Ebu dada geah mfanye mpango wa kutengeneza clip nyingi za zai na ziwe zinauzwa ili apate chochote jamani c kwakutuchekesha bule km hivi huyu zai ni kipaji tosha ujueeee
Hiyo hela na kuku yakumpatia mganga natumia kumpikia ale vizir najituma vizuri hadi chumbani hachomoki ngoo na kazi tutasaidiana ndo upendo ktk ndoa sasa mwataka apike adeki akoshe vyombo huo muda wee uko wapi au ndo umbea kibarazani
Allah atulindiye na watoto wetu . mimi natamani mwanangu aowe africa lakini nikiyasikia hayo naogopa kuja kurogewa mwanangu na hajui lolote kuhusu mambo hayo .hakuzaliwa africa wala hakukulia huko si atauliwa kwa marogi huyo ?
@@ummyhasheem2245 Matatizo ysko kote hata na sisi wanawake pia tunamatatizo sana . kuna wanawake wanazalishwa nje na huku ana mume na wanaume wengine wana watoto nje .
Ebu dada geah mfanye mpango wa kutengeneza clip nyingi za zai na ziwe zinauzwa ili apate chochote jamani c kwakutuchekesha bule km hivi huyu zai ni kipaji tosha ujueeee
kwelii aisee
Hao Wanao kuja kumuuliza maswali ovyo pia Wana mlipa
Zai ni Genius 😂 story zingine hapo ana freestyle tu alafu anaenda na flow 🔥🔥🔥
Huyu Dada hapana🤣🤣🤣sijui anapata wapi maneno😂😂😂
😂😂😂😂Zai Mungu ana kuona ujue 😂😂😂Mbavu zangu jamani 😂😂😂
Zai nakupendaaaa sana unanichangamsha sana mawazo yote kuleeeee.
Nimecheka sana 😄😄😄 na nimependa ulivyohitimisha dada Zai
Geah myafutie kipindi kwenye TV yenu bwana anawaingizieni sana huyu Binti Yaani ukiingia kwenye kipindi chake mawazo mabovu ya Aisha unacheka mpaka.
Kunamtu hampendi zai jaman uyo atakuwa mchawi walah 🤣🤣🤣 uyu zai anatupa laha jamani anatupa hala uwiii
Zai unatoboa siri ila kwa dawa hizo bado wako single😃😃😃😁
Allah atu epushe kumshirikisha
😂😂😂😂😂 Zai unatuumiza mbavu kwa kucheka nimeirejea x3
😂😂😂mm pia
Zai unahitaji kipindi kwa Tv,uko vzuri sana kwa vichekesho,love all the way from Croatia😊,nakupendq bure sistangu kwa vichekesho vyako.
Nimecheka kwasauti
Da geah anaonekana anapenda kucheka na uyo zai atakuua mbavu😅😅😅😅
Hahaha gea umetupa tunampenda sana zai
Jamani dawa sio nzuri.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mungu akuweke da zai
Jamani zai nakupenda bureeee😘😘😘😘
Zai Nakupenda Mpaka Basi
Mungu anakuona zai ww
zai hufiki mbinguni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀❤️❤️❤️❤️
Zai muongo bwana mbna kile kibwana chako kimekukimbia kma kweli unaroga wew 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Anatunga tuu stori hy
Daaah we dada nux kupita maelezo nakupenda mnooo
Alivo anza vingine na alivo maliza vingine sasa we sikiliza nusu uone🤣🤣🤣
Yaaan🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂akiii wanaume wanakiona cha moto
Gea weka vipande zai nae apate choxhote yuko vizuri
Yani wwe unafaa standup comedy zai
Unapeleka jogoo, wemweye unakula tembele 😂😂😂😂😂
Hiii inaitwa r.i.p zai
Dada zai bwana mi hoi kwa kucheka😅😅😅
Mbona tunakoma wanaume iyo minywele yapua Mwezangu Tuta inyoaa paka ya misikioo kama mambo yenyewe ndio haya da Zai 😂😂😂😂
😀😀😀
Zai akili huna wallah dah😀😀😀😀😀
Kweli zai umeshindikana 😄😄
Zai mungu anakuona 🤣🤣🤣🙌🙌
Wa pili leo jmn nipeni like zangu
Subahllah 😥😥😥kama ww mama ni muislam tubu sana Kwa Allah kabla Allah hajachukiwa roho yake...🙏🙏
Kumbe umjui zai uyo ni comed wa vingungut
Kumekucha
@@debolove5391 hata kama ni comedy hawezi kukufuru kiasi hiki
@@faisalwaafrica7478 we mwenyewe hutoki
Ghea asaiv unatuwekea fup unatuuzi😁😁😁😁😁
Anayeroga hajielezi hadharani. Huyo anafurahisha tu. 😁
🤣🤣🤣🤣🤣hila zai kiboko 🙌🙌🙌
Zai mie nimempenda anasema ukweli wako
Zai unatoa siri za kambi
Maisha haya bwana nakumbuka nilikuwa nikienda Kwa mganga ndio siku nyumba inawaka Moto jamani morogoro hawarogeki
Ukome mbwa wewe
@@stn4873 mbwa mwenyewe
@@hanifaomar7438 🤣🤣🤣🤣🤣
Dai zai ww unanichekesh mbavu zang mie kwl dawa zipo ila anakuwa km chiz
😆😆😆😆 eti ulogo mtam zai jamani
Zai lakini 😂😂😂😂😂😂
Watanzania bana😂😂😂😂
Zai jamani 😁😁😁
Yan zai mh.
