KIFARU JAMBAZI ANAETIKISA JIJI LA DAR KWA MAUAJI NA UTEKAJI MPAKA VIONGOZI/NAKUNYWA MAJI YA MAITI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 96

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 Рік тому +4

    Azimio, Maputo, Maduka2, Sokoine, Vijana Wana hujanja wa ovyo, Mungu nusuru vizazi vyetu.

  • @mulazsaid1907
    @mulazsaid1907 Рік тому +2

    Pamoja saana Mr Everything 💪

  • @directorjp5783
    @directorjp5783 Рік тому +4

    Hoster tulia kidg una mambo mengi alafu usiitikie itikie tu kila kitu muache ajieleze...ila upo vzr mkuu kuweza kufany hiyo kitu sio jambo dg. Big up.

    • @nawechi4818
      @nawechi4818 Рік тому

      Yes anahangaika sana Mara apige miayo mxiuuu na hizo ok ok zake sana

  • @barakamkwawa-ub7xy
    @barakamkwawa-ub7xy Рік тому +2

    Leo nimeamini kumbe kweli jamaa yangu uyo tumekuwa wote ajaongopa ata moja simu yangu ya kwanza kaniuzia yy

  • @donathjohn5847
    @donathjohn5847 Рік тому +3

    Upo vizuri mwana...story za majambazi ndio zenyewe

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen Рік тому +2

    Leo davistar umependenda 👍 story nzuri

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 Рік тому +10

    Asante sana Mr. Everything! Hata hivyo, Heading uliyoandika ni ya wakati uliopo, lakini stori yenyewe ni ya wakati uliopita. Rai yangu kwako, kwa sababu tunakuamini sana, basi, weka Heading yenye wakati unaoendana na stori, tutaisikiliza na kuifuatilia. Vinginevyo, you are doing great!

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  Рік тому +2

      Nilisahau kidogo hapo

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 Рік тому

      Unanikumbusha wakati wa shule
      √ wakati uliopo
      √ wakati ujao
      √ wakati uliopita

    • @adamfundikila
      @adamfundikila Рік тому

      ​@@DavistarMataMediaDM part 4 ipo

    • @mshua337
      @mshua337 Рік тому

      Lualuke.mwamba kanikumbusha mbali mno

    • @caimedia
      @caimedia Рік тому

      ​@@DavistarMataMediaDM Unaonaje ukiibadilisha kuwa wakati uliopita maana inawezekana, Hongera Kwa kazi nzuri

  • @kharfanally4186
    @kharfanally4186 Рік тому

    Katingisha sana pia alikuwa ana jiita mbowe mzee wa helcpt

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 Рік тому +3

    Bosi yangu uyo!! Incharg anasema ni kwel kbs

  • @chacha_jr20
    @chacha_jr20 Рік тому +2

    uyo jamaaa akikuteka aseee utoboi😁😁

  • @hanxhemed-lw8hr
    @hanxhemed-lw8hr Рік тому +1

    Ebhnaa eeeh huyo jamaa alitkikxa xana kichangan xio poaa

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 Рік тому +6

    Nilikuwa Siamin Sana Hz Story Za UA-cam Kuhusu Hawa Watu Lkn Ukwel Sasa Nawaamin Baada Ya Kumuona Mtu Ninaemjua Kabsa Tangu Utoton Kwangu

  • @himoda7647
    @himoda7647 Рік тому +3

    Jaman mbona kama anamshipa Uyu Kifaru 😂😂😂

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +2

    Davista upo makini sana hii ya kutafutya usingizi wacha nimalize kazii😊😊😊😊

  • @driss4957
    @driss4957 7 місяців тому

    Huyo Kifaru hakuwa jambazi,Alikuwa mporaji,kibaka na kina Manondo,Bashiru Baina.vibaka.

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Рік тому +1

    Yaani Sichoki kusikiliza Pamoja Sanaa

  • @aboually2472
    @aboually2472 Рік тому

    Hahahha mliyatimbaaa kwa CDO

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 Рік тому +2

    Story zako zinafanana na zangu miaka ya 90 nimewakimbia mpaka leo😁🇹🇿🇬🇷

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому

      Sasa wewe ujisalimishi au unaendelea tukutafute na uko pande zipi

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 Рік тому

    Haaaaahaaaaa nimecheka kwa sauti kwakweli

  • @barakajoseph2234
    @barakajoseph2234 Рік тому +2

    Wanaokubaliana kuwa mwamba anafanana na idd Amin Dada like apa

    • @driss4957
      @driss4957 Рік тому +1

      Amefanana na Nduli Amini ni kweli kabisa...

    • @HansBwoi
      @HansBwoi Рік тому

      Idd amini alikua hana mshipa/busha🤣

  • @furahishagerald7933
    @furahishagerald7933 Рік тому +2

    Huyu jamaa nikonda wamagari hapa mwanza kisesa nyashishi

    • @abdulhamis9825
      @abdulhamis9825 Рік тому

      Kwel Ni Miaka Mingi Sana Yupo MWANZA lkn Ameishi Maeneo Ya Temeke Mtongani Pale Kichangani Na Ukwel Alikuwa Mkorofi Sana Enzi Zake

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +2

    Aliyekula nyama za watu hawezi kuacha sikiliza grip za mwalimu nyerere huyo bado mwizi tu

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw Рік тому +1

    Ngoja tusikie wametuibia sana

  • @twaliburamadhani2030
    @twaliburamadhani2030 Рік тому +1

    Mwanangu sana huyu kifaru na halishawai kuniuzia simu maeneo ya mtoni kichangani simu ya alcatel daaa kitambo sana mahana kulé soweto kuna wajinga walitaka kunikaba jamaa akanitetea na kunipa ulinzi mpaka geto kipindi tunajitafuta

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 10 місяців тому

    Ngoja nimsikilize kwanza

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 Рік тому +2

    Nimekuja hapa sababu ya kuona jez ya Mwananchi YANGA

  • @johnjoseph1106
    @johnjoseph1106 Рік тому +2

    Aliyetikisa sio anayetikisa na hali kaacha

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 Рік тому

    Mr Fact

  • @ladyshine8731
    @ladyshine8731 Рік тому +1

    Kwan bigi man alishaacha michongo hiyo?

