RICH MAVOKO: DIAMOND / NI NYOKA KWENYE SHIMO / TISHIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • EXCLUSIVE INTERVIEW YA RICH MAVOKO, KUHUSU KUTOKA WCB, na SAFARI YAKE MPYA.
    Fatilia mahojiano ya moto na mastaa unaowakubali kujua kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yao, #LilOmmy #THEMVP #KingOfInterviews anakukutanisha nao hapa hapa kwenye #LilOmmyTV
    Let's Connect
    / lilommy
    / lilommy
    / lilommyfanpage
    lilommy.com/
    Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter..... enjoy!

КОМЕНТАРІ • 469

  • @ajheemclassicaltv7608
    @ajheemclassicaltv7608 5 років тому +1

    Katika maishaa. Kuna vitu vitatu muhimu udhubutu, akili, kujiamini so big up @Rich mavoko so hapo ndo utasikiaa mzungu akisema try and fail but never fail to try .... Jaribu lakini imeshindikana ilaa usiogope kujaribu.,. Like hapa Kama wewe una accept

  • @amanzingena5388
    @amanzingena5388 5 років тому +6

    Very respect Rich mavoko unajua xn kucheza na maswali ya Omary tambwe, Wamejitaid xn kukutega ili ujichanganye ktk kujibu lkn jamaa upo vzuri xn.

  • @lennardmallya8280
    @lennardmallya8280 5 років тому +305

    Wa pili kuview nataka like zangu na Mimi Leo jamani khaaa

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 5 років тому +1

    B gap xana mavoko kwa kazi zako unazo zifanya jamii ina kuelewa kinoma noma respect xana 👊👊👊👊👊👊👊👊👊

  • @djyun8109
    @djyun8109 5 років тому +4

    MVP mavoko anajua sana akazee tuuuu anaweza sana

  • @mercychebet3502
    @mercychebet3502 3 роки тому +1

    We love you Kenya tunakupenda na tunakutambua rudi kwenye mziki dear we miss your voice

  • @blackboy896
    @blackboy896 5 років тому +5

    Maamuzi ya kiume sana Mavoko

  • @Emmy22655
    @Emmy22655 4 роки тому +1

    Unaniwka imani sn 😥 Mavoko Mungu yuko na ww utasimama tena .tumkumiss sauza africa😘😘😘😘

  • @chenjeucomedy31
    @chenjeucomedy31 5 років тому +46

    Najua mavoko ni msanii bora, kama wewe unamkubari mavoko like na ku comment ili twende sawa

    • @logathngalola884
      @logathngalola884 5 років тому

      tatizo lp wapi wewe lichi mbona unajuwa sana au ndo bahati auna#yani wewe na Baraka ata sielewi kuna nini Au muna mikosi ?

    • @aliimwachiti102
      @aliimwachiti102 5 років тому

      Richi yuko juu

    • @givenmwikanu5527
      @givenmwikanu5527 5 років тому

      Naunga mkono hoja..

  • @joedimnazi1473
    @joedimnazi1473 5 років тому +150

    Kama unakubal hik kipaji gonga like twende sawa

  • @saidikambimbaya6739
    @saidikambimbaya6739 5 років тому +1

    yess

  • @jayrosjjr4926
    @jayrosjjr4926 5 років тому +79

    Kwa mm binafusi nakukubali sana hata kipindi unaingia wsb tuliona umebugi sana ingawa ww ulidai uliangalia biashala lakini kiukweli ulijishua thamani yako lakini kwakua ushajua na umeamua kumuvu piga kazi Mzee babu tunapenda mziki wako birionea mbona kama wap tuu gonga like kama unamkubali mavoko.

