KIJIWENONGWA:TABIA YA KUSAFIRI NA WATOTO MIKOANI WAZAZI KUKATA SITI MOJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2022
  • #Kijiwenongwa #ZaiKijiwenongwa

КОМЕНТАРІ • 125

  • @dynachriss5126
    @dynachriss5126 2 роки тому +23

    Mimi sipendi kweli hiyo tabia jmn wamama🙆🏻‍♀🙆🏻‍♀tunakuwajeee tunawakosesha raha ya kusafili watu wengine🙌

  • @zaujiajuma8260
    @zaujiajuma8260 2 роки тому +11

    Nakupenda Sana Dada yangu unaongea ukweli ila uwe unajifunika utapendeza zaidi

  • @mnllyboy_tz9107
    @mnllyboy_tz9107 2 роки тому +2

    Point
    Wanakera saana af wanakula kula ovyo wakipumua kama wameoza na kutapika kama wajawazito

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому +8

    😂😂anasema kweli yaan sipendi wazazi wa namna hiyo kata set ya watoto wako ila zai🤣

  • @emilianalazaro4323
    @emilianalazaro4323 2 роки тому +6

    Yesuwee!😂😂 Mama nampenda uyu anaongeaga ukwel sana

  • @dianaempireofficial3671
    @dianaempireofficial3671 6 місяців тому

    I really love this lady

  • @simoncharles6475
    @simoncharles6475 2 роки тому +1

    safiiiii zai eti gari inanuka mifugo

  • @naylamohammed266
    @naylamohammed266 2 роки тому +1

    Zai mhh wallah mtihan

  • @mariamsalim9311
    @mariamsalim9311 2 роки тому +4

    Wallahi vituko nacheka kama mazuri 😀😀😀

  • @vero57
    @vero57 2 роки тому +6

    ZAI, jamani khaaaa 😂😂😂😂😂

  • @samsonkafokoma5990
    @samsonkafokoma5990 2 роки тому

    Oyo maman afanye comedy tuu anaweza sana

  • @mwanamvuamuhsin7130
    @mwanamvuamuhsin7130 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂mbavu zangu jmn da geah anachosema kweli ishanikuta hiyo nikajuta kupangwa kwenye siti hiyo nimekojolewa kabisa nashuka nanuka kojo 😂😂😂😂tunapenda watt lkn vingine vyazidi

  • @eysherjuma3779
    @eysherjuma3779 7 місяців тому +1

    Migari yakisambaa😅😅😅😅😅

  • @veronicakipingu682
    @veronicakipingu682 2 роки тому +2

    Daaah nimecheka lakini kiukweli na Mimi hiyo tabia inanikera kusafiri na mtu mwenye kuku na watoto wengi mtu ana mapacha na mwingine mmoja yaan safari yote unaiona chungu

  • @binahoza5674
    @binahoza5674 2 роки тому

    Zai nampenda

  • @alfonsiabruno2310
    @alfonsiabruno2310 2 роки тому +2

    Hahaha Zai🥰🥰🔥

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +1

    Kweli s uongo 😀zipo izo mambo

  • @tupomwanjala6535
    @tupomwanjala6535 2 роки тому

    Zai nakukubali sana mimi

  • @sophiamwailonda
    @sophiamwailonda 2 роки тому +1

    😀😀😀😀😀😀😀zai

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 2 роки тому

    Mm nawaambiaga kabisa makondo ukiniweka siti moja na mmama mwenyew watoto tiktiyangu

  • @ceciliagaspar8961
    @ceciliagaspar8961 2 роки тому +2

    Kweli😂

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 2 роки тому

    Hahahaaaaaa Da! Zai jaman.

  • @zenamilanzi1471
    @zenamilanzi1471 2 роки тому +2

    😂😂😂 kweli tuache hiyotabia akinamama

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 роки тому +1

    Yaani Zai umeongea point wasambaa tabia iyo wanayo nliwah kwenda Lushoto nilikoma 😂

  • @gracelee61
    @gracelee61 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣 weshu tulikukosea nini lakini?🤣🤣🤣🤣 sio kutusema huko kha

  • @user-pg3pu4jk9f
    @user-pg3pu4jk9f 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenifurahishaa kwakweli

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 2 роки тому +2

    Mikuku watto ni shda xan usafr wa mkoan ni majng 😂😂😂

  • @roseemmanuel5519
    @roseemmanuel5519 2 роки тому +2

    Kweli zai 😂😂😂

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 2 роки тому +2

    Kweli anavyosema 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 2 роки тому

