EXCLUSIVE: MAISHA YA WAHDZABE WANAVYOKULA NYANI "AKIFARIKI MTU ANALIWA NA FISI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 169

  • @KhamisNasoro
    @KhamisNasoro 9 місяців тому +15

    Mbona wa maasai waishio ngorongoro wametafutiwa makazi handeni wilaya ya msomera serekali wasaidiwe hao wenzetu

    • @marrypius576
      @marrypius576 18 днів тому +1

      Hawa hawezi badilika toka enzi ya nyerere ndomaan wameachwa hivyo hivyo 😂😂😂

    • @VeronicaMacha-pl3xt
      @VeronicaMacha-pl3xt 7 днів тому

      Wanapenda haya maisha

  • @anordjoseph6644
    @anordjoseph6644 Рік тому +13

    Jamaa kaongea vizuri sana kiswahili

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +8

    Subuhanallah.. Mtihani Allah awalinde maana hatadini. Hamjui hapo

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому +12

    Maisha haya niya hatari Sana...Bora serikali ingesimamia swala hili waweze kutoka uku maporini waishi. Kama watu wa kawaida ..hivi NI mateso ...

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 2 роки тому +5

    Aaaah kumbe wanakula ugali ila hawapati sasa wanakosaje mashamba wakati wanaishi porini ila bora msilime maana mkilima tu mwajanyang'anywa lakini tuiombe Serikali yetu iwafikirie hawa watu hii nikarne nyengine jamani daaah inauma sana

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 2 роки тому +37

    Serikali muache kuwafanya vibonzo kwa kigezo cha kuonesha watalii wafanyeni wastaarabike hii sio sawa kabisa nao ni binadamu kama sisi muwasaidie hao watu waishi kibinadamu ndo maana wazungu bado wanatuona waafrika kama nyani ni kwa mambo kama haya …

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 2 роки тому +12

      Daah umeongea kwa uchungu sana ingekuwa hizi comments zinazingatiwa nadhani hii ingeangalia zaidi

    • @robathcarlos8068
      @robathcarlos8068 2 роки тому +4

      Daah kweli aisee

    • @DENISLEMA
      @DENISLEMA 2 роки тому

      Asili ni asiliii brooo ikifika stage watabadilika

    • @allymasubi9404
      @allymasubi9404 2 роки тому +3

      Serikali imewapa Hadi maeneo wamekataa ila wao ni alama ya culture unaelewa Hilo ko usicoment usichofaham.zimefanyika Hadi documentary kubwa duniani kuwahusu kifupi ni Moja ya alama muhimu ya utamaduni wa wa tanzania we must be proud of them the way they are.

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 2 роки тому +2

      @@allymasubi9404 Usenge mtupu hata mm ningekataa unampa eneo Hadzabe ajenge na pumbu na hana shughuli yeyote yakumuingizia kipato mbona ww hauendi kujiunga na hiyo Culture.

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 21 день тому +3

    Mashekhe wetu tunaomba muone hawa watu kuwapa elimu ya kidini yetu ya uislam maan naamin hawajui pengine kuhusu dini km hata kuzikqna ni shida😢😢😢

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 20 днів тому +1

      Acha hizo unahisi kila MTU lazma awe muislam ,dini zenyewe tumeletewa lakn tunajifanya ndo zetu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 роки тому +6

    Nawaza tuu kama kuna siku watafurushwa kama wale wamasai

  • @Juke995
    @Juke995 2 роки тому +3

    Huyo ndo mjanja wasichimbe kijiji Ila sasa ndo wasichimbe makaburi mtu akitoloka 😂 hadi uliwe na fisi jamani 😂nilitaka kuhamia Ila nimegaili. Serikal iwapatie majembe I can imagine hicho kipindi watalii wangekuwa wanakimbizana kila kona mtu katoloka kaachwa fisi wanajilia

  • @monicamhina9926
    @monicamhina9926 Місяць тому +3

    Dudu kwee yuko wapi??

