MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU | MAOMBI YA UKOMBOZI | USIPITE MAOMBI HAYA MAOMBI NI DAWA.Maombi ya moto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 192

  • @SeifJuma-yt1pk
    @SeifJuma-yt1pk 5 місяців тому +22

    Mchungaji nitakutafuta uniombee kuna vitu vinanisumbua kwenye mwili nyayo na kichwa mwili mzima na pesazangu hazikai

  • @JosphineMwasame
    @JosphineMwasame 6 днів тому +1

    Amen 🙏 ushindi mungu amen 🙏❤

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 місяці тому +3

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa napokea Kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤❤

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 4 місяці тому +2

    Amen Amen Amen Amen baba napokea ukombozi wa mungu ndani ya maisha yangu kwa jina la yesu kristo 🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 місяці тому +4

    Oooooh Yesu unaweza yote mwokonzi wetu Kristo Yesu Kristo hallelujah hallelujah

    • @Josephine-u7y
      @Josephine-u7y 4 місяці тому

      Maombi ni dawa

    • @Josephine-u7y
      @Josephine-u7y 4 місяці тому

      Mchungaji ninaomba uniombee kichwa yangu inauma Kila wakati na tumbo mara nyingine na sikia kama nimechanganyikiwa pia nasikua kizunguzungu

  • @TheresiaZimlinda-x4f
    @TheresiaZimlinda-x4f 5 місяців тому +2

    Amen napokea kufunguliwa kila kona kwenye maisha yangu na watoto wangu,na kuongezeka uzao wangu amen

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому +1

    Asante sana Yesu nisaindie mwokonzi wetu nibungue Kwa jina lako Yesu Kristo wanasareti

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 3 місяці тому +1

    Asante Mungu uwakomboe watoto wangu na madhabahu

  • @ambindwilemary3010
    @ambindwilemary3010 3 місяці тому +2

    Mungu akubariki sana mchungaji. Nimekuwa nakufuatilia na napata mpenyo

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 5 місяців тому +2

    Amina na Amina. Nimekombelewa kwa damu ya Yesu. Amina.

  • @tamariamisi3540
    @tamariamisi3540 5 місяців тому +2

    Askante sana mutumishi kwa maomaombi ya ukombozi mungu anikomboe nauzao wangu na familia yangu amen

  • @janemusali
    @janemusali 4 місяці тому +9

    Naomba maisha ya watoto wangu yabadilike

  • @اال-خ2ت
    @اال-خ2ت 5 місяців тому +2

    ANN INGA BI Amen mm nabata maombi. Niki wa saudia. asante. Baba Ya ngu. Waroho Na shu kuru Amen 🙏🙏🏻🙏🙏🏻🇰🇪

  • @JedidaKitonga
    @JedidaKitonga 2 місяці тому +1

    Amen kupitia maombi yko imani yangu imepanda.

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b 4 місяці тому +1

    Amina amina kupitia maombi haya familia yetu imefunguliwa

  • @sekerasanga264
    @sekerasanga264 4 місяці тому +3

    Kupitia Maombi haya naomba Mungu amfungue mtoto wangu maana ibilisi anamtesa ameni.

  • @DivinahNyambeki
    @DivinahNyambeki 2 місяці тому +1

    Asante sana mchungaji kwa maombi na Mungu azidi kukutumia

  • @RoseMunuo-f9j
    @RoseMunuo-f9j 5 місяців тому +1

    Ameen Pastor, wakati wakusali nimekohoa sanaa naamin nimekombolewa.Mungu wa mbinguni azid kukubariki 🙏

  • @monicadittu2554
    @monicadittu2554 22 дні тому

    Yesu ni msaada wangu maombi haya yanangu nyingi nimepokea uponyaji

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому +1

    Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu sifa na utukufu simurudiye Mungu WA Mungu

  • @zedmsafili6931
    @zedmsafili6931 5 місяців тому +1

    Amina mtumishi napokea ukombozi wangu kwanzia sasa

  • @nginqKanunga
    @nginqKanunga 5 місяців тому +1

    Nashukuru sana kwa maombi yko mtumishi wa mungu

  • @TheAngelofGod-b1q
    @TheAngelofGod-b1q 5 місяців тому +3

    Amen naskia vitu zikotembea tembea Kwa miguu

  • @vickybarakamfitiye5227
    @vickybarakamfitiye5227 5 місяців тому +4

    Ninahomba munisaidie katika maisha ya wabinti wangu wafunguriwe kwa jina rayesu ❤

