Salama Na MAVOKO EP 49 | WINGMAN PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
    Kwa muda mrefu nimekua nikitaka kuongea na Mavoko ila ratiba zetu zilikua hazijawahi kuwa sawa na hivyo tukawa tunapishana tu. Kama mimi sina program naye basi yeye atakua free, na mimi nikiwa free basi yeye atakua na mipango ya kutoa kazi mpya ambayo itanifanya ningoje ili viende pamoja, au atakua kasafiri, au mimi nitakua nishaset watu wengine, ilikua kama tunacheza kidali po ila katikati ya mwezi wa kumi na mbili hatimaye yakatimia.
    Hakuna doubt juu ya uwezo wake popote pale utakapoenda ingawa baada ya yeye kuamua kuondoka kwenye label ya WCB kulikua na mengi yalosemwa na kutendwa na baadhi ya mashabiki yalikua yanaweza kukuaminisha jambo na mpaka kufikia pengine ku doubt huo uwezo wake. Mambo mengi yalisemwa, ya kusikitisha, ndoa haikuvunjika vizuri ila ambacho nilikiona kwake ni ustaarabu wa hali ya juu, wa kuwaacha walimwengu waseme na kufanya watakayo huku yeye akiwa ame focus kwenye kipaji chake na kujipanga upya.
    Moto wa Mama Richard anaujua mziki mwingi, ana uwezo mkubwa wa kuimba na kuandika na kucheza pia, ila kabla hajaingia kwenye label alikua anajulikana tu, ila kumfahamu vizuri na kuthamini kipaji chake kulikuja baada ya yeye kushirikiana na mmoja kama si msanii bora zaidi kuwahi kutokea na kuipeperusha zaidi bendera ya Tanzania ndani ya Diamond Platnumz. Ushirikiano wao ulitupa ‘anthem’ kadhaa ambazo mpaka leo ukiziskiliza hazichuji. Ilikua kama team ya wenye vipaji pekee, kama ni mfuatiliaji wa mpira wa kikapu hii tunaweza kuifananisha na ile zile team mbili za Mashariki na Magharibi ambazo zinakusanya wachezaji wenye uwezo wahali ya juu.
    Saasa, ikawaje hasa mpaka akaona aachane na all star hiyo na kupeleka team yake uwanjani akiwa solo? Nini hasa kilifanya mpaka afikie maamuzi hayo? Kuna mtu au kitu kilimshinikiza? Je yalikua maamuzi sahihi? Pia kuna masuala binafsi ya kifamilia na suala la yeye kutomfahamu Baba yake takati anakua, elimu yeke, ndugu zake, Mama yake na muziki ulichomfanyia katika maisha yake.
    Mavoko huyu ambaye mimi namfahamu nilikutana naye Kampala, Uganda kama maka saba iliyopita na mazungumzo yetu yalikua yanahusu kipaji chake na jinsi ambavyo nilikua naona ‘hapewi’ nafasi maana kama ngoma zake zilikua nzuri tu, video ndo usiseme ila hakuna na spotlight aliyokua anastahili, peleka mbele miaka mpaka 2021 ambapo alipata nafasi kwa miaka takriban miwili na nusu kufanya kazi na lebo bora zaidi ila baada ya muda akaamua kubwaga? Kwanini hasa? Sote tunajua kama nyasi za jirani huonekana zimestawi kweli kweli ila ukifika na kuziona kwa ukaribu utaelewa kwamba si kila kitu kina fanana na kionekanavyo. Ila mpaka kuamua kukusanya na mabegi na kuondoka kwenye ‘jumba kali’?
    Majubu yake yalikua ya moja kwa moja tu na nafsi yake ilikua tayari kuhamia nyumba nyengine mwenzangu. Natumai kwa kiasi flani utasoma jambo, ingawa kwangu mimi natamani ningepata zaidi na zaidi ila inaonekana bado hakua tayari kutufungukia mazima. Binafsi namshkuru kwa kuja mezani kwetu na pengine tutaweza kukutana tena mbeleni In Shaa Allah. Yangu matumaini bado utaokota mawili matatu.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 235

  • @yohanakangaro5724
    @yohanakangaro5724 3 роки тому +17

    Rich mavoco wewe ni mtu na nusu, mm ni miongon mws watu wanakukubari kinoma noma. Nimependa sana msimamo wako.

