God loves you, Ugandans love you, Africans love you, We, Tanzanians love you!, Thanks God, you are feling much better now, and InshaAllah you will be completely recover soon, Allah be with you,,,,, Rafiki yangu alikuja nyumbani, Kunielezea shida fulani, eti amefukuzwa kazini, na hajui atafanya nn, mke wake amemtoroka, rafiki zake wanamcheka, shida amepata nyingi amecjoka,.dunia anajuta,, Ila shida usifikirie uko pekeako, labda Mungu anakuletea kesho, huwezi jua.kama kesho sio yako, kwahiyo masikini usikonde, Labda.kesho utapata, tizama maisha ni kama karata, unapanga nae anapanga, shida za dunia nakwambiaa, -Your songs always incourage people,, -Everything gonna be ok,!!!
Mwenyezi amponye akisha pona aondoke kwenye ukafiri.maana ukafiri unakarbisha pombe.matokeo yake nimaradhi yasiyo ponyeka...awe kama tenge kaamini kitka mungu wakweli..ikiwesekana aondoke uganda ,akaishi dubei ,, kabsa maana uganda kwa pombe..hawajambo
Mungu ni wa huruma na upendo mwingi, atamuinua kama alivyomuinua kitandani profesa J. Bwana Yesu amkumbuke
Mungu amsaidie apone 🙏 yaani utajiri ni afya na uzima tutunzeni afya zetu
Ameen
Yeah hilo ndo jambo la muhimu pesa zinatafutwa ukiwa na afya njema so now Jose Chameleon yupo kitandani pesa hazitafuti now bze ni mgonjwa
🙏🏿🙏🏿
God loves you,
Ugandans love you,
Africans love you,
We, Tanzanians love you!,
Thanks God, you are feling much better now,
and InshaAllah you will be completely recover soon,
Allah be with you,,,,,
Rafiki yangu alikuja nyumbani,
Kunielezea shida fulani,
eti amefukuzwa kazini,
na hajui atafanya nn,
mke wake amemtoroka,
rafiki zake wanamcheka,
shida amepata nyingi amecjoka,.dunia anajuta,,
Ila shida usifikirie uko pekeako,
labda Mungu anakuletea kesho,
huwezi jua.kama kesho sio yako,
kwahiyo masikini usikonde,
Labda.kesho utapata,
tizama maisha ni kama karata,
unapanga nae anapanga,
shida za dunia nakwambiaa,
-Your songs always incourage people,,
-Everything gonna be ok,!!!
Allah akujalie kher❤❤🙏🤲
Tubonge......dah God help you recover soon
Mungu amguse,amponye kwa Jina la Yesu 🤲, amen 🙏🙏
🎉Mungu akupe ngufu haraka chamealon tunakupenda sana legend❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
God please do something we still need him chameleon mayanja I'm team Jose from 🇨🇩
He will feel better soon and❤ from 🇺🇸
Lijamaa ni handsome bado ❤uko kwenye maombi yetu Legendary❤❤
Mungu amponye🤲🙏❤️❤️
Mungu akusaidie upone kwahalaka
Mungu amsaidie jmn
Allah amjarie afya njema
Mungu akuponye Inshallah pole sna
Quick recovery legend❤❤
Mungu wa mbinguni akupe afya njema. Amina
Mwenyezi mungu amfanyie wepesi
Ameen
Mungu amjaliye afya njema InshaAllah
Love ❤️
Inauma sana yaan.
Mungu ni mwema atajalia tu apone kabisa
😢😢 mungu amusaidij😢😢😢
From Nigeria to uganda wow that's the pure love❤
Mungu akuponye babaa tuna kupenda
INSHALLAH 🙏
ATAPAONA
Mungu atamponya
Tunamuombea mungu amponye haraka Ameen
Mungu nimwema
Mungu Amtetee.
Notification mapeeeewma
❤❤❤🙏
mungu amponye
Tunakuombea Afya njema
Insha'Allah atapona
Daah Haponi paul okoe kaja
ni mtoa roho au mbon unaokoment hivo
Yani nibora munge muacha tuu huko huko jamani
Pombe sio supu
Kupata subscribers ni kazi ila najivunia hawa 94 nilo nao
Qr
Alifanya niache pombe kwa kwel
Kila mgonjwa mwenye uwezo huenda kutibiwa marekani ao Europe na hindia. Ila mara nyingi hawarudiagi salama.
𝐊𝐢𝐧𝐠 𝐑𝐮𝐝𝐞 Ni mtu wa pekee saana
Mpeleke marekani Kisha utaskia pesa ZA iusafirisha mwili..😢 mbona hospital nyingi Africa tu
Back to the sender
Apunguze pombe sasa
Aliacha hadi
Walevi acheni pombe kali...Mnakufa vibaya na mkiona kwa wenzenu ambao tayari wameshaumia acheni haraka sana..
Tuombe Mungu ata kama sio Mlevi Binadamu tunakumbana na Mithiani Mengine Tuombe Allah atujaalie Samala, Maradhi ni Mipango ya Allah
Mwenyezi amponye akisha pona aondoke kwenye ukafiri.maana ukafiri unakarbisha pombe.matokeo yake nimaradhi yasiyo ponyeka...awe kama tenge kaamini kitka mungu wakweli..ikiwesekana aondoke uganda ,akaishi dubei ,, kabsa maana uganda kwa pombe..hawajambo
Uko anako enda huenda qulmauti ndio yuamsubiri huko
Doooh" ucmtabirie hivyo mwenzio