MAOMBI YA UFUNGULIVU VIFUNGO VYA AINA ZOTE -MAOMBI YA FUNGUO - MAOMBI YA {DELIVERANCE PRAYER}

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 229

  • @sharifatimwaibula5362
    @sharifatimwaibula5362 5 місяців тому +10

    Mungu nifungue vifungo vyote katika mwili wangu biashara zangu watoto wangu nifungulie njia ya mafanikio

    • @jonathankande9163
      @jonathankande9163 3 місяці тому +1

      PostéP😢grvooo
      Lh 1:3😅T1o m 3:22 m 1:34 gmyplh😅pyh😊 TU lik😅😮😢

    • @KwizerimanaAisha-f5p
      @KwizerimanaAisha-f5p 2 місяці тому

      Emugngu.nifunguwe.vifungo.vyote.katika.mwiri.wangu.pamoja.nafamiria.yangu.navyashara.vyangu.amen

  • @Theoristerbulamu
    @Theoristerbulamu 4 місяці тому +4

    Eee Mungu naomba Rehema na toba katika maisha yangu, nafungua kibali, nafungua afya yangu, nafungu kila kilicho changu kwa jina la Yesu,nafungua kila vifungo vulivyofunga maisha yangu, biashara yangu baraka zangu kwa jina la Yesu baba naomba unikumbuke hata kwa sadaka zangu ameen

  • @TianTee-l9l
    @TianTee-l9l 3 місяці тому +2

    Mungu nifunguo vifungo vyote katika mwili wangu na biashara zangu na familia yangu Kila nilipo fungwa Amen🙏

  • @lindahkaveza120
    @lindahkaveza120 7 днів тому

    Mungu nifungue vifungo vilivyo funga mwili wangu na mafanikiyo yangu yote watoto wangu family yangu mbana yangu niweke huru

  • @emiliananyamwasa
    @emiliananyamwasa Місяць тому

    Mungu tufungue fàmilia Yangu kiuchimi magonjwa chuki ziondoke kwenye maisha yetu amina

  • @bahatichenje6224
    @bahatichenje6224 5 місяців тому +2

    I connect my kids to this prayers in Jesus name Amen

  • @SofiaMichael-ln4ed
    @SofiaMichael-ln4ed Місяць тому

    Mungu fungua maisha yangu fungua familia yangu mfungue mama angu rudisha ufahamu kwa mama angu ugonjwa wowote ukatoweke hali ya kupooza hali ya magonjwa mabaya yakashindwe kwa jina la Yesu Mungu tupe kibali cha kufunguliwa magonjwa na kila kitu kilichofungwa kikafunguke

  • @emiliananyamwasa
    @emiliananyamwasa Місяць тому

    Mungu Asante kwa kufungua maisha Yangu mimi na watoto wangu mume wangu kazi za watoto wangu kazi za mume wangu amina

  • @PatienceWanyika
    @PatienceWanyika Місяць тому

    mungu nifungue vifungo vyote katika kazi zangu nytoa yagu na watoto wagu🙏🙏🙏🙏

  • @janeyona2184
    @janeyona2184 2 місяці тому

    Mungu naomba nifungue vifungo vyote nilivyofungwa kwakujua hata kwa kuto kujua AMENI

  • @ElizaMwandu
    @ElizaMwandu Місяць тому

    Amen, amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hakika nimepokea uponyaji vifungo vyote vya magonjwa vya majini vya uchawi vimekatika 🙏

  • @monicahkariuki7926
    @monicahkariuki7926 7 годин тому

    Napokea kufunguliwa kwa Jina la Yesu Amen

  • @Alisa-wv6rh
    @Alisa-wv6rh 5 місяців тому +3

    Nifungue Ee Bwana Nakuomba👏🙏

  • @JoyceEzekia-k4c
    @JoyceEzekia-k4c 14 днів тому

    Mungu nifungue vifungo kwenye mwili wangu kwajina la yesu

  • @NancyChao-x9j
    @NancyChao-x9j 2 місяці тому

    Nafungua nyota yangu baraka na mawazo yangu nawafunikq watoto wangu na damu yake kristo amen

  • @NancyChao-x9j
    @NancyChao-x9j 2 місяці тому

    I connect my kids to this prayer Mungu walinde watoto wangu,roho ya kukataliwa ishindwe kwanzia muda huu

  • @LightMlaki
    @LightMlaki 2 місяці тому

    Asante Yesu Kwa kunifungua na familia yangu vifungo vya mateso Kwa heri

  • @bwizaparadise4193
    @bwizaparadise4193 Місяць тому

    Mungu funguwa nilah zinazo fungwa shingoni na kwenye maisha yangu damu na moto wa Yesu Kristo kutoka binguni ikafunguwe kila kitu ndani mwangu amen 🙏