    • @shabaankassimomarysarehe4786
      @shabaankassimomarysarehe4786 5 років тому

      Kabisa

    • @filbertrichard6979
      @filbertrichard6979 5 років тому +1

      Ukiwa naloho yazalau kama yakiba kiukweli unakuwa kikwetu sisi tunasem huyu mtu anaiva kitondwe ikiwa namana kwamba! huyu mutu anaumia ndani kwandani hiyo nihatali sana kwanza unakuwa nachuki sana pole najua hata wewe kwakuwa unaiva kitodwe pole sana simamia ukweli nani yupo juu

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 років тому +22

    Interview ya kizazi sana twende sawa #mavoko kenya twakupenda sana

    • @ashaherzog4488
      @ashaherzog4488 5 років тому

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪 For Mavoko 💥💥💥🚀

  • @sooitslilerick7931
    @sooitslilerick7931 5 років тому +10

    noma sana...Kenya tunamtambua Rich kwa sana...Lil ommy dope interview

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es 5 років тому +12

    ni kweli tumekuelewa mavoko lkn kutka wcb mmmmh kwako ni mtihani sana

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 5 років тому +3

    Mavoko salute Sana komaa wewe ni tishio Ngoma zako hata domo unakubaki

  • @SolobizzTV
    @SolobizzTV 5 років тому +5

    Mavoko..nakuaminia sana
    Kizazi sana

  • @ahmedymahamudu8905
    @ahmedymahamudu8905 5 років тому +72

    nimechunguza neno #biashara limetumika sanaaa na #richmavoko
    wasoma comments udugu udumuu kama unakubali team wasoma comments gonga like twenede sawa

  • @haibahassan1244
    @haibahassan1244 5 років тому +4

    😍😍tunakupenda @richmavoko🙌🙌🙌

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 5 років тому +3

    Lilommy we love u show za kibabe sana mzazi 😉😉

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 5 років тому +1

    - mungu akusimamiye Mtihani ni vitu vya kawaida kwa mwanadamu kwa mwanadamu
    Rch upo vzr komaa

  • @rajabupangala951
    @rajabupangala951 5 років тому +20

    Kwa kifupi umepanik braza' ulitakiwa kutulia then uachie ngoma zile za mavoko anaejulikana sio mavoko anae anza upya kwa hz ngoma ulizoziachia hapa kati zimekurudisha kama under ground

  • @dsway607
    @dsway607 5 років тому +21

    nakukubali brother 👊 🎵

  • @norahmangah5364
    @norahmangah5364 5 років тому +7

    Anajikuna balaa umepatwa na nn mavoko😥😥

  • @optatustengeneza9847
    @optatustengeneza9847 5 років тому +9

    Wish all the best brother mavoko

  • @agu7tv286
    @agu7tv286 5 років тому +2

    nakubali sanaaaaa 💪💪💪

  • @phil_kioko_
    @phil_kioko_ 5 років тому +21

    Wasafi walitekeleza nia ya kukumaliza and they achieved. Sasa angalia ulishuka kimziki. But God will guide you bro.

  • @annaupendo4768
    @annaupendo4768 5 років тому +46

    Siku ya kwanza niriposikia Mavoko kajiunga na Wcb ndoo nikajiuriza anatafuta nini mbona kama mziki anaweza kujurikana kashajurikana nirimdharau sana katuonyesha kama hajiamini vile 😏😏

  • @marywairimu2386
    @marywairimu2386 5 років тому +9

    All the best @rich mavoko

  • @abuuharuna4278
    @abuuharuna4278 5 років тому +4

    nakupa mwaka wew umejichanganya

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 5 років тому +1

    Uko sahihi sana mzazi changamoto sio tu sehemu ya maisha yetu ila changamoto ndo maisha yenyewe

  • @saidselemani2732
    @saidselemani2732 5 років тому +5

    Mavoko we mwanangu ila japokuwa cjaijua sabbu ni nini ila sio siri umezngua kutoka wcb lakini safi tu still bado nakufatilia blood keep it up

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 5 років тому +1

    Saafi Bro Rich, tunawachafuwa

  • @mwinyimkuumwimbe8235
    @mwinyimkuumwimbe8235 5 років тому +20

    Bro nakukubal sn hunaga maneno mengi big up

    • @saidkulwa1251
      @saidkulwa1251 5 років тому

      Mwinyimkuu Mwimbe huoni kama kapotea kiasi flani huyu

  • @athumanirey2342
    @athumanirey2342 5 років тому +1

    noma sana mavoko

  • @suleimanrahil4601
    @suleimanrahil4601 5 років тому

    Mavoko ww ni fundi tangia haupo WCB nakukubali ile noma yani bige up kaka mavoko

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 4 роки тому +2

    Niceee interview

  • @pauljohn1450
    @pauljohn1450 5 років тому +1

    so amazing !!!