  • @africatreandmusic2437
    @africatreandmusic2437 3 роки тому +3

    Umenifunza mengi mavoko nakukubali Sana Kaka pambania talent yako iko sawa.ni masai mmoja kutoka +254 kajiado massive

  • @glorianikiza6033
    @glorianikiza6033 3 роки тому +11

    Uko vizuri rich utafika mbali uko muimbaji mzuri saana Never give up

  • @christinembeye5489
    @christinembeye5489 3 роки тому +10

    Richard your so Humble. Endelea Kumtumainia Mungu hatakuacha🙏

  • @princeommy5793
    @princeommy5793 3 роки тому +13

    Watangazaj chipukizi wanafaa kulearn somthng from ecee... Maswal yenye ufasaha.. Sio maswal ya kipumba tu... Salama upo vzr dada mkubwa, big up!!

    • @nurukhalifa9413
      @nurukhalifa9413 3 роки тому +2

      Chipukiz wanauliza maswali bila kujipanga salama na zamaradi mketema huwa wana maswali kwenye notebook hawatoi kichwan ka machizi. Wale kinachokuja ndo wanauliza

    • @marthamshana6942
      @marthamshana6942 3 роки тому

      @@nurukhalifa9413 eti machizi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yani machizi kweli

  • @sarahkitindi3420
    @sarahkitindi3420 3 роки тому +11

    Yani nimegundua mavoko ni mtu mwenye hekima zake God bless you brow

  • @saidbaro6062
    @saidbaro6062 3 роки тому +18

    Thank you salama me ni miongoni mwa waliotaka kujua what exactly happened at WCB...

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 3 роки тому +17

    kwa mbali MAVOKO utasema MKALI WENU!!!

  • @abubakarismail2812
    @abubakarismail2812 3 роки тому +7

    Salama kwenye kutengeneza question ni nyoko....! Mavoko afunguke tu.
    Big up samala; level za kina zuhura yunus kabisa.

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 роки тому +6

    Salama we dada mkubwa uko poa sana love from stone town michenzani apa brookline.

  • @strong8534
    @strong8534 3 роки тому +41

    Nimekuja hapa baada ya kumsikia Middle Simba. Kama wewe ni kama mimi, gonga like!!

  • @thierynduwimana8871
    @thierynduwimana8871 2 роки тому +1

    Salama wew namba1 kwa kazihioo yani upetuliya zaidi kwa kuuliza swalli unatukubalisha Sista ✌️

  • @alikibwana9417
    @alikibwana9417 3 роки тому +9

    I really love this guy Soo much wallah....much love from Nairobi Kenya

  • @newscuttv4422
    @newscuttv4422 3 роки тому +7

    BADO MIMI NASUBIRIA SALAMA NA ISHA MASHAUZI INSHAALLAH
    . ITAPENDEZA ZAIDI

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому +5

    We ❤ you kwaajili ya Allah tumefurahi kukuona dont give up unaweza Richie inshallah utanyanyuka na utawapita 🤲🙏,asante Salama kwa interview hii 👌🏿❤🇹🇿🇨🇭

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 3 роки тому

      Kuwapita NO! ajipite kwanza mavoko wa 2016-17

  • @benjaminsemwenda3152
    @benjaminsemwenda3152 3 роки тому +6

    Sijui Unanielewa 😂😂😂

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 3 роки тому +9

    Baada ya Omary Nyembo Ommy Dimpozi na Marioo Huyu ndiyo baba yao sasa anaweza kuongea Sana na uwezo wa kujielezea which is good

  • @abdallahomari9860
    @abdallahomari9860 3 роки тому +8

    Salama Zalhata Jabeer Tunamtaka Young Killer Next Epsodee

  • @killarmancity7599
    @killarmancity7599 3 роки тому +5

    Kuna kitu nimeki #note yaani wazazi weengi wa kiume kuanzia miaka ya 95 kurudi nyuma walikuwa na ulimbukeni flani hivi wa maisha maana walipenda kuishi maisha ya usela kuliko kuangalia family zao na hii imechangi wazazi wengi wa #Kike wamelea watoto wao kwenye mazingira magumu huku wao wakiendekeza nyumba ndogo kuliko family zao. Ukiwatafuta vijana wengi waliozaliwa 95 kurudi nyuma wanastory za maisha yanayofanana kuhusu msoto wa kimaisha. Ila wakiwa na umaarufu wazazi wa kiume wanajitokeza na kujifanya wao ni ma Baba mzazi halisi wa huyo mtu,maarufu ila chanzo ni ukwepaji wa majukumu tu. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 #Pongezi nyiiingi sana kwa #WanawakeJasiri waliovumilia shida zote na kupambana na family zao bila msaada kutoka kwa #MABABA wakwepa majukumu.

