Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
NIMEONJA PENDO LAKO: KAPOTIVE Star Singers- Bukoba
Вставка
- Опубліковано 6 сер 2024
- Nimeonja Pendo lako, is one of the best songs composed by Mr. Bernald Mukasa. It is also among the 8 songs in the YESU NI MWEMA album by KAPOTIVE Star Singers - Bukoba. The song illustrates the love of Jesus Christ to mankind. The singing and dancing is realy attractive and a joy to hear and see.
2024 naona hii nyimbo km imetoka leo 🕊🕊 asante MUNGU kwa kila kitu sintaacha kukushukuru kwasababu umenitoa kwenye matope nakuweza kuniosha mpaka sasa nina ng’ara asante sana MUNGU 🙏 naomba endelea kunitendea mambo makubwa zaidi ili baba mtoto wangu aliyekuwa ana nipiga nakunitukana kwa dharau nakusema sina kwa kwenda ndio maana kila analo nifanyia navumilia lakini MUNGU ulipoamua kunipa ujasiri nikaamua kuondoka kwake na nguo zangu za mwilini tu nakuanza upya japokuwa ilikuwa ngumu ila hukuniacha peke angu na saizi namsomesha mwanangu shule ya milioni 5 nakula ninachotaka yaani sintachoka kumshukuru MUNGU nakushuhudia mambo aliyo nitendea 🙏
MUNGU kwenye shida MUNGU kwenye raha MUNGU kila wakati🙏❤️❤️❤️
kwakweli mshukuru Mungu wako wa mbinguni nami nasikia furaha sana kuona Mungu wetu wa mbinguni anaabudiwa ipasavyo na lishetani linashindwa ktk jina YESU Kristo mwana wa Mungu aliye hai. 🙏
who is here in 2024 after kuacha kanisa lakini ako na mungu?
Return my son return
2024,tuko hapa bado
Kwel yesu amenitendea mema sana nashukuru
Watching from ARUSHA - TANZANIA. Congratulations. Hongereni sana.
Catholics much love from Amsterdam. My catholic brothers and sisters ♡♡♡
Much love ❤ from 🇺🇬
Tupo wengi tunaobarikiwa kwa wimbo huu
Nimeoja pendo lako2023 barikiwa sana 🎉🎉🎉🎉❤
❤❤❤❤❤ catholic nakupenda sana dini yangu 🙏🙏🙏
Good voices, this song is very nice and really tourching...keep ur fire burning as our good God lift u to a higher level
Nakumbuka nyumbani jamani Bukoba hiyo
Glory to God
Nitakushukuru na kuwainua wote wakusifu
Just heard it again and again from Kiss 💯
Wimbo mzuri sanaaa.
Much love from Uganda 🇺🇬 ❤️ the song
Asanten wanakwaya kwa ujumbe we nu mbalikiwe na bwana❤❤❤❤❤😅😅😅😅🎉🎉🎉
This song will hit forever.
This has made my morning
Proud catholic enjoying❤❤
Dah hii nyimbo namkumbuka adi mama angu
Nice song,glory be to God 🎉
Whose here today? I love this song and all catholic songs❤❤❤❤🇰🇪
wimbo mzuri huu wafurahisha Roho yangu
Catholic choir always the best am blssd
Siku zote za maisha yangu nitaziimba fadhili zako Ee Bwana
Nimeonja pendo lako bwana nimejuwa umwema nitakushukuru nitawainuiwote wakusifuwewe unatulinda kilasiku usikunamchana upewe sifa eebwana ongereni kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yakitume amina
Reminds me of my friends ..i was a muslim but that never mattered tulipendana na my boys wakiimba izi ngoma kwa parade asubui..😀😀
The White Handkerchief on Air as sign of peace and Peaceful Co-existence with All
May God bless the choir. God of all creation bless us unworthy human beings
It has made my heart feel better than I was yesterday 🤗🤗🤗🙏🙏
Tunaelekea 2024🎉
What i can understand in this song its the chorus, it could be played on Radio Maria every night and I loved it, it's a good song . From Uganda 🇺🇬
Hakika Tumshukuru Mungu, Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri.
This reminds me the year 2005 at liyavo primary school prayer day to kcpe❤❤❤❤❤
I'm from Michigan, USA, but I stayed in Arusha, Tanzania between 2000-2004. I love the song
Used to sing this song in my childhood days not really knowing what it meant now a a full grown and I now know how far God has brought me.
Hii wimbo tukiwa watoto tungeimba xmass na fr tosha from nyamagwa parish😘😘😘
Remind me of the moment when I was a refugee in kakuma/kenya. Now l live in United States. Thanks God for every thing you have done in my life.
