Kumbuka kuna siku unatoa point.... na hii ya Jacky afikirie kuhusu kuwepo na mume ni muhimu, kwenye ulezi na mapenzi ya mtu wako ni wako. Atazame wajane. Ukweli wanawake turudi nyuma kidogo tuongeze heshima kwa waume zetu na kutoa misamaha..... tusameheane. Mnaongea na kuweka mikakati ya kuendelea mbele.
Exactly Dkt.Kumbuka, Wolpa asikubali kitekwa akili na wapumbavu,mnatakiwa asimame imara arudishe Moyo wake nyuma waishi pamoja ,asiwape nafasi maadui ambao kesho watakuja kumbeza, watu wataongea mengi sn lkn asijali asonge mbele
Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ukiachana na mume wako au mke wako kila binadamu atakuja hadharani kufichua madudu yako! Kha kweli hii kazi. Lakini kwa Dr umeongea point sana pongezi kwako
Mimi nashangaa kusalitiwa kwani nini wewe opra mjanja sana umeona umemaliza kujenga nyumba unajifanya humtaki mwanaume eti kusalitiwa kwanza kusalitiwa ndokuzuli ujue mumeo anapendwa ila wewe ndo mke oji hawezi kuoa tena lakini turudi nyuma ukijisikia upwiru ukiachana na mumeo nawewe siutaenda kulala nawaume zawatu kwanza kusema kaacha niaibu sana ni fedhea sana mshenzi wewe hunaakili opra
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
❤❤❤❤❤ Mwanaume na NUSU KUMBUKA❤❤❤❤ Allah akuhufadhi
Kumbuka umeongea point sana
Mungu ni mwema,asimamie ndoa yenu,mlee watoto wenu Jack,mshirikishe Mungu tu❤🙏
Uko sawa bro💯
Kumbuka kuna siku unatoa point.... na hii ya Jacky afikirie kuhusu kuwepo na mume ni muhimu, kwenye ulezi na mapenzi ya mtu wako ni wako. Atazame wajane. Ukweli wanawake turudi nyuma kidogo tuongeze heshima kwa waume zetu na kutoa misamaha..... tusameheane. Mnaongea na kuweka mikakati ya kuendelea mbele.
kaongea point kubwa
Kumbuka big up baba umeongea point kubwa sana japo wengi hawataelewa
Umeongea Dr kumbuka chukua mauwa yako🎉🎉🎉
Umeongea vizuri sana
Very true
Exactly Dkt.Kumbuka, Wolpa asikubali kitekwa akili na wapumbavu,mnatakiwa asimame imara arudishe Moyo wake nyuma waishi pamoja ,asiwape nafasi maadui ambao kesho watakuja kumbeza, watu wataongea mengi sn lkn asijali asonge mbele
Kwenye point ya ujane Kumbuka umenigusa. Namhitaji hata mgonjwa hapa nilipo
Take 5❤❤❤❤
Watoto wanahitaji daddy and mommy figure ❤❤❤
Richard sio "Lichard". Rich sio " Lich"😊
Kweli kumbuka umenena vema ushauri mzuri sana
Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ukiachana na mume wako au mke wako kila binadamu atakuja hadharani kufichua madudu yako! Kha kweli hii kazi. Lakini kwa Dr umeongea point sana pongezi kwako
Kumbukaaa shikamooo😅😅😅
Apo kwenye kuuamkia apo😂😂😂 yaani km huuoni unaweza kuuwaza hata wa chizi☺️
💯
Mimi nashangaa kusalitiwa kwani nini wewe opra mjanja sana umeona umemaliza kujenga nyumba unajifanya humtaki mwanaume eti kusalitiwa kwanza kusalitiwa ndokuzuli ujue mumeo anapendwa ila wewe ndo mke oji hawezi kuoa tena lakini turudi nyuma ukijisikia upwiru ukiachana na mumeo nawewe siutaenda kulala nawaume zawatu kwanza kusema kaacha niaibu sana ni fedhea sana mshenzi wewe hunaakili opra
Kumbe mmeo akikuchiti unafurahi kuwa mmeo anapendwa basi akikuletea magonjwa usilalamike