    Zai chizi sana yan😂😂

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 роки тому +1

    Zai kunywa Pepsi big ntalipia kwakweli huwa inankera sana hii tabia

  • @khadijaseph8140
    @khadijaseph8140 2 роки тому +1

    Dazai mungu anakuona hahaha

  • @zanabudaudi3996
    @zanabudaudi3996 2 роки тому

    Zai mwenzangu umenishinda tabia ila nakupenda buleee

  • @nahyamohamedimtule686
    @nahyamohamedimtule686 2 роки тому

    Aiseee hiii kitu inakwaza Sana abiria wengine mnaowakatia watoto wenu Siti moja badilikeni

  • @asmahussein2779
    @asmahussein2779 2 роки тому

    Zai jamani..😀😀😀

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 2 роки тому +2

    Zai jamani😂😂😂😂

  • @mauamrope7768
    @mauamrope7768 2 роки тому +3

    Zai 🤣🤣🤣🤣umesema kwel mtu siti moja mitoto unapata tabu wewe jirani

  • @neemabenitho5441
    @neemabenitho5441 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mambo ya nishikie kuku kidogo hayo

  • @SawiaNjovu-xx1mf
    @SawiaNjovu-xx1mf 2 місяці тому

    Zai mbavu zangu mie

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂zai bhanaa

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ 2 роки тому

    Huyu duniaa

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 роки тому +4

    😂😂😂😂😂 we Zai wewe

  • @sulainanamkasa165
    @sulainanamkasa165 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 ZAI bwana

  • @ayshamadege7981
    @ayshamadege7981 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣Zay🙌🙌

  • @jacklineanthony7545
    @jacklineanthony7545 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣 izo nywele zako zai🤣🤣

  • @zenamshana8140
    @zenamshana8140 2 роки тому

    Ukweli mtupu

  • @Georges.Kitchen
    @Georges.Kitchen 2 роки тому +2

    Nimekua wa tatu jamani

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani unanichekeshaga

  • @nickyrizznathan3377
    @nickyrizznathan3377 4 місяці тому

    Heee jmn hii kitu nimeirudia kwasababu yamenita jmn jn nimesafir iyo siti yng amekuma Mtu n watoto ni watundu jmn haa mala wamekuvuta nywele mala ukishika cm yko na wao wanataka waangalie unacho angalia jmn ni watund et

  • @aminaomaryaliy3226
    @aminaomaryaliy3226 2 роки тому +2

    Kwelikabisa

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +2

    Leo nimewahi kijiwe nongwa😂

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 роки тому

    😅😅😅💃

  • @agnestweve7218
    @agnestweve7218 2 роки тому

    Iyo inanikela ata mimi

  • @maimunafundi3544
    @maimunafundi3544 2 роки тому

    Bora umeongea

  • @aymanvixx228
    @aymanvixx228 2 роки тому

    Huyo anachekesha

  • @bintmaryakabintmaryaka9100
    @bintmaryakabintmaryaka9100 2 роки тому

    😄😄😄😄

  • @MissChristinaErick
    @MissChristinaErick 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣 ina kera

  • @fettyduge1895
    @fettyduge1895 2 роки тому

    Wapo Kama wote huku kwetu

  • @mithlaabdulrahim8566
    @mithlaabdulrahim8566 5 місяців тому

    Ki2 cha moto pwiiiii😂😂😂😂

  • @Thumabby8
    @Thumabby8 2 роки тому +3

    😂😂😂😂

  • @sophiedanny3702
    @sophiedanny3702 2 роки тому

    Usiombe mama awe amekata siti ya dirishani, mwanae anamkalisha katikati we mwenye siti ya pembeni unaachiwa kinafasi kidogo Cha kukaa!!! Kiukweli inakera.

  • @upendomatee7319
    @upendomatee7319 2 роки тому +1

    😀😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому

    🤣🤣🤣Nimecheke kweli kabisa wakatiwe siti zao

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +1

    Kuku 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rosemaryismaily001
    @rosemaryismaily001 2 роки тому +2

    😂😂😂

  • @mariej6962
    @mariej6962 2 роки тому

    Hakika umeongea kwa utani lakini umefundisha wengi. Wanakera bwana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @rahumalraqad2305
    @rahumalraqad2305 2 роки тому

