KIJIWENONGWA TUKIPIGWA NA WANAUME ZETU HAKUNA KUSAIDIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 гру 2021
  • #Kijiwenongwa #geahhabibu #GeahTv

КОМЕНТАРІ • 145

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 роки тому +10

    Zai nakupenda sana lakini haya masuala ya kufanyia utani wanawake kupigwa sio mazuri,
    Nawaombeni tusiyashadidie, Kuna Wanawake wengi wamepoteza maisha kutokana na kuchekea tabia za wanawake kupigwa,
    Naomba tukemee tabia za upigaji wa Wanawake,
    Na upigaji wa watoto, sio sahihi tunacheka na kufanya mzaha kwenye suala zima la upigaji,
    Tabia ya kupiga inatokana na ugonjwa wa akili, naomba tusilichekee hili jambo

    • @angeltemu6761
      @angeltemu6761 2 роки тому

      Zai hajafanyia utani suala la wanawake kupigwa ila tu ni namna anayotumia kuelezea ndo inafanya tuone n kama mzaha ila anachokiongea n cha ukweli..

  • @floramkinga2400
    @floramkinga2400 Рік тому +4

    Dagaa zimetoka baharini😂😂😂😂

  • @nassysakia9511
    @nassysakia9511 2 роки тому +16

    Zai anaongea utumbo mtupu lakini nampenda sana WALLAH 🤣🤣🤣

    • @Joliegal834
      @Joliegal834 Рік тому +1

      Ndo uswahilin palivyo lakn😅

  • @awenasuleiman4519
    @awenasuleiman4519 2 роки тому +5

    Zai mungu anakuon sura imeingiy kweny nyavu

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 роки тому +12

    Huyu mama aende kuwa msanii ataweza sana.🤣🤣🤣

  • @aminasuliman2923
    @aminasuliman2923 2 роки тому +3

    Mjume yes wekuweza😂😂😂😂

  • @zenamshana8140
    @zenamshana8140 2 роки тому +2

    Yaani mm namsachi zai Ili stress ziishe

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 роки тому +1

    Yaani we Ma Mdogo mii nakupenda Sana. Maana unayoongea, ni ya ukweli na ndo maisha yetu.

  • @dianaakello6609
    @dianaakello6609 2 роки тому +4

    I love this lady hahahahha Zai you're just awesome 👌

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 роки тому +2

    Hapo kwamjumbe ndio balaa si kwayes hiyo😃😃

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 2 роки тому +1

    .masha Allah Rangi yake nzuri sana zai

  • @AfricaYangu
    @AfricaYangu 2 роки тому

    Zai aiseee I just love you,
    Nikiwa na huzuni nakuja zangu kwa geah hapa namsikilza zai na vituko vyake

  • @catherinendanu7581
    @catherinendanu7581 Рік тому

    Chizi fresh wangu nakupenda bure..yaani kila nikisikiliza story zako daa zai hata stress za maisha zinanitoroka

  • @minormine4417
    @minormine4417 2 роки тому +2

    Zai kwa kutunga mambo! Yaani utafikiri hadithi hadithi, hadithi njoo kuna siku moja Sungura akamlisha Simba jiwe la Moto mdomoni🤣🤣🤣🤣🤣

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 роки тому +2

    Da geah naona ukimis kucheka unaenda kwa da zai Mana huondok bila kucheka hapo 🤣

  • @mwatangachuma9069
    @mwatangachuma9069 2 роки тому +1

    Mjumbe yes Mjumbe kriiiiii akiayamungu Zai ww

  • @mwamvuaally6342
    @mwamvuaally6342 2 роки тому +1

    Da zai unanifurahisha sana

  • @user-qm9np2uf9m
    @user-qm9np2uf9m 6 місяців тому

    Mwanzo nilikua napenda TikTok ila saivi napenda sana UA-cam

  • @Idafa
    @Idafa 2 роки тому

    Inasikitisha sana. Kama serikali haisaidii kwa nini wanawake hawa fight back? Learn from our neighbor - Kenya. Ukora wa wanaume zao unapungua kwa vile wanawake wameamka na kuanza kujitetea. Wanawapiga mpaka wengine wanauliwa. Sio jambo jema kufikia huko ila kama hamna msaada kwa wanawake kilichobakia ni kujitetea. Fight back.

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 роки тому +1

    Mjumbe Yes yes

  • @sadatamal3655
    @sadatamal3655 2 роки тому +3

    Hahaha 😂😂😂 da zai unaniuwa mbavu zangu wallah billah

  • @fanjafanja4022
    @fanjafanja4022 2 роки тому +2

    Mjumbee yes Mjumbee krekrekreeee

  • @aishaibraim3540
    @aishaibraim3540 2 роки тому +1

    Wa pili love you da zay

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 2 роки тому

    Jamani Da Geah, Zai atatuua na vicheko.