    • @luciuskomba8824
      @luciuskomba8824 3 роки тому

      Nakubaliana na wewe 100% wahanga tupo wengi ya hawa wazee waliokuwa wanaendekeza USELA, So Sad but MUNGU atabaki kuwa MUNGU

  • @arkadiesgroup6083
    @arkadiesgroup6083 3 роки тому +1

    Salama kweli kabisa unalosema
    Wanawake hupenda kuwficha watoto kuwakomoa wenzi wao na kuwadanganya hata watoto wenyewe

  • @festokimario4064
    @festokimario4064 3 роки тому +2

    Salama swali zuri Sana Hilo awe ametoa kwa funzo kwa wengine

  • @kachalemielias3683
    @kachalemielias3683 3 роки тому +1

    Pacha wangu ndio wimbo bora kwangu kutoka kwa mavoko

  • @johnmduda7841
    @johnmduda7841 3 роки тому +1

    Daaahh mavoko mkwel Sana

  • @thierynduwimana8871
    @thierynduwimana8871 2 роки тому +1

    Rich tumekumiss rasta utakwenda mbelle zaidi njia Yako njema rich✌️

  • @sadikiissa4910
    @sadikiissa4910 3 роки тому +6

    J'aime beaucoup cette émission je suis en RDC 🇨🇩

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 3 роки тому +5

    Hilo jina la kinywaji 😂😂🤣🤣🤣

  • @khalidsalum1740
    @khalidsalum1740 3 роки тому +4

    Mambo yalivyo kwa sisi waafrika wengii tunashindwa kutofautisha tofauti zetu na matunda yetu"mfn.mume na mke hawasiti kukosana mbele ya watoto zao kitu ambacho ni tofauti na wenzetu wanzungu moja mbili wenzetu hawanaga vitabia vya kufekii vituu wao huishi kiukwelii zaidiiiii

  • @milkalexalex3531
    @milkalexalex3531 3 роки тому +3

    Tunamtaka kwahamu sana mama dangote

  • @lilsavagex4883
    @lilsavagex4883 3 роки тому +1

    Daaa rich mavoko ludiii mwananguuu

  • @jonathanicrisatijonathanic6708
    @jonathanicrisatijonathanic6708 3 роки тому +2

    Jamani naombeni like zenu

  • @mariamkaaya939
    @mariamkaaya939 3 роки тому +3

    Iviee salama majina ya vinywaji. Unayotowaga wp jmn😂😂😂

    • @safiaimran7339
      @safiaimran7339 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 3 роки тому +3

    Salama you know wha?? U re incredible genius## appreciate that

  • @kisimbopenina3963
    @kisimbopenina3963 3 роки тому +7

    Waooooo, Safi sn Salama kwa kutuletea my Classmate!

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 3 роки тому +11

    mtuletee mama dangote to clear the air 😉

  • @albertmujuni2042
    @albertmujuni2042 3 роки тому +15

    Mother ake Rich amenifundisha primary school "Mwl. Martin" - Ilala-Kasulu Primary School"

  • @allyamiry1421
    @allyamiry1421 3 роки тому +4

    Unaweza Sana rich mungu awe nawe

  • @steveneryoba1234
    @steveneryoba1234 3 роки тому +5

    Muite na nikki mbishi basi sister au bado umemkumjia jamaa anajua sana fanya kumuita

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 роки тому +13

    Richie is such a gentleman, humble guy

  • @zildatwahid6526
    @zildatwahid6526 3 роки тому +3

    My love for salama jaber ♥️♥️♥️

  • @kimshadyg4563
    @kimshadyg4563 3 роки тому +4

    Kwahivyo Richie.. Hakutaka kucontroliwa..mzee lebo lazima upangiwe bro...Duniani nzima ni lazima hiyo

    • @omarseif3235
      @omarseif3235 3 роки тому

      Young money nan anatawala 😂😂

  • @ibrahimthabit2795
    @ibrahimthabit2795 3 роки тому +9

    Duh WCB.... Harmonize yaweza kuwa chanzo cha mavoko kutoka WCB

  • @gabrielomondi4630
    @gabrielomondi4630 3 роки тому +7

    MAVAKO HUYU KWELI...HEHEHEHE

  • @kottaflavour4908
    @kottaflavour4908 3 роки тому +2

    Pushoke na pr Jay 😂😂😂

  • @samuerypaulo5711
    @samuerypaulo5711 3 роки тому +2

    Salama na harmonize tunasubili kwa hamu😂🔥🔥

  • @kaulimbiu181
    @kaulimbiu181 3 роки тому +6

    MAVOKO wala sio MAVAKO mpenzi wangu Salama. Missed u so much, how's the going love? Hope you are keeping well ay'yuuuni. Love you darling 🥰💋🥰💋🥰💋

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Mavoko, wamekupoteza mackini.

