WATOTO WASIMULIA MAZITO WALIYOKUTANA NAYO BAADA YA KWENDA KUISHI NA BABA YAO KWA MUDA MFUPI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 кві 2024
  • #geahhabibu #geahtv

КОМЕНТАРІ • 117

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 місяці тому +15

    Mungu tujalie afya na uzima tulee watoto wetu.....semeni amiiiin🤲🤲🤲🤲

    • @RakaPk
      @RakaPk 4 місяці тому +3

      Amin 🙏

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 4 місяці тому +1

      Amen

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 4 місяці тому

      Maisha hàya jmn usikute ndugu nao hawana umoja bwana had ndugu wa mume kutoa kauli hawatak huenda waliwakataa hao watt ndugu wa mwanamke jmn tupendane mtt wa ndugu yako wakwako endapo anatabia nzur na wakiwa sio vibur

    • @user-mi7cd8ch1b
      @user-mi7cd8ch1b 3 місяці тому

      Ameen

    • @user-mi7cd8ch1b
      @user-mi7cd8ch1b 3 місяці тому

      Ndugu zetu wa tz mnaroho mbaya sana ndg yako akienda nchi za nje kurea watto wa ndguzenu mnaona shida na ndiomana wariwazuiya meshindwa kuka nao,,,na we mwanaume unashindwa kurea watto wako wakanti mpo hai Nan hakurere watto wako mikojo yako ukojoe ww unataka kulelewa mbwa nyie wanaume mnashindwa kurea watto wenu

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 4 місяці тому +15

    Daaah 😭😭😭😭😭wamama leeni watoto wenu ndugu zangu 😭😭

    • @anifamickidard4555
      @anifamickidard4555 4 місяці тому

      Sio kwamba hatutaki kuishi nao ni mazingira ya utafutaji Tu ndugu yangu

    • @user-ur8cq1ye3b
      @user-ur8cq1ye3b Місяць тому

      ​@@anifamickidard4555kwakeweli tutafute tutakachokipata bac tuludi nyumban tukakaenawatoto wetu

  • @juliethndomba639
    @juliethndomba639 4 місяці тому +10

    😢dah! Ila wababa wengine ni shida

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 4 місяці тому +10

    Wababa siwalezi jmn ukimpata mwanaume anakea watoto shukuru Mungu

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 4 місяці тому

      kwanza anamuachiaje watt baba miaka hii wanaume hawaaminiki

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 4 місяці тому +12

    Alipokosea mama yako kuwa peleka watoto kwa mzazi mwenzie wakati toka wadogo anawalea yeye pekee

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 4 місяці тому +7

    Mwanamke mwenzangu umekosea kumkabidi watoto huyo baba ni bora ungewaacha kwa ndugu zako,inauma sana 😢

    • @Yusufu940
      @Yusufu940 4 місяці тому

      Apana aukukosea mahana watoto wanaitaji malezi ya baba na mama zao tatizo Ni mkeo kama kuna ugovi bayana yy mkeo sio kwa watoto au ndugu. Wengi wanakosea sn

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 4 місяці тому +10

    Wazazi leeni watoto wenu

  • @officialdaynesskavishe4143
    @officialdaynesskavishe4143 4 місяці тому +2

    Eeee Mungu wangu.kwanini baadhi ya wazazi wamekua na roho zakishetwaniiii.Mungu nisaidie niwaleee wanangu mpaka wajitambue

  • @fefeonlyme5394
    @fefeonlyme5394 4 місяці тому +11

    Sio onyooo afungweeeee

    • @hubakombe586
      @hubakombe586 4 місяці тому

      Ni makatili sana hawa watu. yaani miezi mitatu 3 kawachoka. Jamani

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 місяці тому +2

    Acha niteseke na watoto wangu,,,siamin mwanaume kwa chochote

  • @user-vq1qx1dr4e
    @user-vq1qx1dr4e 2 місяці тому

    Mm ninawawili na hangaika nao mwenyewe sitaki hata waende kwa baba yao. Huyo mama jinga sanaaaaa sio wanaume wote wanapenda watoto wao poleni sanaaaaa watoto wazuli mungu awe nanyi

  • @faridapandu7579
    @faridapandu7579 4 місяці тому +1

    😢😢😢 poleni Sana Kwa kweli mana njie hatari

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 4 місяці тому +7

    Hiv watu hawajifunzi bado jaman mm mtt wangu haendi kukaa na ndugu bila mm 😢 nmekua siamini mtu akirud shule namuuliza kila kitu taratbu na nampekua

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 4 місяці тому +4

    Huyo muuaji amekamatwa??