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 6 місяців тому +3

    Hawa watu wamezoea haya maisha tulisha wasaidia na shirika linaitwa cuso tukawaleta wengine mjini kuwasomesha bt wakawa wanatoroka wanarudi huku

    • @VeronicaMacha-pl3xt
      @VeronicaMacha-pl3xt 7 днів тому

      Kweli Kuna wengine serikali iliwachukua kuwasomesha tena wanafuata na magari kuwachukua huko wakawa wanapewa mahitaji muhimu yote kuanzia mavazi nk na upendeleo wa kula nyama Kila siku tofauti na wanafunzi wengine na hela za matumizi Yao ya kawaida lakini wate 10 walitoroka wakarudi maporini.

  • @isakajoseph9926
    @isakajoseph9926 2 роки тому +4

    Dah afadhali ata wanajua kiswahili mana kuna wengine ukiwakuta ukiongelesha kiswahili wanakushambulia

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 роки тому +2

    Duh kazi kweli kweli 🤔

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 роки тому +2

    Maskini uwa nawapenda Sana awa watu uwa Kuna ata adithi zao tumekua tunaadithiwa.

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 15 днів тому

    Subhana Allah 😭 Mungu ni Mkubwa....

  • @BetaboyBetaAthumanAthuman
    @BetaboyBetaAthumanAthuman 5 місяців тому +2

    Serikali ya watu wakujilimbikizia mali na kugombania madakaka huku wakiuwana kusaidia binadamu kaa hawa wahaoni wamesha wafanya kaa utalii

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 2 роки тому +2

    Vime niuma sana kuona serekali zetu kube wanzungu kwe watu wetu wakiasili sio vizuri jamani, Mme lipwa nini? na aho mapink?

  • @IsakaKinyonga
    @IsakaKinyonga 2 місяці тому +2

    Sasa hata hospital hawan

  • @godchila8013
    @godchila8013 22 дні тому +1

    Nataman nipate time tupige story na hawa wanangu😂

  • @godchila8013
    @godchila8013 22 дні тому

    Wasiruhusu wazungu waende ende uku hawa ni wakutengenezewa mazingira wawe na kazi moja specific wanaweza wakafanya kitu hawa cha nguvu

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 5 місяців тому +1

    Hivi Hawa Hawawezi Kubadilishwa Maisha Yao

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 20 днів тому

    bila ninyi hamjui habari za smart phone, hamjui bando wala hamumjui Balthazar engonga wala p diddy, hamjui kama marekani na Israel ndo super power, raha sana

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 2 роки тому +2

    Twiga je hamuwindi ?

  • @elisante6838
    @elisante6838 21 день тому

    Inasikitisha sana maisha wanayoishi wakati wanapiga kura na kuwachagua viongozi

  • @KhamisHassan-ql5ut
    @KhamisHassan-ql5ut 6 місяців тому +1

    SERIKAL IWASAIDIE MAISHA HAYA YAMEPITA NA WAKATI ELIMU WAPEWE

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 2 роки тому +7

    Baada ya miaka 15 mbele tutakutana na wadzabe wengi wakiongea kingeleza na tutegemee kukutana na vijana wasomi na walowezi

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc Місяць тому +1

    Badal ya kuwatafutia kazi serikali wamewafanya wao ndio vivutio vya watali

  • @erastoerasto898
    @erastoerasto898 2 роки тому +5

    Mtu mmoja arudie jina la dada tafadhari sijalipata vizurii😁😂🤣🤣🤣

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 4 місяці тому +1

    Mwanamke wa Kihadzabe ana rafudhi kama msukuma

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 4 місяці тому +1

    Uko akuna kisukari wala presha

  • @zulehaabubakar3574
    @zulehaabubakar3574 2 роки тому +5

    Sasa je wakimuona mtu kabila tofaut hawamuuwi

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 5 місяців тому +1

    Watu wema sana hao hawana fitna kama tulizoja nazo uku mjini.

