Ahsante mungu kwa baraka na neema ya pekee ya kusikiliza neno hili...napokea baraka kubwa na neema ya kuwa nitajifungua mtoto wangu wa kiume salama na sote hatutokuwa shida yoyote....Amenn
Amin Amin napokea Mungu wangu barakaza zangu leo napokea miujiza yangu leo najua uko nami toka mwazo handi sasa hujawai niache niayibike 😭 Mungu wangu kwenye uyu mtoto 3 basi ukanifanya wepesi kama ulivyo fanya kwa mtoto wa1 na 2 nasasa Nina Imani naweye bwa Yesu wangu Amin
Ameen maombi yameniliza aya😭 Naomba mungu unifanyie wepesi nijifungue salama nipo week ya 36 sasa nahitaji nijifungue mapema mwanzoni mwa week ya 37. Salama mm na mwanangu 🙏
Napokea na ninakiri kumpokea mtoto wangu akiwa mzima na mkamilifu bila kasoro yoyote hataozaliwa na magonjwa yoyote kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth Amen
Napokeaaa maombiii haya ya imaniii ya kwamba mtoto niliyembeba tumboni kwangu atakuwa na Atatimia viungo vyote na damu zinazotoka zimekoma na atazaliwaaa salama mwenye nguvu na Afya tele maana tayari ni mpaka mafuta wa Bwana …. Asante YESU wangu hakika mm ni mshindi 🙏
Napokea muujiza huu kwa Imani. Najua MUNGU atanivusha ktk kipindi hiki kigumu cha ujauzito wangu atakausha matone ya damu yanayonitoka na mimba yangu itakuwa salama kuanzia sasa napokea uponyaji kwa jina la YESU. Amen.
Napokeya Mungu wangu Maombi aya akanifanyiye miujiza Kama ulivyo nifanyia miujiza kwa mtoto wakwa1 nawa2 ata kwa wa3 sasa nina Imana nitajifuguwa salama kwa nguvu za Mungu Amin
Ahsante mungu kwa baraka na neema ya pekee ya kusikiliza neno hili...napokea baraka kubwa na neema ya kuwa nitajifungua mtoto wangu wa kiume salama na sote hatutokuwa shida yoyote....Amenn
Asante Yesu kwakua nitajifungua salama kwa jina la Yesu, mimi na mtoto tutakua salama na wa afya njema nitapojifungua Ameen
Amin Amin napokea Mungu wangu barakaza zangu leo napokea miujiza yangu leo najua uko nami toka mwazo handi sasa hujawai niache niayibike 😭 Mungu wangu kwenye uyu mtoto 3 basi ukanifanya wepesi kama ulivyo fanya kwa mtoto wa1 na 2 nasasa Nina Imani naweye bwa Yesu wangu Amin
Ameen maombi yameniliza aya😭 Naomba mungu unifanyie wepesi nijifungue salama nipo week ya 36 sasa nahitaji nijifungue mapema mwanzoni mwa week ya 37. Salama mm na mwanangu 🙏
Napokea na ninakiri kumpokea mtoto wangu akiwa mzima na mkamilifu bila kasoro yoyote hataozaliwa na magonjwa yoyote kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth Amen
Amen,napokea kwa jina la yesu,naninaamini nitajifungua salama na kupokea watoto mapacha kwa jina la yesu
Wifi yangu apokee muujiza huu kwa jina la YESU.
Amen, napokea kwa jina la Yesu. Naamini kabisa nitajifungua kwa njia rahisi mno mtoto mzuri wa kike
Amina mtumishi mungu azidi kukutunza tunashukuru kwa maombi haya naamini bwana anaenda kunifanyia jambo jipya ndani ya uzao wangu
Napokeaaa maombiii haya ya imaniii ya kwamba mtoto niliyembeba tumboni kwangu atakuwa na Atatimia viungo vyote na damu zinazotoka zimekoma na atazaliwaaa salama mwenye nguvu na Afya tele maana tayari ni mpaka mafuta wa Bwana …. Asante YESU wangu hakika mm ni mshindi 🙏
Napokea muujiza huu kwa Imani. Najua MUNGU atanivusha ktk kipindi hiki kigumu cha ujauzito wangu atakausha matone ya damu yanayonitoka na mimba yangu itakuwa salama kuanzia sasa napokea uponyaji kwa jina la YESU. Amen.