😢❤❤❤p0qq9kmnayn😊
Lql1qqq1lqqq😊 queen qoo1q😊😊 pl mom 😅
.s. Pl@@leonialorry8821
Same
Nitakushukuru yesu milele na milele Amina...... Good sorry listening from Bahrain and God bless 🙏
Congratulations realy Amazing like it
Protestant but grew up loving this song 20 years later I found it on youtube
Best choir of decade ina nibariki San mimi
2021 bado nasikilia Imani nimeoja pendo lake 💕💕💕💕who is here with me
@2023, 15th October feeling blessed
Catholic songs are m favorite
Asante kwa pongezi hizo, na Mungu azidi kutubariki. Usikose pia kuangalia nyimbo zetu nyingine hapahapa youtube.
Ninawaelewa sana nampenda mungu
Tumsifu Yesu Kristo wapendwa lakin mbona zinakataa kudownload? 🙏🙏 Jamani tusaidie
Na mimi nimelionja pendo la yesu
Nakumbuka mbali kidogo, Mungu awabariki sn
Class seven I really danced to this song,Nyamagwa parish
Nimeona kweli upendo na huruma wako bwana
It takes me back when I was in a primary school
Childhood memories
Shukrani Kwa wimbo Kwa kwaya ya Bukona
NAIPENDA NYIMBO HII MBARIKIWE SANA
Glory be to God 🙏🙏🙏, still fresh every day
I love this song,,,May god bless us
Always feel blessed when am listening to this song, wapi wanye wanawatch 2020
Totally encouraged by this song
Nko hapa nawatch 2020
Am here, it reminds me of my primary and high school life
@@evanzousanchez6780 it
I know im randomly asking but does anybody know of a method to log back into an Instagram account..?
I stupidly forgot my account password. I love any help you can offer me
Watching this 12 years later 🙏🙏
Kopotive songs the best of all.
Umenitendea Wema usiopimika🙏
April 2024. Here to thank God for his love and generosity
Same😂 this song is a vibe
remonds me of my childhood at kanyagia catholic parish nyandarua county.
2024 🎉nakushukuru daima
Oooooooh!!! Quelle bonnehr,!!! mes amies il ya 3ans k g cherch la chanson la, Kapotive k Dieu vs benisse, nitakushukuru nitabayinuw woteeeeeeeeeeeeee...
Wow my best church
Nabarikiwa Sana nikisikia wimbo huu
Nimeonja pendo lako Yesu ndani ya mwaka 2019🙏
Yes 2019 niko
Yes,Niko ndani sana waja tuparikiwe
It gives more hope to our faith.
nimeoja upendo wako bwana. Asante
Real like kweli mungu yu mwema kila wakati kwakweli wabariki watu wote
Kweli kabisa bwana yesu, nimeonja pendo lako, sifa na utukufu ni kwako milele na milele, Amina
Jaman kuna wimbo naitafutaga sana unaitwa silimu plz nisaidieni
Pendo lako eeeh Mungu wangu umenitendea wema wako 🙏🙏
KAPOTIVE mko sawa lakini of late, mmelala. Something new for 2020
For sure tears are shed when such wonderful Catholic songs are sung.Be
The love of Jesus Christ is the true love,, believe and trust in him
Waitu mayoge mwakola.
Mungu tusaidie tutembee katika njia ya kweli mubalikiwe watumishi
The song was realized when i was living in darkness sining right and left 😭😭 thinking i was ok now i meet Jesus Christ in personal iam here to say Jesus saves thenk you to Jesus who lives in me the way and truth praise LORD JESUS hallelujah
Mungu awabariki sana Ninyi.nyote mloshiriki
Always listening evertime
Nitakushukuru nitawainua wote wakusifi wewe Amen
Here we go 2023
Yesu nimwema
wimbo umenikumbusha mbaaali sana Mungu Asante kwa zawadi ya uzima.♥️🙏
my name is Asneth eee guy's I luv u so much God bless you so much sijui CD zenu ntapata wapi na sauti zenu nzuri mungu awabariki sana indeed
mm nimeikubali zaidi Kapotive kwaya
Amen ❤❤❤❤🙏🙏🙏
wimbo bora kabisaa
Kwakwel nyimbo za kathoric zik bomba
I am still watching this song in 2022 nice song be blessed
Am proud to be Catholic....I always refer to Kenya Catholic music as best Catholic music ever! Love you all the way from Zimbabwe
2022 Niko hapa...nimekumbuka babangu...RIP Dad
🙄🙄and this is a Tanzanian song
@@sherifaali7268 Thanks for the enlightenment
Who is with me 2021❤️
Umenitendea mwema usiopimika
Huu wimbo nliujua nikiwa mtoto mdogo sana.hongera.my first time to see this vedio in 2020😄😘😘
Nafunga mwaka 2023 na wimbo huuu
When I. Listen. The song I feel. It
In. My bloodstream
Nabarikiwa kupitia wimbo huuu.
iko vizuri sana (2021)
always on top @ nshomile 🙌🙌💌
The Catholic songs uplifts me when I am down hearted.