  • @AnitahMimmer
    @AnitahMimmer 20 днів тому

    Mungu nifungue Kwa Kila kifungo kilichonifunga katika jina la yesu

  • @catherinemyovela6819
    @catherinemyovela6819 3 місяці тому

    Mungu unaefungua kila aina ya.vifungo nifungue mimi na familia yangu na kila aina ya vifungo

  • @beatriceclement5498
    @beatriceclement5498 3 місяці тому

    Najifungua vifungo vyote nilivyofungwa mimi na wanangu magonjwa,nyota,kukataliwa biashara, kazi navifungua ktk jina la YESU Ameen🤲

  • @ElizabethmsakiMsaki
    @ElizabethmsakiMsaki 2 місяці тому

    Mungu nakuomba ufungue Kila kilichofungwa katika maisha yangu biashara yangu nawatoto wangu amen

  • @Elvinmaria56
    @Elvinmaria56 3 місяці тому +1

    Eee mungu wangu nakusihi unifungue kwa njia zote zile nmefungwa na muovu 🙏🏻🙏🏻naomba mungu unifungue Babangu😢

  • @ChantalKanane
    @ChantalKanane Місяць тому

    Mungu anipe nguvu ya maombi hii siku saba.na akate vifungo vyote vya maisha yangu

  • @LucyMinja-j2h
    @LucyMinja-j2h 2 місяці тому

    Mungu naomba unifungue vifungo vyote vya mwiilini na kazi yangu pamoja na familia yangu

  • @CarolyneAdisa-e4w
    @CarolyneAdisa-e4w Місяць тому

    Mungu nakuomba nifungua vifungo vyote katika mwili wangu mwili mwa mume wangu watoto wangu .Kila nilipofungwa

  • @DavidEstery-up4bh
    @DavidEstery-up4bh 4 місяці тому

    Mungu nifungue vifungo ndani ya mwili wangu vya kukataliwa

  • @UmaziSalim
    @UmaziSalim 5 місяців тому

    Naunganisha watoto wangu Kwa badhabahu haya Kwa jina la yesu naomba ukaniondolee kila aina ya vifungo pamoja na watoto wangu amen🙏🙏🙏🙏

  • @Beckylims
    @Beckylims 4 місяці тому

    Eeh mwenyezi Mungu wewe uketie kwenye kiti cha enzi ninakuomba musamaha yale nimetenda yasiyo faa machoni pako eeh Mungu naomba unifungue kila kifungu ambacho nimefungwa ambacho naona ni cha kawaida fungua familia yangu kwa vigungu za usherati leta eshema baba leta amani unifanye niwe chombo nakushukuru Mungu nina imani umetenda Amen

  • @ambrosekaseka9346
    @ambrosekaseka9346 4 місяці тому

    Naunganisha maombi haya ya kufungua vifungo pamoja na watoto wangu make wangu tuponye kwa jina la yesu Amina

  • @LucyMinja-j2h
    @LucyMinja-j2h 11 днів тому

    Mungu namba unifungue vifungo vyote kwa jina la yesu

  • @SamsonHezron-cx8nt
    @SamsonHezron-cx8nt 5 місяців тому +1

    Mungu ñifungue vifungo vya jini mahaba,vifungo vya madeni,vifungo vya kupata na kupoteza na vigungo vinginevyo

  • @RachelleUwimana-w9i
    @RachelleUwimana-w9i 5 місяців тому +1

    Mungu nifungue vifungo vilivyo fungwa katika maisha yangu 🙏

  • @erickmsimbe5424
    @erickmsimbe5424 Місяць тому

    Ee Bwana Yesu nifungue ktk kifungo hichi cha kushindwa kutembea

  • @Theoristerbulamu
    @Theoristerbulamu 4 місяці тому

    Mungu naomba unifungue ktk magonjwa, kibali,nyota,madeni roho yakukataliwa, naomba nifunguliwe kwa jina la Yesu

  • @MwaminiNoëlla
    @MwaminiNoëlla 5 місяців тому

    Ewe Mungu funguwa maishayangu niwehuru na ufunguwe maisha ya familles yangu ufunguwe safariyangu ewe Mungu funguwa ndoa yangu Ewe Mungu funguwa maisha ya wanangu ufunguwe na mudogo wangu katika jina la Yesu

  • @ChangaziYvette
    @ChangaziYvette 2 місяці тому

    Mungu wako anifunguwe nifike canada anipe bulaya.siku nitafika nitatowa sadaka.bulaya mungu nipe

  • @AshaFasion-bs9ud
    @AshaFasion-bs9ud 3 місяці тому

    Ewe mungu fungua kwa maneno haya yatamkwayo Amina

  • @FloridaMwakigawa-pf8oi
    @FloridaMwakigawa-pf8oi 2 місяці тому

    Ee mwenyezi Mungu nakushukru kwakuniamsha salama, niondolee kila aina ya vifungo

  • @YasmineeMina
    @YasmineeMina 2 місяці тому

    Amen amen amen barikiwa sana mtumishi

  • @MohamedOmari-i9f
    @MohamedOmari-i9f 2 місяці тому

    Ee mungu naomba unifungue maisha yangu watoto Wang Mme Wang ndungu Zang aomba na kuamini amin