    • @Josephine-u7y
      @Josephine-u7y 4 місяці тому

      Maombi ni dawa ninaombamunisaidie katika maisha yangu na watoto wangu wote na wajukuu wangu ninapitia maisha mangu sana pamoja na watoto wangu

    • @Josephine-u7y
      @Josephine-u7y 4 місяці тому

      Maombi ni dawa

  • @YonaEmanuli
    @YonaEmanuli 3 місяці тому +1

    Namuomba mungu mke wangu akapate ujauzito tukapate kizazi kilicho bola ameni

  • @LindaNdikumana
    @LindaNdikumana 4 місяці тому +1

    Amen Amen baba mtumishi mungu azidi kukuweka dahima amin baba 🙏🏻🙏🏻

    • @ZeituniJumanne
      @ZeituniJumanne Місяць тому

      Maombi ni dawa

    • @ZeituniJumanne
      @ZeituniJumanne Місяць тому

      Ameen baba nimebarikiwa na maombi mungu akubariki sana unapoendelea kutufungua kutoka kwenye vifungo

  • @chances-x1984
    @chances-x1984 Місяць тому

    Mchungaji mungu akubariki, nakuwa apa goma D.R. Congo.

  • @Moureenegeiza
    @Moureenegeiza Місяць тому +1

    Amen Amen 🙏🙏🙏,damu ya yesu kristo tukomboe mm na familia yangu

  • @BrigitteFuraha-t9q
    @BrigitteFuraha-t9q 6 днів тому

    Asante. Kupitiya ndamu yayesu .mungu aogeze kipawa

  • @AgiAggi-my6yh
    @AgiAggi-my6yh 13 днів тому

    Naomba Mungu akaniondolee hii roho ya hofu na kuota ndoto na kusaau na ninapo soma neno na ninasaau naomba Mungu akanifunguwe na akanirejeshee ufahamu

  • @LeminaTemba
    @LeminaTemba 14 годин тому

    Amina napokea kukombolewa kwa jina la Yesu

  • @SelinaDama-k3l
    @SelinaDama-k3l 5 місяців тому +2

    Nmekmblewa pamoja na familia yngu amen ubarkiwe mtumishi wa mungu.

  • @bahatichenje6224
    @bahatichenje6224 5 місяців тому +1

    U connect my kids to this prayers in Jesus name Amen

  • @Angel-rx7pg
    @Angel-rx7pg 5 місяців тому +2

    Naamin naenda kukombolewa kaika maisha yangu

  • @Lilian20248
    @Lilian20248 5 місяців тому +1

    Amen🙏🙏🙏 Mungu akubariki kwa kazi unayo utumikia

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie Місяць тому

    Amen mungu afungue bilivyo fugwa ndani ya nyumba yangu

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 4 місяці тому +1

    NIMEFUNGULIWA SASA KATIKA JINA LA YESU KRISTO🙏🙏🙌🙌🙌DAMU YA YESU IMENIWEKA HURU

  • @JackiKilima
    @JackiKilima 5 місяців тому +1

    Praise be to God

  • @carolinekageha1884
    @carolinekageha1884 11 днів тому

    Amen pastor uparikiwe nawe pia

  • @TinaNombo
    @TinaNombo Місяць тому

    Amina na Amini katika maombi aya nimefunguliwa Mungu naomba kaniondolee roho ya magonjwa ndani yangu na kwenye familia yetu na roho za kutushusha kiuchumi zikatoweke

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 місяці тому

    Asande sana mutumishi wa Mungu barikiwa sanaaaana

  • @SammondJoseph
    @SammondJoseph 5 місяців тому +3

    Katika maombi aya mungu anikomboe katika maisha yangu piya niende viwango vingin vya juu maana nimepitia mateso menge na mapito magumu namini sasa miujiza inakuja kupitia maombi aya na mungu piya naamini ata nijibu kwa wakati mwepesi 😭😭😭🙏

