Mkuu wa wilaya huwa anakazi gan kwenye wilaya yake mpaka atoke waziri aje apige kelele hii haipo sawa hawa wakuu wa wilaya wakuwajibishwa hawapamban sehemu husika.
Hongera waziri Aweso,hebu tusaidie na sisi watu wa Bubiki w/kishapu kuna kituo cha afya kina miaka zaidi ya 15 bado msingi, jamani,watu wanasafiri hadi km20 kupata matibabu,tumelia hadi machozi yamekauka,tusaidie kwa waziri wa afya aje hapa Bubiki wilaya ya kishapu mkoa wa shinyanga.Tusaidie baba.
Rip magufuri mungu hajawahidanganya kwakua yeye ni alfa na omega!!ndio maana huku Mozambique kunachomwa ofisi za frelimo viongozi wake hotel zao nyumba zao kisa ujinga kama huu
🤣🤣🤣uyo mama alovaa mtandio mweusi mbabaishaji sana...kweny KONGAMANO la VIJANA Tanga mjini mwaka huu wakati anatoa hutuba aliulizwa swali akashindwa kulijibu alizunguka sana aisee Vijana wengi tuliohuzuria pale faida tuloipata ni chakula na maji tu lakini hakuna fursa yoyote iliotolewa Kwa vijana Hata elimu kuhusu fursa Kwa vijana haijatolewa yaani tulijuta kwenda
Niseme kwa dhat ya moyo wangu hua siwaamin Wana siasa. Ila na mwamin uwesu uwesu wazir wa maji amenyooka . Ni muombe muheshimiwa rais moja wa mawazir ambao hawapaswi kuhamishwa wizar ni huyo tumuache mpaka 2030 ninaiman shida ya maji ataimaliza
Huyu waziri anazingua, anataka attention sana. Ukimsikliza Kwa makini utajua anachokifanya ni ku sanitize maana kazi haijafanyika. Na anajua Kwa nini haijafanyika. Anajifanya kuwabana watendaji w chini na kutoa ahadi. Bongo cinema all the way
Hii ni propaganda, kwanini wahusika hawajapewa nafasi ya kujieleza? Saa nyingine makosa ni ya serikali yenyewe imeshindwa kufanya mikakati mizuri. Mh kama umeamua hili jambo liende public tunahitaji fair chance ya maelezo na sio wakamatwe tu.
Makonda ashasema wenyeviti, madiwani na wabunge waloweshwe kwenye maji nyie mnakaa mnawatetea mpaka maana hao ndio waliochaguliwa na wananchi wanatakiwa wawasilishe kero za wananchi sasa waziri utaweza kutembea vijiji vyote ili hali kuna wawakilishi maeneo husika? Acheni wawakilishi wawajibishwe bhana hiyo ni njia mojawapo ya kupaza sauti kwa wanyonge
Majukwa ya siasa yanaua.nchi.Hakuna sababu Kiongozi kujaza watu. Na. kupayuka ovyo,kwani hakuna ofisi za Serikali?Acheni kampeni,kila siku ya kusifia mtu mmoja ili mteuliwe,Swala la maji limekuwa zogo lisolo.isha.
Bora wawaweke wazi ili muone madudu yanayofanywa mana mnasema shida ni raisi kumbe sio raisi ni hawahawa wenzetu wakishapewa Hela za mradi wanakula na wasimamizi hawafanyi kazi zao halafu wanamsingizia raisi
Rais usifanye makosa kama ulivyofanya kwa slaa kumtoa kwenye wizara ya aridhi na makazi aweso mwache afanye kazi hawa vijana tunawategemea ikikupendeza makonda ukichaguliwa mpe uwaziri wa ardhi au afya hizo sekta ni muhimu
Mkuu wa wilaya huwa anakazi gan kwenye wilaya yake mpaka atoke waziri aje apige kelele hii haipo sawa hawa wakuu wa wilaya wakuwajibishwa hawapamban sehemu husika.
