Maombi ya usiku wa Manane,. midnight prayer

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 201

  • @GloryMapunda
    @GloryMapunda 11 місяців тому +1

    Naomba uniondolehe mikosi na rahana zilizo tumwa kwa hajili yangu.ziondoke uniponye nipe uzima katika jina layesu

  • @LoiceRubia
    @LoiceRubia 6 днів тому

    Mungu wangu kupitia haya maombi naomba uniondole ndoto mbaya uondoe vitu zote ambazo zinazunguka kwa room nikilala naitisha ulizi wako bwana katika maisha yangu pamoja na familia yangu yote katika jina la yesu Amen

  • @JosephineNgwele
    @JosephineNgwele 2 місяці тому

    Bwana yesu jina lako ni siraha tosha ,,,naomba unifungulie njia zangu zilizofungwa ili nisipewe mkataba na kuanza kuwa na maisha yangu bwana yesu naomba kwa wingi wa mapez yako mwenz wa kumi na mbili nianze kivingine bwana ,,,nimechoka na hii hali nilonayo kwa sasa,,,,

  • @ShilaLewa
    @ShilaLewa Місяць тому

    Amen 🙏 ewe mungu naomba usiku huu kila kitu kifunguke na ynayo pangwa juu yangu juu ya nyumba yetu tufungue kwa jina la yesu

  • @velonicacharles-6124
    @velonicacharles-6124 6 місяців тому +2

    Mungu naomba unipe nguvu niweze kuomba usiku wa manane

  • @queenlisapherooz7321
    @queenlisapherooz7321 2 дні тому

    Mungu wangu kupitia haya maombi nOmba nikawe na mwanzo kila nilichopoteza nakiludisha kwa jina la yesu kila laan iliyo natamkwa kwangu ikageuka kua baraka kwa damu ya yesu

  • @NiceJohn-w8q
    @NiceJohn-w8q 2 місяці тому

    Mungu wangu nimekuja usk huu wa manane naomba unipe kibali cha maombi iwe ni desturi yangu kila sk amen😢.

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 3 місяці тому +1

    Naomba unifungulie milango yangu ya riziki uchumi wangu, na nipe furaha ndani ya mahusiano yangu, naomba unilindie uzao wangu ukawe wabaraka, waepushe na kila baya, nilindie family yangu🙏

  • @EverlyneKerubo-ei7jm
    @EverlyneKerubo-ei7jm Місяць тому

    Amen mungu wangu kupitia haya maombi nakuomba uniotolee ndoto mbaya simenisumbua huyu mwaka naomba mwaka Mapya uwe Baraka kwangu na family yangu upaliki watoto wangu uwape nyota ya masomo uwalinde kutokana na Madui mungu wangu nakuomba 😢

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 3 місяці тому +1

    Eee Mungu kupitia aya maombi ya usiku wa manane naomba ukanifungulie milango yangu ya riziki uchumi pia, naomba upendo wetu na furaha na amani vilejee kati yangu na Yusuph 🙏🙏🙏🙏,

  • @faustinameena2758
    @faustinameena2758 Рік тому +1

    Amina pasta Ndelwa kwa maombi yako..Mimi naitwa Faustina naomba maombi kwa ajili yangu nafamilia yangu kwa maradhi ya moyo mgongo figo yanayotusumbua kwa muda mrefu.

  • @marylnemshai5959
    @marylnemshai5959 2 місяці тому

    Amen Amen, barikiwa sana mtumishi maombi haya yanazidi kuniinua kila hatua barikiwa sana

  • @LaddyNaa
    @LaddyNaa 2 місяці тому

    Mungu naomba kupitia maombi haya ya ucku huu ukanifungue katika kila jambo amen

  • @NaZ1-o5k
    @NaZ1-o5k 11 місяців тому +3

    Mungu naomba umubadilshe huyu boss aweze kusimamia yeye garama ya passport yangu kwa sababu yeye ndiye alipoteza na sasa wananiachia mm garama zote.ni na kataa katika jina la yesu kristo.yeyey alipia Amen