  • @user-ig9hk9bi3g
    @user-ig9hk9bi3g 3 місяці тому

    Mungu tusaidie wamama wote tunao lea watoto wetu maisha marefu yenye upendo

  • @zainab8251
    @zainab8251 4 місяці тому +1

    Mtihani wallah 😢😢

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z 4 місяці тому +3

    mhhh ee mungu wangu nais kuchanganyikiwa na wtt wangu wanaishi na baba yao😢😢

    • @RakaPk
      @RakaPk 4 місяці тому

      Muombe mungu kipenzi mm mwenyewe mtoto wangu yupo kwa baba yake ila anakeya sana watu awafanani

  • @SangioNgoo
    @SangioNgoo 4 місяці тому +3

    Tatizo kubwa ni kuwa hao kina Mwamposa ni kama waganga wa kienyeji. Hawa matapeli wanatakiwa kudhibitiwa kwani wako mstari wa mbele kueneza ushirikina ambao hauko. Huyo baba inatakiwa nyanganywe hao watoto.

  • @user-up2kg1wm9p
    @user-up2kg1wm9p 4 місяці тому

    Mungu wangu inauma watoto wadogo

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 місяці тому +2

    Khaaa mbona unyama huu.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 4 місяці тому +3

    Family yakichawi hiyo walikuwa wanawalazimisha kuwaunganisha katika uchawi , waulizeni zaidi hao watoto

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg 4 місяці тому +1

    Dada Sina mengi yakuongea ninachokuomba Mimi hao watoto uwachukue na usikubali kuwarudisha tena Kwa hiyo mpumbavu na tena hiyo ni bahati pengine mpaka Sasa yangekuwa mengine

  • @FaustinaBoniface
    @FaustinaBoniface 3 місяці тому

    Mm! Kesi ya upande mmoja nayo....

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 4 місяці тому +2

    Wanawake tuna shida jamani umuangalie na baba au mzazi yukoje

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 місяці тому

    Da Ghea umeongea ya ukweli, ila wengi sijuwi wana mashetani.

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 3 місяці тому

    Mungu atujalie wanawake wote umri mrefu tuwalee wtt we2 baadhi ya wanaume wanaroho za kinyama🙆

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 4 місяці тому +2

    Kulea watoto wanadhani ni kitu lahisi Mungu huyu

  • @aysheraden7718
    @aysheraden7718 4 місяці тому

    Mama kayataka utawatupaje watt wako sasa akisikia mambo kama hayo atakua anaenjoy vp huko aliko

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 3 місяці тому

    😭😭😭 Subhana Allah

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 місяці тому +5

    Kama hajalala nao Mungu mkubwa

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 4 місяці тому

      Kulala nao unamaana gani si unyooshe maelezo tu

    • @user-ur8cq1ye3b
      @user-ur8cq1ye3b Місяць тому

      ​@@joycekalago532apo kamaanisha kuwabaka

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 місяці тому

    SubhanaAllah 💔 😢 kuna watu wana roho mbaya mmh!

