WALIOTAKA KUMPINDUA RAIS WA TANZANIA / MLEVI AKAVURUGA MPANGO FAHAMU HICHI KISA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 51

  • @PrincepiusTarimo
    @PrincepiusTarimo 3 місяці тому

    Hii stori ninzuri sanaaa ila unrudia rudia sana maneno man

  • @herimushi1208
    @herimushi1208 Рік тому

    Hans Pope na Tamimu Hujawazungumzia vzr umempamba sana Maganga mnyamwezi

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 10 місяців тому

    Asante sana kwa kutuabarisha👍👍

  • @111dudi
    @111dudi 6 місяців тому

    Bora walifeli, ama sivyo ingratitude katiba ya Tanzania ambayo inaiheshimu na kujivunia

  • @waziripambk-kv4bn
    @waziripambk-kv4bn Рік тому +4

    Unaludia sana maneno mzeee

    • @BONGOSTARMEDIA
      @BONGOSTARMEDIA  Рік тому +1

      Samahani mkuu sitarudia Tena nikirudia nipigeni na emoj za mawe😂

    • @deusmbuge5740
      @deusmbuge5740 Рік тому

      Mwaka 1955 mwinyi alikuwa Rais?.

    • @hamisimpiluka586
      @hamisimpiluka586 Рік тому

      Ni kweli hebu uchambuzi zaidi Jimmy kunawalio sahaulika kati ya makachero kuna MTU anaitwa mahamud Issa alikua nani kati ya makachero wakati huo?

  • @azizisalim6757
    @azizisalim6757 3 місяці тому

    Hamusikilizi maudhui ... mnakazi ya kutoa kasoro zakipumbavu

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 Рік тому +1

    EUGEN Inasomeka YUJHIN...siyo AUJHIN...

  • @victormwita4078
    @victormwita4078 Рік тому

    Kwa nn usieleze wahusika wakuu maana Eugene Maganga hakua kiongozi wa jaribio hilo.
    Ungeifukunyua vzr ili utoe taarifa sahihi

  • @nixonlameck3215
    @nixonlameck3215 Рік тому

    Maganga alikuwa Lt sio cpt

  • @nicksonmusa3457
    @nicksonmusa3457 Рік тому +3

    Wakwanzaaaaa nipen likes zanguu😂😂❤

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix Рік тому

    Umejitahidi. Clip hii ingeweza kuboreshwa zaidi. 64%

  • @IgnasKiyanga
    @IgnasKiyanga Рік тому

    Komandoo mohamed Tamimu , na mapunda mbona hujawataja ? Hat mack gee ? Lugangira ? Wote hao vipi ?

  • @111dudi
    @111dudi 3 місяці тому

    Hapakuwa na haja ya kuingia vitani na nchi jirani inayojitawala. Obote na ndiye sababu ya vita, alipinduliwa. Tanzania ikaingia ufukara na haitoshi akaleta "uhujumu uchumi" ,kuwafilisi wafanya biashara waliokuwa na leseni halali. Tanzania ikadidimia kiuchumi

    • @bazilkisibo5811
      @bazilkisibo5811 3 місяці тому

      Pumbafu

    • @111dudi
      @111dudi 3 місяці тому

      Tofauti baina ya muungwana au mstaarabu na mshenzi, ni maneno wanayotumia .ha ha haaa

  • @MohamedSleyim
    @MohamedSleyim Рік тому

    Rodric Roberts, Zacharia Hans Pope umewasahau umeng'ang'ania Eugen Maganga!

  • @111dudi
    @111dudi 6 місяців тому

    Alikuwa msemaji mzuri sana, lakini hakuwa mtawala. Aliiacha Tanzania masikini hohehahe. Haina chochote, reli imekufa,mabarabara mavovu, hospitali hazina dawa, mafuta hakuna ,chakula hakuna, nguo hakuna.Loh

    • @bazilkisibo5811
      @bazilkisibo5811 3 місяці тому

      Kati ya wapumbavu wewe unaongoza. Hakuna Rais isipokuwa Nyerere aliyetengeneza uchumi wa kujitegemea. Vita baridi kati ya nashatiki na magharibi ndiyo iliyoharibu mambo na haikuepukika. Rudi darasani Acha kusikiliza maneno ya kuunganisha mitaani halafu unatuandikia hapa

    • @111dudi
      @111dudi 3 місяці тому

      @@bazilkisibo5811 wewe bwege sana, aliiacha Tanzania dawa ya meno na sabuni vilikuwa ni bidhaa adim . Ukifika hotelini mpaka masupervisors wanataka kununua chupi zako. Sasa angalia neema iliyopo Tanzania. Kama hujui usifungue choo

  • @boanerguebayisenge266
    @boanerguebayisenge266 Рік тому

    Watoto wa 2000 hatumjui Maganga

  • @seifjuniorrashid7597
    @seifjuniorrashid7597 Рік тому +1

    Mi cjaelewa hii story tarehe na Miata mbna cvyo ....

  • @gmial807
    @gmial807 Рік тому

    😊😂

  • @herimushi1208
    @herimushi1208 Рік тому

    Mwaka 1955 Mwinyi alikuwa Rais?

  • @PhilibetLadislaus
    @PhilibetLadislaus Рік тому +1

    Taja sababu

  • @brother_majesty
    @brother_majesty Рік тому +1

    Ndumba zilimsaidia babu...

  • @robertmosha6801
    @robertmosha6801 Рік тому +1

    Tatzo la l na r ni janga la kitaifa

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому +1

    Hivi Augine au Eugine 😅

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Рік тому +1

    1982 hqdi 1986 hali ilikuwa.mbayq kimaisha

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Рік тому +2

      Ilikuwa mbaya sana na hawa walikuwa wakombozi huwezi kutawala kama alivyokuwa anatawala mwalimu kwani alitutesa sana watanzania huyu..!

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Рік тому

      @@hassanmfaume4522 ndo maana akaja mzee wa ruksa.

    • @shijakija9194
      @shijakija9194 Рік тому

      Ilisababishwa na vita kati ya Tanzania na Uganda

  • @ChristopherMayenga
    @ChristopherMayenga Рік тому

    Maganga alikuwa junior officer wa jeshi hakuwa na umaarufu au umwamba wo wote unaojaribu kumpamba nao

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Рік тому +1

    Du

  • @vinenswilliam3534
    @vinenswilliam3534 Рік тому

    Msimulizi bwana... 😂 Iddi Amini Nduli Dada ndio mtu gani?

  • @godfreymokoki1027
    @godfreymokoki1027 Рік тому

    Ilikuwa ni January 9, 1983

  • @Luffa.online
    @Luffa.online Рік тому +2

    Kama bdo ajafa ajalib saiv tena tutamsaidia sisi wenyewe wananchi

  • @seifjuniorrashid7597
    @seifjuniorrashid7597 Рік тому +1

    Mwaka 1955😢😮

    • @silverytesha6788
      @silverytesha6788 Рік тому

      Alimaanisha 1995 anapaswa kuwa makini kwenye miaka

  • @saidyussuf2291
    @saidyussuf2291 Рік тому

    Nyerele ndo nani wewe 😁

  • @georgemagengeli1594
    @georgemagengeli1594 Рік тому

    Mayele

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Рік тому

    Wanapigania kuleta wakoloni

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Рік тому +1

    Unarudia rudia maneno kuma wewe