  • @tumasechambo3040
    @tumasechambo3040 8 місяців тому

    Asante mungu kupitia maombi hays naomba unifungulie njia zangu,uniponye magonjwa yote yanayonisumbua,naamini kupitia maombi haya nimepona katika jina la yesu ameen🙏🙏

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 4 місяці тому

    Mungu naomba uniondplee vizuizi vyote vinavyozuia majibu ya maombi yangu ya kuuza nyumba na miradi sIHA katika jina la Yesu

  • @beatricemapembe2595
    @beatricemapembe2595 Рік тому

    Naomba mimi na familia yangu tufunguliwe vifungo vyote kiafya , kiuchumi, nafuta kwa damu ya YESU mabaya yote tuliyo nenewa na kuchezewa vitoke katika maisha yetu amina

  • @stewartobed
    @stewartobed 8 місяців тому +2

    Nifunguliwe nyota yangu na familia yangu,kiuchumi, kibiashara,nyumba yangu,mashamba n.k

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 3 місяці тому

    Amen navunja Kila lango. La) Ndoto. Mbaya katika Jina LA yesu Kristo alie Hai

  • @Samanthanicodemsamagoal
    @Samanthanicodemsamagoal 6 місяців тому +1

    Wewe baba ulikuja kwa ajili yangu Mungu akuweke sana

  • @tumasechambo3040
    @tumasechambo3040 8 місяців тому

    Wee mungu kupitia maombi haya yabusiku wa manane naomba unifungulie njia zangu,uniondolee magonjwa yote,kwa jina yesu nimepokea🙏🙏

  • @AgnessseniAgness
    @AgnessseniAgness 6 місяців тому

    Mungu nisaidie nisamehe zambi zangu zote na unifungulienjia za laziki zangu zote mungu nisaidie mungu wangu bwana nitie nguvu mungu nijalie roho ya uvumilivu🙏🙏

  • @LinaLucj
    @LinaLucj 2 місяці тому

    Mungu naomba nibaliki katika familia yetu kupitia maombi haya ya usiku wa manane nenda ukawe pamoja nasi Jehova amen

  • @faithkimuto9452
    @faithkimuto9452 4 місяці тому

    Mungu wangu nisaidie Mimi na family yangu na mtoto wangu namuleta kwako eeeeeh bwana nisaidie amen 🙏🙏🙏🙏

  • @epos9473
    @epos9473 10 місяців тому +1

    natengeneza njia zangu upya usiku wa leo in JESUS name 6march2024

  • @Fridausi-g6k
    @Fridausi-g6k Рік тому

    Amen naomba ufungulivu mimi na famillia yangu na baraka katika kazi yangu

  • @agnessamini8266
    @agnessamini8266 Місяць тому

    Amene amene nashukuru mungu kwakuniuganisha namadhabahu hii assume nisamehe munguwagu

  • @GroriaDhahabu
    @GroriaDhahabu 5 місяців тому

    Amina mtumishi Asante maombi usiku nimazuri lkn nguvu Sina msaada mtu wamungu

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka Місяць тому

    Mungu namimi nipe nguvu YA kuomba fungua liziki zangu zilizo fungwa naa DUI zangu Na wajapo Nika kwanjuamoja watatwanyika Kwa njia Saba asante Mungu kwakua adui zangu hawata niweza maana Nina wewe Mungu Mungu nimekuja usiku Huu niondolee roho zauzito nisiweze kuomba Nakataa nisaidie bwana niweze kuomba nipe nguvu YA kuomba Mungu Wangu nifungue kila Pando la uhalibifu lililo shikilia familia yangu Mungu nisaidi

  • @ElizabethNjambi-c3y
    @ElizabethNjambi-c3y 10 місяців тому

    Ehe mwenyezi mungu nifungulie Kila nija zs baraka niepushe na Kila magojwa makubwa nipe furaha katika maisha yangu nipe mwanaume sahihi katika maisha yangu