  • @achievefinancetz
    @achievefinancetz 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂 Dagaa limetoka baharini zikaja kukaangwa!! Jamani

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 роки тому +9

    Mjumbee,YES!

    • @namirihamisi3899
      @namirihamisi3899 2 роки тому +2

      Hahahahahahahahahaaaaa Zai kijiwe nongwa unanichekesha kwa kweli umeyabana makalio Hahahahaaa

    • @omanphone3455
      @omanphone3455 2 роки тому +2

      Jamani huyu zai kiboko

    • @gloryjoe6396
      @gloryjoe6396 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣 yes

  • @mwana520
    @mwana520 2 роки тому +2

    Mjumbe yes mjumbe yes

  • @user-qm9np2uf9m
    @user-qm9np2uf9m 6 місяців тому

    Yani nacheka mpaka nimestopsha hii video Kwanzaa kaaa

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 2 роки тому +3

    Tulikumiss bizai 😄😄

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 роки тому

    Mjumbe yeees see you tomorrow alright

  • @zashairbathandbody2009
    @zashairbathandbody2009 2 роки тому +1

    Geah kesi ka hizi c za kuchekA kabisa. Matokea yake ndo unauwawa. Lazima vitu namna hii serkari ingilie na kuchukua hatua

  • @mkatungu7457
    @mkatungu7457 2 роки тому +1

    Jamani Zai Zai mbavu zangu mie. Nimecheka mpaka machozi na makamasi yamenitoka. Yalabi

  • @pilimbwana1383
    @pilimbwana1383 2 роки тому

    nakupenda buree zai wangu 😘

  • @gracefavor5043
    @gracefavor5043 2 роки тому

    Mjumbe yes 😄

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 роки тому +2

    Zai zai zai nakuita mara tatu jamani mbavu zangu mimi 🤣🤣🤣🤣

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 2 роки тому +1

    Zai mungu anakuona 😃😃😃

  • @40kstore
    @40kstore 2 роки тому

    Daah 🔥🔥🔥

  • @SalimRashid-cq2pi
    @SalimRashid-cq2pi Рік тому

    😂😂😂zai muongo huyu kama kweli jaman😂😂😂

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 роки тому +1

    😀😀😀zai noma

  • @agnessmkumbo916
    @agnessmkumbo916 2 роки тому +1

    😀zai jamani

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 2 роки тому

    Zai wawa ni zaidi ya movie

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 роки тому

    Mjumbe YEEES OI YEEESS

  • @shemndoatz..1492
    @shemndoatz..1492 2 роки тому +1

    Zai me sauti yako jamani..

  • @eyshermohammed2236
    @eyshermohammed2236 2 роки тому +1

    Zai msenge sana. Et kafumua uzazi 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @maisarahmvamila229
    @maisarahmvamila229 2 роки тому +2

    huyu kina joti hawamuoni? au cheka tu

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣Zai ww jmn nakupenda

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 роки тому +1

    Tulikumiss jamn dada ukowap nije kukutemberea

  • @edwinismail9401
    @edwinismail9401 2 роки тому

    daaaah aise

  • @elizabethmwakalinga3287
    @elizabethmwakalinga3287 2 роки тому +1

    Ha hahaaaaaa hahaaaaaa jamaniii Zai weweeee

  • @zulphanclara7249
    @zulphanclara7249 2 роки тому

    Nampenda bure Huyu dada 😂😂😂

  • @user-qm9np2uf9m
    @user-qm9np2uf9m 6 місяців тому

    Taqbiliii😂😂😂 shenzi sana huyu

  • @sifasalo5195
    @sifasalo5195 2 роки тому +3

    🤣🤣🤣Mjumbe kriiiii

  • @juliethndomba639
    @juliethndomba639 2 роки тому

    😀😀😀😀mjumbe" Yes"😀😀😀😀

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 роки тому +1

    Ila zai ww 😂😂😂 et zimetoka baharini

  • @aloycemsonga5094
    @aloycemsonga5094 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣 dah hizi sio story za kwenye kahawa kweli

  • @naimerenock6221
    @naimerenock6221 2 роки тому +1

    Da zai jamani 🤣

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 Рік тому

    Jamani Zai Zai Zai mbavu zangu utaniua jamani

  • @jonathannelson7392
    @jonathannelson7392 2 роки тому

    Yaani Geah nacheka kama wewe apa, Zai kiboko yake

  • @xalexmusic2338
    @xalexmusic2338 Рік тому

    Sasa kwann naww hujibu ivyo

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 2 роки тому +1

    Zai we mbavu zangu mi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sadyalightony6305
    @sadyalightony6305 Рік тому