Ukicheza na nyerere anayekutambaa kwenye mapaja utakuja ng'atwa pabaya😂😂hiyo nzuri
Apa ndo huwa tunamkumbuka alietuambiaga tutamkumbuka..😢😢 RIP JPM
Bwege wewe aliyakuta na kayawacha sasa ndio kwa kiasi kukubwa yanaanza kubainishwa acheni chongo kuita kengeza
@@abuumuhammad7133ww ndo boya unaesaau ulipotoka kwaiyo tunavomkumbuka baba wataifa ni ubwege kwasababu aliikuta nnchi akaiacha kwani mnatupaga wapi akili JPM legacy imetufungua macho wengi acha mambo yako sjui makengeza unajiaibisha😅 misemo sjui ya wapi
HUKU SEGEREA NDO MAMBO NDO HAYO HAYO. MAJI YANATOKA KWA WAUZA MAJI TU 😢😢😢 MBUNGE KALALA
Una kazi Waziri sana Mungu akusimamie
Pole sana kaka wewe una angaika usiku na mchana watu wapate maji wenyewe Wana Fanya yao ndio maana makonda anasema Wacha waloweke
Baadhi yetu watanzania tunatabia mbaya sana sijui hela za dhulma zinasaidia nini yaana hakuna huruma na binadamu wenzenu hata kidogo
Hao ndio wakukaa jela miaka 30 sasa 😂😂
SIO HAPO TU NJOO KONDOA DC UONE TUNAVYO CHEZEWA MH WAZIRI FANYENI ZIARA SIO MPAKA MH RAISI AONE ASIPOONA JE!😂😂😂
Ushauri wangu wekeni wafanya kazi wa mtaani ili waonee uchungu wa mtaa wao, na yakiwa hayatoki wanajua wanawakamata watu wa mtaani kwake
Njoo Chalinze uku mheshimiwa Kuna matatzo makubwa sn😊
Jamani Iringa Dc kata ya Luhota tunashida mno tunakunywa maji ya mabwawa toka nizaliwe hicho kibwawa hadi leo ndicho tunakunywa maji 😢😢
Ongera sana mheshimiwa waziri UWESO njoo kwetu Masasi uku ndiko Kuna upigaji c poa
masasi ndio nyumbani kabisa kuna upigaji gani tena jamani nimetoka muda mwingi sana miaka kama 10 natembea tembea tu
Hongera waziri Aweso,hebu tusaidie na sisi watu wa Bubiki w/kishapu kuna kituo cha afya kina miaka zaidi ya 15 bado msingi, jamani,watu wanasafiri hadi km20 kupata matibabu,tumelia hadi machozi yamekauka,tusaidie kwa waziri wa afya aje hapa Bubiki wilaya ya kishapu mkoa wa shinyanga.Tusaidie baba.
Hizo ndo hasala za kutuchagulia viongozi mngekua mnatuachia wenyewe tunachagua hayo yote yangepungua
Duh mtihan sana
Rip magufuri mungu hajawahidanganya kwakua yeye ni alfa na omega!!ndio maana huku Mozambique kunachomwa ofisi za frelimo viongozi wake hotel zao nyumba zao kisa ujinga kama huu
😢😢😢😢😮
Wakwanzaa💥
🤣🤣🤣uyo mama alovaa mtandio mweusi mbabaishaji sana...kweny KONGAMANO la VIJANA Tanga mjini mwaka huu wakati anatoa hutuba aliulizwa swali akashindwa kulijibu alizunguka sana aisee
Vijana wengi tuliohuzuria pale faida tuloipata ni chakula na maji tu lakini hakuna fursa yoyote iliotolewa Kwa vijana
Hata elimu kuhusu fursa Kwa vijana haijatolewa yaani tulijuta kwenda
Mimi bwana,ni shabiki kindakindaki wa mh Aweso,siku hizi amepunguza makali,nilikuwa namuona Aweso mbali saana kwenye nchi hii.Maono yangu.
Ingekuwamimi ndo waziri wausokawote wangekula kichapo sana chafimbo
Njoo na huku kiwalani mambo ndo hayo hayo maji yanatoka mara moja kwa mwezi.
CCM OYEEE KILA KUKICHA MIJIZI KUTOKA HUMO HUMO CCM.
Hapo tatizo hata sio ccm,
@@birianination7097 tatizo nani?
Saizi kunamadudu,tu kila sekta,viongozi,hawakai kwenye nafasi zao,alafu anatokea mtu,anasifia haya madudu yanayo endelea kwawatanzania nimaumivu.
Mara nyingi wahasibu huwa wanatumiwa kuiba lkn wao hawahusiki na chochote
Eti ahaaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂
Watu wanalipia ada zakujiunga na huduma zamaji lakini baada yakulipia unaambiwa MITA hakuna
Njoo wilay ya Ukerewe uone Madudu utachoka mwenyewe
Njoo ukerewe utachoka mwenyewe tu maana huku madudu kama yote
Nyie mnaziwa tumieni ya Ziwa😂😂😂
Waziri wilaya chemba hususani Kijiji Cha ndoroboni tangu Uhuru wa nchi hakuna maji Safi na salama nimatesotu
Hongera sana waziri wetu mbunge wetu wa pangani pambana na wapigaji nchi nzima
Huyu ndiye waziri ataetufikisha nchi ya ahadi
Anafika mwenyewe kuona miradi
Watu wa mchebgerwa hao musiwaite wahuni .maana sio maagizo ya serekali kuwaita wahuni😂😂😂
Washugulikie majizi hao zunguka nchi nzima washezi kama hao wapo kila mkoa
Kamfata wote weka ndani na usimamie wahukumiwe majizi Hao wakubwa
Weka ndani wote ni wezi watupu
Mkuu aweso njoo chalinze mradi mmezindua na raisi wetu mama samia lakini akuna maji tunateseka wananchi.
