Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

BACHU AANZISHA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • Mtoaji mada ustadh muhsin bute Mtetezi wa Vijana wa kitwariqa

КОМЕНТАРІ • 230

  • @abbakariathumani9141
    @abbakariathumani9141 Місяць тому +5

    Mohammadi bachu Mungu ampe nguvu kubwa katika. Daawa

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI Місяць тому +6

    Eti msikiti wa kitwarika! Subhana Allah, Allah anasema! انالمساجدلله فللاتدع مع الله احدا Masheikh Muogopeni Allah hii dunia ni njia tu tunaenda mbele ya Allah yatawekwa wazi yote kwa Allah!

    • @abuualiyalbahsany8740
      @abuualiyalbahsany8740 Місяць тому +1

      Shukran kwa ukumbusho
      Lakini unapoandika aya za Quran hakiki vzr uwandishi wa maneno ya Allah.
      Allah akubariki

    • @AbdulMohamed-ox6id
      @AbdulMohamed-ox6id Місяць тому

      Watu wa Shanga maisha yao wanaishi kwa udugu na amani, lakini s
      asa fitna ishaingia, inshaAllAH mungu atawastiri ndugu zetu wa shanga
      A

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      عربى - التفسير الميسر : وأن المساجد لعبادة الله وحده، فلا تعبدوا فيها غيره، وأخلصوا له الدعاء والعبادة فيها؛ فإن المساجد لم تُبْنَ إلا ليُعبَدَ اللهُ وحده فيها، دون من سواه، وفي هذا وجوب تنزيه المساجد من كل ما يشوب الإخلاص لله، ومتابعة رسوله محمد صلى الله عليه وسلم.

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 Місяць тому

      Hio aya inaanza kusema. MSIKITI NI WA ALLAH SW WALA USIOMBE MUNGU MWENGINE PAMOJA NA ALLAH SW. AU ULIFKIRI INAKQTAZWA KUOMBA MTU HAPO?. MAWAHABI VILAZA 😂😂😂

    • @user-xb6tr5vq4b
      @user-xb6tr5vq4b Місяць тому

      Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh haomuwe munaangalia uwongowao

  • @hakeemprince6868
    @hakeemprince6868 Місяць тому +3

    Waislamu ni ndugu ummah mmoja ni kama mwili mmoja kwahivyo tupendane tuhurumiane tuwe sote pamoja

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 28 днів тому

    Allwah amlinde sheikh Muhammad na wanafiki kama hawa wasiojielewa.

  • @mohammedyusuf8031
    @mohammedyusuf8031 Місяць тому +3

    InshaAllah kupitia huo mskiti Allah ataleta nuru ya sunna na hizo shirki zenu zitaondoka

    • @ShamsaMohammad-v1b
      @ShamsaMohammad-v1b Місяць тому +1

      Kabisaaa

    • @RamyGichero
      @RamyGichero Місяць тому

      Hamna hekma ya eneza Imani yenu mnavuruga jamii na kuleta chuki mawahabi

  • @HappyBlackKitten-nt2lp
    @HappyBlackKitten-nt2lp Місяць тому +3

    Bacho songa mbele

  • @MohamediNdwata
    @MohamediNdwata 28 днів тому

    Unajenga unabomoa shikamana na waislam katika njia ya Allah

  • @AmirathumaniSori
    @AmirathumaniSori 29 днів тому +1

    Jama😅 mashekhe wengn ni mutihan 2 mbele ya mungu mutakuja kuzalilika san

  • @AbdulwahidAli-md6re
    @AbdulwahidAli-md6re Місяць тому +1

    Hiyo Aya waitumia kumkufurisha muislam mwenzio na Hali iyo Aya yawazungumzia wanafiki huoni kuwa umeitumia mahala sipo mm naona kuna mambo mumeyaficha kwenye vifua vyenu na Allah amekwisha sema katika aya zake " Na yakakusanywa yaliomo vifuani". Ikumbukeni sana hii siku msije mkajuta

  • @MohammedSalim-lz3bv
    @MohammedSalim-lz3bv Місяць тому

    Ustadh huna hoja ya msingi, mlikuwa msimzuwie kutowa dawa, sasa Acha dawa ije kwa njia nyengine, huwezi kuzuwia maneno ya Mungu....

