JAMBAZI SUGU TOKA KIGOMA ALIEKUWA ANATEKA MABASI NA KUINGIA KATIKA UCHAWI MWEUSI/WENGI TULIUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @samwelmwigicho3092
    @samwelmwigicho3092 2 роки тому

    Asante Mr davista mata

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 2 роки тому +4

    Kigoma mpaka sasa wanashikilia number moja kwa haya mambo, Kigoma Mungu aitakase.

  • @elgringogringo5238
    @elgringogringo5238 2 роки тому

    Asili mrundi huyo....😂😂Barankiriza jina la kirundi hilo😂

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 роки тому

    Watching from NAI 🇰🇪🇰🇪

  • @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG Рік тому

    Simulizi nzuri sanaaa

  • @nawandafamito500
    @nawandafamito500 2 роки тому

    Majina tu matukio tosha, 👿👿👿👿 ni hatari sana, wharching from 🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷.

    • @reyyathu8978
      @reyyathu8978 2 роки тому

      Haha watching from Brazil au Moshi hahaha

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 роки тому

    Davister umeanza kukomaa hehe

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 роки тому

    Aiseeee thanks Mr davistar mata 🙏 🙌 we learned a lot 🤝 sema hapa bado tu aliyekuwa anaiba kwenye ndege tutaona meng sana 😄😄😄😄

  • @zakapellasamwely7256
    @zakapellasamwely7256 2 роки тому +1

    Pamoja Sana Kaka

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 роки тому

    Together Mr everything 💪

  • @iandavid4878
    @iandavid4878 2 роки тому +1

    Hii stori inaonekana itakua bambi sana wadau

  • @petermembe8471
    @petermembe8471 Рік тому

    Ndugu muandishi ningependa ufanye mahojiani Kwa utulivu maana hutulii kabisa ni kama Huwa hujajiandaa umeshtukizwa

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 Рік тому

    Mnawachukulia watu poa nhe ukiwa mchungaji basi ulikua jambazi umeokoka acheni kucheza na akili za watu nyinyi.

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 роки тому +1

    Hapa kwa akina Musa Echese

    • @reyyathu8978
      @reyyathu8978 2 роки тому

      Hehe kumbe you noticed the name

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 роки тому

    Saw tuko tumetegea 👂

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 роки тому

    Sana mkuu

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +1

    Shetani ndie atoae mbinu zote za wizi

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 роки тому

    DH rubbers 1992/1994

  • @abdibilali4186
    @abdibilali4186 2 роки тому

    ila Davister napenda Sana ushirikiano wako was kuitikia na kuuliza vimaswali chombweza

  • @evadotv9528
    @evadotv9528 2 роки тому

    Pamoja sana

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 роки тому

    Pamoja sana Mr golden boy

  • @nobertmakoi1339
    @nobertmakoi1339 2 роки тому

    Tupo hapa

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 2 роки тому +5

    Mwisho wa story utaxikia kawa mchungaji

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @johndevi2153
      @johndevi2153 2 роки тому +6

      kwani bro Ina ubaya gani kuwa mchungaji yaani ametoka kumtumikia shetani amemrudia Mungu what's wrong with you guy

    • @hildpaul7823
      @hildpaul7823 2 роки тому +4

      mna roho za chuki sana Mungu awaponye

    • @issajumamwinyi6191
      @issajumamwinyi6191 2 роки тому +1

      Mwenyezi Mungu akuponye nawe uwe mchungaji....mahali uliko sio sahihi bro!!

    • @hildpaul7823
      @hildpaul7823 2 роки тому

      @@issajumamwinyi6191 wewe una uhakika gani ulipo ni sahihi mshukuru Mungu kwa yote acha kuingilia imani za watu hata kama ni mpakani we tulia ulipo

  • @munabalushi2964
    @munabalushi2964 2 роки тому

    Hadi mwakani nae Davistar atatupa ushuda wake alivo chinja watu Then atakua mchungaji mambo ya mastory tena hayato kuepo. Maan hakuna mchungaji alio okoka bila kufanya mauwaji. et nimeokoka😏😏 umeokoka nni ww😁😂😂😂😂🤣

    • @reyyathu8978
      @reyyathu8978 2 роки тому

      You're always here spewing bitterness. We kwanza nani amekuita page ya watu wanamtafuta Mungu ukiona page inakushinda UNSUBSCRIBE .. unaongea nkama Kuna kitu unaongeza.poteaa bana

    • @chazmchokozi5374
      @chazmchokozi5374 2 роки тому +5

      Bangi sio mboga kula pole pole hiyo bangi haiwez poa kwa hivo😂👏👏