Kiba mi nakukubali kitu kimoja tu.kwanza unajitambua.pili huna skendo ya ufataki.tatu uko kwenye game miaka mingi lakini ujajiingiza kwenye madawa yakulevya nywele zako unanyoa kiheshima sijawai kukuona ukivaa mlegezo mpaka chupi ya ndani au mchilizi Wa matako ukaonekana.nywele zako unanyoa kistarabu kiufupi unajitambua.wapi timu kiba ngonga like zako hapa kumpongeza kijana wetu ambae anaweza kuyaepuka majalibu madogo madogo yavijana madawa yakulevya nk.
Kiba ni kiumbe wa ajabu xn napenda mwenendo wako hakika ww ni wakuigwa hapa tz, ww siyo mkurupukaji km............. utapasua vichwa mbamba na pia napenda maisha yk huna shobo na huna umimi km....... Hakika Tz na dunia nzima tunakukubali Usibadilixhe mwenendo KING
Kiba piga kazi broo achana na vitoto vya wcb havina lolote vinatafuta kiki kupitia wew, diamond hana tungo yoyote ya maana ya kufananisha na wimbo wako wowote ule,labda domo lake lile ndo kakuzidi,domo .
Nimemkubali huyu mtangazaji hana maswali ya kidwanzi kama watangazaji wa media nyingine, anauliza maswali ya muziki na sio umbea na kiki za kijinga, hongera!
jamani sijawahi pata like tokea nianze kumsaport 👑 kiba
❤❤❤❤
Aaaaah... Smile tu Ya huyu mtoto wa kiume.. Dooooh.. King King😍😍😍
Interview hii imenifanya nimfahamu zaidi kiba juu ya muziki wake salute kwako tambwe kwa mahojiano mazuri.
Juma Michael
Jamni mbona yutwubu niwaongo nikwann
Yaah Up Team kiba mpo wap tusiwe wachoyo Tufanye kulike xaxa hoja yake nzuri
💖💖💖💖🥰🥰
Alikiba Anaakili Sana. Mi sina Timu napenda Wasanii na Timu yangu ni Tanzanian Arts.
Kiba tuliambiwa hujui kujieleza, mbona uko vizur jaman watu bhana ni sheeeeedah! big up bro #kiba
You enjoy interview when the interpret knows how to speaks. Really alikiba knows how to speak. well done king kiba.
Anajitambuwa saana 😍😍😍🔥mpaka kataja wimbo wa lava lava Tania ww😍😍🔥
salut
Yeeee babaaaa
Sio kujitambua ni kutubu chezea #WCB wewe
Tausi Ak oyooooooo kiba cyo ww tu mm mwenyewe namkubar sana lavalava katika wcb wote
Kaka nimependa sana jinsi unavyojua ku interview msanii..unajua sana kaka..keep it up maana kuna presenters wengi sana bongo hawako hivyo.
Just amaze! He's Ali 💙
nakupendaaa mnoo king no one can change ittt mooorr bleessing ...
King Kiba yo simply the best 👌👌👌,thank you Lillyommy for the best interview
Much love kingkiba
Bonge moja la interview big up sana lilommy keep it up
Respect my brother but kumbuka kufanya ibada kaka
big up king ulianza bongo na utatawala bongo forever
Good job #lilommy Umefanya interview Ambayo Haina Habari za Umbea Kama Radio flani Hapa Nchini 💪💪
Pamoja sana king
Penda sana Kiba wewe ndie king
King respect tunakupata hadi Canada Montréal Québec
huna bayaaaaa
Rafiki Boniface Bonjour
Ça va bien merci?