  • @NancyChao-x9j
    @NancyChao-x9j 2 місяці тому

    Mungu mponye Ethan malaika wako mrudishe kwa hali yake ya kawaida amen

  • @MaimonaSadiki
    @MaimonaSadiki 3 місяці тому

    Mungu naomba nifunguliwe vifungo vyote mimi na watoto wangu amen

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому

    Mungu nifungulie vifungo maishani mwaku ili niwe huru ❤❤❤katika jini la Yesu Kristo wanasareti

  • @rockusngalela6581
    @rockusngalela6581 4 місяці тому

    Mungu Baba nakuomba nifungue vifungo vyote vinavyozuia mafanikio yangu kimaisha kwa Jina la Yesu

  • @sophiehammond77
    @sophiehammond77 5 місяців тому +1

    Amen in Jesus name 🙏🏽

  • @TatuKimario
    @TatuKimario 5 місяців тому +1

    Mungu nifungue kifungo cha kijini nilichofungwa katika tumbo langu

  • @hannahmbigo1894
    @hannahmbigo1894 21 годину тому

    mungu niondolee vifungo vyote nikivyo fungwa nazho kifedha k kaz k biashara

  • @beatricemapembe2595
    @beatricemapembe2595 4 місяці тому

    Najifungua vifungo vyote mimi na familia yangu vilivyofungwa na adui katika jina la YESU KRISTO, amina

  • @KamwiraKakule-gt3hv
    @KamwiraKakule-gt3hv 4 місяці тому

    Asante baba katika jina la yesu

  • @bettymariga
    @bettymariga 4 місяці тому

    Amen nifunguliwe in jesus might name ..amen amen kla roho.isio ya mungu ishindwe na ikose uhai injesus might name amen

  • @JjkjJj-kj9yy
    @JjkjJj-kj9yy 3 місяці тому

    Ee Mungu naomba unifugue vifungo vilivyopo fuga maisha yangu

  • @GressGress-fd9xl
    @GressGress-fd9xl 5 місяців тому

    Ee mwenyezi mungu naomba unifinguwe vifungo vyote kwa jina la yesu kristo ameni

  • @esthermasudy8415
    @esthermasudy8415 5 місяців тому

    Eee Mungu kila mafungo yaliyofungwa nayafungua kwa jina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai. Amina

  • @Acc-ey6ie
    @Acc-ey6ie 5 місяців тому +1

    Amen mtumishi🙏

  • @MargaretMukeku-f8c
    @MargaretMukeku-f8c 4 місяці тому

    Bwana mungu naomba unifungue vifungo vya kukosa doa .magonjwa yananisumbua,vivungo za kunirundisha nyuma wakati ninapoinuka ..vifungo za kuzuliwa ninaomba

  • @cestinewanjala6690
    @cestinewanjala6690 2 місяці тому

    Amen ,mungu nifunguwe kwa maisha yangu

  • @RuthMwalusamba
    @RuthMwalusamba 3 місяці тому

    Mwenyezi Mungu naomba unifungue vifungo vyote nilivyofungwa na shetani

  • @AnabAbdallah-ii7ou
    @AnabAbdallah-ii7ou 5 місяців тому

    Mungu nifungue vifungo adui alivyo kufunga familia yangu ndoa yangu yote yangu mabwana yesu nifungue

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 Місяць тому

    Mungu naomba unifungue vifungo vilivyowekwa na adui kazini kwangu

  • @DicksonMasukuma
    @DicksonMasukuma Місяць тому

    Amen napokea kwa jina la yesu

  • @pasyanmwaikimba5616
    @pasyanmwaikimba5616 4 місяці тому

    Nafungua maisha yangu kwajina la YESU Ameeni

  • @AnnaNdakoba
    @AnnaNdakoba 4 місяці тому

    Mungu naomb nifungue vifungo vyote katika mwili wang watoto wangu na family yangu 🙏

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 5 місяців тому

    Nakuomba mungu nifunguo vingo vyote nilivyofungwa katika jina la yesu

  • @KilusaKingamkono
    @KilusaKingamkono Місяць тому

    Naomba mungu anifungue kwenye hili swala la ujauzito kutoka

  • @NavoWillson
    @NavoWillson 5 місяців тому

    Nimaombi yangu mungu anifungue kwenye uchumi wangu🙏

  • @julianamollel907
    @julianamollel907 5 місяців тому

    Amen Amen 🙏 Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @gracemkuya7121
    @gracemkuya7121 5 місяців тому

    Amina mtumishi ubarikiwe🙏🙏🙏

  • @ambrosekaseka9346
    @ambrosekaseka9346 4 місяці тому

    Naomba kufunguliwa Mimi Ambrose pamioja Sofia kwa jina la yesu kristo Amina

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja 3 місяці тому

    Nifungue mwili wangu unipe usingizi bwana yesu ameni

  • @deborahmangula-lg4zf
    @deborahmangula-lg4zf Місяць тому

    mungu naomba unifungue kila kifungo katika maisha yangu

  • @francoisealimasi3999
    @francoisealimasi3999 4 місяці тому

    Nashukuru saana kwa maombi, yesu usinipite.

