SHEIKH OTHMAN KWA MZEE MWINYI - ''ASUBHI ITAFIKA - HATA KAMA UTAKUWA NA MIAKA 100 UTAKUFA TU'''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 132

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 10 місяців тому +23

    Am proud to be muslim, inna lilah wainnailayh rajiun

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 10 місяців тому +43

    Shekh wangu huchoshi kwenye kukuskiliza unaufasah Allah akuongoze

  • @AbdallahNdungike-f2u
    @AbdallahNdungike-f2u 10 місяців тому +18

    shekh unaweza sana umewazidi mashekh wengi kiukweli

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 10 місяців тому +37

    Mashaa allah ❤❤❤ shekhe wetu othumani maalim❤❤❤❤❤ yaani uchoki kumsikiza wallah nakupenda kwaajili ya allah 🤲allah akupe umri mrefu shekhe uzidi kutupa dawaah❤

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 10 місяців тому +1

      Kwann asikuowe bc ili mkapendana zaidi mkiwa kwenye ndoa kwajili ya Allah zaidi

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 10 місяців тому

      ...kwani kakwambia huyo dada wa watu kuwa hajaolewaaa.!!?​@@KassimAlly-xp4dz

    • @adilaadila1128
      @adilaadila1128 10 місяців тому

      ​@@KassimAlly-xp4dz😂😂😂😂kashatimiza 4 na uyo ni mke wa mtu

  • @MwajumaNdege
    @MwajumaNdege 10 місяців тому +13

    Sheikh Othman hakika umebarikiwa Allah akuweke kwa ajili yetu

  • @BuuSacrra
    @BuuSacrra 10 місяців тому +14

    hakika mola wetu ni mwema na kakuteua kua bora kwetu sisi tunao kusikiliza- shekh othman maalimu daima nakuombea kheri na afya njema allah akunusuru na mabalaa na ukupe na maisha marefu tuzidi kujifunza kupitia weyeee shekh

  • @AbdulThaniZanzibar
    @AbdulThaniZanzibar 10 місяців тому +20

    Mashallah. Ya Rabbi tupe mwisho mwema na utubariki hekima yenye matunda mazuri. Amiin

  • @ismailally2549
    @ismailally2549 10 місяців тому +29

    Wallah uislam ni dini yahaki ona raisi ka kaa chini kabix n'a hana neno mbele ya wanaum Allah Akbar

  • @rukaiyaramadhani4879
    @rukaiyaramadhani4879 10 місяців тому +9

    Nakupenda shehe wang kwa Ajili ya Allaah

  • @allykagoma5168
    @allykagoma5168 10 місяців тому +16

    SubhannAllah SubhannAllah SubhannAllah jazakallah khair shekh Othman Maalim

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 10 місяців тому +17

    Hakika mwalim anae watafuta wanafunzi ni mfano bora na ndio mfano anaoufanya maalim wangu bi sania molla amlipe mema,Ameen

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 10 місяців тому +14

    sheikh Othman maalim❤❤

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 10 місяців тому +8

    Shekh othman nakupenda kwa ajili ya Allah❤

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 10 місяців тому +4

    Sheikh Othman Maalim Allah ,Allah akuhifadhi !

  • @MpateIsmail
    @MpateIsmail 10 місяців тому +2

    Mashaallah maalim othumani anajua kuelimisha ata kama anakufundisha unamwelewa vizuri

  • @ShamaMchata
    @ShamaMchata 10 місяців тому +4

    Walah shekhe othuma siachi kukusikiliza nakukubari saaan mungu akupe umri mrefu inshallaah 🙏🙏

  • @mwanaikaomar8628
    @mwanaikaomar8628 10 місяців тому +7

    jazakaLlahu lkhair.Allah akubarik sheikh wetu

  • @SuleAhmad-lt5qc
    @SuleAhmad-lt5qc 10 місяців тому +2

    Nyinyi masheikh mwenyezi Mungu akupeni umri mrefu na ucha Mungu ila msijifanye wepesi wa kutoa sifa tu ili kufurahisha viongozi ( "Menyezi Mungu hughazibika anaposifiwa mtu fasik) kwa hiyo hakikisheni mnapotoa sifa angalieni vizuri cn mckurupuke tu Quran : Na atakaepewa hekima bac kwa hakika kapewa kheri nyingi " viongozi wa kisiasa wa serekali yetu katika nchi ya Tanzania ni viongozi wa Dhuluma na umwagaji damu na hawatendi haki

