Asante sana mtumishi wa mungu kwa huduma hii ya maombi kwa njia ya mtandao,barikiwa sana na mungu .nahisi nina ujauzito wa mwezi mmoja ninaomba kwakupitia maombi yako na ninajinenea nakumuomba mungu aweze kunijaalia nipate mtoto wa kike pia naomba maombi yako yawe nuru ktk safari yangu yote ya miezi tisa hadi siku ya kujifungua.kwa imani nakiri kupokea ktk jina la yesu maana naamini yeye ni ebeneza.ameen.
akika mungu anatenda mtumishi nashukulu kwamaombi yako nilikua naumwa kichwa lskin baada yakuskiliza maombi naendelea vizur sana mungu akupe maisha malefu
Nashukuru sana pastor kwa maombi sai ulipokuwa unaomba sasa mtoto anangonga kwa tumbo n usidi kuniombea juu mm y kwanza ilitoka hadi sijui chazo chake bt uniombe huyu mtoto akuwe sawa
Pole sana ndugu yangu mimi nilizaa ila bahati mbaya tena alifika miezi tisa kabisa ila akafia tumboni baada ya kukaa hospitali siku tatu Yani acha2 binadamu wanatutesa sana ila kwa sasa naamini ifikapo siku ya kujifungua kwa kupitia haya maombi nitajifunguwa salama mimi na mtoto tutakuwa wazima
Nashukuru mtumishi" mungu kafanya kitu kwangu kupikia maombi yako na Imani niliyoipokea kuwa kwa mungu hakuna linalo shindikana, nimejifingua salama pamoja na mtoto wangu tuko vizuri ameen
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu maombi yako yamekuwa baraka sana kwangu nayapokea kwa jina la Yesu na nina imani nitajifungua salama na nitapata mtoto wa kike kama nilivyoomba na ikawe hivyo katika jina la mwanao Yesu kristo AMEN
Shalom,ni Vicky kutoka Kenya Amina Amina Amina Asante mtumishi wa Mungu.Mungubqkubqriki kwa maombi naamini mwanangu atajifungua salama kwa jina la Yesu Kristo wa Nazarethi
Barikiwa sana mtu wa mungu ninaamini kuwa kwa maombi haya na kwa imani nilionayo kwa mungu wangu nitajifungua salama na nitanyonyesha na kumlea mtoto wangu in Jesus name
Na amini kwa maombi yako mungu atanisaidia kujifungua salama na nina amini nitajifungua mapacha wa.kike na wakiume amina asanty sana mtumishi mungu akupe maisha maletu

Amen MUNGU nilinde mm na kiumbe changu nikajifungue salama🙏🙏🙏
Amen, mtumishi nashukuru kwa maombi yako naaamini kwa jina la yesu nakwenda kujifungua kama wanawake wakiebrania ameen
akika mungu anatenda mtumishi nashukulu kwamaombi yako nilikua naumwa kichwa lskin baada yakuskiliza maombi naendelea vizur sana mungu akupe maisha malefu
Amen mtumishi napokea..
Ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu naomba nawe tokea South Africa naimani na Maombi yako na Mungu atatenda amen
Nimepokea uponyaji nitajifungua salama kwa jina lenye nguvu
Amen ,...ubalikiwe sanaa Mtumishi wa Mungu
Asantee na naiman ntavuka salama kwa maombi haya
Nashukuru sana pastor kwa maombi sai ulipokuwa unaomba sasa mtoto anangonga kwa tumbo n usidi kuniombea juu mm y kwanza ilitoka hadi sijui chazo chake bt uniombe huyu mtoto akuwe sawa
Pole sana ndugu yangu mimi nilizaa ila bahati mbaya tena alifika miezi tisa kabisa ila akafia tumboni baada ya kukaa hospitali siku tatu Yani acha2 binadamu wanatutesa sana ila kwa sasa naamini ifikapo siku ya kujifungua kwa kupitia haya maombi nitajifunguwa salama mimi na mtoto tutakuwa wazima
Amen asante sana MUNGU maombi haya yamenitia nguvu
Nashukuru mtumishi" mungu kafanya kitu kwangu kupikia maombi yako na Imani niliyoipokea kuwa kwa mungu hakuna linalo shindikana, nimejifingua salama pamoja na mtoto wangu tuko vizuri ameen
Naomba uniombee namimi naitw Sophia nakalibia kujifungua naotandoto mbaya mtumishi
Asante mtumishi wa mungu kwa imani natamka nipone kwa jina la yesu mm mjamzito nasumbuliwa sana
Amen naiman mungu anajibu watot wote watakua hai nakila mjamzito atajifungua salam ubarikiwe mchungaji
Asante mtumishi wa Mungu naamini nikajifunguwa salama na kwa njia ya kawaida njia itafunguka vizuri
Asante mtumishi wa mungu ninaaminika nitajifungua salama Kwa njia ya urahisi 🙏🙏
Amen mtumishi wa Mungu ninaamini nitajifungua salama mimi na mtoto wangu tutakua salama kwa Jina la Yesu Kristo
Amina ntajifungua salama kwa uwezo wa mungu ❤Asante
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu maombi yako yamekuwa baraka sana kwangu nayapokea kwa jina la Yesu na nina imani nitajifungua salama na nitapata mtoto wa kike kama nilivyoomba na ikawe hivyo katika jina la mwanao Yesu kristo AMEN
Amina mtumishi wa mungu,nimepokea yote nikatika jina la yesu Ameen
Naamini mungu atanushindia nitajifungua salam wangu
Amen mtumishi napokea kwa damu ya Yesu
Amen nashukuru kwamaombi yako Mungu azidi kukubariki
Amen nashukuru kwa maombi yako mchungaji Mungu akubariki
Amen asante pastor
Amen napokea maombi haya kwa jina la yesu kristo na Mungu akubariki san mtumishi 🙏🙏🙏
Amen naomb mungu anitendee siku ya Leo na nipokee miujiza
Amina mchungaji ubarikiwe sana
Shalom,ni Vicky kutoka Kenya Amina Amina Amina Asante mtumishi wa Mungu.Mungubqkubqriki kwa maombi naamini mwanangu atajifungua salama kwa jina la Yesu Kristo wa Nazarethi
Asante sana mtumishi naamini nitajifungua salama🙏🙏 6:57
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Napokea majibu ya maombi yako kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu kwa Mariam na wote. AsanteMungu kunisikia.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina mtumishi kwa damu ya yesu ntajifunguaa salaama
Barikiwa sana mtu wa mungu ninaamini kuwa kwa maombi haya na kwa imani nilionayo kwa mungu wangu nitajifungua salama na nitanyonyesha na kumlea mtoto wangu in Jesus name
Nakuahkuru sana mtumishi wa mungu kupitia maombi yako nimejifungua salama kabisaa tena kilahisi mnooo mungu akubaliki mnooo
Waoooooo jamani ikawe na kwangu my friend Mungu mkumbwa
Asante sana mtumishi na mungu akubariki sana
Asante naimani na maombi yako nakesho ndo siku yang yamakadilio na amin itakuwa kama ilivyo amen
Na amini kwa maombi yako mungu atanisaidia kujifungua salama na nina amini nitajifungua mapacha wa.kike na wakiume amina asanty sana mtumishi mungu akupe maisha maletu
Asante mtumishi,, nimepokea na naamini kupitia maombi haya,, mungu akubariki
Amina mtumiahi wa mungu tunapokea kwa uweza wa roho mtakatifu ,Amina👏
Amen mtumishi wa Mungu nimepokea maombi kwa jina la yesu naimani nitajifungua salam bila changamoto yeyote mimi na mtoto wangu Ubarikiwe sana
Asante Baba Mungu akubariki napokea ktk jina la yesu kristoe
Asante sana mtumishi nimebarikiwa
Amen mbarikiwe mtumishi
Asante yesu nina uakika nitajifungua salama amen
Amina pastor ninaamin kwa maombi haya nitaji fungua salama na tutakuwa salama mi na mtoto ktk jina la yesu hakuna linaloshindikana
Amina mtumishi barikiwa sana kwa maombi mazuri
Amina sana Mtumishi wa Mungu naamini Mungu atafanya kitu kupitia maombi haya , Asante Mungu azidi kukupigania
Amen mtumishi ubarikiwe sana napokea uchungu wa mwanamke wa kiebrania katika Jina la Yesu Kristo👏👏👏
Asante Sana mtumishi Mungu akubaliki
Amina ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Nina Imani nitajifungua salama
AMEN AMEN MUNGU akubariki mtumishi na azidi kukupandisha kwenye viwago vyajuu zaidi
Amen, Mungu akubari mtumishi
Amen mtumishi wa mungu naamini mtoto atalindwa mpka siku ya kujifungua na ntajifungua salama
🙏 amen kwa imani naamin mwanangu atakuw salm na ntjfngua salm barikiwa san mtumish wa Mungu
Amen mchungaji mungu akulinde
Ameeen mungu akubarikiii
Ameen Mungu nisaidie nijifungue niwe salama mimi na mtoto wangu Ameen🙏 Mungu akubariki sana Mtumishi na Mungu akutetee katika huduma yako Ameen🙏
Amen mungu akubariki mtumishi wa mungu nimepokea
Amina mtumishi nitaendelee kumsihi mungu anifanyie wepesi nijifungue salama ndani mwezi huu,pia niwe salam na mwanangu .
