MAOMBI YA KINA YA UFUNGULIVU - DEEP PRAYER BY PASTOR GODWIN NDELWA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @JeromeragiraOmbuna
    @JeromeragiraOmbuna 13 днів тому +4

    Amen, madhabahu ya shetani yenye walitumia binadamu kunifunga hapa duniani nisifakiwe , naitisha nguvu za madhabahu ya maombi kutoka mbinguni zikuje hapa duniani siniondolee madhabahu,ya shetani kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu milele moyoni mwangu

    • @DianaAgustino-yp2kc
      @DianaAgustino-yp2kc 11 днів тому +1

      Amen napokea kifunguliwa kwa maisha yangu na kila Hira za adui hazina nafasi kwangu Wala kwa familiya yangu

  • @LODRICKKAMBALE
    @LODRICKKAMBALE 9 днів тому

    namiye nifunguliwe Kwa jina la Yesus Christo amen pasteur ninashukuru Sana Tena sana

  • @agnessamini8266
    @agnessamini8266 6 днів тому

    Amen amen 🙏 niguse Nami yesu usinipite eeemungu wagu nikubukenami

  • @ValentineSeronei
    @ValentineSeronei 8 днів тому

    Amen🙏nimeona nguvu mingi sana kwa hii maombi, naamini amenifungua kwa kupitia hii maombi Asante yesu.

  • @SabinaKioko-i1f
    @SabinaKioko-i1f 13 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏 Namini pesa zangu zitazimama mikononi mwangu ...barikiwa sana mchungaji

  • @carolynesirengo4337
    @carolynesirengo4337 6 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏 Asante yesu kwa kunifunguwa.

  • @rindkin1856
    @rindkin1856 12 днів тому

    Mungu nifungulie nipate kazi nihurumie mungu wangu

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 13 днів тому

    Amen MUNGU akubariki sana mtumishi

  • @magrethndabigeze5610
    @magrethndabigeze5610 2 дні тому

    Asante Yesu kwa ufungulivu, naamini nitapokea

  • @StallaStalla-h9l
    @StallaStalla-h9l 13 днів тому

    Amen nimefunguliwa kwa jina la yesu

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 13 днів тому

    Asante Yesu kwa Neema na Rehema zako

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 8 днів тому

    Kwa Mungu yote yanawezekana 🙏🏻

  • @bahatimushi6098
    @bahatimushi6098 9 днів тому

    Ameen Ameen asante mtumishi wa mungu

  • @JeromeragiraOmbuna
    @JeromeragiraOmbuna 13 днів тому

    Amen, naitisha nguvu ya maombi kutoka mbinguni zikuje hapa duniani siniondolee madhabahu ya shetani kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu milele moyoni mwangu

  • @lydiangumbu7478
    @lydiangumbu7478 13 днів тому

    Amen.Asante Bwana Yesu.

  • @rosemwashitete4305
    @rosemwashitete4305 13 днів тому

    Asante mtumishi wa Mungu kwa maombi haya nimejikuta nimefunguliwa nimetoka na machozi nimejikuta mwili umekuwa mwepesi Ubarikiwe sana

  • @NeemaKitundu-nn8mz
    @NeemaKitundu-nn8mz 10 днів тому

    Amen mung nisaidie

  • @roseadrian3668
    @roseadrian3668 13 днів тому

    Amen amen 🙌 asante mungu ninaamini kwa maombi haya unaenda kunivusha nilipo,ninapenda ninapopataka

  • @Loice-c9o
    @Loice-c9o 13 днів тому

    Baba nakataa roho ya kutapanya kw jina la Yesu

  • @natashayusuf1988
    @natashayusuf1988 14 днів тому +1

    Amen!

  • @MasmaryamMasmaryam
    @MasmaryamMasmaryam 6 днів тому

    Amen 🙏🙏🙌🙌👏👏

  • @MariamHussein-rt8dz
    @MariamHussein-rt8dz 10 днів тому

    Amina nimefunguliwa

  • @JemimaOmbitsa
    @JemimaOmbitsa 6 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BajouNizeye
    @BajouNizeye 12 днів тому

    Amen baba

  • @MariamAa-zh7yu
    @MariamAa-zh7yu 12 днів тому

    Amiin Amiin 🙏🏼🙏🏼

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli 8 днів тому

    Nikafunguliwe kwa jina la Yesu alie hai

  • @Ñancykwqmbokq
    @Ñancykwqmbokq 5 днів тому

    amen.amen❤❤😢

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g 13 днів тому

    Naomba mungu anisaiie nikayalipe madeni ninayo
    Mungu funguwa hivi vifungu
    Mtihani yatakiwa registration lakini Sina hela za kulipia na deadline inakaribia eeh baba nisaidie kweli

  • @nellykadenyi
    @nellykadenyi 14 днів тому

    amen

  • @juniorlipanda5297
    @juniorlipanda5297 14 днів тому

    Amen!

  • @user-tv9ct4ui8w
    @user-tv9ct4ui8w 14 днів тому

    Amen

  • @AmosBoniface-ch4iy
    @AmosBoniface-ch4iy 13 днів тому

    Amen 🙏

  • @annawambura5175
    @annawambura5175 13 днів тому

    Amen

  • @Ayshernasolo
    @Ayshernasolo 13 днів тому

    Ameni amen

  • @NavoWillson
    @NavoWillson 13 днів тому

    Amen

  • @YasmineeMina
    @YasmineeMina 13 днів тому

    Amen amen

  • @ggfghh6220
    @ggfghh6220 13 днів тому

    Amen

  • @elisabethhappyreine3510
    @elisabethhappyreine3510 12 днів тому

    Amen

  • @AnathAmri
    @AnathAmri 12 днів тому

    Amen

  • @NeemaKitundu-nn8mz
    @NeemaKitundu-nn8mz 10 днів тому

    Amen