The best interview on Bongo..
love mingi mingi king kiba
alikiba upo sawa
big up sana king
Kiba mi nakukubali kitu kimoja tu.kwanza unajitambua.pili huna skendo ya ufataki.tatu uko kwenye game miaka mingi lakini ujajiingiza kwenye madawa yakulevya nywele zako unanyoa kiheshima sijawai kukuona ukivaa mlegezo mpaka chupi ya ndani au mchilizi Wa matako ukaonekana.nywele zako unanyoa kistarabu kiufupi unajitambua.wapi timu kiba ngonga like zako hapa kumpongeza kijana wetu ambae anaweza kuyaepuka majalibu madogo madogo yavijana madawa yakulevya nk.
christina haule Sana tyuu Kiba mungu amtangulize inshaaallaaahh
Yani mm zaidi namkumbali Sana zaidiyasana
Tunataka burudani sio urembo
True umeongea poi
Nomaaaaa
Mzee unatisha good talk u great mzee
kiba weee big up uko vzuri sana woyooooo
pamoja sana king kiba
Rockstar#KingKiba nmekutambua sana tangia nikiwa mchanga en u'll remain my best,chapa kazi kenya twakutambua sana....yeee baba
I love you king kiba ww ni king
Shadya Shaban mmbo mrembo
Big.. Up br kiba,
nakupenda tuu bureeee
Love king kiba❤❤
i like your songs and all you do....King kiba.
sure!#king
Come in phoenix- arizona state , , , , people from +1(...) Gonga like hapa kwaku support alikiba from east africa💔
Safi sana anajiita tembo or king kibaaaaaa
Big up sana mtu nzima Tambwe show kali! Love from Rwanda +250 Kiba tunamkubari
The king 'komaa bob achana na watoto wadogo
If asked I would select Alikiba the best in Tz.........his style is different.......big up kiba
My all time favourite Artist
Lilommy uko safi kwenye
Kufanya interviews
king kiba,my icon
Ommy nakukubali sana kati ya watangazaji bora hapa bongo nakuelewa sana
interview ipo pouw big up king bila kusahau tambwe nakubali sanaaa
lil ommy uko juu bro big up
nice
Kiba ni kiumbe wa ajabu xn napenda mwenendo wako hakika ww ni wakuigwa hapa tz, ww siyo mkurupukaji km............. utapasua vichwa mbamba na pia napenda maisha yk huna shobo na huna umimi km.......
Hakika Tz na dunia nzima tunakukubali
Usibadilixhe mwenendo KING
Wasii ka hwa neo wanatakikana licha ya kuwa na ungomv na diamond bt anapenda nymbo lava lava kumanisha hna kinyongo na mtu yeyote #kingkibabigupmwana
Hamonize bado nimtoto sanaaaaa kwa King Kiba sooo huwezi mfananishaaa King of the Music. na huyoo mtoto wajanaa Hamonize
My role model 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
ommy uko poa sana sio mgombanishi Wangekua wengne apo mmh
kiba team twende sawa❤
Nimempenda Sana huyu mtangazaji anauliza maswali ya maana siyo udaku anaitwa nan huyu msaadaaa
Omar tambwe a.k.a #lilomy
nakukubali sana
Nipe namba yako nikupe namba yake
Mariam Mursal
Mariam Mursal
team kiba ndio Mpango..
jamaa yuko good so smart hana maringo..
check me what's App mamuu
via 0718922939 ili nikupe sifa zako mrembo
nimependa kipindi kizuri hakina uchochezi big up Ali kiba big up diamond ufanyeni mziki wa nyumbani ufike mbali wasaidieni vijana
Mkali asye NA big NA MTU asante kaka
Ww kiba uko juu kaka sana wale wanaovaa mawigi sio ishu mzee
Nakukubali sana king kiba hongera
Aliemuona jonijooo atupie
Iike
nakubali sanaaaaaa king umeweka wazi mambo yako hakuna wa kufanana nawe umetishaaa
nakupendaga sana kiba coz unaakili za kiutu uzima so kiba unajielewa sana kuliko wasanii woteeeeeeeee hongera sana kibaaaa lv u.