  • @IsmailIbrahim-go3dy
    @IsmailIbrahim-go3dy Місяць тому

    Na je walio mfukuza sheikh Mohammed bachu wame Jenga ule wa kwao na kumfukuza sheikh asifanye da'awah ni msikiti aina gani brother, Tena eti huyu sheikh ni mtu wa Sunnah subhana Allah

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 7 днів тому +1

    I agree 💯 with you wahhabis ni mbwa koko

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e 19 днів тому

    Mashekhe mitihani hii

  • @ShabaniKibwana-z7d
    @ShabaniKibwana-z7d Місяць тому +1

    Subhanallah

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 Місяць тому +1

    Mimi nitatoka ushahidi mbele ya Allah yakua Watu wakiwahabi niwatu wafitna...nishawahi kuwaona mawahabi wawasaliti waislam wenzao kwaserikali ili waislam Hao wafungwe ..mawahabi niwatu wafitna Shetani Amewaingia kwanafci zao kufitinisha waislam.....

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Місяць тому

      Kumbe ishu ilikua nin au umeichukua habari jujuu kama mafadiqi hebu niambie tatizo la wao kupelekana mahakamani kufungwa

    • @drmahwa8166
      @drmahwa8166 Місяць тому

      Muogope Allaah achana na unafiqi.bidah ni mrango wa moto​@@saidimkwinzu9106

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman Місяць тому

    Mtu akimaliza kuujenga msikiti huo sio mskiti wake bali ni Nyumba ya Allah. Na waislam hupaswa kuutumia kwa ibada. Sasa mwenye chuki na hasad za kuwa alijenga fulani kwa kuwa yeye ana msimamo fulani hao watajipoteza. Kauli ni kumuabudu mola mpka mauti mmoja wenu yamkute huku ibada hakuziacha.

  • @JumaSalimin
    @JumaSalimin Місяць тому

    Pole sana sheikh wangu, wenye msikiti wao hawataki dawa nihio tu kuepusha shari. Kujenga msikiti mwengine MASHALLAH.

  • @sharifsayyidalmahdal
    @sharifsayyidalmahdal 7 днів тому

    Khurafi mkubwa

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e 19 днів тому

    Jamani cc tunao comment ni kharamu kumuita muislamu mwenzako kafiri tujirekebisheni jamani sote lengo letu JANNA

  • @OfficialAbdulrashedalhilaly
    @OfficialAbdulrashedalhilaly Місяць тому

    ALHAMDULILLAAAH WATU WATWARIKA HAWAFAI KUWA HATA WAFANYA USAFI MSIKITINI
    UKIPATA UWEZO WA KUMTOA MTWARIQA KTK UIMAMU NI KHERI KUBWA IMEFANYA WEWE
    SABABU HAO NI WAPOTOSHAJI SIO WAONGOZAJI
    HONGERA SH BACHU LAMU SASA YAENDA PATA MSIKITI YA SUNNA ALHAMDULILLAAAH RABIL ALAMIIN

  • @sharifsayyidalmahdal
    @sharifsayyidalmahdal 7 днів тому

    Acha uongo khurafi ni masjid Isa bin Mariam sio Jesus Christ khurafi wew

  • @NurudinYazid
    @NurudinYazid Місяць тому

    Mashaa Allah kwa nasaha nzur yaa ustadhy zid ya fitna zinazo endelea kwa ulimwengu wa sas

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt Місяць тому

    Wewe ustadh nenda kalale tafadhali , fundisha ilmu ya matwari na kupiga zumari msikitini maulidi na hitima na kupiga ramli na . Wacha chuki zako mbovu za kikafiri kwa mwalimu wetu na shekhe wetu Muhammad Nassor bachu Allah amuhifadh.