  • @JoslienShaban
    @JoslienShaban 2 місяці тому

    Naomba mungu Nipe mtaji na Naomba niondolee roho ya chuma ulete na mtolee baba angu roho ya chuma ulete Naomba mungu mpe baba yangu mtaji Naomba mungu unipe mtaji Naomba mungu unip mtoto

  • @SelemanHamis-d3y
    @SelemanHamis-d3y 2 місяці тому

    naomba mungu nomeleta maombi langu naomba unisaidie maisha yangi

  • @EmmyKimaro-e8x
    @EmmyKimaro-e8x 10 місяців тому

    Naomba unifanyie wepesi mwenyezi mungu nijifungue salama bila shida yoyote

  • @Hamissimbecha
    @Hamissimbecha 9 місяців тому

    È mungu wangu naomba unisaidie unipunguzie zambi naomba unilindie wanangu uibariki ndoa yetu naomba nipate kazi unifungulie milango yangu ya riziki🤲

  • @AsilaKagambo-uv2ff
    @AsilaKagambo-uv2ff 4 місяці тому

    Mungu nifungulie baraka zangu na za watoto wangu

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 11 місяців тому

    Namuombea mume wangu Yusuph kupitia maombi ya usiku wa manane, naomba umfungulie milango ya riziki apate mizigo apate kupakia kwani amekaa mda mrefu nyumbani, amina🙏🙏

  • @FaridaKayombo-fc5sp
    @FaridaKayombo-fc5sp 10 місяців тому

    Barikiwa mtumishiii wa mungu ninona ndoto za ajabu na pia naona vi2 vya ajabuuu niombee mtumishii peke yangu siweziii

  • @KarolinaOman
    @KarolinaOman 2 місяці тому

    Tupo pamoja pastor katika maombi haya

  • @happymassao6044
    @happymassao6044 Місяць тому

    We mungu pokea maombi yangu amiina

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 11 місяців тому +4

    Ee mungu kupitia maombi ya usiku wa manane, naomba unifungulie njia zangu, uchumi wangu, na riziki yangu, nipate kazi yakufanya na naomba unirindie wanangu uko walipo na unirindie kiumbe changu nilichokibeba, naomba unipe na afya iliyonjema, namuombea Stephen nyoni apone haraka apate nguvu zakurudi kwenye majukumu yake ya kila siku amina🙏🙏🙏

  • @MohammedAlsalamah-cz1gt
    @MohammedAlsalamah-cz1gt 4 місяці тому

    Mungu naomba unirehemu kwa maana mimi ni mtenda dhambi

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 10 місяців тому

    Eee mungu naomba unifungulie baraka nifungulie maisha yangu na pia kiuchumi

  • @MariamAa-zh7yu
    @MariamAa-zh7yu 2 місяці тому

    Ee Mungu naomba kupitia maombi Aya nipokee upo nyajinkwa damu ya yes

  • @VctorMenlady-u4r
    @VctorMenlady-u4r 8 місяців тому

    Amina Ubarikiwe Sana pastor

  • @dfkcic3184
    @dfkcic3184 Рік тому

    Amen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 10 місяців тому

    Amen nina imani mtoto wangu atatembea kwa jina la yesu namini

  • @RichardKombaRichardAkomba
    @RichardKombaRichardAkomba Рік тому

    mungu naomba maombi yangu uyapokee kwa mikono miwili

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 6 місяців тому

    Eeh mungu nitetee mm namwanangu mm natesa na mapepo🙏🤲 mungu nisamehe kwa makosa yang yote nilio kukosea😢😢

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 Рік тому

    Asante Sana MUNGU ATUSAIDIE naomba kujua ww mchungaji ndelwa was wapi hongera KWA kazi ya MUNGU

  • @NaZ1-o5k
    @NaZ1-o5k 11 місяців тому

    Mungu naomba unilinde na uni bariki na KAZI yangu

  • @secyliasimon3334
    @secyliasimon3334 10 місяців тому

    Ee mwenyezi mungu naomba upambane na wanaopigana na mimi nisifanikiwe,,

  • @aidaa8253
    @aidaa8253 Рік тому

    AMEN UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU

  • @AdidjaYussuf
    @AdidjaYussuf 2 місяці тому

    Yesu unitakase kwa damu yako baba😊

  • @jacobmhozya2121
    @jacobmhozya2121 3 місяці тому

    Napokea Kwa jina la yesu

  • @consolataanyambililemwakib1111

    Mungu nibariki mimi na familia yangu nipate riziki ya halali,niondolee magonjwa, niondolee robo za visasi na malipizi, nijarie afya njema bariki kazi yangu ameeni