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 Рік тому +2

    Nakumbuka ili tukio..ilikuwa muimbaji ameanza kuimba tu ile unaela weweee kabla hawajaitikia dakika bastola ikapigwa juu paaaaa.kumbe ni wewe..nilikuwa naishi pile mtaa wa imo ..jmn🙆..

  • @joelmasaluje8127
    @joelmasaluje8127 Рік тому

    Iyo kahawa c utalewa

  • @allyshabaan3327
    @allyshabaan3327 Рік тому +1

    Mtoto wa bibi nyamkoga namjua mwanzo mwisho

  • @aggreyissaya4342
    @aggreyissaya4342 Рік тому

    Jambazi mwannchi

  • @eng.samytogenius7404
    @eng.samytogenius7404 Рік тому +2

    Sasa ndio avae jersey ya Yanga

  • @bobman2237
    @bobman2237 Рік тому +3

    Kifaru Mwana Yanga😂

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +2

    Mzee davista anagongea story na alqasusu

  • @fenellalilian4590
    @fenellalilian4590 Рік тому +21

    Wakwanza nipeni likes plis

    • @joycemuhoja4729
      @joycemuhoja4729 Рік тому +3

      Yaani sichoki kusikiliza Pamoja Sanaa

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 Рік тому

      Namjua jambaz hatar huyu pia alikaba sana mtoni

    • @sknapoleonshoo3145
      @sknapoleonshoo3145 Рік тому +2

      Hivi izo like mnazo omba UA-cam huwa mnapeleka wap??? 😅

    • @HansBwoi
      @HansBwoi Рік тому +1

      ​@@sknapoleonshoo3145 ushamba tu🤣

    • @haidarykufakunoga5973
      @haidarykufakunoga5973 Рік тому

      @@sknapoleonshoo3145 🤣🤣🤣🤣 hata Mimi huwa sielewi faida ya hizo LIKE.

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 Рік тому +1

    Part 2. Sijaipata

  • @neymuu3086
    @neymuu3086 Рік тому

    Ih kumbe huyo yupo mweh!

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 Рік тому

    Umeichekesha,ile makomando waache waitwe makomando,alivyowapa kazi

  • @toptopress4909
    @toptopress4909 Рік тому +1

    Nachukia uandishi kama huu. Heading na Story ni haziendani kabisi

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому +1

    Alivokaaa kaaa hadi namuogopa ,, hatumii pombe na bangi havuti na yupo ivyo je angekua anatumia angekuaje ??
    Afu simuelewi anabusha nini mbona furushi kama lotee kalikumbatia mapajani 🤔🤔

    • @fahadjinni5845
      @fahadjinni5845 Рік тому

      Kwan bangi ina nn jmn😥munaisema tu

    • @pawaally
      @pawaally Рік тому +1

      Itakuwa kapigwa kamzigo na aliowaibia ndio maana kaacha wizi

    • @MerryRenatus-ck4lz
      @MerryRenatus-ck4lz 2 місяці тому

      😂😂😂😂​@@pawaally

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 Рік тому +2

    Polisi anazaa jambazi makubwa

  • @amanikillo5529
    @amanikillo5529 Рік тому

    Kitmer na equator bar & Grill navikumbuka vyote....

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 Рік тому

    Kwenye kila tatizo tz hapakosi chura wa yanga …

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +1

    Kijana na mtu hyo imekaa je davista

  • @sharifarashid725
    @sharifarashid725 Рік тому

    Broo nakuitaj uyo mtu nilafikiangu nakitambo icho nampataje

  • @biblicalchristianassemblies

    Dav kama pastor vile!

  • @tintin0019
    @tintin0019 Рік тому

    JAMBAZI HUYU MBNA ANASURA NZURI KAA YA DADANGU HUYUU

  • @samirymwita7162
    @samirymwita7162 Рік тому

    Baba nyangoma

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Wamama wa uswahilini wanafuga wezi

  • @tututz100
    @tututz100 Рік тому

    J.boys 1999

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому

    Police wanajua wezi wote kama mganga anavyowajua wachawi wote

  • @bobman2237
    @bobman2237 Рік тому +2

    Kifaruu 😂

  • @allyjr23
    @allyjr23 Рік тому

    🤔🤔🤔🤔

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 Рік тому

    🤔🤔

  • @fatumaali4275
    @fatumaali4275 Рік тому

    🐸🤣🤣🤣

  • @rashidisalehe8614
    @rashidisalehe8614 Рік тому

    Mfate na tenende nae

  • @maghanighanichali9519
    @maghanighanichali9519 Рік тому

    Toeni mifano ya kujenga na sio kubomoa.Huyo kajikamatisha aende jela tu.Mnawafundisha watoto uhuni au kuiga tabia chafu