  • @khadejarajab844
    @khadejarajab844 10 місяців тому +5

    Mashaallah Mashaallah asante sana kwaukumbusho

  • @feswalfaizoo2132
    @feswalfaizoo2132 10 місяців тому +5

    Mashallah Mashallah Allah azidi kukuongoza vema sheikh wangu

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 10 місяців тому +4

    Shekhe Athumani mungu akulipe kheri.Nasaha zako ni tamu sana lakini Dua uliyoomba ikisindikizwa na huo ubeti ni nzito sana.Nasi twaongeza Rabbi mrehemu ibnul hassani.kiongozi alotuacha njiani.msamehe dhaifu amekujia,yuataraji Afuwan zako pia,na iwapo ewe mola amekuasi katu mwengine hakusujudia

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 місяців тому +3

    Maa Shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 10 місяців тому

    MaashaaAllah. Tabaarakallaah. Maneno mazitto. Maneno ya hakki. Allah akuhifadhi Sheikh Othman. Allah amrehemu mzee wetu, raisi wa zamaani wa Tanzania.
    اللهم اغفر له وارحمه

  • @sangokipozi4611
    @sangokipozi4611 10 місяців тому +8

    Ma shaa Allah! Ma shaa Allah! Alhamdulillah! Allahumma ghufirlahu wa arhamahu wa askinhu fil Jannatul firdaus. Allahumma Ameen!

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 10 місяців тому +6

    Allahumaa jaaly minafaizina Ameen

  • @Tatatabti-li7em
    @Tatatabti-li7em 10 місяців тому +7

    أللهم اغفر له وارحمه

  • @RamlaIddy-sk5sy
    @RamlaIddy-sk5sy 10 місяців тому

    Allah akulipe kher Inshallah Nakupend San Shekh Othman Maalim

  • @BakariWaziri-l9o
    @BakariWaziri-l9o 10 місяців тому

    Allah akujalie mwisho mwema shekhe wangu othumani maalim

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 10 місяців тому +1

    Maashaallah my role model

  • @jabaluhud2021-qr5cq
    @jabaluhud2021-qr5cq 10 місяців тому +8

    اللهم اغفره وارحمه الرئيس حسن علي
    Shugran sh Othman malim

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 10 місяців тому +3

    MashaAllah sheikh

  • @mkanaonlinetv2994
    @mkanaonlinetv2994 10 місяців тому +5

    Alhamdulillah Allah alifanye Kaburi la mstafu rais kuwa ni miongoni mwa viwanja vya peponi

  • @husseinkhamis3475
    @husseinkhamis3475 10 місяців тому

    Allahuma Husnal Khatima sheikh Othaman Maalim
    Allah akupe mwisho mwema
    Ndugu, busara yako maneno yako duuh endelea kuipambania dini ya Allah , nae atakulipa ujira uliokuwa mkubwa

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 10 місяців тому +2

    Mashalaah mungu amuhifazi pesa naamhulumie kama alivyo tuhulumia sisi tukivaa sanda iliotiwa language nakuitwa makaugua au vitenge vya mawingu mwaka 82 nakumpuka nikiwa tanga

  • @sangokipozi4611
    @sangokipozi4611 10 місяців тому +4

    Jazaak Allahul kheir sheikh

  • @khalifamohammedkhalifa1578
    @khalifamohammedkhalifa1578 10 місяців тому

    Allah akuhifadhi sheikhe liislam

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq 10 місяців тому

    Masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra mola azidi kukubariki shekh wetu OTHMAN naswaha nzito 😢😢😢😢 Yaa rabbi tujaalie khusnul khatima amiin yaarabbali ghalamiina.. mjaalie Nuru ktk kaburi lake rais Ally Hassan mwinyi

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 10 місяців тому

    Sheikh Allah akuongoze kwa uwezo wake, maneno kwenye muongozo wa Allah

  • @RiamiAli-dv5cl
    @RiamiAli-dv5cl 10 місяців тому +4

    Masha alkah atakwenye hutba yako ya ijumaa huchoshi

  • @laiDotto
    @laiDotto 10 місяців тому +2

    Maashaalah mungu atujalie mwisho mwema❤

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 10 місяців тому

    Mola wangu nakuomba umrahamu baba yangu na mama yangu, nampenda sana sheikh othman nasaha zake ni zakipekee