  • @helenamsula9162
    @helenamsula9162 4 роки тому

    Hongera sana , binafsi nimefurahi kurud kwako

  • @keithochieng8805
    @keithochieng8805 5 років тому +3

    Kumbe wewe ndo mavoko hhhum! Mtoto wangu amechange jina shule, mtaani anaitwa Mavoko jina kamili ilibakia sisi kama familia.

  • @nsolachalo
    @nsolachalo 5 років тому +28

    tuliza akili ondoa stress,rudisha imani na ujiamini unaweza,pia jifunze kusamehe na kusahau yaliyopita uishi kwa nyakati ili upige hatua

  • @erasmusnzibonela5151
    @erasmusnzibonela5151 5 років тому +14

    Uliomba mwenyewe kuingiaWCB leo unasema Daimond ni nyoka sijajua tatizo nini make ngoma3 ulizo toa azina viwango kama ulizotoa ukiwa WCB

    • @rodgerzdangote8629
      @rodgerzdangote8629 5 років тому

      Nakubali

    • @majaaliwasalum9462
      @majaaliwasalum9462 5 років тому

      Mjinga sana huyu saizi ndoo atoki tena

    • @destojpizoh3132
      @destojpizoh3132 5 років тому

      Wewe potelea mbali... Huna la kusema... Za kwako zi wapi???

    • @eddydben
      @eddydben 4 роки тому

      Sio mbaya si alikua hawajui alikosea..mbona kawaida sana mtu kukosea kufanya uchaguzi. Watu mpaka uishi nao ndio utawajua

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 4 роки тому

      @@eddydben da nimekukubali san una mawaz ya mbali san mtu uwez kumjua mpka uish nay ujue domo anaonekan ana mambo ya kipuuz san a 💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @majimoto75
    @majimoto75 5 років тому +1

    Rich you have lost lots of weight , what's up. Believe and love yourself. I Love your music

  • @amoskatura9439
    @amoskatura9439 5 років тому +2

    Umesha potea bro

  • @martinrahj8526
    @martinrahj8526 5 років тому +2

    Mavoko you are a great musician..yees lakini ata kama una uwezo najua Simba ni mdogo wake lakini ana ujuzi tazama vile amemlea harmonize ..mavoko angevumilia WCB ndio talanta unayo lakini saa zingine unaitaji support look at them ata kama mnasema ni wabaya simba ana subscribers wengi na mwenyewe anakuuza within a short period ngoma yako ishafikia million moja..kama unapata promotion kama hii mboba uondoke sasa ..kila record label haikosi challenges zake..

    • @jovinamrosso6978
      @jovinamrosso6978 5 років тому +1

      Thats True wcb inapromotion Kubwa xna.

    • @martinrahj8526
      @martinrahj8526 5 років тому

      ..yes this our life needs you to be creative and cunning.ata ukiwa mahali unateseka na pesa zinaingia whats wrong with that..

    • @saidselemani2732
      @saidselemani2732 5 років тому +1

      Sure man

  • @rashidiismaili847
    @rashidiismaili847 5 років тому +2

    Umesomeka king kiba..mavoko frexh mavoko

  • @saidisaleh2131
    @saidisaleh2131 4 роки тому

    Djaribu kusame rich mavoko naweye mungu atakusame rudia washabiki wako

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 5 років тому +1

    Mavoko Kuwa Na uwezo wakuimba vizuri sio pekee inamtajirisha Mtu bila yakuwa Na management nzuri yakukung’arisha kama ulivo kuwa WCB.
    Pia kuwa Na confidence yakujibu masuala unayoulizwa bila kuonesha khofu! Mbona husemi chochote Na sauti yako haingurumi kwa furaha?
    Unapotaka kusimama lazima miguu iguse chini mwanangu! Sema usikilizane watu wakujue wewe nani

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 5 років тому +1

    Mavock upo sahihi sana kutoka WCb, hilo hata mimi lisha nikuta kwenye kazi yangu, Nilifanya kazi chini mtu, lkn nilipo achana nae kuanza kazi zangu mwenyewe niliona mafanikio makubwa sana. piga kazi mashabiki wako tupo tutakusapot

  • @feliciankazimoto8888
    @feliciankazimoto8888 5 років тому +4

    Mavoko vp Mbona umekonda xana??