  • @kingsteven7358
    @kingsteven7358 3 роки тому +1

    Oyooo kinywaji bikira😀😀kinapatikana wapi nimekitamani🤪

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +4

    Shikamoo. Salama'

  • @agnessherman2926
    @agnessherman2926 3 роки тому +2

    Nimependa style ya nywele ya salama

  • @aishajafa4139
    @aishajafa4139 3 роки тому +9

    salama tuletee sanura a.k.a Sandra. Mama dangote

  • @jokhaali9187
    @jokhaali9187 3 роки тому

    Richie ndio amenileta hapa na nafurahia interview jamaa Yuko vzr Sana mungu atakuinua kaka ufike pale unapopataka

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 3 роки тому +1

    Bonge la interview,heshima kwako

  • @kurwagama1845
    @kurwagama1845 2 роки тому

    Uko sawa madam

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 3 роки тому +3

    Next show diamond platnumz please . Love you lady salama kipindi chako ni salama maana najifunza mengi

  • @mohamedkachapa4433
    @mohamedkachapa4433 3 роки тому +4

    Salama kama hauna mume nataka nikuoe 🤓🤓

    • @ommyakili552
      @ommyakili552 3 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kamanda Salama atakulamba makofi

  • @zainaramadhan7769
    @zainaramadhan7769 3 роки тому

    Nakielewa sana hiki kipindi cha salama maswali yko yko sawa sawa

  • @salumjumah5648
    @salumjumah5648 3 роки тому +1

    Salama na billionea kid mavokooooo

  • @frankmtewele1054
    @frankmtewele1054 3 роки тому

    Daah fany hii k2 iendelee maana namufatiya sna fund wang mavoko

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 3 роки тому +4

    Leo Salama umechangamka Mashaa'Allah

  • @royrussel8722
    @royrussel8722 3 роки тому

    Uyu mdada anajua kweli

  • @minyarothomas8167
    @minyarothomas8167 3 роки тому +11

    Hygiene ya mavoko inatatanisha😂

    • @nubianempire3690
      @nubianempire3690 3 роки тому

      🤣🤣🤣he need to level up.

    • @sammyamnay3708
      @sammyamnay3708 3 роки тому

      Sio msafi kbs..!!! Angekua ata na kitambaa basii au awe anachukua tissue kijisafisha

  • @kulwakasike5093
    @kulwakasike5093 3 роки тому +7

    Salama tunamtaka harmony studio

  • @adidjaadidja2578
    @adidjaadidja2578 3 роки тому +3

    Wew nimwanaume

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 роки тому

    Nice sana

  • @atrapstv8660
    @atrapstv8660 3 роки тому +24

    Mambo ya wcb yanaanza dk ya 19

  • @stevesanke8767
    @stevesanke8767 3 роки тому +10

    Tunamtaka Jessica😂

    • @fulgence34
      @fulgence34 3 роки тому

      Jessica mashalaaaaahhhh

  • @ananiahaule2175
    @ananiahaule2175 3 роки тому +4

    kazi yako bora ni pacha wangu huwez kuimba nyimbo kama ile tena broo but still u,re the best arts

  • @omarsayid6059
    @omarsayid6059 3 роки тому +4

    Salamaa na Richie Richie

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 роки тому +1

    Nipo kusikiliza kwanza

  • @dayocha1855
    @dayocha1855 3 роки тому +1

    Dada salama tunamtaka Jessica wetu bhana

  • @mariomashaka9395
    @mariomashaka9395 3 роки тому

    Rich mavoko nakukubali

  • @allynjenje
    @allynjenje 3 роки тому +1

    Noma sanaaa

  • @estherjohn4375
    @estherjohn4375 3 роки тому

    Namkubali sana

  • @chiefmusic12
    @chiefmusic12 3 роки тому +5

    Big up Rich 🤑

  • @swaumunassor3379
    @swaumunassor3379 3 роки тому

    You duin great salama

  • @balegadaffi4472
    @balegadaffi4472 3 роки тому +2

    Appreciate bro

  • @lore4837
    @lore4837 3 роки тому +2

    Mkaribishe Zamaradi umhoji plz

  • @murumbitvnews2493
    @murumbitvnews2493 3 роки тому +3

    Lusinga ni jina ya ki Congo Kabila ya wa Tabwa, Taranaki Moba kandokando ya Ziwa la Tanganyika mpakani na Tanzania.