  • @Odunga
    @Odunga 9 місяців тому

    Amen pastor 🥰🥰

  • @davidmwamakula7526
    @davidmwamakula7526 2 місяці тому

    Nitakase Ee Mungu wangu

  • @MiriamBlasio
    @MiriamBlasio 6 місяців тому

    Ahsante naomba watoto wangu wapate watoto

  • @puritykalama8517
    @puritykalama8517 2 роки тому +2

    Amen barikiwa sanaaa mutumishi kwamaombi uzidishiewe zaidi na uzidi kutiwa nguvu undelee kufanya kazi ya Mungu

  • @PendoMbawala-t6x
    @PendoMbawala-t6x Місяць тому

    Mungu nisame ni takase usiku huu

  • @LorineOgola-g1f
    @LorineOgola-g1f Рік тому

    Amen pastor nimebarikiwa

  • @secyliasimon3334
    @secyliasimon3334 10 місяців тому

    Ameen naomba kupitia maombi haya nifunguliwe njia zangu

  • @gracekayandakayanda3428
    @gracekayandakayanda3428 8 місяців тому

    Niko hewani Asante Yesu

  • @UpendoMtunguja
    @UpendoMtunguja 5 місяців тому

    Mungu naomba kibali naomba ulinzi mimi na familia yangu tunaomba afya na amani tukafunguliwe nyota zetu tukafanikiwe kiuchumi adui Hana nafasi katika maisha yetu ameen

  • @rosesaid1488
    @rosesaid1488 Рік тому

    Najiungamanisha na maombi haya ya ucku ktk jina la yesu

  • @AGRIPINAMASSAWE-j8k
    @AGRIPINAMASSAWE-j8k 7 місяців тому

    Asnte Uesu naamini unaenda kufanya upya maisha yangu

  • @JoslienShaban
    @JoslienShaban 2 місяці тому

    Najiungamanisha na maomb haya usiku wa Leo mungu Naomba mfungue baba. Angu kiuchumi Naomba mungu mfungue mume Wangu anirudie achane na huyo mwanamke alie mfunga arudi kwangu

  • @YohanaSamwel-g7u
    @YohanaSamwel-g7u 6 місяців тому

    Asantee mungu 🙏🙏

  • @michellwanga1339
    @michellwanga1339 Рік тому +1

    Mungu akubari mtumishi

  • @SamanthaEdwin-u3p
    @SamanthaEdwin-u3p 4 місяці тому

    Mungu nakuomba unisafishe mwili wangu ili nipige hatua

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 6 місяців тому

    Mungu nisadie najiunganisha

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 4 місяці тому

    Mungu naomba Mshirika na wewe.

  • @Niyonzima-o3h
    @Niyonzima-o3h 4 місяці тому

    Nazivunja kwa jina la yesu kristo

  • @busingejuliet2665
    @busingejuliet2665 Рік тому +1

    Amen asate baba🙏🙏

  • @lucyjoseph4025
    @lucyjoseph4025 11 місяців тому

    Ameeen ubarikiwe

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 8 місяців тому

    Eeh mungu nitetee mm mja wako nakuomba saizi nipate pesa mm niweze kumlea mwananguuuu ameeni🙏🤲😥

  • @ChristinaNgongi
    @ChristinaNgongi День тому

    Mimi Joseph ngongi mungu naomba nisamehe na unitakase

  • @ruthsebastian4633
    @ruthsebastian4633 Рік тому

    Amen mtumishi wa MUNGU aliye hai

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 4 місяці тому

    Damu ya Yesu inisadie

  • @consolataanyambilile-mr5ph
    @consolataanyambilile-mr5ph 11 місяців тому

    Ee mwenyezi mungu niondolee nguvu za kichawi zinazomfuatilia mwanangu FREEMAN mjalie uzima apate kuendelea na masomo yake atimize ndoto zake

  • @KhatijaKumbuka
    @KhatijaKumbuka 4 місяці тому

    Nifungiliwe uchumi wangu uongezeke,na afya yangu iimalike,familia yangu ifungukiwe.