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 2 дні тому

    Mungu wangu simama na family yangu kwa jina la yesu amen 🙏

  • @EmmanuelOndusoKerima
    @EmmanuelOndusoKerima 3 місяці тому

    Amen,pastor naomba uniombee ili niwese kukomaa kroho,Majina Ni Emmanuel

  • @stacymwesh-xg9lx
    @stacymwesh-xg9lx 2 місяці тому

    Ee mungu naomba ubadilishe maisha ya familia yangu🙏🙏🙏

  • @ambindwilemary3010
    @ambindwilemary3010 2 місяці тому

    Amen
    Nafunguliwa kwa jina la Yesu

  • @wemasimon-cp1fw
    @wemasimon-cp1fw 4 місяці тому

    ubarikiwe mtumish

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 3 місяці тому

    Amina napokea uchumi wangu watoto wangu

  • @RoseMkatambo
    @RoseMkatambo 15 днів тому

    Kupitia maombi haya mungu afungue biashara yangu ya frem

  • @uoendokivuyo6589
    @uoendokivuyo6589 3 місяці тому

    Wabariki watoto wangu mmoja apate kazi na mwingine afaulu vema mitihani yake

  • @magrethkizogi9043
    @magrethkizogi9043 Місяць тому

    Ameen nimekombolewa na nimepona tumbo na miguu na nienda kupokeaa watoto mapacha kwa ukombozi huu amen

    • @elisiamangumi
      @elisiamangumi 11 днів тому

      Ameen nijalie niwe nauzao wakukujua Mungu nakuku tumikia wewe milele

  • @janemusali
    @janemusali 4 місяці тому

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n Місяць тому

    Asante sana barikiwa saidi mutumishi wa Mungu

  • @JudithMunisi-r2u
    @JudithMunisi-r2u 3 місяці тому

    Naomba mungu awakomboe watoto wangu kwenye madhabahu ya ukoo maroho ya kuridhi mungu akanipiganie

  • @elisiamangumi
    @elisiamangumi 11 днів тому

    Katika maombi haya na omba Mungu anipe aniongoze katika masomo yang mimi na wadogo zangu pia awabariki wazazi wangu awafungurie milango ya baraka katika uchumi wao na awaondolee mitafaluko katika familia BWANA ahimidiwe

  • @SalomeSimiyu-t7l
    @SalomeSimiyu-t7l Місяць тому

    Kupitia maombi haya naamini nitafunguliwa pamoja na watoto wangu amen.

  • @NyamoriPhiles
    @NyamoriPhiles 5 місяців тому +2

    Pastor niombee mm niko gulf lkn siku hizi nikiamka nasikia kujoka mwili wangu wote kila siku nasikia kama ni miguu yangu inajomeka sijui shida plz niombee

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 місяці тому

    Asante sana Yesu Kwa uaminifu

  • @ShangaziShangazi
    @ShangaziShangazi 3 місяці тому

    Baba Asante Kwa maombi hakika damu ya Yesu imekata Kila mishale ya magonjwa na madhabahubzimevunjika kwangu nikumbuke

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 5 місяців тому +1

    Mungu ametenda

  • @NizereOrnella
    @NizereOrnella 12 днів тому

    Allelua napokeye uponyaji kwajina la yesu kristo

  • @agnessanga9228
    @agnessanga9228 27 днів тому

    Mungu akubariki sana

  • @CatherineNdambuki-z1e
    @CatherineNdambuki-z1e 4 місяці тому

    Pastor amen niko na madui kazini tusindi kuomba washindwe kwa jina la yesu

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 3 місяці тому +1

    Ee Mungu nikomboe katika madhabahu zote za Giza poppet zilipowekwa na nilizoingia kwa kujua nakutokujua

  • @Yusufubahati-xc8jg
    @Yusufubahati-xc8jg 2 дні тому

    Maombi ❤❤

  • @ClareKwamboka-gz4pm
    @ClareKwamboka-gz4pm 4 місяці тому

    Amen Amen, nakataa ndoto mbaya nasosiota kwa Familia yangu, waja damu ya yesu iliyo mwagika ikasingire Familia ygu, I command fire in Jesus name

