Every time I come across this video on UA-cam, I have to put it on loop for about half an hour just to feel it. The chorus is the best! Mama Maria nakubembeleza unitetee kwa mwanao Yesu, niishi siku nyingi! Simply amazing!
Kapotive a deep message from your singing and nice melodies that makes the songs easy-to-remember. Well pronounced words. Keep up in the name of Christ and his gospel
I love these crazy bunch of singers and dancers. They have got exceptional talent. Mungu awajalie muishi siku nyingi hata mzeeke hadi mtembee na fimbo mkimsifu Bwana! Hongereni KAPOTIVE!
Nitaimbanakumtukuza muumbawangu atanizeeke nitembenafimbo ilinimsifu bwanamungu wangu mama maria nakubembeleza mamaria unisaidie uniteteekwamwanao yesu niishisikunyingi ilinimsifu bwana asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yakitume amina
Splendid ..Aisee hii inaitwa funika bovu..Hongereni saana KAPOTIVE...sauti ya tatu mnanigusa saana pale mnapomalizia fiimbo...kwaya nzima mmeleta utamu zaidi pale mnapoahama 'key' au 'funguo' pale mwishoni kwa kuhamia 'funguo' wa juu..
Wimbo mzuri sana,,niliusikia kwa mara ya kwanza juma lililopita kwa misa ya Radio maria ya kupalizwa mbinguni Bikra Maria,,,masikitiko yangu siupati kwa Swahili music notes,,,mwenye mziki anisaidie nifunze kwaya yangu,,,Niko Seychelles lakini natoka Kenya
loose translation-I will sing and praise my creator till i get old.Holy mother,pleasing you to help me to pray to your son Jesus so that i live longer in order to praise our Lord.That is the main theme though am not that good in English
Nyimbo nzuri sana..kila aisikilizaye abarikiwe milele 🙏
May 2023.. Mama Maria unitetee kwa mwanao Yesu 🙏🏾
Good Nc thank you ❤ God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏💖💚💜💕 like and I am heppy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nice moves
Duh!
Hakika ni kazi nzuri iliyofanywa kwa kipaji kilichobarikiwa.
Hongera KAPOTIVE STAR SINGERS - BUKOBA. MBARIKIWE SANA.
I love this it's amazing
unitetee kwa mwanao yesu.niishi cku nyingi
❤🙏nitaimba nakumutuu kuza muumba wangu 🙏🙏🙏🙏❣️❣️
Every time I come across this video on UA-cam, I have to put it on loop for about half an hour just to feel it. The chorus is the best! Mama Maria nakubembeleza unitetee kwa mwanao Yesu, niishi siku nyingi! Simply amazing!
Kapotive a deep message from your singing and nice melodies that makes the songs easy-to-remember. Well pronounced words. Keep up in the name of Christ and his gospel
I love these crazy bunch of singers and dancers. They have got exceptional talent. Mungu awajalie muishi siku nyingi hata mzeeke hadi mtembee na fimbo mkimsifu Bwana! Hongereni KAPOTIVE!
My
Wenderfuly made continue with that spirit GOD bless you
Omukama Mungu abae Amani ne'Emilembe omukuimba kwanyu 🙏🙏🙏 yaani kampulila empoya zanyu ngila amashemerelwa 🙏🙏🙏
Twasima
It's the dance for meeee
Woww
Great job guys❤️✨✨
Nitaimbanakumtukuza muumbawangu atanizeeke nitembenafimbo ilinimsifu bwanamungu wangu mama maria nakubembeleza mamaria unisaidie uniteteekwamwanao yesu niishisikunyingi ilinimsifu bwana asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yakitume amina
All your songs are beautiful, well sung songs that lead to deep contemplation. Asanteni sana for helping us to pray.