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 10 місяців тому +3

    Subhanaallah, mashaallah, Amin rabby Amin 🙏

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 10 місяців тому +1

    Naam maalimu mwenyezi mungu akutangulie

  • @UstadhImran
    @UstadhImran 10 місяців тому

    Mashaallha mungu akuweka mwalim wetu uzidi kutu zinduwa

  • @AzamaRamadhani-zk2dm
    @AzamaRamadhani-zk2dm 10 місяців тому +2

    Maashaallah mungu awajaalie kililakheri

  • @TiffuAbdallah-of5os
    @TiffuAbdallah-of5os 10 місяців тому

    Allah akupe umri mrefu shekh wangu kipenz ❤❤

  • @djumaally5536
    @djumaally5536 10 місяців тому

    Maashallah shekhe Allah akulinde

  • @aishaissa401
    @aishaissa401 10 місяців тому

    Allah akujaalie umri mreefu wenye kuendelea hekima na elimu kwa uma

  • @mussakinkon5252
    @mussakinkon5252 10 місяців тому

    Daah shekh wangu❤

  • @abalhassan7794
    @abalhassan7794 10 місяців тому +6

    Mashaallah ukumbusho mzuri sana

  • @MuhsinKitwana
    @MuhsinKitwana 10 місяців тому +1

    Ameeen InshAllah.

  • @gezatv1
    @gezatv1 10 місяців тому +1

    Mashallah shekh othuman

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 10 місяців тому +5

    Maalim masha allah

  • @Noor56-i7s
    @Noor56-i7s 10 місяців тому +2

    Asante sheikh

  • @aishamdinku9129
    @aishamdinku9129 10 місяців тому +4

    Masha'Allah

  • @AntoniMduma-vx4xk
    @AntoniMduma-vx4xk 10 місяців тому +2

    🎉hakika hunibari sana sana ❤❤❤

  • @zainabmuhammed6294
    @zainabmuhammed6294 10 місяців тому

    Allah akuzidishie

  • @jumayusuph5928
    @jumayusuph5928 10 місяців тому +2

    Allah ampe pepo ya darja la juu

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 місяців тому +2

    Allahu-akbar

  • @CynthiaNdayisaba-c4w
    @CynthiaNdayisaba-c4w 10 місяців тому

    Masha Allah
    Tabaraka Allah

  • @FaridaAlita-jx6lt
    @FaridaAlita-jx6lt 10 місяців тому

    Jazakallahu khayran

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 10 місяців тому +2

    Ameen

  • @yussufkhalifa5206
    @yussufkhalifa5206 10 місяців тому +3

    Mashallah

  • @chabbybae9294
    @chabbybae9294 10 місяців тому +1

    Allah abaliki na afya njema na uhai mrefu ili uzidi kutupa dawa ya mawaidha

  • @nathanmmasi3890
    @nathanmmasi3890 10 місяців тому

    Niku kuelewe uko sawa allah akupe umri mrefu

  • @AkibuMzamilu
    @AkibuMzamilu 10 місяців тому +2

    Othumani maalimu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @ismailmussaa-nd6ji
      @ismailmussaa-nd6ji 10 місяців тому +1

      Mw/Mungu.amuweke miaka kwa faina y uislam na jamii pia ni sheikh aliejaaliwa maarifa na usahih mambo mengi mno