    • @abdallahassan2080
      @abdallahassan2080 Місяць тому

      Si ajabu ukisema ni mwanafunzi wake sababu mwafanana

  • @user-qv9ep6wq1t
    @user-qv9ep6wq1t Місяць тому

    Mawahabi wamekua kama wakiristo kwamba kila mtaa wenye msikiti kuwe na kanisa sasa wao moja ya mikakati yao ni kila penye msikiti wa Ahlu sunna kuwe na masjidu dhiraar

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e Місяць тому

    Kazi mnayo!
    Kama mlikua mnaswali eid moja siku moja mjue sasa mtaswali eid siku mbili tofauti.

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz Місяць тому

    Masheikh wa kisuf akili ndo tatizo mnamisimamo ya kitetea matamanio ya nafsi zao

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz Місяць тому +1

    Hii inaonyesha dawa imewaingia vzr sana

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 Місяць тому

    shekh Muhammad bachu usirudi nyuma hawa watu wa twarika hawawezi izima nguvu ya Allah

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 29 днів тому

    Em shekh toa kufru sita zinazofanywa katika miskiti ya masalafi

  • @AbuuKhalid-h1i
    @AbuuKhalid-h1i Місяць тому

    Ndugu anglia unacho kihadharisha utaenda kulipwa kwa kuzuia kuenea haki chuki zutakuingiza katika ghadhab za Allah kuwa makin ndugu yangu.

  • @husseinibrahim5470
    @husseinibrahim5470 Місяць тому

    Bado hamuwezi tafautisha kati ya chumvi na sukari hata kwa macho au kuonja. Haki na batil kawmwe havifanani. M Bachu Allah akuhifadhi.

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 Місяць тому

    Bi Idhin Allah msikiti wa Sunna utajengwa na watu wa Maulid mtadhalilika hapa duniani na kesho akhera

  • @thamani5842
    @thamani5842 Місяць тому +1

    Jazakalkahu lkheir Sheikh

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir Місяць тому

    Nyinyi wa Kenya subirini kidoogo baada ya miaka kadhaa mutakuja kumfahamu huyo Muhammed Bachu ni nani maana hamujamjua bado.
    Fitna na migogoro ndio kazi anayolipwa kwayo hiyokamahamujuwi.

  • @mohamedswalehe4442
    @mohamedswalehe4442 Місяць тому

    Bachu hajielewi kama anajielewa angepambana barabara namjadala na Sheikh Said

  • @MAPETEE
    @MAPETEE Місяць тому +3

    Bachu ni mfitinishaji sanaa

  • @IsmailGavara-y3t
    @IsmailGavara-y3t Місяць тому

    Pigeni kelele tu mkiti utanengwa huu ni utangulizi tu zitajengwa misikiti zaki sunni kweli kweli inshallah

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Місяць тому

    Vip wengelimruhusu akafanya hiyo dawaa msikitini je muhammad angejenga huo msikiti mwengine lkn wameyanzaa wao kuwagawa waislam kwa kuwazuia kuinga ktk msikiti acha watu wajengee mwengine ambao watafanya harakat zao za dawa

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 25 днів тому

    Huyu shaikh ni mkuweli

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 Місяць тому

    Kichwa cha habari tu kinaonesha upumbavu wenu na akili ndogo kuna msikiti wa fitna dunian??? Kichwani hauko sawa

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 Місяць тому

    We xhekh ni mchochezi huna elimu unamponda bachu yupo kwenye haki

  • @OsmanAli-zb3tu
    @OsmanAli-zb3tu Місяць тому

    Hata mtumepiaalimbuwa agawanya watu haikuanza kwa sheikh muhammad bachu Allah amuhifadhi

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 Місяць тому

    hujasema kweli ww mtowa posti hii umefeli unatafuta kujibiwa ili upate kiki

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb Місяць тому

    Yaani masheikh wote hawajui wao ndio wajuzi,ukijikweza mungu atakushusha

  • @MohammedSalim-lz3bv
    @MohammedSalim-lz3bv Місяць тому

    Kazi kuabudu makaburi, lazima muambie ukweli...