    Nachekaaaaa xaaaana jamaaani zai

  • @kapurchandshah6659
    @kapurchandshah6659 2 місяці тому

    Da zai atar

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 2 роки тому +2

    Geah sio fresh ulicho post leo sio ulicho post IG mchana 😳

  • @aureliayuktankabebwa5066
    @aureliayuktankabebwa5066 2 роки тому

    Mpemba wawatu😀😀😀

  • @lolojunior5808
    @lolojunior5808 2 роки тому +1

    Kama aujafa kimbia 😂😂😂😂😂

  • @amillahqueeen5586
    @amillahqueeen5586 2 роки тому

    Khaaa zai amezd 😁😁😁

  • @sarafinamwaka8302
    @sarafinamwaka8302 Рік тому

    Zai anatuchekesha sana lakini yeye yupo mkavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @linahsabaspaul4729
    @linahsabaspaul4729 2 роки тому +1

    Mjumbe ,Yes 😂😂😂😂😂

  • @aishahassan4142
    @aishahassan4142 2 роки тому +1

    😀😀😀😀

  • @ghostgenerationtv766
    @ghostgenerationtv766 2 роки тому

    Zai ananifanya nimecheka kifala kama mweuu..

  • @ashurasaid1315
    @ashurasaid1315 4 місяці тому

    Mjumbe yes mjumbe yes 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ashasiri2720
    @ashasiri2720 2 роки тому +1

    Mbio za mbali 😂😂😂✌️

  • @salmajuma1121
    @salmajuma1121 2 роки тому +1

    Wakwanz leo

  • @rosetowo1145
    @rosetowo1145 2 роки тому

    Takbiri 😆😆😆😆

  • @thabitaaplinary1966
    @thabitaaplinary1966 Рік тому

    😀😀

  • @jescamgallah3809
    @jescamgallah3809 2 роки тому +1

    Zai bhana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tausihasheem5169
    @tausihasheem5169 2 роки тому

    Mjumbe yes😂😂😂😂

  • @jacklineandrew5909
    @jacklineandrew5909 2 роки тому

    Hahahah stress zote kwisha 🤣🤣

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 2 роки тому +1

    Anautapika uzazi😂😂😂

  • @ahmedhamdan8526
    @ahmedhamdan8526 2 роки тому

    3

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 роки тому +1

    Wee zai😄😄😄

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 2 роки тому +1

    😁😁😁

  • @nabu.barbim9219
    @nabu.barbim9219 2 роки тому +3

    Wajinaa wang 🤣🤣🤣napenda san saut yake

  • @rosemzava5149
    @rosemzava5149 2 роки тому +1

    Zai zai zai muongo sana wewe jaman🤣🤣🤣🤣😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌

  • @salhiyakhamisjabu8374
    @salhiyakhamisjabu8374 2 роки тому

    Mjumbe asilale😂😂

  • @MundhirAliy-6936
    @MundhirAliy-6936 Рік тому

    Bibi kimbia kama hujafa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maryamos2882
    @maryamos2882 11 місяців тому

    Mjumbee, yes😂😂😂😂😂

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 2 роки тому

    😂😂😂zai muongo

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 роки тому +2

    sasa kwa nn useme limetoka baharin limekaangwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @YsnTv
    @YsnTv 2 роки тому +1

    NYIEEEEEE NYIEEEEE MNAPIGWA AKATI WATETEZI WAPO hahah haha

  • @fatumazuberi9842
    @fatumazuberi9842 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣zai jamani

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣Yalabi 😁😁

  • @tiffahjuma1970
    @tiffahjuma1970 3 місяці тому

    Mjumbe iiiyeees mjumbe iiiyeesss😂😂😊😅😅

  • @reginapiusi6750
    @reginapiusi6750 2 роки тому

    Kisha zai huwa hacheki yupo siliaz hatar 🤣🤣🤣🙌

  • @humphreyleodgar9434
    @humphreyleodgar9434 Рік тому

    Mjumbeee Yes Mjumbeee Yes 😂😂😂

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +1

    🤣Mjumbe 🤣YES.

  • @angelique10
    @angelique10 Рік тому

    Nimecheka hadi machozi

  • @naimanaima4715
    @naimanaima4715 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣 Nimechek akii

  • @fatmahrashidi1533
    @fatmahrashidi1533 2 роки тому

    Hahahahahahahahahahahhaha..Yan zai jmn muongo ww sipat picha ungekuwa mwanaume jmn mbavu zangu

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 2 роки тому

    Jmn jmn