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 3 місяці тому

    Mungu naomba ufungue viungo vyote vinavyofunga nyumba yangu isiuzike

  • @NancyChao-x9j
    @NancyChao-x9j 2 місяці тому

    Vishindwe vifungo hivyo vyq kila aina Mungu funika nyumba yangu na damu yako

  • @OswardGaudence-gn4lo
    @OswardGaudence-gn4lo Місяць тому

    Asante Yesu Kwa kunifungua

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 4 місяці тому

    @jak Mungu Naomba unifungulie mafundo yaliyofungwa katika familia yangu.mangonjwa,umasikini,wokovu kwa familia,na Hati miliki kwa eneo ninaloishi.

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus 4 місяці тому

    Nifungue Yesu katika jina lako takatifu amen

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 місяців тому

    Asante sana Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu ❤❤❤❤❤

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 4 місяці тому

    MUNGU nifungue kila vifungo vote nilivyo fungal mm pamoja na familia yangu kwa damu ya mwana London iliyo mwagika pale msalabani amen

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja 3 місяці тому

    Mungu nifungue vifungo vyote kweny mail wangu biashara zangu n
    Mtoto wangu kwa jina la yesu

  • @Pendezabylydia
    @Pendezabylydia 4 місяці тому

    Nimefunguliwa kwa jina la Yesu

  • @sarahrashid2305
    @sarahrashid2305 2 місяці тому

    Asante yesu kwa kunifungua

  • @merrymboya1784
    @merrymboya1784 4 місяці тому

    Mungu baba naomba fungua maisha yangu yaliyo fungwa Amina

  • @joankalegi
    @joankalegi 5 місяців тому

    AMEN AMEN 🙏🙏,, THANK YOU GOD FOR SETTING ME FREE

  • @fridashani6562
    @fridashani6562 5 місяців тому

    Napokea kufunguliwa ktk kila eneo la maisha yangu 🙏🙏🙏

  • @Priscamakilewo
    @Priscamakilewo Місяць тому

    Mungu fungua maisha yangu Kwa ujumla

  • @agnessanga9228
    @agnessanga9228 4 місяці тому

    Ahsante sana,Mungu akubariki sana

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 5 місяців тому

    Vifungo vyote vya Siri ndani yangu yapigwe na radi 🔥⚡ na moto wa Mungu🙏🙏🙏

  • @QueenShamy-s9o
    @QueenShamy-s9o 10 днів тому

    AMEEN PASTOR 🙏

  • @isayamumbere
    @isayamumbere 2 дні тому

    mungu afunguwe muyomba yangu arudishe ufahamu ndani yake tumechokeya kwa hospital,ninauhakika na iyi sala kasereka kavula ata okolewa kwa vifungo vya muovu

  • @agnessanga9228
    @agnessanga9228 3 місяці тому

    Amina,naamini Mungu ameshanifungua

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 2 місяці тому

    Mungu nitendee muujiza

  • @MelaniaChristianMtei
    @MelaniaChristianMtei 5 місяців тому

    Mtumishi Sina. Hara lakusema. Ni mungu akutie nguuvu mengi. Nayaona. Wakati. Unaomba mungu Akulinde

  • @MussaTembe-yh3ij
    @MussaTembe-yh3ij 2 місяці тому

    Mungu nifungue vifungo vyotee

  • @LucyMinja-j2h
    @LucyMinja-j2h Місяць тому

    Ameen naamini nimefunguliwa

  • @ReginaAsha
    @ReginaAsha 5 місяців тому +1

    Ameeeen 🙏 🙏

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 3 місяці тому

    Ee Mungu nafumua viungo vyote vya uchumi wangu

  • @LinetClementinaMajanja
    @LinetClementinaMajanja 5 місяців тому

    Nifunguwe mungu wangu 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @jenesiaishengoma8864
    @jenesiaishengoma8864 4 місяці тому

    Ee Bwana vifungue vifungue vilivyo fungwa na kukazwa Mimi na mtoto wangu kwenye miili yetu na familia yetu

  • @minzaharuni2820
    @minzaharuni2820 4 місяці тому

    Mungu fungua hatima ya wstoto wangu