  • @PamellaEdmond
    @PamellaEdmond 6 місяців тому

    Asant kwamaombi ❤

  • @DeodataKaguo
    @DeodataKaguo 10 місяців тому

    Mungu nikumbushe kupitia roho wako mtakatifu niingie kwenye maombi haya

  • @doreenkoka-v9v
    @doreenkoka-v9v Рік тому

    Amina Mtumishi hakika nimebarikiwa.

  • @jacintamwikali9772
    @jacintamwikali9772 11 місяців тому

    Amen amen 🙏

  • @rehemaelia7803
    @rehemaelia7803 2 роки тому +1

    Amina mtumishi

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 роки тому

    Asante nitayaomba na wewe,naomba hiyo video wsksap,mungu akubariki Sana,

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 5 місяців тому

    Njiunganisha

  • @RehemaIsmail-wf2vz
    @RehemaIsmail-wf2vz 10 місяців тому

    Amina matumain yangu kazi yangu itarudi Leo. Kupitia maombi haya ya manane

  • @lucyzacharia2959
    @lucyzacharia2959 Рік тому

    Ameen,, Ubarikiwe 🙏🙏

  • @editamahundi4132
    @editamahundi4132 Рік тому

    Mwanangu anapokea uponyaji😊

  • @akwilinasegwa8497
    @akwilinasegwa8497 2 роки тому

    Naachilia damu ya YESU juu ya mahusiano yangu mm na cost roho ya uharibif ishindwe kwa JINA LA YESU

  • @Risper-vg5ds
    @Risper-vg5ds Рік тому

    Mtumishi mimi naitwa Risper chepkwemoi naumwa n matiti moja sijui shida n nini tumbee nipate uponyaji

  • @secyliasimon3334
    @secyliasimon3334 10 місяців тому

    Nifungue usiku huu nipate kazi,,,na nipate kodi na pesa kwaajili ya mimi na family yanguq

  • @rehematemba
    @rehematemba Рік тому +3

    Mungu akawe pamoja nammi nateseka sana sipati usingizi mateso yamekuwa sehem yamaisha yangu navunja 😭😭😭😭😭

    • @kokububelwa
      @kokububelwa Рік тому

      Pole

    • @kokububelwa
      @kokububelwa Рік тому

      Mim pia naona watu live kabisa

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty Рік тому

      Pole dear pendelea kusoma biblia isaya 91 kila siku au fungua UA-cam sikiliza na kila ukienda kulala sikiliza hii sarà pia Ila yakingelwza atakama uelewi utalala vizuri hii hapa ua-cam.com/video/wVYCNMzcAmU/v-deo.html

    • @leahtheo3922
      @leahtheo3922 Рік тому

      Pole mpendwa

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty Рік тому

      @@kokububelwa pole sikiliza hii sarà inasadia ua-cam.com/video/6JQ2KzGlxCE/v-deo.htmlsi=xg4InMacAnzvuObX,soma biblia zaburi 91 kila siku wakati wakulala au kuamka

  • @pamelakodhek4038
    @pamelakodhek4038 2 роки тому

    Asante kwa maombi mazuri

  • @AnaniasRazaloRazalo
    @AnaniasRazaloRazalo Рік тому

    Mungu ni kimbilio langu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Amen ubarikiwe sanaaaa pastor ubarikiwe

  • @RoseOkumu-k8c
    @RoseOkumu-k8c Місяць тому

    Pastors Niko hapa niombe

  • @secyliasimon3334
    @secyliasimon3334 10 місяців тому

    Mungu fungua njia zangu zoote na unipe mtu sahihi asiwe ni wale wa kila siku