  • @ilethwilliam6302
    @ilethwilliam6302 5 років тому

    Good

  • @danielyohane9441
    @danielyohane9441 5 років тому

    This man is gonna be another Alikiba ..mark my words wasoma comments

  • @funsimple_ke3034
    @funsimple_ke3034 5 років тому

    Mavoko zile swaga za kale rudiaaaa .vyenye wajuchaaa vocalsss zako

  • @The_blackcastro
    @The_blackcastro 5 років тому +2

    This guy is good

  • @rogerslugose6352
    @rogerslugose6352 5 років тому +24

    Kenya tuko

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому +1

    Show yakizazi sana

  • @diamondplatnumz8462
    @diamondplatnumz8462 5 років тому +2

    All the best friends

  • @antonyagustiny7471
    @antonyagustiny7471 5 років тому

    sana mavoko nakuelewa sana nyimbo zako

  • @gloria6401
    @gloria6401 5 років тому +2

    mavoko napenda sauti yako ukiimba lakini Leo mbona mikono ndani ya Mifuko ungali umekaa swag gani hiyo sasa

  • @antonyagustiny7471
    @antonyagustiny7471 5 років тому +1

    sana mavoko nakuelewa sana nyimbo zak

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 5 років тому

    Lilommy mm na mwelewa sana huyo mtoto voice mm hoi

  • @sefagomez6883
    @sefagomez6883 5 років тому +1

    Mavoko unajua Sema kaza bro
    Weka Na kamba

  • @lixelrols
    @lixelrols 5 років тому +3

    Big up bro... Fight for what is right even when they say its not.

  • @yohanakadere9156
    @yohanakadere9156 5 років тому

    Mavoko ni kichwa cha kazi huwa namuelewa sana

  • @jabirawadh9800
    @jabirawadh9800 5 років тому +3

    Umekosea sana kutoka kule wezio tunalilia

  • @winnieesther1423
    @winnieesther1423 5 років тому

    Nampenda sana richi anajiamani

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 5 років тому +5

    Huyu alitegemea kwenda wasafi akashikwe mkono ndo maana anasema diamond akikutana naye anaongelea kazi tu kazi tu,alitaka waongelee nini?

    • @saidkulwa1251
      @saidkulwa1251 5 років тому

      JACOB MWALITUKE sindo hapo akumbuke hata hapo alipo ni kwaajili y kaz zake pia

  • @godifalsafa6956
    @godifalsafa6956 4 роки тому

    Baba ommy unavyoyapanga hayo maneno dah 🔥🔥🔥🔥

  • @wambatv2344
    @wambatv2344 5 років тому +1

    mavoko kutoka wcb umejichanganya bongo hakuna asiye kufaam ila kufika nje ni kolabo na ulishaanza kufika kdogokdog lakin sasa ni kama umejiludisha nyuma mwenyew

  • @emmanuelkivenule875
    @emmanuelkivenule875 5 років тому +4

    What i understand from Rich Mavoko kwanza amejua thamani yake pili ametamani mafanikio ya mshikaji tatu anafanyia Kazi ushauri wa mshikaji and you will see him in wasafi festival #WCB4LIFE

  • @frankmfikwa1942
    @frankmfikwa1942 3 роки тому

    Naomba uje king plz mavoko

  • @pasuabrand
    @pasuabrand 5 років тому +1

    Bad Man Rich mavokooooo

  • @solanuskomba82
    @solanuskomba82 5 років тому

    saaana sana mwamba rich mavoko

  • @the_real_guccigirltv4987
    @the_real_guccigirltv4987 5 років тому

    Jamani wa kina dada au mama kwa wanao taka kukata tumbo na matako kuongezeka ondoa stress kwa mda mfupi ntatuma mafanikio na hata before and after na ata nilivopitia vyote kwa kupunguzs miili susbcribe plsss na open notification...