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 14 днів тому

    Duuh hawagopi nyoka

  • @chiphie0210
    @chiphie0210 21 день тому

    Ounta name

  • @jonathanjackson6123
    @jonathanjackson6123 5 місяців тому +1

    Mnakula mizizi wakt tunawaona mkila mpka ugari

  • @charleshotay8229
    @charleshotay8229 19 днів тому

    Hawa wanajua kula nyama na kukulana tuh

  • @MsAisha-w4o
    @MsAisha-w4o 22 дні тому

    Wanahitaji kusaidika Hawa haya MAISHA sio kabisa

  • @MajaniAntony
    @MajaniAntony Місяць тому +1

    Hawakubali kutoka kilahisi hivo hawa jamaa

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 8 місяців тому

    Hawa jamaa wanaishi maisha ya kishenzi...wana
    Dhalilishwa sana...wanaonekana kama sio binadamu wa kawaida...mbona wanosoma wakipata elimu hawarudi tena kuishi polini kama wanapenda maisha haya?...hatuwaonei huruma watoto zao....tunawaona kama kivutio cha watalii...mbona kuo
    Hamuwaondoi 🎉kama walivyowaondoa wamasai kwa kisingizio cha kuishi polini...hawa wanaachwa ni wanyama gani wanaitwa?

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 6 місяців тому

    😂😂😂huyo dada amejipindia

  • @SeifMohammedSalum
    @SeifMohammedSalum Рік тому +7

    Hivi wanajua hal ya nchi kwel 😂😂😂

    • @Eliya-vv1jp
      @Eliya-vv1jp 6 місяців тому

      hawajui ata rais ni nan!!

    • @frankazalia5985
      @frankazalia5985 5 місяців тому

      Wanajua nyerere yupo

    • @ayubumwangi7517
      @ayubumwangi7517 4 місяці тому

      Yenyewe haiwahusu

    • @LamaribamJumbe
      @LamaribamJumbe 3 місяці тому

      Hawa shida hawa na serekali wao ni wao tu serekali yao ni mapoli hawa

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 2 роки тому

    Kumbe kiswahili kipo kipo 😲

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 роки тому +1

    Wanahitaji elimu ya dini kwa hiyo watalii wanakuja kutizama munavyo ishi kama wanyama na ndiyo nyie kunawafanya Waafrika wote waonekane hawana elimu wala akili ni sokwe nyie ndio chanzo.hebu serikali wapelekee mahitaji ya kibinaadamu nguo.ujenzi na vyakula

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 4 місяці тому +1

    Wanatakiwa walime maana mashamba wanayo

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 4 місяці тому

      Umeongea kitu cha msingi ila wao wamezoea kuwinda na kula matunda ya porini ila kama kuna wataalamu wa kilimo na ufugaji wangewapa mafunzo ya kilimo na ufugaji ili watoke kwenye kuwinda waende kwenye kilimo na ufugaji na biashara ndogondogo

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq 2 роки тому

    Serekala yatu tukufu tuwawasaidie a wa watanzania wenzetu serekali wejengeeni ata vibanda vya kuisha .mvue ikinjesha wanakimbilia kwenje mapango ya mawe?
    Serekala waoneeni uruma .

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 2 роки тому

    Limeni mbona inawezekan

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 21 день тому

    Huku siku ukipotea tu imekula kwako 😂😂😂

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 6 місяців тому +1

    HUYU JAMAA ANAONGEA KAMA WILLIAM RUTO RAIS WA KENYA

  • @BaliseleElias
    @BaliseleElias 6 місяців тому

    Mwanamke anaitwa Shumunegono😂😂😂😂

  • @TwalibuMussa-i3m
    @TwalibuMussa-i3m 8 місяців тому

    masikini wezetu bd kabisa wanadumisha mila lakini serikali msiwafanye kama maonyesho

  • @joely22
    @joely22 Місяць тому +1

    Najiulisa wanasoma wap

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 19 днів тому

    Huyu alikuwa CLAUS vp alioga😂😂😂

  • @mbunah255
    @mbunah255 2 роки тому

    Ndomana kanye alisema waafrica utumwa wali jitakia wenyewe

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому +4

    Kwn mmekatazwa kuishi mjini 😣😣, bc msafishe meno

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 2 роки тому +1

      Haondowanalipa kodiii afuuu niajila

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому +1

      @@liberatusjackson5045 hayo meno au

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +1

      😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣😂etii wasafi she meno dah

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому +1

      @@heyumi2340 ndy 😊😊

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +1

      @@khadijahali4837 umenifurahisha

  • @godchila8013
    @godchila8013 22 дні тому

    Hawa ni mabaki ya asili ya kiafrica inabidi sasa tukae nao vizurii tuongee nao wana madini sana. Hawa watatufunguaa😂😂😂

  • @EdithaMartin-t4t
    @EdithaMartin-t4t 8 місяців тому

    Elimu inahitajika..