Mwenyezi mungu azidi kuwabariki.awape miaka mingi yenye kheri ili mzidi kumtumikia. Nawapenda sanaaaaa Amina
Very nice ,so creative ..Mungu awajalie afya njema mzidi kumtumikia
Dah rc arusha huko nawaelewa sana uimbaji wenu mungu awabariki
Mnatisha jamaa zangu napata faraja kutoka kwenu mungu awatie nguvu mfanye makubwa zaidi ya hayo
Mama Maria nakubembeleza,mama Maria unisaidie,unitetee kwa mwanao Yesu....awesome one
Mwakora muno Mukama abatunge ebyo kwenda Amen
Splendid ..Aisee hii inaitwa funika bovu..Hongereni saana KAPOTIVE...sauti ya tatu mnanigusa saana pale mnapomalizia fiimbo...kwaya nzima mmeleta utamu zaidi pale mnapoahama 'key' au 'funguo' pale mwishoni kwa kuhamia 'funguo' wa juu..
Nice..I like listening
Exquisite!
Touching lives in a special way .
Balaaaaa..
Barikiwa sana wana kwaya wa Kapotive.Nyimbo zenu huwa zinanibariki sana kiasi kwamba najiisi kuwepo kwa mungu rohoni mwangu.
Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu katika huduma yenu njema ya kutangaza jina la Bwana!
Nyimbo zenu nazipenda sana,hongereni sana mungu azidi kuwabariki
Love 💕💕😘🌹💕 I am heppy NC good job ❤️💚💜💙💕 thanks Asante Mungu 👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏻🙏
Nakupenda sana❤❤🎉
kwakwel hua nawapenda sana na uimbaj wenu mungu mwezeshaj awajalie mema meeng
Wow hii song iko na message
very nice song, perfectly performed.
So nice inanibaliki kila leo
Wimbo mzuri sana,,niliusikia kwa mara ya kwanza juma lililopita kwa misa ya Radio maria ya kupalizwa mbinguni Bikra Maria,,,masikitiko yangu siupati kwa Swahili music notes,,,mwenye mziki anisaidie nifunze kwaya yangu,,,Niko Seychelles lakini natoka Kenya
I like this song kudos
Mungu awabaliki
May the Almighty God bless you all
Amina jaman mnapendeza Sana mung awabarik xana 👪
wooooow barikiweni sana....maria nakubembeleza unisaidie .....Amen...watching nikiwa SaudiArabia...from kenya
Mungu awatie nguvu kwa kazi nzuri mnahofanya
OGod strengthen all catholic believes o lord.
It's asong of hope I like it💕💕
mungu awabariki mnaimba vzr san
Excellent
Nice one
Wow.👏
MUNGU AZIDI KUWAJARIA AFYA NJEMA KABISA CAPOTIVE SINGER
Amena
mungu awasaidie
Napenda sana nyimbo zenu za masifu
nimewakubali asante sana
Love it.
So beautiful
mbarikiwe kapotive
I just feel blessed 🙏🙌🥺🥺
Thanks God am feeling blessed sure
I wish I can understand swahill I would have enjoyed so much
loose translation-I will sing and praise my creator till i get old.Holy mother,pleasing you to help me to pray to your son Jesus so that i live longer in order to praise our Lord.That is the main theme though am not that good in English
Thank you so much my dear,be blessed
@@felisterligwa thanks so much,l really like the song but am trying to learn swahili coze I like many swahili songs
Thanks dear
Mungu awatangulie
Blessing
GOD Bless all of you
This good work
loved it
Wow kapotiveeee
love the choir
I like it
Love it💞❤️
nice song
Amen
Nakupenda
Nakupenda mungu wangu
Nice
Nice uniforms.
albam zenu zinapatikana wapi
sf sana
Nawakubali sana
Catholic forever
Balaaa.. nairudia mara 10..10.. bado tu sichokii..
Wahaya hatupoi in general wimbo mzur but branding ndogo mwalimu tuongeezee bland
And
Hongereni mmeimba vizuri sanaua-cam.com/video/AfqUxD_1T_o/v-deo.html
Nyimbo nzuri sana..Kila aisikilizaye abarikiwe milele 🙏
Love it 💝💕💘
Nyimbo nzuri sana..Kila aisikilizaye abarikiwe milele 🙏