Ameni napokea muujiza huu katika Jina la YESU
Ombea Sharon jepchirchir akifungue salama katika jina la yesu Amen
Napokeya Mungu wangu Maombi aya akanifanyiye miujiza Kama ulivyo nifanyia miujiza kwa mtoto wakwa1 nawa2 ata kwa wa3 sasa nina Imana nitajifuguwa salama kwa nguvu za Mungu Amin
Amina,Najua nimebeba ushuhuda ndani yangu,Na ntajifungua Salama
Amen 'napokea maombi haya kwa jina la yesu
Napokea muujiza kwa imani naomba mungu unijalie nijifingue salama ,mimi na mwanangu tuwe salama
Asante yesu kwa kunipa nguvu mmpa na pokea kuanzia sasa
Ameen napokea kila kitu kizuri kujifungua salama kwa jina la yesu kristu
Shaloom nashukuru mungu sana nimesikiliza haya maombi yamenipa ujasiri na nguvu
Amen napokea muujiza huu kwa jina layesu
Amen sana mungu ata Fanya wepesi kwanzia sasita ya Leo naamini mungu nimwaminifu juu yangu natangaza uzima kwa mwanangu na Mimi.🙏
Amen, Mungu atanisaidia nitajifungua salama nikiwa mzima wa Afya! Amen
Ameen kupitia maombi haya Mimi na mwangu tukuwa salama kwa jina la yesu
Amina naenda kujifungua salama🙏🙏🙏
Amen napokea ulinzi mm pamoja na mtoto wangu
Napokea Mungu wng naomba umlinde mwanangu
Asante pastor na uzidi kutuombea katka safiri hii
nakopokea kwa jina la yesu mpk asubui niwe nimejifungua kwa damu na roho wa munguuu
ameen. napokea kwa jina la Yesu
Wifi yangu atajifungua salama katika Jina la YESU.
Amina najiungamanisha na maombi haya
Ameni napokea yte mema nikiamini kutoka salama Mimi pamoja na mwanangu
Amen..Napokea kwa jina la yesu nitajifungua salama na Mungu atanipa hitaji la Moyo wangu Najifunika kwa Damu ya yesu kila ninapopita na mimba yangu
Asante Yesu Nitajifungua salama kwa jina la yesu
Amina ushindi u jui yangu.
Ninapokea uzazi salama bila shida yoyote kwa jina la yesu kristo Alie hai
Amina naimani nitajifungua salama
I will have a smooth delivery in Jesus Name!!
Amen Napokea
Amen🙏🙌najua mungu ni mwaminifu nitajifungua salama bila vizuizi vyovyote na bila matatizo yeyote
Nimejifungua salama jina la YESU liinuliwe.niliomba na video hii.
Amen! ikawe na kwangu pia kwa jina la Yesu kristo
Amen ikawe na kwangu pia kwa jina la yesu pamoja na majaribu yote ila tutashindatena zaidi ya kushinda
Amen ikawe na kwangu pia nijifungue salama mtoto wangu
Ameeni ntajifungua salama kama wanawake wa ebrania
Asante Yesu kwa aajili ya Mtumishi wako Mocky!! Naamin naenda kupokea muujiza wa mtoto wangu
Tutakuwa wazima Mimi na mwanangu
Napokea kwajina la yesu
God my trust in you...
Nakili kupokea kwa jina la yesu
Wifi yangu atajifungua salama kwaDAMU YA YESU.
Amen ❤ I believe nitajifukuwa Salama and my baby will be healthy in Jesus name🙏🏾
AMEN napokea kwa jina la yesu kristo 🙏
Amina Mungu wangu napokea maombi aya kwa neema za ikatende sawasaw na upendavyo
Amina ubarikiwe san Napokea kwajina la yesu🙏
I believe ntajifungua salama na me na mtt wangu tutakuwa salama Ameen🙏
Ameen nitajifua salama kwa jina la yesu kristu
Ameeeen Mungu naomba nivushe salama🙏
Barkiwa mnoooo morcky.
Napokea muujiza was kujifungua salama kwa jina la Yesu
Nimebarikiwa na hili ombi napokeaaaa
Maombi Haya yamenigusa Sana mm na mimba ya miezi 9 Sasa hila uchungu unakuja na kupotea
Amen...napokea katik jina la yesu
Ameen napokea kwa imani
Nimebarikiwa na maombi naamin ntajifungua salama kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai
Amen.....napokea kwa jina la YESU
Amin Amin 🙏
Aminaaaaaa
🙏🏻🙏🏻
Amen napokea
Amen napokea kwa jina la yesu
Amen nmepokea kwa Jina la Yesu
Naamini nitapokea mtoto kwa jina la yesuu
Ameeen 🙌
Am blessed.
Ameeeen👏👏👏
Amen 🙏🏻
Nilizaa mwaka 2020
Amen in jesus name
Amen Amen
Amina
Toka nijue haya maombi..kiwango cha imani kimeongezeka sana...naamin in Jesus name nitajifungua salama na nitanyonyesha mtoto wangu this year,Ameen
Amina
Ameen
Ameen 🙏🏻
Ameen🙏
Tusaidieni
Amen
Ameeen
Amina napokea
Ameni
Niombee mtoto amepotea tumbon
WIFI YANGU ATAJIFUNGUA SALAMA KATIKA JINA LAYESU.
Amen 'napokea kwa jina la yesu
Amen napokea
Amen 🙏🙏🙏
Ameni 🙏🙏
AMEN🙏
Amina
Amen
Ameen
Amen 🙏
AMEN 🙏🙏
Ameni
Ameeni 🙏
Amina
AMEN🙏
Ameeen
Ameen