Asante mung nina iman nita jifunguwa salama amen
Ameeeeeeen Mungu akubariki mchungaji😊
Ameen pastor ubarikiwe sana naamini nitajifungua salama
tunashukuru namaombi mutumishi,naishi Congo mungu akubariki sana
Asante yesu naamini nitajifungua salama kwa uwezo wa roho mtakatifu amen
Asanteeeh sanaaa naamini bwana atanisaidiaa
Amen mungu akubariki. Mtumishi naamini nitajifingua salama
Nashukulu baba kwamaombi hakika nimepokea uponyaji na Mungu atakuwa nami aendelee kunipiganiya Amina mtumishi wa Mungu ubalikiwe sanaa
Asante mtumishi wa mungu naamini maombi yako
Amen mtumishi mungu akubariki
Barikiwa Sanaa mtumishi wa Mungu
Ameen napokea nitajifungua salama kwajina la Allah
Amina pastor naamini Mungu atanitendea makuu
Amina Mtumishi wa Mungu nabarikiwa kwa maombi yako
Amina mtumish naiman ntajifungua salama na mtoto ang atakuwa na afya njema
Amen ubaeikiwe
Amen....naamini nimepokea Kwa jina la yesu🙏
Naamini nitajifunguwa salama
Amen Bab mungu akulinde 🙏nashukulu San kwa maomb yk
Asante mung nina iman nita jifunguwa salama
Ahsante kwa Maombi haya nimepokea kwa jina la Yesu
Amen pastor na Mungu akubariki sana
Amina namini naamini ntajifungua salama tukakua salama mimi pamoja na mwanangu🙏🏻
Asante baba mungu akubariki pia
Amina ubarikiwe sana kwa maono haya ya kuombea wajawazito Mungu azidi kukupandisha viwango na viwango
Asante Kwa maombi mungu awe pamoja nasi
amina mtumish kwamaombi yako ninaiman nitajifunguwa salama ubarikiwe sn mtumish
Amen mtumishi wa mungu akubalik ntajifungu salama🙏
Ameen naamin kupitia maombi haya nitajifunguwa sarama
Shukran sana docter ubarikiwe
Amen nimepokea kwa damu ya yesu
Asante kwa imani ntajifungua salama
Amina nmepokea baba angu🥰🥰
Amen Asante mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Amen na pokeya nguvu kwa Jina la Yesu
Asante sana mtumshi nimesikiliza maombi yako yana nguvu sana
Asante nimesikia wepesi mara baada ya maombi yako ,mungu akubariki pia
Amina mtumishi nimepokea maombi kwa jina la yesu naimani ntajifungua salama bila changamoto yeyote Mimi pamoja na mwanangu.
Ameeeen Mungu akuenue zaid mtumishi
Asante sna pasta kwa maombi yko mungu akubark
bwana yesu asifiwe mtumishi tunabarikiwa sana na maombi yako mungu akubariki sana
Amina baba mchungaji nimeyapokea maombi haya❤