Mwinyi hakuwa na shida naalikuwa hana kinyongo na mtu nakumbuka mengi sana ya mzee wetu kwamaana wapo walio mfedhehesha ila mwinyi aliwachukulia poa tu
Kweli kabisa Mhe....ila kuna Watu hawayapendi hayo mema unayoyasema. Wao mifarakano, ubaguzi, dhulma, ubabe, kunyima haki Watu fulani ndio furaha yao. Na hawapendi kukosolewa utadhani ni wao tu ndio wenye akili na wengine hawana. Hata amri za Mahakama zinapingwa na kuzuwiwa. Wakikosolewa inakuwa nongwa hadi mtu anajisahau kama yeye ni Kiongozi. Kiongozi anapaswa kusikiliza
Hivi busara gani huwa inatumika kuandika hivyo vichwa vya kuanza kutotaka wasomaji kujifikirisha zaidi hutoba hiyo inamhusishaje Rais mstaafu wa awamu ya nne
Inamgusa sana Kikwete. Amani aliwaunganisha Wazanzibari, tukaenda kwenye Uchaguzi lakini Bw Kikwete alileta Majeshi, Uchaguzi ukaharibika, Jecha akatumiwa kutuletea ujumbe na khadithi mbaya inayoendelea hadi Leo hii. Kwahiyo inamuhusu sana tu
Rais wa Tanzania ni Rais anaye wakilisha Bara na Kisiwani ....kwaiyo rais wa Tanzania anamajukumu makubwa ya kuendelea kuwakilisha nchi ata kama amestaafu
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Mwinyi hakuwa na shida naalikuwa hana kinyongo na mtu nakumbuka mengi sana ya mzee wetu kwamaana wapo walio mfedhehesha ila mwinyi aliwachukulia poa tu
Huyu ni rais wngu Bora kwa Zanzibar
kiukweli nampenda sana Raisi mstaaf Aman Abeid Karume
Mmoja wa viongozi wangu ninao wakubali sana
Kweli kabisa Mhe....ila kuna Watu hawayapendi hayo mema unayoyasema. Wao mifarakano, ubaguzi, dhulma, ubabe, kunyima haki Watu fulani ndio furaha yao. Na hawapendi kukosolewa utadhani ni wao tu ndio wenye akili na wengine hawana. Hata amri za Mahakama zinapingwa na kuzuwiwa. Wakikosolewa inakuwa nongwa hadi mtu anajisahau kama yeye ni Kiongozi. Kiongozi anapaswa kusikiliza
Hongera sana mheshimiwa karume.
The best ever President of Zanzibar Aman Karume
I’m speechless ila hekma kubwa kwenye alioyoyaongea na wala hakupepesa macho wala mdomo ni maneno machache ila yanauzito kwa wahusika
Great word. Like father like son
Maneno machacache yenye ujumbe nzito sana
Allah amlaze pema pep0n
Ana kipaji cha kuongea na kusikilizwa
maneno mafupi lakin busara nyingi sana.
Akili nyingi..amekwenda kwenye point..sio kujimwambafai..
Kweli kabisa ni maneno machache yenye ujumbe nzito sana
Hivi busara gani huwa inatumika kuandika hivyo vichwa vya kuanza kutotaka wasomaji kujifikirisha zaidi hutoba hiyo inamhusishaje Rais mstaafu wa awamu ya nne
Ujumbe umemfika
Watz wengi ni mashoga waakili jiulize hotuba ya Karume inamwingiaje Kikwete??
Inamgusa sana Kikwete. Amani aliwaunganisha Wazanzibari, tukaenda kwenye Uchaguzi lakini Bw Kikwete alileta Majeshi, Uchaguzi ukaharibika, Jecha akatumiwa kutuletea ujumbe na khadithi mbaya inayoendelea hadi Leo hii. Kwahiyo inamuhusu sana tu
Ila marais wastaafu wazanzibari mbona wa kisha staafu huwa wanatulia nyumbani mbona huku bara hawapo hivo
Ni kikwete tu kwan mkapa ulimwona kpnd cha jakaya kikwete lazma amsimamie hyo mama mwanamke cyo kiongoz hafai ki utawala
Wana kazi nyingi sana na wana safari nyingi tofauti na unavyodhani
Rais wa Tanzania ni Rais anaye wakilisha Bara na Kisiwani ....kwaiyo rais wa Tanzania anamajukumu makubwa ya kuendelea kuwakilisha nchi ata kama amestaafu
Huyondiye karume
Kikwete anafuatia amani ipatikane Tanzania
Fatuma Karume kua mpole kama kaka Amani alivyo mpole katika kuongea kwake.
Huyu ni Kakaake
@@UzalendoNaUtu baba yake
Huyo sio kaka ake ni Baba ake mzazi uyo mnamuita SHANGAZI
Huyu ndio alifaa kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
L ll مدد😊😊😊😊😊
Hikma tupu