Volvo, Scania, Benz, MAN, TATA nk ... Hayo siyo aina ya mabus, hizo ni kampuni ambazo engine zake zimefungwa kwenye mabus, mfano bus la Irizar linaweza kutumia engine ya Scania au Benz nk, hivyo hivyo na Marcopolo, ni mabus ya kichina tu ndiyo huwa yanatengenezwa na engine zake ambazo nyingi ni Dong Feng au FAW
Nimemuona jamaa mshamba sana wa mabus, yeye anadhani Scania au Benz ni aina ya bus, kumbe ni engine zilizotumika katika hayo mabus, sijui hajiulizi kwanini Marcopolo zina logo ya Scania
Kwa hakika huyu jamaa anatumalizia mbs zetu tu,,yaani Volvo na Man zikawe bei ndogo kuliko Higer,,si ni uongo huo,,Na isitoshe MARCOPOLO si kampuni ya kutengeneza magari bari ni kampuni ya kuvesha bodi za mabasi, na ndio maana hata TATA nao wanaveshewa bodi na MARCOPOLO
MWANDISHI hakuna basi linaloitwa MARCOPOLO Bali MARCOPOLO ni KAMPUNI ya kujenga body za MABASI kwa kutumia INJINI TOFAUTI TOFAUTI KABISA kama vile Benz engine, SCANIA ENGINE, MAN ENGINE, VOLVO ENGINE N.K! HALAFU FANYA RESEARCH YA KUTOSHA MAKALA YAKO NI TOO SHALLOW!
😂😂😂😂😂😂😂 marcopolo sio aina ya gari na scania ni msweden sio brazil
Volvo, Scania, Benz, MAN, TATA nk ... Hayo siyo aina ya mabus, hizo ni kampuni ambazo engine zake zimefungwa kwenye mabus, mfano bus la Irizar linaweza kutumia engine ya Scania au Benz nk, hivyo hivyo na Marcopolo, ni mabus ya kichina tu ndiyo huwa yanatengenezwa na engine zake ambazo nyingi ni Dong Feng au FAW
Ni meona ni magari mazuri sana kwakweli msafiri asafiri salama
Ujui kitu ww macropolo wanatengeneza bodi ww scania bus mpya 380 acha hizo ww yani man na higer higer ipo juuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimemuona jamaa mshamba sana wa mabus, yeye anadhani Scania au Benz ni aina ya bus, kumbe ni engine zilizotumika katika hayo mabus, sijui hajiulizi kwanini Marcopolo zina logo ya Scania
Kwa hakika huyu jamaa anatumalizia mbs zetu tu,,yaani Volvo na Man zikawe bei ndogo kuliko Higer,,si ni uongo huo,,Na isitoshe MARCOPOLO si kampuni ya kutengeneza magari bari ni kampuni ya kuvesha bodi za mabasi, na ndio maana hata TATA nao wanaveshewa bodi na MARCOPOLO
Yan we jamaa muongo sana sasa kama scania ni milion 300 je Yutong
Hizo bei ni za uongo. Hakuna gari inayoitwa marcopolo. Marcopolo ni body tu wanashirikiana na scania, tata na asia star. Wewe ni muongo😅
good
Mkuu Hizo Bei ulizotaja siyo zenyewe ni zaidi
Macopolo ni scania na yatengenezwa suden.
Yutong bei gani?
😢😢
Nayapataje?
Sio kweli uongo mtupu hata mabas ya kichina hayauzwi pesa hio scania bei kubwa sana wewe
😂😂😂😂
Nahitaji Kama miamoja
Mchina anatisha Yan Kawa mkombozi kwetu
MWANDISHI hakuna basi linaloitwa MARCOPOLO Bali MARCOPOLO ni KAMPUNI ya kujenga body za MABASI kwa kutumia INJINI TOFAUTI TOFAUTI KABISA kama vile Benz engine, SCANIA ENGINE, MAN ENGINE, VOLVO ENGINE N.K! HALAFU FANYA RESEARCH YA KUTOSHA MAKALA YAKO NI TOO SHALLOW!
True mzee nimeangalia naona simuelewi kabisa
@@harrynzowa8911 kweli KABISA NDUGU YANGU! HAWA waandishi WETU HAWAJUI baadhi ya hadhira wanayoiandikia Ina ufahamu Zaid WA jambo HUSIKA!
Muongo wewe