  • @swahabahusein23
    @swahabahusein23 Місяць тому

    Masha Allah wazushi mko na shida sana

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b Місяць тому

    Wewe mtuwakitwarika kwakuzungumza bila aya walahadidhi ndomnajua Nahao manenoyako bilahadidhi wala aya hayatusumbuisisi

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn Місяць тому

    Watu maulidi wanakazi

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp Місяць тому +1

    Ata bado kazi kumuandama kijana ambae ameamuamua kusema kwanza leteni ushahidi wapi wanyama walipeana tarifa ndipo mje na fitina

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 Місяць тому

      😅😅 yeah
      kwanza wajibu majib
      1- wapi wanyama waliongea
      2- wapi kuimba ktk micbaa

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 29 днів тому

    Nyinyi ndio mwawagawanya watu kwasababu hanpendi haki isitumie aya kupotoa watu

  • @SharrifCharo-mi1bn
    @SharrifCharo-mi1bn Місяць тому

    Unaogopa waumini hawato ingia kwa misikitu ya maulidi

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b Місяць тому

    Na ulichokifundisha hakieleweki ilatu nichuki apo ndoo umeeleweka

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 Місяць тому +1

    Watu wamebadilika hawataki tena twarika zenu za burda na shirki

  • @farishfarish258
    @farishfarish258 Місяць тому

    Bachu Allah akulipe khery

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b Місяць тому

    Shekhe bachu hawawatuwamaneno utawaweza kwasababu aya walahadidhî hawajui

  • @hajikomora703
    @hajikomora703 Місяць тому +1

    Swali. Je ni ipi hukmu y mwnye kuswali kwenye huo msikiti w Ustadh. Bachu?

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Місяць тому +1

    Haahaa cheki hili jinga

  • @al-aminbaruan6167
    @al-aminbaruan6167 Місяць тому

    KWELI UJINGA NI MZIGO.
    NGUVU NYINGI PUMBA TUPU.

  • @salfatinvestments909
    @salfatinvestments909 Місяць тому

    acheni dhihaka na maneno ya Allah (Quran) chuki za kibinafsi zisipelekee uchochezi wa kuwafitini watu kwa kiwango hiki, tumcheni Allah (S.W). Kwa wenye akili wataelewa fitna ilipo, Allah atuongoze kwenye haki na kuifwata sunnah ya mtume wake (S.A.W)

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu Місяць тому +1

    Please tusitafute view kwa kutumia dini msikiti niwamungu uwe niwamwatwari au uwe siwanwatwari please view zitafutwe kwa njia nyingine

    • @ramiyawetutv
      @ramiyawetutv  Місяць тому +1

      Sikiliza video upate ufahamu

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 Місяць тому

      ​@@ramiyawetutvkitu gan chenye faida hapo Ata kisikilizwe

  • @IsmailGavara-y3t
    @IsmailGavara-y3t Місяць тому

    Masufi ni makafiri tu kama makafiri wengine sio jipya

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim Місяць тому

    Jenga Bachu,wewe hawakuwezi wanakuogopa,wacha wapige kelele piga kazi

  • @pablooo4197
    @pablooo4197 Місяць тому

    Twarika na ahlul sunnah vinaambatana wapi na wapi?? Huyu jamaa vipi lakini!

