Mungu atusaidie tuwe na mioyo iliyonyenyekea. Ukiwa una unyenyekevu Mungu huondoa kiburi,majivuno,hali ya kukubali kukabiliana na mazingira .Mungu atusaidie.
imetosha sasa watu kuwahubiria yaliyo ya Dunia sasa waambie watu watubu wamludie Mungu wayaishi maisha matakatifu yasiyochangamana na dhambi waambie wanawake waache mapambo waambie wanaume wavae mavazi ya kuistiri miili yao na sio mavazi ya ushoga.saa imefika Mwana wa Adamu yuaja mawinguni na utukufu mwingi wa Babaye na Hasira ya Mwanakondoo.
Pkea balaka 🙏🙏🙏
Napenda kusikiza pst mgogo yeye usema ukweli siku zote
Barikiwa Sana mchungaji umenifundisha vitu bingo Sana sahv nimekuwa mwalim kwa vijana
Pastor ubiri kabisa unanibariki sana
Unanibariki sana❤❤❤
Amen Amen 🙏 🙌
Ubarikiwe sana pastor. Umegonga. Ndipo
Amina mchungaji barikiwa sana
Hongera sana mchungaji kwa mafundisho yake
Kenya tunakupata Sana ubarikiwe mchungaji,,,❤
Wow very true it has blessed me may people listen to this and follow be blessed pastor
Nimebarikiwa Sana
Amen Amen
Amen mchungaji nabarikiwa sana
Pst. Wanibariki Sana. Ipo siku utakuja Kenya Shimoni. You are a blessing to the whole world more so Kenyan
Umenibariki sana mtumishi wa bwana
Leta ikiwa full maana imenibariki sana,,,,ameeen Peter kutoka Kenya
Nafuatilia from Kenya..nabarikiwa Sana mchungaji
@@marywachia3533 the wq
Hapa wakenya kama Mimi Kwa hiyo video @1:46 hawajui LUMBUKUWENI.....Kwa kingereza LUMBUKUWENI maanake FIRST LOVE...
Jambo mutchungaji una nibariki sana baba endelea mbele tu
Endelea baba tupone
Pastor Mungu akubaliki Sana Sisi unatukenga sana
Mungu atusaidie tuwe na mioyo iliyonyenyekea. Ukiwa una unyenyekevu Mungu huondoa kiburi,majivuno,hali ya kukubali kukabiliana na mazingira .Mungu atusaidie.
Amen I'm being blessed.
Amen
Pastor ajengewe Sanam posta
let God bless you with all of the above powerful prayers
Ubarikiw pasta
Ameen pastor mgogo you really bless people
Ahsante kwa mafundisho mazurii
Watu wajitume. Waache uvivu.Mchungaji tunakupenda haswa sisi wa Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪.
Mungu hakubaliki baba
Ee Paster Daniel Mungu akusimamie katika safari zako
Amen 🙏🙏
Barikiwa Sana Baba Mchungaji kwa mafunzo yako
Ni kweli kbs Mtumishi wa Mola
Asante kwa mahubili majuli yanatujenga sana kiroho
Huyo mama mweusi kasuka vizuri kweli .
Kweli kweli 😢😢😢
imetosha sasa watu kuwahubiria yaliyo ya Dunia sasa waambie watu watubu wamludie Mungu wayaishi maisha matakatifu yasiyochangamana na dhambi waambie wanawake waache mapambo waambie wanaume wavae mavazi ya kuistiri miili yao na sio mavazi ya ushoga.saa imefika Mwana wa Adamu yuaja mawinguni na utukufu mwingi wa Babaye na Hasira ya Mwanakondoo.
Somo nzuri
Aminaa🤝
Mtumishi unaongea ukweli na kweli tupu ! Mungu akubariki.
Kweli Mgogo kuna kipindi cha kupanda na kuvuna. Wakati wa kupanda vumilia
Jameni dada mm ni mkenya ila kiswahili chenu kitamu kweli lakini bukuu inamaana gani
Kusoma number inamana gani
@@danielekakoro5265
Buku - ni Tsh 1,000
Sio kiswahili sanifu , ni slang ila inatumika sana
@@bonifacembilinyi5576 na c hiyo ni pesa mingi sana haswa apa Kenya
@@danielekakoro5265
Kenya ni hela ndogo sana , kama ksh 54
Amen Man of God
Nice preachings
❤❤❤
😹😹😹😹nakukubali Sana pasta, unahubir ukweli kabisa yaaa jina la bwana libalikiwe😂😂
Ukweli pastor wangu
Pastor ukija Kenya nitakuona wapi .???
Ukweli kabsaa
Nikweli mtumishi kuishiwa kupo..hadi uhagi nyumbani
LUMBUKUWENI hapo kwa 1:46 ...SAWA NA FIRST LOVE
let me post this comment here in the year 2040 l will come back to remind myself that l learnt "LUMUKUWENI" from pastor Mgogo.... with love from Kenya
Sasa iko poa
Nakumbuka nilipopata ajali mke wangu kaniacha kashikana na caretaker kaniacha na maumivu
Polee sana
hii tamuù
Hebwanawe achakututibuwa sisiwatuwakijijini kumbukamungu anafanya kitu akiwanamakusudiyake hiviunajuwa kwanini Mungu aritengeneza kijiji namuji ndomanaaribadirisha hatamazingirawaa chehivyo munguatawabadishiyamazingira
Nimesoma kitu kipya Leo kubali Kila wakati
Niukweri Mimi Niko naduka
Mchungaji tunakupa likizo Siku 60 ukirudi ulipoti makao makuu.
🔥🔥😂😂😂😂
Pokea balaka
😂😂😂😂😂😊
Mungo
Hhhhh
😂😂😂😂 wanawake tutafut pesa
God bless you poster
Umenibariki sana mtumishi wa bwana
Nimebarikiwa Sana