    Mitoto mikuku 😁😁😁😁

  • @victorialawrence7489
    @victorialawrence7489 2 роки тому

    Tabia mbaya sana wengine hawajazoea safari wanatapika haifai

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 2 роки тому +1

    🤣😂😂😂😂😂😂

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 2 роки тому

    Yaani hili kwangu ni kerooo kubwa mnoooo nashindwa tu pakusemea ili nielewekeee......🥲

  • @maryamos2882
    @maryamos2882 11 місяців тому

    Mbavu Zang jaman🤣🤣🤣🤣

  • @anniesixtus2366
    @anniesixtus2366 2 роки тому +2

    ,🤣🤣🤣🤣🤣

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 роки тому +1

    siti moja mitoto mitatu 🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    🤣🤣 bora useme ww

  • @umimikungun6389
    @umimikungun6389 2 роки тому +3

    😂😂😅Basi Haya Ndo Mambo Tutafanyaje😂😂😅

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      wakatie siti wallah wanachosha watu tena wanakondoa macho kama unakula weee

  • @pataniabdallah9578
    @pataniabdallah9578 2 роки тому

    Dada samahani siyo wasambaa tuu ata watu wabara piya wanatabiya hizooo sawa

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 роки тому

    Ila jamani mtu unabeba kuku na kero zote izo ambae analiwa siku moja tu. Ubaili gani huo? Mmh

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 2 роки тому

    😂😂😅

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣zai utaniuwa mbavu

  • @AhmedK-gp6gc
    @AhmedK-gp6gc 9 місяців тому

    😂😂 zai wasambaa 😂😂 wamekufanya nini jmn hahahahahahahaahaa

  • @mwatangachuma9069
    @mwatangachuma9069 2 роки тому

    Leo yamenikuta zai nimepanda gali za kigoma mm kapanda na wtt 3 tumefika seems inaitwa nguluka kanunuwa miogo katanga na vitumbuwa wamekula vyote kwa pamoja bwanawee ata do 5 hazijaisha acha wanted kutapika mmoja kamtapikia abilia wa mbele nimecheka kwanza arafu ndio nikawaulumia

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 роки тому

    Mitoto na mikuku 🤣🤣🤣🤣

  • @angelinasekinyee4538
    @angelinasekinyee4538 2 роки тому

    Hahahahaaa

  • @angeljoseph922
    @angeljoseph922 2 роки тому

    Yaan nachokasirika unasafiri safari ya mbal na mama ana mitoto mitatu analazimisha akae kat ya ww na yy Sasa mm nalipa usafiri nikae kwa raha we unanijazia mitoto yako jaman s tabia nzur,,mama ukipewa nauli ya watoto wape Siri zao huko kunyanyasana

  • @lattifajohn2235
    @lattifajohn2235 2 роки тому

    Duu umenikosha jamani umenena

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jacknassari9258
    @jacknassari9258 2 роки тому

    Abiria WA fasaha hao

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 2 роки тому +12

    Na watoto wanavojuaga kwamba wakiingia ndani ya mabasi ni kama wameingia hotelini kula. Wauza karanga, mahindi sambusa wakipita wanajua ndio ma waiter sasa wa hoteli wanawaletea chakula😂😂😂

  • @jazzymkalitv5535
    @jazzymkalitv5535 2 роки тому +1

    Yaani nimecheka kupita maelezo...Eti Wasambaa na hizo ..Weshu! Weshu zao!

  • @happyoshea
    @happyoshea 2 роки тому +4

    Ndio uite watoto mitoto? 😏Sijapenda

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 2 роки тому +2

    Pia mie ctaki hilo litabia,mtu na mijitoto yake,umekaa nae ct moja,anakuambia nisaidie kumpakata mmoja,gafla linakukojolea.Koma kunipakatisha Toto lako.

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 роки тому +5

    Mitto tena??? Siku hzi watu wengi jamani wamekua na roho mbaya??? Nakumbuka zamani tunapanda mabasi, maboti na magari ya kuelekea shamba mtu anakuomba umkamatie wtto wake unampakatia, akicheuka, akikuchafua, akikukojolea unajua mtto tu. Leo hii imekua mtu anakasirika mpaka kufikia kuita mitto??? Tahadharini jamani mwanzo wa uchawi ni roho mbaya! Na haswa kwa lugha hiyo yakuchukia mpaka kufikia neema ya mtto kuita mitoto.

  • @zaujiajuma8260
    @zaujiajuma8260 2 роки тому +3

    Nakupenda Sana Dada yangu unaongea ukweli ila uwe unajifunika utapendeza zaidi

  • @fridakaishaza1032
    @fridakaishaza1032 2 роки тому +1

    😂😂😂

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