  • @sadakombo-li7yi
    @sadakombo-li7yi 4 місяці тому +3

    Jamani tatizo hali ya maisha ni ngumu mimi hapa nna watoto 5 nalia uck mchana kwn mda mwengine nashindwa hata huduma ila sijafikiria kuwapeleka kwa baba yao ila maisha ni magumu jmni

  • @linahmacha370
    @linahmacha370 4 місяці тому +18

    Kiukweli mimi na watoto wangu niko tayari kufa nao sehemu yeyote nitakayo kuwepo 😭

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 4 місяці тому +4

      Usiseme hivo Tema mate chini ndugu na Omba Mungu yasikukute

    • @mariamdullazy8166
      @mariamdullazy8166 4 місяці тому +2

      Ila wanaume wana maudhi haya mambo katika jamii yapo mengi mengi ni watoto kumi kwa mmmoja ndo wanakaa kwa upande wa baba kwa aman lkn mungu atausitiri na wenetu

    • @mwenieliasa6517
      @mwenieliasa6517 4 місяці тому

      Mm ndio maana wanangu bora niwaache na ndugu zangu kuliko kwa baba yao hapana kwa kweli inauma sana mwanao kufanywa kama hivi watu wana roho Zao kikatili kama nini​@@mariamdullazy8166

    • @marrypius576
      @marrypius576 4 місяці тому

      Sasa kam unaenda nchi nyingin utaenda nao?

    • @mwenieliasa6517
      @mwenieliasa6517 4 місяці тому

      @@marrypius576 nashangaa anasema tu huyo naona hajawahi kwenda nchini kwa watu kutafuta maisha atuulize sie sio kwamba tunaacha watoto zetu na watu tunapenda hapana Ila yote tunatafuta maisha kwa ajili ya hao watoto

  • @qudratabdallah4745
    @qudratabdallah4745 Місяць тому

    Nyie huyu baba afungwe tu

  • @mankakimaro2570
    @mankakimaro2570 4 місяці тому

    Ntakufa na pochi yangu

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 місяці тому

    Mmm mmehalibu watoto we ndio chanzo

  • @PriscarMwakarindile
    @PriscarMwakarindile 4 місяці тому

    😢

  • @ayshaoman6502
    @ayshaoman6502 3 місяці тому

    Naombeni mamba ya Dada

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 3 місяці тому

    Huyo ni mshamba Sana

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 4 місяці тому +4

    ana mapepo huyo baba

  • @thhtthht1485
    @thhtthht1485 3 місяці тому

    😢😢😢😢😢jmn inauma sn

  • @mbokamgomoka3091
    @mbokamgomoka3091 4 місяці тому

    iyo yababa kupiga pini mama asimuone mtoto imenikuta hiyo,nimelea mtoto kwa miaka tisa baba alikuwa na uhuru wa kumuona mtoto nikampa mtoto mwaka mmoja tu akanipiga pini,nimepora mtoto wangu na nina kesi mahakamani,ila nashkuru nimejifunza mtoto wangu ni mali yangu,kwenda kulelewa na mtu mwingine labda nikifa. wababa wa siku izi wana tabia za kishamba sana kama ukivyosema dada Ghea.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 місяці тому +3

    Sasa mama yao huko South anafanya nini?

    • @Yusufu940
      @Yusufu940 4 місяці тому

      Apo ndo atuji labda ana mme mwengine labda baba yao ana mengi moyoni Yana msibu

    • @ismailchibonda5005
      @ismailchibonda5005 4 місяці тому

      Anadanga huoni sign ya Mdogo mtu hapo triple A 😂😂😂

  • @LucyMassalu
    @LucyMassalu 3 місяці тому

    Sijui nikwambiaje we baba we roho mbaya

  • @user-it9se4tr3f
    @user-it9se4tr3f 3 місяці тому

    Namama yao hajielewi mjinga sana watoto ni mama

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 3 місяці тому

    Matokeo ya kuweka ligi mnashindana halafu majuto baadae. Siku zote kicheko mwana ila majuto mjukuu.

  • @saumshemsanga
    @saumshemsanga 4 місяці тому

    Maskini😢😢

  • @sweetlisious
    @sweetlisious 4 місяці тому

    ongeeni habari z muhusika kutesa watoto mambo ya udini usituletee madame .. kwani alivyozaa na mkristo hakuona waislam wa kuzaa nao??

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 3 місяці тому

    Kwa mwamposa huwez pigwa makofi jmn punguza uongo ww dada na hz sindano sijui nb hayo n mammbo y kidunia tu hata ww unaweza ukafanyiwa kikubwa kaeni na watt wenu

  • @BahatiHaule
    @BahatiHaule 3 місяці тому

    Naombeni namba ya dada geah

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому

    KAE NDANI HUMO ASITOKE KWANZA.