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e 19 днів тому

    Hawa mashekhe ndo kioo chetu wanafanya haya cc tufanyeje

  • @abedkarume9088
    @abedkarume9088 Місяць тому

    Mashekh nanyie kama wasanii siku hizo tangu muwe mitandao hamna makongamano ya pamoja kuchanuwana na kukosoan nyingi kwa waislam muje na lengo moja

  • @husseinibrahim5470
    @husseinibrahim5470 Місяць тому

    Bachu anaelimu mbembelezi afunze sunna ya RasulAllah

  • @MAPETEE
    @MAPETEE Місяць тому

    Watu bachu wot ni wapuuzi sanaa

  • @AMADIEE
    @AMADIEE Місяць тому

    Mwaipinga haki ila haki haipingiki wacha khofu mwenye macho haambiwi ona. Kisha ukiita watu makafiri basi kama wao simakafiri automatic wewe una kuwa kafiri kama yule mlengwa sio kafiri.

  • @TheMousser
    @TheMousser Місяць тому

    😢huu wako ndio uzushi kweli kweli hamtakubali kua salafi na twarika ni njia mbili mbalimbali shida wewe pia hujielewi tena bachu yuko tu sawa tena kwa sana, ila unaeleta fitna ni wewe

  • @SuolFat
    @SuolFat Місяць тому

    Hongera sheikhe umesema ukweli

  • @salehrashid-fx9rq
    @salehrashid-fx9rq 28 днів тому

    Ukiongea ongea kama mwanamme, usilegeze sauti

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 Місяць тому

    Tanzania nzima wamejaa washirikina endeni huko mukawaongoze Hao waislam washirikina Watu wamekita kwaushirikina ..huko siu Kuna mashekhe nawacha amungu kuanzia zamani

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m Місяць тому

    Hao mawa habi hupita na kusema watu wasi some vitabu vilivyo andikwa Tanga na lamu haya nime yasikia Kwa masikio yangu baada ya swala ya magharibi tuna hupita vijijini wakijuwa ufaham wao ni mdago huku wakigawa nyama baxawadi mbali

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 Місяць тому

    Bachu anajenga misikiti ya kuinuwa Tawhidi Juu nakuondoa ushirikina na wasio kuekewa neno la tawhidi

  • @ahmedmalau1791
    @ahmedmalau1791 28 днів тому

    Kiufupi hamutaki sunnah mwataka uzushi😅😅waabudu makaburi wana shida sana😂

  • @abdallahhamad8808
    @abdallahhamad8808 Місяць тому

    Nd maana yake kulekeza spika kule kule ili muwache kupotosha w2

  • @alibaraka6699
    @alibaraka6699 Місяць тому

    Kwa maelezo ya huyu Sheikh inaonesha Mashia ni bora kuliko hao Mawahabi.

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Місяць тому +1

      Una Akili kisoda kweli😂😂

    • @alibaraka6699
      @alibaraka6699 Місяць тому

      @@saidimkwinzu9106 jee kati ya Mawahabi na Mashia ni nani adui wa Uislamu?

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 Місяць тому

      @@alibaraka6699 ni mashia ndo maadui wa uislam asilimia 💯

  • @abdishivo6764
    @abdishivo6764 Місяць тому

    we sheikh acha fitina na choyo sjui hata waongea nini hapo

  • @nelson-cd7fr
    @nelson-cd7fr Місяць тому

    Jamani muogopeni Allah acha kugawa waislamu

  • @saidjuma4547
    @saidjuma4547 Місяць тому

    watu wa twarika kazi munayo munazuia dini ya Allah isitangazwe

  • @SeifSimba-qq8rk
    @SeifSimba-qq8rk 29 днів тому

    Hakuna miskiti ya kuyagawa wa2

  • @TheMousser
    @TheMousser Місяць тому

    na pale lamu misikiti 6a shia na twarika na hatua ngapi kwa mfano

  • @imamually1926
    @imamually1926 Місяць тому

    Kwani sheikh haki na batir vinakaa pamoja siku zote? Watu wengi huswali ktk miskiti yenu kwa shida ikiwa hakuna mskiti wa kisunna karibu ndio twaswali ktk misikiti ya kibidaa