  • @vinnymally2453
    @vinnymally2453 Рік тому

    Noma

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 років тому

    rich mavoko..alikua mkubwa sana zamani

  • @wakalitanzaniawtzsivamusic6738
    @wakalitanzaniawtzsivamusic6738 5 років тому

    Mungu akutie neema ila chunga izo luka luka zako. Maana utuliiiiiiiii by Siva music

  • @akyootv3898
    @akyootv3898 5 років тому

    Nomaa

  • @mpthemirrormedia9417
    @mpthemirrormedia9417 5 років тому +9

    Makini sana kwenye interview na usije ukarogwa ukakosea ndugu yangu, you will loose alot

  • @maulidmango1087
    @maulidmango1087 5 років тому

    Napenda mziki mzuri,sinaga timu kwenye mziki,
    Lakini naamini umekosea kujiondoa wcb,ukweli wasanii ni wengi,lakini wanakosa uongozi mzuri wa kusimamia kazi zao.kwa Tanzania ya leo lebo ya wbc ina uongozi bora kuliko lebo yoyote tanzania.
    Note my words,after one year,you will understand what i mean.

  • @jaykaris
    @jaykaris 5 років тому +1

    Mavoko mafans wako ndo ngao yako jikaze tupe vitu poa mengine mwqchie Mungu.

  • @druumarley2159
    @druumarley2159 5 років тому

    Mwana umekonda sanaaa... Ila nakukubali mbayaaa

    • @Monnie_Noniot
      @Monnie_Noniot 5 років тому

      mamy Ismail by the way... what could be the problem

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 5 років тому

    Rich big up sana kama umepona na umerudi ktk game

  • @jacksonmsafiri8701
    @jacksonmsafiri8701 5 років тому

    brother rich uko powa sana

  • @khadijamusaabdulrahman2069
    @khadijamusaabdulrahman2069 5 років тому

    Uko sawa kaka

  • @lenjeevara3407
    @lenjeevara3407 5 років тому +13

    although I don't know Swahili but this guy amepuyanga kuchimba usafini

  • @emaydickson4239
    @emaydickson4239 5 років тому

    uko sawa mavoko

  • @nickolassbaltazar5006
    @nickolassbaltazar5006 5 років тому

    Rich noma sanaaaa

  • @chenjeucomedy31
    @chenjeucomedy31 5 років тому

    Msanii namba mojaa tz, upende usipende yeye ni uniq artist

  • @goldmaster6639
    @goldmaster6639 5 років тому +23

    Haaa bilionea kid ni shidah mzee

  • @safariadrien8544
    @safariadrien8544 5 років тому

    fanya maisha yako bro

  • @mwanaidimajidkwakweliumeko6481
    @mwanaidimajidkwakweliumeko6481 5 років тому +5

    Kwakweli mavoko umekonda saan chezea kutoka wasafi

    • @saidkulwa1251
      @saidkulwa1251 5 років тому

      Mwanaidi Majid kwakweli umekonda saan hhhhhhhh

    • @saidkulwa1251
      @saidkulwa1251 5 років тому

      Mwanaidi Majid kwakweli umekonda saan shida ni nini lakini mbona kawa hivyo

  • @yekoniamolel6230
    @yekoniamolel6230 5 років тому

    Pambana brother coz maisha inakuaga changa moto

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 5 років тому +28

    mziki mzuri siyo kuimba tu,Kuna promotion, connection,na pesa pia za kufanyia video nzuri na collabo kubwa sasa Kama siyo kujiroga ni kweri Mavoko utakuwa na uwezo huo,,ahh utajiroga mwenyewe kwanza hata hizo nyimbo 3 ulizo toa hakuna tishio bora uombe msamaha urudi usafini.

  • @youngboy7818
    @youngboy7818 3 роки тому

    Sana kaka nakubal kinoma

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 років тому

    Huwa naamini kujitegemea hususani pale napoona ninanyonywa ,unaezapata jina lkn usipate pesa ,appreciating u guy,
    Ndegere na Naogopa nimezielewa

  • @deogratiusgibson853
    @deogratiusgibson853 5 років тому +3

    haha, eti hauta tena kaakimya ha ha ha ha kiswahili kigumu jamani

  • @dicksonmpuli6326
    @dicksonmpuli6326 5 років тому +27

    Mavoko unajua lakini siyo kiivo unavo jichukulia na watu wanao kujaza upepo kiukweli mziki wako siyo wa kiwango icho unacho taka kujiweka alafu jifunze kujibu maswali siyo kujikuna kuna tu

  • @pascalyoung6667
    @pascalyoung6667 5 років тому

    Daaaah live kaka unawez

  • @ImanKibona-jx9fr
    @ImanKibona-jx9fr 6 місяців тому

    Kunyama sanaaa