  • @MtandikaMtandika
    @MtandikaMtandika 10 місяців тому +2

    Mashaallah

  • @aminaswaleh3639
    @aminaswaleh3639 10 місяців тому

    Mashallah sheikh wetu

  • @tafutampenzi1653
    @tafutampenzi1653 10 місяців тому

    Mashaalllah😊

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 10 місяців тому

    Allahumma aamyn 🙏🙏

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 10 місяців тому

    Ujumbe wako mzuri sana othman

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 10 місяців тому +7

    DAH BAADA YA MACHOZI KUNITOKA NIMEJIKUTA NACHEKA KIMOYO MOYO KWA FURAHA HAKIKA SHEIKH OTHMAN NI JABALI LA KOTOA DAAWA

  • @TakiaKaghembe
    @TakiaKaghembe 10 місяців тому

    Amina

  • @FaziliYusufu
    @FaziliYusufu 10 місяців тому +1

    Aamin

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud1672 10 місяців тому

    Shekh othman wewe unajuwa sana

  • @abiiajmi2399
    @abiiajmi2399 10 місяців тому

    Mashaallh

  • @SakinaSakinat-qd9rs
    @SakinaSakinat-qd9rs 10 місяців тому

    Amiin Amiin Amiin

  • @smabsalimabsali9688
    @smabsalimabsali9688 10 місяців тому

    Sheikh napenda kusikiliza Mawaidha yako ya Hekima na Mafundisho mkubwa sana

  • @Zaitun-q2o
    @Zaitun-q2o 10 місяців тому

    Hii imetoa majonzi Alhamdulillah c haba 😢😢

  • @hans_tech0015
    @hans_tech0015 10 місяців тому +3

    Shekh upo very san cy kam wengne wanapayuka payuka tu

  • @TakiaKaghembe
    @TakiaKaghembe 10 місяців тому

    Inshallah

  • @FaziliYusufu
    @FaziliYusufu 10 місяців тому +1

    Sana ana ufasaha

  • @SalehHamad-q1q
    @SalehHamad-q1q 10 місяців тому

    Muogopeni Allah jaman

  • @chabbybae9294
    @chabbybae9294 10 місяців тому +1

    Sheikh othuman maalim wee ndio fani yako kutoa dawa ya mawaidha

  • @fikirimachela4778
    @fikirimachela4778 10 місяців тому

    Mashallah kipenzi changu

  • @SalehHamad-q1q
    @SalehHamad-q1q 10 місяців тому

    Sheikh uko vzuri ila muogopeni allah

  • @LispafulgenceSimon-rs1zg
    @LispafulgenceSimon-rs1zg 10 місяців тому +10

    Me mkiristo ila huyu sheh namkubari sn

    • @shamzone388
      @shamzone388 10 місяців тому +3

      In sha allah utamfaham sana zaidi twakukaribisha kwenye uislam

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 10 місяців тому +3

      Inshallah mungu akuongoze ujue ukweli na uijue dini ya mola wako ubalikiwe sana popote ulipo maana anaeweza kimmbadirisha mtu nimungutu assalamualaikum wabillah Taufiq amen🙏🙏🙏🙏

    • @AbuuMbarouk
      @AbuuMbarouk 10 місяців тому

      Masha Allah

  • @AliSaididahman
    @AliSaididahman 10 місяців тому +1

    Natamani ni kutane na shekh outhman mualim kabla ya kifo yangu ama yake 😂😂😂😂😂😂😂😂naomba mungu aniwezeshe yarabi nampenda sanaaaa tena sanaaaa

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 10 місяців тому +1

    Osman maalim mwalim wawalim

  • @ChademaKandayaUnguja
    @ChademaKandayaUnguja 10 місяців тому +1

    Mashalah mashehe ubwabwa

    • @AbshirMubaarack
      @AbshirMubaarack 10 місяців тому +1

      Ni vzr kumheshimu mwanawachuon utafanikiwa

    • @alijumaali2777
      @alijumaali2777 10 місяців тому +1

      Duh! Astaghfiru llah. Allah akuongoze

    • @AminCoaf
      @AminCoaf 10 місяців тому

      Uislam tumefika lever hii inasikitisha sana

    • @AminCoaf
      @AminCoaf 10 місяців тому

      Unaita majina ya kuudhi kwa sheikh wakati hata kuandika masha-allaah aujui Allah akusamehe na akuongoze

    • @AbshirMubaarack
      @AbshirMubaarack 10 місяців тому

      @@AminCoaf mtihani kwl kwl

  • @khamishaji9508
    @khamishaji9508 10 місяців тому +3

    😢

  • @bakarhamadhassan4484
    @bakarhamadhassan4484 10 місяців тому

    Y AA ALLAH tupe hekma ktk MAMBO yetu yote.

  • @hamadashauri6631
    @hamadashauri6631 10 місяців тому +3

    Mola tupe mwixho mwema

  • @HayDad-o9l
    @HayDad-o9l 10 місяців тому

    Shekhe naomba nishushe mtigani baada ya miaka ishirini ndo utoe matunda

  • @am2323tze
    @am2323tze 10 місяців тому

    Wanafanya nini kule nyuma. Wanaharibu shoo kwa ujinga

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 10 місяців тому +1

    Kweli kweli kabisa sisi wabongo , uhuru tumepata mwaka 85 ,mwinyi alipo ingia madaraka

    • @khalfanmasoud1514
      @khalfanmasoud1514 10 місяців тому

      Tufaa jeupe na doriani za thailand ipo mingi tu kaka

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 10 місяців тому

    Eee othmani wee angepigwa kibao? Ni waislam sisi tumekatazwa kuwazunhumza maiti kwa ubaya na kuwashfumu kwa kuwa washaonja ambacho sisi bado kwetu.lkn watu wakisema mtafumba midomo yenu.

  • @AliSuleimani-s7p
    @AliSuleimani-s7p 10 місяців тому +1

    𝑀𝑎𝑠ℎ𝑎𝑎𝑙𝑎 𝑚𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑎𝑘𝑢𝑓𝑎𝑛𝑦𝑒 𝑤𝑒𝑝𝑒𝑠𝑖

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 10 місяців тому +2

    I like him mashallha ❤

  • @CynthiaNdayisaba-c4w
    @CynthiaNdayisaba-c4w 10 місяців тому

    Masha Allah
    Tabaraka Allah