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 4 місяці тому

    Daah poleni sn kwa mitahani migumu. Wanaume acheni izi shida tunzeni watoto kwa mahadili mema sio kuhuwa. Km una ongovi na mkeo au mpezi wako shida sio ndugu au watoto. Nakukoseana kupo sio vita jamani

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 3 місяці тому

    Hiyo familia ni ya kichawii😢muwachukue hao watoto watawaua

  • @ZawadianaMwangosi-is2jm
    @ZawadianaMwangosi-is2jm 4 місяці тому +2

    Hapo Kuna ugomvi wa kidini!

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 Місяць тому

      Wala sio Dini, familia ya mwanaume Wana chuki na mama wa watoto hivyo hasira zimehamia Kwa watoto ili kumvuluga mama yao

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 4 місяці тому

    Wa baba wasikuizi hawajiwezi kulea watoto 😢, wamama wanapitia mengi na watt. Mungu awape nguvu hawa watoto

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 4 місяці тому +1

      Siyo kwamba hawawezi bali ni wavivu sana na roho ya kishamba sana

  • @kigahekigahe3872
    @kigahekigahe3872 3 місяці тому

    Hajamlawit??

  • @Moshiarusha360
    @Moshiarusha360 4 місяці тому

    Hii iko pande zote SEMA wanaume hawasemi Wala kwenda huko polisi,Ila hili tatizo liko pote pote..watu kuweni makini muwe na hofu ya Mungu,hapo inaonekana Kuna tatizo la msingi,japo haliwezi kuwa sababu tosha ya kuwatesa watoto.

  • @HamisiForogo
    @HamisiForogo 3 місяці тому

    Kwani mama uliyezaa watoto wako kwa uchungu wanakushindaje kuwalea dah

  • @ANRAHIMKADUMA
    @ANRAHIMKADUMA 4 місяці тому

    Jeshi la Police lichukuwe nafasi huyo akamatwe na akae ndani asiharibu Ushahidi Atawaua huyo Hilo ni Jini hilo

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому

    MIMI NAONA NI SHIDA TUU .

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 3 місяці тому

    Dada wachukue wanao uyo baba ni katiri sana

  • @devotalaiton5888
    @devotalaiton5888 4 місяці тому

    Siji kumpa mtu MWANANGU jmn

  • @user-fu2xl6wp1e
    @user-fu2xl6wp1e 3 місяці тому

    Wapojamani waume wahivyo kunammoja nimezaa nae mie yukombezi Inn huko mndendeule mmoja anaitwa juma

  • @user-it9se4tr3f
    @user-it9se4tr3f 3 місяці тому

    Mama ndio mlezi sahihi nasio baba nitakufa nawanangu siwez kumkabizi baba yao

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 3 місяці тому

    Watoto kwenda kwa baba yao si kosa maana wana haki kwa pande zote ila cha msingi ni kama alivyosema da geah huyo mwanaume ni bora angekataa kama hakuweza kuwalea watoto kuliko kuwapiga hivyo watoto

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 4 місяці тому

    Na lifungwe ilo libaba 😏😏

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 3 місяці тому

    Na nyie ndugu mnawaachia watoto kwenye ukatili kama huu kweli kisa mama anaenda kutafuta hela

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 4 місяці тому

    Dah ndio maana Wana SEMA uchungu wa mwana aujuae mzazi na sio wazazi nitakomaa na mwanangu kokote nitakapo kuwepo baba anaweza kuzaa huko akaanzisha family yake na yako akaisahau 😢 Yani huyo baba muuaji kabisa doh

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 4 місяці тому +5

    Ww dada kweli ulee wanao mpaka apo uwaache waende kwa mwanaume ambae muliachana kweli ulishindwa nn kuwaachia mamako mpuuzi ww umeenda South kufata nn haswa cha maana