  • @NadulaMgusi-h3z
    @NadulaMgusi-h3z 2 місяці тому

    Mungu niepushe na wabaya wote baba

  • @HellenKatto
    @HellenKatto 4 місяці тому

    Mungu atatufungua amina

  • @MaslinNelima
    @MaslinNelima 3 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana pastor

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 3 місяці тому

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @joankalegi
    @joankalegi 2 місяці тому

    AMEN,,, 🙏🙏🔥🔥📖📖,, LEO IKAWE USHUHUDA KWANGU 🙏🙏✝️✝️

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤ aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 23 дні тому

    Asante Pastor Amen Amen Halleluja 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 місяці тому +1

    Nakataa magonjwa ya kufanana kwenye family magonjwa ya kurizi vifo vya kufanana fanana kwa jina la Yesu

  • @SamuelVictoireSAM33
    @SamuelVictoireSAM33 3 місяці тому

    Amen servant of God be blessed

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 місяці тому

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @KaumbyaJasinta
    @KaumbyaJasinta Місяць тому

    Amina Sana napokea kwa jina la yesu

    • @KaumbyaJasinta
      @KaumbyaJasinta Місяць тому

      Mchungaj nasumbuliwa Sana na ndoto za kijijin nilipo kulia na pia nakua nasoma shule ya msingi na pia hua naokota hela mda mwingine na kuota nakula naiman kukujua ww mchungaj nitasaidika kwa jina la yesu.

  • @JaneSegesela
    @JaneSegesela 2 місяці тому +1

    Naomba Emanuel abadilike

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 4 місяці тому

    Maombi ni Dawa!!!!🎉🎉❤❤

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 3 місяці тому

    Asante Yesu kwa kunikombos

  • @ReginaAsha
    @ReginaAsha 5 місяців тому +1

    Naamin naenda kukombolewa katika maisha yangu

  • @JudithNafuna-b7g
    @JudithNafuna-b7g 4 місяці тому

    Emen emen 🙏 thank you God 🙏

  • @loreamusanga7145
    @loreamusanga7145 5 місяців тому +1

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hidayababu9477
    @hidayababu9477 3 місяці тому

    Nimekombolewa na familia yangu kwa damu ya yesu amina

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому

    Glory Glory Glory Glory

  • @RosemuthiniEndres
    @RosemuthiniEndres 2 місяці тому

    Amen 🙏 i reve

  • @Cianadvd1
    @Cianadvd1 3 місяці тому

    Amina baba

  • @francisonyango1796
    @francisonyango1796 5 місяців тому +1

    Amen

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 місяці тому

    Asande Sana mutumishi wa Mungu

  • @ChristinaNtilakigwa
    @ChristinaNtilakigwa 2 місяці тому +1

    Mungu naomba utemberee familia yangu 1:19

  • @mercyjay5595
    @mercyjay5595 5 місяців тому +1

    Ameen

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 4 місяці тому

    Pastor naomba ukanikumbuke kwa maombi mtoto wangu anaelekea mwaka na ajakaa ajatembea 😭😭😭 simama na mimi

  • @JoyceVihenda-t2n
    @JoyceVihenda-t2n 10 днів тому

    Pastor niombee naota ndoto mbaya sana

  • @happymassao6044
    @happymassao6044 3 місяці тому

    Silaha ni maombi

  • @MAG-yb5ez
    @MAG-yb5ez 5 місяців тому +1

    AMEN

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 місяці тому +1

    Kila nikishika ela najisikia kutoa tuu hazikai kwangu kupitia mazibau hii nataka pesa zangu zikae sasa in name Jesus Amen

  • @RosemuthiniEndres
    @RosemuthiniEndres 2 місяці тому

    Maombi ni dawa amen

  • @VivianFuraha
    @VivianFuraha 2 місяці тому

    Amen and amen

  • @KitalembwaSimon
    @KitalembwaSimon 2 місяці тому +1

    Nina pata fursa nyingi za pesa lakini kila ninapo shika pesa, njia zangu zinafifia na kurudi nyuma tena.. Ninaomba huruma ya Mungu leo

  • @BeatricePeter-zg5ee
    @BeatricePeter-zg5ee 2 місяці тому +1

    nahitaji tafsili naota nimefiwa na baba yangu aliyekufa miezi 2 iliyopita na malia sana kwa uchungu sana