XCLUSIVE: KUHUSU RICH MAVOKO, SALAAM SK AWEKA KILA KITU HADHARANI/ TUNAMDAI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

КОМЕНТАРІ • 20

  • @joshuakazibwami2326
    @joshuakazibwami2326 6 років тому +9

    Kama unamkubali mendez gonga like hapa

  • @faudhugucci7009
    @faudhugucci7009 6 років тому +3

    fireeee!

  • @shakhamsukurlun8127
    @shakhamsukurlun8127 6 років тому +3

    Asante mendezi wameelewa

  • @deserttvtanzania3400
    @deserttvtanzania3400 6 років тому +3

    Show la kibabe

  • @ajaliyamorogoroinaniliza3607
    @ajaliyamorogoroinaniliza3607 6 років тому +5

    😂babu tale amemleta msanii wake Rich mavoko, mimi nikamleta msanii wangu Rich mavoko 😂safsana: Salam😂👏

    • @allykassim9826
      @allykassim9826 6 років тому

      Abelkey Lwaboshilm hahahaha. Pengine ni sawa but hajaifafanua vizuri.

    • @dichodaplaiza
      @dichodaplaiza 6 років тому

      Abelkey Lwaboshilm alikuwa ana maana ya Rayvanny

    • @dichodaplaiza
      @dichodaplaiza 6 років тому

      Ally Kassim alikuwa maana ya Rayvanny

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 6 років тому +3

    mavoko atapata tabu sana

  • @matiasdl5164
    @matiasdl5164 6 років тому +2

    wanajeshi mkowapi huyo jamaa anamaliyenu kichwani fanyeni haraka mkamvue

  • @ramadhanibrahim7619
    @ramadhanibrahim7619 6 років тому +1

    Wanajeshi mko wapi au amuoni kofia yenu au wenyemajina awaonekani?

  • @aboudramadhan3290
    @aboudramadhan3290 6 років тому +2

    Nadhani kusaini mkataba mbele ya wazazi sio suluhisho la mikataba bora ushauri mzuri mngewashauri watafute wanasheria wao ili wawasaidie kwny mikataba

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 4 роки тому

      Aboud Ramadhan, mikataba huandikwa na kutafsiriwa na wana sheria

  • @edwinfweni
    @edwinfweni 6 років тому +2

    Rich ame fail bhnaa, 😂😂😂

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 років тому

    Kizazi sana, umeeleweka

  • @juvenalymnyama735
    @juvenalymnyama735 6 років тому +1

    Ongea basi Ueleweke Unasema Mtu kapewa gari Na kama ni msanii wa wcb Unashindwa vp Kutaja aina Gan ya gari Alilopewa mavoko Acheni uongo nyie

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 років тому +1

    ww kiongoz hujui msani wako alipewa gari gani?! ina maana mna ukubwa sana hvo hadi usielewe mengine yanayo endelea ndani ya kundi?!

  • @ajaliyamorogoroinaniliza3607
    @ajaliyamorogoroinaniliza3607 6 років тому

    Tatizo lao WCB hawatoi ukweli hata ukiangalia kwa kina Kifesi, Q Boy
    ni hayo hayo tu

  • @barakaswai7358
    @barakaswai7358 6 років тому

    Sasa movoko ni msaanii wa nan