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 4 місяці тому +2

      We nawe acha mihemko ya kipumbavu. Sasa una faida gani kuzalisha bila kulea. Wanaume mnapenda sana mserereko hamtaki kulea mbegu zenu wakati mko hai

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 4 місяці тому

      We nawe Matako tu kama watu wengine kafwata nini hyo vipi kwani aliwaacha njiani sini kwa baba yao wewe unajuwa kaangaika nao vipi hadii wamefikya hapo Mbona asimkabidhi tangu wakiwa wa dogo kawalea kaona Maisha yamemuelemea na watoto wanazidi kukuwa wanahitaji kusoma kazi anaiyo ifanya Bongo haitakidhi kaamuwa kwenda mbele ilimradi tu wanae wasome na wapate maisha yanayo sitahili my dear kama hujapitya changamoto za kulea watoto wewe mwenyewe mshukuru Mungu Mimi hyo dda popote alipo siwezi kumlaumu kwa lolote Coz najuwa huko aliko yupo kwaajili ya Kutengeneza maisha ya wanae sizani kama Maisha ya pekeake ya ngemshinda hapa Dar kikubwa tu hyo baba yashughulikiwe na watoto wabaki sehemu usalama 😢 sngole Martha Tunapitya Mambo mengi sana nyau wa blue wewe unaropokwa tu 👌 ovyo

    • @mamaaisha6069
      @mamaaisha6069 4 місяці тому

      Ni kweli angewaweka Kwa mamayake akipata anamtumia mamayake

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 4 місяці тому

      Hkik a dunia Ina viumbe vinaumiza sana Sasa watoto wanashida gani.mpqkq.uwqumize? Chuki kwa wtoto kwa ajili ya kumkomoq mzaz.mwenzio hasira unamalizia kwa.mtt😢

  • @user-qp6lx9ql1q
    @user-qp6lx9ql1q 4 місяці тому +1

    Atawang Mie anatabia Iyo yaan mpk Wanang wananimis😢😢

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 4 місяці тому +5

    Waangalie kama hawajawaingililia tu

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 4 місяці тому +2

    Huyo mama wa hao watt ana kiranga tuu umuhimu wa baba kuwalea anauna sasa? Si mwehu huyo

  • @vincentjameskinogo3405
    @vincentjameskinogo3405 3 місяці тому

    Duuu mwanaume unakuwa katili kissing hicho??????

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 3 місяці тому

    Wanawake maamuzi yaliyokosa busara kamati hayo muyawache. Unapofanya maamuzi ya mihemko matokeo yake umeyaona ?

  • @Official83640
    @Official83640 4 місяці тому +2

    Aisee story imenikuna hii hatar. Mwanangu yanamkuta haya na mama wakambo kila leo mchawi ww anaenda kwa Mwamposa anabeba maji anampa mwanangu akanyage Astaghafilullah mm ni muislam hayo maji kwangu hayafai hata kidogo aisee sipo Tz kungechimbika bila jembe km uchawi ni yy ndy anao aliyekuja kuitawanya familia mpuuzi yule ananijua vizuri sana

  • @user-ft2vq5on6l
    @user-ft2vq5on6l 4 місяці тому +2

    Watawaingilia hao wachukueni

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 4 місяці тому

    Wanawake sometimes tujitafakari maamuzi yetu,inaonekana huyu mwanaume ni mshenzi tangu yuko nae,unawezaje kumpelekea watoto. Hii ni aina ya mijanaume ambayo linataka likunyanyase na ukiamua kuachana nalo linahamishia chuki kwa watoto,sasa unaanzaje kuliachia watoto bwana? We dada umenikera mfyuuu............ Haya ni majanaume yenye low self-esteem haliamini hata watoto kuhusiana na upande wa mama,Stupid cattle kabisa!

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 місяці тому +1

    Watoto,watabadilishwa dini,rudisheni watoto,wa islaam mungu awaangamize,ikiwa hamtorudisha,, Allah alinde,hao watoto,

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 Місяць тому

      Huna hoja ya msingi hapo hoja ya msingi ni malezi ya watoto wenu acheni ukatili wa kutesa watoto hiyo ndo hoja