Mmm huo utumwa siuwezi
Nimecheka 😄
Duh🤔🤔🤔
Dawa ya ni mjusi owke yake hiyo kiboko siri ya kambi
Wanaume hurogwa chumbani si kwa waganga
Nitakae mpata nami nitamroga Weeeeeeeeeeee hadi chooni anipeleke😊
😅😅😅😅
Yani uyu Zai ni chizi daaah😂😂😂
Zai minywele ya pua 😩😩😁😁😁😁😁
yaaaan huy kam masha love🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋🤣🤣😋🤣😋
Uwiiiii hatari
Zai jamani😂😂😂😂😂
huyu zai apewe kazi redioni ni anachekesha ni balaa
😀
Yaaan weeh zai
😂😂😂😂
Uyu zai cjui yupoje khaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yan jaman zai ww hahahahahahah ..khaaa alafu Yuko serious
🤪🤪🤪🤪🔩jogooo kwenye gari
🤣🤣🤣🤣 nimechekaa🙌🙌
🤣🤣🤣🤣nimecheka hadi machozii uwiiii
😀😀
Hiyo hela na kuku yakumpatia mganga natumia kumpikia ale vizir najituma vizuri hadi chumbani hachomoki ngoo na kazi tutasaidiana ndo upendo ktk ndoa sasa mwataka apike adeki akoshe vyombo huo muda wee uko wapi au ndo umbea kibarazani
😂😂😂😂😂😂😂zai upo juuuu
🤣🤣🤣🤣Zay mungu anakuona hahahaa
Zai 😀😀😀😀
Nimecheka wallah😂😂😂😂😂
😀😀😀😀
😂😂😂😂😂anakurusha kule chali
Akuna uganga Wala uchawi juu ya Jacob
🤣🤣🤣🤣🤣🤣zai bana ume tutowa mifupa
🤣😅😅😅😅😅Zai una nini lakini
♥️♥️♥️♥️♥️😂😂😂🔥
Aaah kumbe ndomnavyotunyia ivyoo wabaya nyiee
Zai anapua zimemfunuka huyo😳🙄😂😂
Kwa kuongea tuu hz 😂😂
Only Jesus is the only answer, no body else
🤣🤣🤣🤣 Minywele ya pua
😆😆😆😆nikuwaloga tu
Zai yy hacheki jaman uwiii mbavu zangu
🤣 🤣 🤣 🤣 ZAI KIBOKO
Zai muhongo nyie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣zai nakuja unipeleke
😁😁😁😁
Ila zai🤣🤣🤣
😄😄😄😁
Zai weeeeeh😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤷
Nimecheka basi
Mtumeeeeeeeeeee😳 eeh Mungu nilindie kaka zangu uuuuwiiii😭
Waambie watulie na wake zao ss 😂😂😂😂
Allah atulindiye na watoto wetu . mimi natamani mwanangu aowe africa lakini nikiyasikia hayo naogopa kuja kurogewa mwanangu na hajui lolote kuhusu mambo hayo .hakuzaliwa africa wala hakukulia huko si atauliwa kwa marogi huyo ?
@@kiri5807 tatizo linaanzaga kwao wanaume ni Malaya SNA
@@ummyhasheem2245 Matatizo ysko kote hata na sisi wanawake pia tunamatatizo sana . kuna wanawake wanazalishwa nje na huku ana mume na wanaume wengine wana watoto nje .
@@kiri5807 SWA kher but nimependa uwe rafik yng plzzz
🤣🤣🤣🤣🤣zai
Zai 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅😅