"NIMETOBOA JICHONI FASHENI/UKITOBOA UNAZINDILIA"-ZAI KIJIWENONGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2022
  • #geahhabibu #geahtv #kijiwenongwa

КОМЕНТАРІ • 73

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +9

    Hizi kutoboa toboa bora zinipite tu kwa kweli😫🙌🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @alsam4881
    @alsam4881 Рік тому +3

    Ukiona mtu anatoboa sehemu siyo ya kawaida kwa mfano juu ya jicho, ulimi, mdomo n.k au kujichora matatoo ujuwe hajiamini kwa uzuri aliyoumbwa na Mungu, na Ndiyo maana anatoboa sehemu siyo sahihi au kujichora mwili na matatoo ili apate attention za watu 😏😣

    • @zuuland8489
      @zuuland8489 Рік тому +3

      Kaa kwa kutulia

    • @queenandchill91
      @queenandchill91 Рік тому +2

      Hayo ni mawazo yako. Kama huwezi kutoboa acha , stop judging people with stupid reasons.

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 8 місяців тому +1

    Nilitoboa mdomo ham sina nilivimba nikawa sitok nje aibu😅 mme wangu akawa haelew kila siku nasemwa na nilitoboa jwa sonara sh 5000 ham sina nilijiuguza kwa 50 elfu sindano z pawasef na madawa mengine mdg kuja kupona ukawa mwembamba😂 yan hd umerud kwenye hali yangu y kawaida n miez ham sina kuiga huku hapana

    • @raniahAbdul
      @raniahAbdul 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +1

    Umependeza Zai ila me hapana 🙌

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Рік тому +10

    Ulembo huo mm apana Bola nibaki na ushamba wangu😀😀🙌

    • @ashavitalis4504
      @ashavitalis4504 Рік тому +1

      Yaani me hata masikio ya kiziba sitatoboa abadani

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 Рік тому +1

      @@ashavitalis4504 😀😀wewe ndio mm kabisa wasingenitoboa utotoni nisingevaa hereni kabisa

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 Рік тому +1

      Mm nilijaribu kujitoboa sikio weee sindano ilingia robo yake nikaitoa ila nitaenda kutoboa kama Ambar Lulu napenda 😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 Рік тому +1

      @@dorcaskidoti249 🤣🤣🤣utaumia Sana acha tuu mwenzangu

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 Рік тому +1

      @@hanifaomar7438 mwenye kilanga hapewi poleee😂😂😂😂😂😂😂

  • @annastaziajohn9269
    @annastaziajohn9269 Рік тому

    Nakupenda bure da zai

  • @kashrajabu5744
    @kashrajabu5744 Рік тому

    Kidoo Cha maji wendechooni, nimecheka kwakweli

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 8 місяців тому

    Mm ningekaa karibu na dazai haki y Mungu ningecheka kila siku jmn😂😂 da geah anachekaa mwenyewe kw shoga ake zai😂

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 Рік тому

    Zai umetisha wekiboko 😁😁

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому

    😃😃Gooooozii

  • @munilamuro5702
    @munilamuro5702 Рік тому +3

    Yan zai nataman niwe nakuja kukaa tu na wewe🤣🤣🤣🤣

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 Рік тому

    Hee mtihani, puani naogopa

  • @zainabzwena3156
    @zainabzwena3156 7 місяців тому

    Zai wewe una mambo

  • @shamsikiluwasha9541
    @shamsikiluwasha9541 Рік тому +1

    Nimetomboa hivyo vikwasukwasu wara haviumi

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому

    Mimi hapana🙌🙌🤣

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому

    Hahaa. Zai noma

  • @mwanahamisimwelesi6682
    @mwanahamisimwelesi6682 Рік тому

    Geh nataka namba nashughur

  • @salma0000
    @salma0000 Рік тому

    Mjini kunafanywa mengi Zai sasa ukiendekeza kuigaiga utakuja kuiga yasiyoigwa

  • @happymchomvu6766
    @happymchomvu6766 Рік тому

    😂😂😂😂KWASUKWASU LAZMA UPUMUE😂😂😂zai Una tabu wew

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Umependeza sana 🤣

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 Рік тому

    Zai kiboko

  • @tato8979
    @tato8979 Рік тому

    Umependeza sana

  • @rehemalukali8326
    @rehemalukali8326 Рік тому

    Mimi pia nimetoboa ,,,hapo mdomon na pua kwa sonara ila maumivu yake usisikie hadi nimepona nashukur mtu anakwambia umependeza ila tunauguliaga maumivu sio ya nchi hii 😂😂😂

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 Рік тому

    🤣🤣zai bwana

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h Рік тому

    Mm nilijitoboa pua🤣🤣🤣

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 Рік тому

    😂😂😂Zai ww jmn

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 Рік тому

    😂😂 siwezi

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 Рік тому

    Na hata ww pia una roho ngumu tn sana, Allah nihifadhi mm na kizazi changu. Mwengine ya nipite.

    • @ireneallen9547
      @ireneallen9547 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣nampenda zai ananitoa stress 🤣🤣

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 Рік тому +1

    nipeni number nataka Product za chuga nipo Burundi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Duh kumbe Uswahili kutoboa buku 🤣🤣😂muend kwa matob bhn ana toboa shiling 50

  • @joycegeorge4712
    @joycegeorge4712 Рік тому

    Za amependeza

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 Рік тому

    Nyie 😂😂😂

  • @benadetamasanja3966
    @benadetamasanja3966 Рік тому

    😄

  • @eysherjuma3779
    @eysherjuma3779 8 місяців тому

    Gumu kama kwasukwasu😅😅😅😅😅😅😅

  • @joycegeorge4712
    @joycegeorge4712 Рік тому

    Mtatoboa kila sehemu ila hamtoboi maisha

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣 poleni

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 Рік тому

    Ya nini mie😐

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 Рік тому

    Mimi nilijaribu kujitoboa sikio sindano ikaingia robo nikaichomoa weeeeee😂😂😂😂😂😂🙈🙈🙈🙈🙈🙈

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews Рік тому

    Hahahha

  • @evelinekingu7888
    @evelinekingu7888 Рік тому

    😅😅😅😅😅

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 Рік тому

    Zaiii unanifurahisha sana

  • @user-gp5wf2jd6p
    @user-gp5wf2jd6p 10 місяців тому

    😂😂😂

  • @user-eb8dj4sl8n
    @user-eb8dj4sl8n Рік тому

    😆😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @rehemalukali8326
    @rehemalukali8326 Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @winfridantandu2870
    @winfridantandu2870 Рік тому +1

    😂😂🤣

  • @manasa2449
    @manasa2449 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 3 місяці тому

    Tetenasi hamuogopi

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 Рік тому

    Hahahahhahha

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    ,🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    😂😂🤣Zai nyei

  • @she_gorjuss
    @she_gorjuss Рік тому

    Piercing 1000 😂😂😂nyie nyie

    • @raniahAbdul
      @raniahAbdul 7 місяців тому

      Wakati kwa Dr matobo 30000😂 vya rahisi vinaponza😂

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 Рік тому

    Sisi aina utaaramu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 Рік тому

    Zai penda sana wewe

  • @annastaziajohn9269
    @annastaziajohn9269 Рік тому

    Nakupenda bure da zai

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 Рік тому

    kwhy lazma ukanyeee ukitobolewa

  • @aminasaid9382
    @aminasaid9382 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @furahannko10
    @furahannko10 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 Рік тому

    🤣🤣🤣

  • @ruu6592
    @ruu6592 Рік тому

    😂