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp Місяць тому

    Lol kila kizazi kina uzushi😅😅😅😅😅

  • @TheMousser
    @TheMousser Місяць тому

    msikiti suna kisimani hauvunjwi hilo lifahamu

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Місяць тому

    Huy jamaq hajielew sasa ww mtu umeshamzuia kuingia msikitini na akijenga wake unasema anawagawa waislam😅 sasa emu waruhusuni miskitin mwenu tuone kama watajenga hii miskiti hivy... Unachokitaka ww tuwe kama makafiri kila mmoja asali kwany kanisa lake...
    Kukosana ktk misimamo ety unamzuia mtu asingie msikitin na akijenga wa kwake ni kosaa 😅😅 utalia sana kijana

  • @MohamediNdwata
    @MohamediNdwata 28 днів тому

    Shekh unatuchanganya kwa kusema vibaya Mashekh usiseme wapotoshaji hayo ni maneno machafu na wewe ni nani?

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Місяць тому

    Leohukuanza na Aya
    maana umegundua umetafsr kwa uelewa wako
    b Ndio maasuf mlivyooo ,
    Wavivu kusoma!

    • @user-qm4qd8yk2x
      @user-qm4qd8yk2x Місяць тому

      kweli kabisa masufi ni wavivu wakusoma hata Iko clip ya Sufi mwenzao shekh mziwanda kutoka tz akiwasisitiza masufi wenzake wasome dini wapunguze kuimba
      nahatakama watasema wamesoma lakini hawawezi fanana na watu wa Sunnah ASLI mia kubwa ya usomi wao ni mashairi marefu. Dua nyingi ambazo hazikuthibiti kaswida nyingi trics/Hila nyingi katika SoMo la nahwi. visa vingi vya urongo kama vile makarama kutishatisha watu na majini kuwafata matajiri mbalimbali husun WA Jami ya ki Asia eti kuwaombea biashara zao na kula sanaaaa bas. hakuna tawheed. hakuna Sunnah hakuna kuhifadhi Kur an. huu utafiti wangu nasema aslimia kubwa tena kubwa sana sikusema wote WALLAHU A ALAM

  • @ShamsaMohammad-v1b
    @ShamsaMohammad-v1b Місяць тому

    Munadhihirisha aibu zenu jisitirini madheikh wa shanga

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e Місяць тому

    Huyu mlinganizi kumbe ni mtu wa bidaah pole sana kaka kumbe ulitakaje sasa watu wamezuiliwa msikiti wajenge wao msikiti wa fitna sasa ulitaka watu wafanyeje ww

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 Місяць тому

    Mashaallah

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому +1

    Kwani jmani msikiti ni kanisa,?

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Місяць тому

    Huyu jamaa hana hoja sasa umemfukuza mtu kweny msikti wako basi wachee watu wajengee wao...
    Acha ujinga

  • @TheMousser
    @TheMousser Місяць тому

    masajid za sunna hazina bid'a

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir Місяць тому

    Kwani mushampa Uraia wa Kenya huyo Bachu huko?

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 Місяць тому

    Bachu nimtu wafitna Atadhaliloka nafitna zake

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui Місяць тому

    Mungu Mmoja
    Dini Moja
    Mtume Mmoja
    Kitabu kimoja
    Kwanini madhehebi?

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 Місяць тому

    Kijiji kidogo Cha shnga hakihitaji miskiti yote hio .Fitna hizo zakiwahabi zunaishia ukinhoni

  • @pembamusic3929
    @pembamusic3929 Місяць тому

    Niko pamoja na WW shekh hawa watu sio wazuri kabisa

    • @drmahwa8166
      @drmahwa8166 Місяць тому

      Wapiga lamri washirikina lazima mwe pamoja kuipiga vita sunna

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko Місяць тому

    Hahaaa watu wa bidaaa mnna kazi sana,hamna hojja mtaenndelea hivyoo hivyoo hhuku dawwa ikiendelea kupamba