Mtangazaji please naomba mawasiliano ya king kiba Nina vitu vya kumwambia
😂😂😂😂😂
0786383885
Oyaaaaa timkiba Autembo mwenyew Nakubali semanini Waambi heeee wasifos? 2fanane bwana kiba Atabaki kuwa kiba2
🙏🙏🙏💯💯💯
pamoja💯💯💯💯💯
Gonga like kama unamkubali lil ommy
Jazy ray b xc0009ì000000000bn.😐😐
Unajua kiba wewe ni next level auna mtu ambae naeza kukufananisha nae wala kukupambanisha nae kibongobongo
Dah niseme mungu akuzidishiye King kiba
Kiukweli kiba anajua kujieleza safi xnaaaa
👏🏽👏🏽👏🏽 tash nice amiguu
so nice interveiw
King kiba na kupenda buree from Burundi💃
Team kiba oyoooooo
Yes Kiba, Lavalava Ni Msanii Na Nusu, Namsikia Hammer Q Kwa Mbali Kabisa Kama Alivyotajwa Alicom
Hama q na Alicom saut nzuri sana,wahenga hawa nawakumbuka miaka tmya 2004
Namkubari Sana king kiba
Very Nice
saaafii sana king, @tambwe uko fresh kikazi huitaji uchochezi
King ni nouma
Kama naww umemuona joniijoo kwa mbali show love kwa like
Kiba piga kazi broo achana na vitoto vya wcb havina lolote vinatafuta kiki kupitia wew, diamond hana tungo yoyote ya maana ya kufananisha na wimbo wako wowote ule,labda domo lake lile ndo kakuzidi,domo .
hahaha
We bwege acha ujinga,mm mwenyew team Kiba ila mond ni zaid ya Kiba tuache ushabiki wakipuuz.
Usimfananishe mond na vitu vya kijinga
Minamkubali kiba mwanzo mwisho hongel sana kiba
@@hashimukilunda829 hakuna kitu bhana sikia voco za kiba no one anaefata
Big up 👍 # seduce me ndio mpango mzima#king kiba X man water
pamoja xana 💯
a King is always a King
[1/6 08:32] Diames breezy🎤: ua-cam.com/video/d949xweneDU/v-deo.html
[1/6 08:32] Diames breezy🎤: ua-cam.com/video/cI-vi19ohWk/v-deo.html
[1/6 08:32] Diames breezy🎤: ua-cam.com/video/3HfFv0avQCU/v-deo.html
[1/6 08:32] Diames breezy🎤: ua-cam.com/video/9zuyAd_fySI/v-deo.html
[1/6 08:32] Diames breezy🎤: ua-cam.com/video/eImseN1fgyE/v-deo.html
Amani ndio msingi Bora...ebu nipe like if you believe king kiba is more good
Exactly, america is stress. Africa is good place, having good time there
Nimemkubali huyu mtangazaji hana maswali ya kidwanzi kama watangazaji wa media nyingine, anauliza maswali ya muziki na sio umbea na kiki za kijinga, hongera!
I like it vile unazungumuza
Namkubali kiba sana
Nakupenda sana Bro Kiba, kwanza unajielewa na pia unajitambua
Msanii anae jielewa asie kua na maringo sio rimbukeni wa mapenz big up sana kiba nakupenda sana
Soo great king unakubalika tu sana
Hmmmmmn!! They call him rockstar! King Kiba
Choko huyo
king kiba fanya mpango tumchukue lava lava
Big up san
Namuona JONIJOOO kwambalii😂😂😂😂
Nakukubali msani wangu king kiba i like you kiba
nakuelewa sana kiba hongera
huyu jamaha sio mshamba wa maisha ni star ambaye anaishi kawaida sana salut kiba
Bifu ya kisanaa sio njia ya kuwa hit artist so keep it on king kiba
King mo fayaaaaaa
Timu kiba gongeni like hapa za kutosha
noma mze kiba safi xana
Big up team alikiba
Uko vizr kiba love you bro😘
Watangazaji wengi ndio chanzo cha ugomvi unaoendelea hivi sasa hivyo wajifunze kuwasaidia kuendelea badala ya kuongeza bifu.
kiba sikupenda kwa chuki yako kwa mond..
Gud San lilyOmmy
Uko vizur,pamoja
interview kal nmeipend sana