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 5 днів тому

    Herufi za majina tafadhali nataka kuandika

  • @amanimusa5744
    @amanimusa5744 2 роки тому

    Serikali iwasaidie wasiwafanye vituko kwa watalii.

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 роки тому

    Watu awa badowapo duuh nilikua zamazakaletu

  • @kaayakitomary1233
    @kaayakitomary1233 2 роки тому

    Wazungu kwao hawaonyesh barabara hata moja mbovu

  • @RAHABUCHALLO
    @RAHABUCHALLO 8 місяців тому

    wana abudu nini?

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 місяців тому

    Serikali iwawezeshe waanze kulima hii sio poa

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 7 місяців тому

    Kumbe wanaongea kiswahili kizuri tuhh wanyama hawa😢

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 2 роки тому +5

    Wanaongea vizuri kiswahili kuliko Wachaga 😢

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 2 роки тому

    Sasa nyie sere kali zetu za Ki Africa mkoje nyie mnaogopa wanzungu? hizo ndo asili zetu za Ki Afrika kwa hiyo chenye mna takiwa kufanya muheshimu mila zetu. Wanzungu siokitu nirangi tu ata huku kwao wana hisha kwa magumu nibasi tu.from 🇨🇩🇸🇪

  • @aash4145
    @aash4145 2 роки тому

    Jina la dadaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Fredrick-tl5gl
    @Fredrick-tl5gl 4 місяці тому

    Hawa jamaa ni wazeembe itakuwa

  • @LawrenceAugustino-t4h
    @LawrenceAugustino-t4h 3 дні тому

    Mliperekwananan huko

  • @ayubumwaipopo8203
    @ayubumwaipopo8203 2 роки тому +1

    ..lakn haw ni hadzbe wa kisasa...wanjua had kxwahil 😂

  • @eddiembamba786
    @eddiembamba786 19 днів тому

    Dignified people...please and make translation in English subtitles for wide audience

  • @Prince0fald
    @Prince0fald 2 роки тому +5

    Wabadilike, wawe kama binadamu wengine. Ustaarabu ni jambo zuri

    • @RobbyDejan1234
      @RobbyDejan1234 2 роки тому +1

      Safi sana hii ila tatizo kwa serikali yetu wameshafanya vibonzo vya kuwaonesha watalii .

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      Kwa nn msijenge polini miti mingi khaa🤔

  • @godfreykarata3710
    @godfreykarata3710 8 місяців тому

    Shumunekoono watoto 8 na bafo

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 2 роки тому +2

    Daa ninomasana🤣💥💥💥💥

  • @alenyema
    @alenyema 2 роки тому

    Akunku kukuuu

  • @altaphonebypassofficial
    @altaphonebypassofficial 2 роки тому +2

    hivi hao watu bado wapo ??

  • @escobar2111
    @escobar2111 2 роки тому +3

    Awaa jamaa sio binadam kwa kweriii

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 2 роки тому +3

      Una mawazo ya hovyoo sanaa!!Kiufupi wewe ni kijana wa hovyoo hapa Tz!!

    • @victorjames3730
      @victorjames3730 2 роки тому +1

      Kwanini?

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 2 роки тому +1

      Hapo ni tumbili

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому +2

      @@reubenkissinga5802 waty gani wanakula wanyama ambao hawafai kuliwa hawa hawachekan na wazungu wachina waphilipono wanakula wadudu wote

    • @vincentmokenye4465
      @vincentmokenye4465 2 роки тому +1

      Chimbuko lao ni ethiopia na zudan kuna kabila linaitwa nyangatom wapo ethiopia wakatili hatari

  • @GodfreyMachum
    @GodfreyMachum 8 місяців тому

    Awo watu wawe wanaenda shule

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 2 роки тому +3

    Sasa km hamna mlango munapigana vp miti ?

  • @bosskimaro
    @bosskimaro 2 роки тому +2

    BAKI MWEUSI UKICHEPUKA HUONEKANI!
    ua-cam.com/video/FRqEIylZ9Qg/v-deo.html