  • @Curioustraveller254
    @Curioustraveller254 3 місяці тому

    When is this podcast coming back😢

  • @jojojose2996
    @jojojose2996 3 роки тому +1

    Mbona kipindi hakiruki Tena ni miez sasa

  • @mbwanadavid4371
    @mbwanadavid4371 3 роки тому

    Salama Ali Choki anayo mengi ya kutueleza na kutufunza hasa kwa sisi vijana

  • @shebybruce4718
    @shebybruce4718 3 роки тому

    Ni moja ya show qalii kwangu mimi

  • @ajaxjunior4151
    @ajaxjunior4151 3 роки тому

    Eeeeeenhe hapo hapo Salama ninaomba au tunaomba sana umlete na Konde Boy

  • @mashuboi4217
    @mashuboi4217 3 роки тому +5

    Nimeclick kumuona huyo mavako 😂😂

  • @hassanhassan3021
    @hassanhassan3021 3 роки тому

    next time ni zamu yangu salama no matter what

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 роки тому +1

    Ulifanya vyema kuondoka mbongo akishaanza ahadi nyingi kwenye kazi ndio wanakumaliza kabisa, hutokaa utoke.

  • @flavianchuwa4370
    @flavianchuwa4370 3 роки тому

    Dahhhhh salama kipindi hiki najifunza mengi Sana

  • @danielstephens9123
    @danielstephens9123 3 роки тому +2

    salama tumemiss kumuona mwanamke

  • @MrSABYY
    @MrSABYY 3 роки тому

    Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
    ------------------
    Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
    Asante
    1: IST old - 850,000/=
    2: HARRIER New-1,000,000/=
    3: HARRIER Old-950,000/=
    4: RAV 4 - 950,000/=
    5: RAUM - 850,000/=
    6: SPACIO - 850,000/=
    7: PASSO - 800,000/=
    8: VITZ - 800,000/=
    9: PREMIO - 850,000/=
    10: ALTEZA - 850,000/=
    11: SUBARU - 850,000/=
    12: CARINA - 850,000/=
    ----------------------------------------
    Gharama hizi zinahusisha malipo ya
    1: Port Charges
    2: Shipping Line
    3: Walfage
    4: Agent Fee
    5: Plate no
    ----------------------------------------
    ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
    ☎️Whatsapp +255 653953900
    📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
    Instagram@mr_sabyy
    🏢Company: Mofaz movers
    📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
    Dar es salaam, Tanzania
    *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
    *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
    *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏

  • @gladnessbutama1993
    @gladnessbutama1993 3 роки тому +2

    Tunaomba umuite harmonize kwenye kipindi chako

  • @asueddy1465
    @asueddy1465 3 роки тому +4

    Oya turudishie dada Jesca wetu

  • @khalfansoud2188
    @khalfansoud2188 3 роки тому +3

    Kondeboy mnafikiii

  • @jhommiemusic5287
    @jhommiemusic5287 3 роки тому +1

    Sijui unanielewa?

  • @amandaseleman5444
    @amandaseleman5444 3 роки тому +1

    Eti kwann Mike zunafunikwa hapa🤔

  • @_____gef332
    @_____gef332 3 роки тому +8

    MAVAKO YUPI TENA JAMANII?!!

  • @osmandemebele3335
    @osmandemebele3335 3 роки тому

    Daaah jmaa kaongea pointy

  • @pendomasawe5477
    @pendomasawe5477 3 роки тому

    Aiseeeee

  • @danadventures2786
    @danadventures2786 3 роки тому +1

    Richii humble

  • @nginirasaire5876
    @nginirasaire5876 3 роки тому +1

    Sikuwahi kupenda swala la Richi kuwa signed under someone else's label!! Nilikuwa naamini alikuwa anatosha kuanzisha his own label na kufanya poa sana, time at Wasafi ilikuwa ni pause..
    Bado kuna nafasi ya kuanzia pale

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 3 роки тому

    Salama tuletee Omary mkali wa chuchu sound hatujamsikia kitambo sana