Mbona unaishia hapotu nenda lushoto Kijiji cha kalumele kunamiundombinu yote Tanguy 1986 mpakaleo maji hayatoki
Kata gani?
Niseme kwa dhat ya moyo wangu hua siwaamin Wana siasa. Ila na mwamin uwesu uwesu wazir wa maji amenyooka . Ni muombe muheshimiwa rais moja wa mawazir ambao hawapaswi kuhamishwa wizar ni huyo tumuache mpaka 2030 ninaiman shida ya maji ataimaliza
Mkiona uchaguzi umekaribia mnajidai mnapiga kazi kweli kweli, mtakufa vibaya nyieeee
Mbona hii ndio style yake jamani tokea nyuma, ingekuwa ni uchaguzi mbona wengine hatuwaoni wakifanya haya kwenye wizara yao?
Huyu waziri anazingua, anataka attention sana. Ukimsikliza Kwa makini utajua anachokifanya ni ku sanitize maana kazi haijafanyika. Na anajua Kwa nini haijafanyika. Anajifanya kuwabana watendaji w chini na kutoa ahadi. Bongo cinema all the way
35000 tu😢😢
REST IN PEACE JPM
Mheshimiwa juma aweso njoo Dodoma ihumwa mabomba yenu yanapasuka na kumwaga maji kila kukicha watendaji wako wapo ofisini wanakunywa chai tu
Vihuni huni kabisa weka ndani
Mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya watolewe
Waziri Aweso wewe ni jembe sana.Ninakukubari saa.
Wababaishaji
Hiii kantri jaman
Viongozi wa ccm wahuni tu
😂😂😂😂
Yani hii inchi tunapigea kweli wote walaji hao
Wezi haoo kamata
kwmsisi ipi hii kwamsisi ya Handeni kuna dawsa?????
Kama hajuwi anakosa gani na utamfanya nini? Nini naana ya kupewa mamlaka
Kiongoz unatakiwa kuwa vile
Viongozi wangazi ya chini ndio wazingua
Hii ni propaganda, kwanini wahusika hawajapewa nafasi ya kujieleza? Saa nyingine makosa ni ya serikali yenyewe imeshindwa kufanya mikakati mizuri. Mh kama umeamua hili jambo liende public tunahitaji fair chance ya maelezo na sio wakamatwe tu.
*Ccm wanatengeneza tatizo kisha wanajitekenya wenyewe wakicheka*
inawauma sana CCM wakisifiwa. Wasingekuja tengeneza maji mijiongozi ya CHad*** yAngekuja kutukana wamba maji hayatoki.
hayo yalioiba maji nahisi ni michad*** ndio tabia zao
Field Marshall 🫡
Yaani unamshika mkono kwaheshima hivo kamata suluali kunja kabisa
Unalolote uweso ndio haohao tu mbona wewe mwenyewe una shea ratco tuache akuna nchi apo
Makonda ashasema wenyeviti, madiwani na wabunge waloweshwe kwenye maji nyie mnakaa mnawatetea mpaka maana hao ndio waliochaguliwa na wananchi wanatakiwa wawasilishe kero za wananchi sasa waziri utaweza kutembea vijiji vyote ili hali kuna wawakilishi maeneo husika? Acheni wawakilishi wawajibishwe bhana hiyo ni njia mojawapo ya kupaza sauti kwa wanyonge
Majukwa ya siasa yanaua.nchi.Hakuna sababu Kiongozi kujaza watu. Na. kupayuka ovyo,kwani hakuna ofisi za Serikali?Acheni kampeni,kila siku ya kusifia mtu mmoja ili mteuliwe,Swala la maji limekuwa zogo lisolo.isha.
Hapo ni kutoa funzo na taarifa kwa wengine
Bora wawaweke wazi ili muone madudu yanayofanywa mana mnasema shida ni raisi kumbe sio raisi ni hawahawa wenzetu wakishapewa Hela za mradi wanakula na wasimamizi hawafanyi kazi zao halafu wanamsingizia raisi
Chura kizi vp
Rais usifanye makosa kama ulivyofanya kwa slaa kumtoa kwenye wizara ya aridhi na makazi aweso mwache afanye kazi hawa vijana tunawategemea ikikupendeza makonda ukichaguliwa mpe uwaziri wa ardhi au afya hizo sekta ni muhimu
Uchaguzi umefika.
Washone tu....Mh.Aweso
Field Marshall 🫡