenda unae mtaka akaja kukusumbua akili .ukaishia kipigo hata maitaji ya ndani ukayakosa 😂😂😂😂😂 , bora manara nimkorofi lakini anaubinadamu ,kumjali mwenzie zai kawa vizuri kuliko kwa mpiga sengele 😂😂
Mi nawapenda sana bwana
Ata angekua na ndo ishirini ajiheshim sio mavazi hayo na ww manara acha ujinga huwezi kumuweka mkeo namna iyo alafu jostir
Usipangie watu maisha halafu aliyekwambia mavaz yanampeleka mtu mbinguni Nan??
Zai ajiandae kisaiklojia kumpokea mke mwenza
Kitoka nyumba nachukua na ndani sikai 😂😂😂
Ongela kak haji nakukubariii san
Unafunika miguu mgongo unamwachia nani manara umesoma dini
Haji ni mume mzuri lkn bado hujapata mke wa maana unachukua visichana vya mjini hutadumu nao nakwambia toka mwanzo unashindwa kumdhibiti mwanamke mjeuri na hasa hao wasichana wa kitanga ni wajeuri na hawana adabu wana midomo kukushinda wewe ! Si ajabu unamwambia avae nguo za stara anakukatalia sababu kazowea kukaa uchi na ulimpa sifa za uongo ulipoanza nae sasa anakushinda!
Daaah!! Mja weka akiba ya maneno,acha kuwahukumu wenzako huenda yeye hajistiri wewe unafanya hivyo lakini wewe ukawa mwongo,msengenyaji na pengine mchawi au mshirikina,hebu mengine tuwe tunaombeana tu
@@FADHILIMWAKASULA hasbiyallah waniimal wakil alhamdulillah hizo tabia mbaya zote ulosema sina ht moja!
Zaylissa usikubali uke wenza, wanawake wengine watakuletea mikosi ndani ya nyumba, wengine wanavitabiatabia, wengine washirikina kaeni hivyo hivyo, wamoja havai mbili,
waandishi kuyakuza 😅😅
Hiyo siyo suna amiri farazi
Hapo amesha pata mwengine
Allah awadumishe ktk ndoa yenu
Hipo wapi sehemu ya pili
Zey hayuko serious😂😂😂 au HAJUI KUJIELEZEEA
Manara anakudhalilisha! Hakupaswa kuweka interview na wewe live!!!!!!!!!!
Mng awaepushe n wala siombei lkn hawa wat hawatodumu kwny hii ndoa n wakiachan yatakuja mambo mengi y kuaibishana kuliko yaliopita
❤❤❤❤
Kama unazijua ya vizuri mbona humfundish shemeji kujistiri utakua na dhima mbele ya Allah
MAANARAAAAAAA
Balaaa kabisa
Kusema kweli kina zai tunawivu sana na hatupendi kushea mwanaume labda amkute mwanamke na si kuongezewa،hakika majina ya zai ,tunawivu kupita kiasi,
Mungu awalinde kwa kila shari ila stara muhimu kwenye mavazi wanawake wengi ndio ufeli mzuri mumeo ndio hanaona chumbani sio hadhari.
Hawa wote wako na utoto naona upuzi kibao 😂😂
Mm mwenyewe nina wivu kam ww zai yan mm mazoea mtu na mume wangu mbn nawakomesh
Wewe dada mumeo kaanza kukuchoka hayo sio maisha