Jazzakallah Tabarakallah shekh muhammad bachu Allah akuhifadh na akubariki sana. Ukweli mtupu ulio sema . Makhurafi hawana hoja bali bid'ah na ujuaji mwingi tu. Allah atuongoze na atuepushe na watu madhalim .
Sio muhimu kuwafuata watu wa Makka wakati kuna tofauti katika muandamo wa mwezi mpya. Hii ndiyo mitazamo sahihi zaidi ya wanachuoni, kwamba kila nchi ina muandamo wake inapotokea tofauti kuhusu hilo.
❤Mashallah Allah azidi kukupa ilimu ili utuelimishe na uwafunze wenye kupotosha watu. Allah akulipe khery Dr Muhammad bachu. Yni Leo umetumia ilimu na hekma kubwa sana ktk majibu ulomjibu uyo sheikh Allah akuhifadhi❤
Mimi KUANZIA Leo WATOTO WANGU hawataenda kwenye maulidi am a NDIO haya unayoyasema MTUME uwa anakuja kwenye maulidi !!! Sasa mbona hawayaweki bayana haya unayoyaaema.ALLAH ATUNUSURU.
Sheikh shukran sana Allah akubariki kwa kila Kheyr.Lkn Sheikh ningeomba kufahamishwa kitu cz mm c kusoma lkn kuna Mengine hayahitajii usomi.kuuliza Swali langu ni hilii Kabla hakujaingia Mitandao Mababu zetu waliifaidi Vipi hii Funga ya Arafaa kabla ya mitandao kuwepo chengine Fat'wa ya Said Hassan na yako zote zipo kwa hiyo Majmuul fatawa ya Sheikh Swaleh RahimahuLlahu Sasa tuelewe vipii huoni km huo ni mgonganoo Shukran sana
Jamani huyu kijana anaonekana anauelewa mdogo maskini lakini ajiona amepatia kweli na inaonekana watu wengi wanaokomenti wako hivyohivyo shekh uthaimini kwahapa amezungumzia ibada ya hija kule maka yatekelezwa kwa kuzingatia mwezi wa maka ima fatwa ya funga ya arafa ameitanguliza
A.alaykum sheikh bachu,ndg yangu pole sana,wote nyingi mnatngaza na kujifurahia makundi yenu tu(madhehebu)kama unavokariri bila haya ati wewe ni muwahabi!! Hebu tuirejee 22:78 kisha 3:103,105 na 30:32 halafu utufafanulie umeyaelewaje na ulinganishe na maneno yako uliyoyatamka ktk mada ya arafa,tafadhali tuifuate qurani ndg zanguni.
Wewe ndo Bado sana shehe zenu wanatumia sana uongo kama anamfatilia bin uthaymeen kwanin asione hayo maneno hapo kuhusu hija na ayanukuu tofaut na maneno yanayohusu ramadhan? Shehe bacho kumuomba vizur tu Kwa heshima kwamba akasome tena hiyo miatar Wala hamna tusi hapo
DR ALI JUMUAH SIO MWANACHUONI WAKISHAFII NDIO MAANA HAKUTOWA FATWA KUTEGEMEA MADH'HAB YA AL IMAAM SHAAFI3YY KWA HIVYO HATUMTEGEMEI KATIKA SWAUM YA ARAFA HATA KAMA NI WETU WA TWARIQA ... SI NYINYI PIA MUMEMUWACHA MKONO IBNU UTHEYMIIN KATIKA MUANDAMO WA RAMADHANI !!!!! KIELEWEKE..
Hapo ndo ujuwe pia uwahabi ni chombo cha kuwapeleka watu motoni. Kumbe ramadhani shekh wao kasema wafate kwenye mji walo kuwemo ndani ila wafuasi hawajiulizi wanakazi ya kuwatukana masufi mtachelewa sana minyoo ya saudia.
Umejichanganya sana bachu Acha nikusaidie hyo fatwa ulotoa ww HAPO IBNI UTHAEMEEN ANAKATAZA MAKKA KUFUATA MIANDAMO YA NCHI NYENGINE YAAANI MAKKA ITAZAME TU MUANDAMO WA SAUDIA ILA SIO PENGINE leo bachu nimeona kumbe wasoma sana ila huelewi ulichosoma Na NDIO MAANA MAKKA HAWAFUATI MUANDAMO POPOTE DUNIANI
Halafu kwa makusudi baada tu ya kusoma hicho kipengele badala ya kutafakari kwa kina majibu ya sheikh Uthymin anakurupukia kwenye mada zingine, hii ni dalili ya mtu mdanganyifu!
Yaani bado hamujaona huyu kazi yake si kuendeleza ilimu bali nikupinga ma shekhe. Yaani akae tu kuskiza wengine awakosoe. Hii tabia c nzuri . Mungu atuongoze yaraby .
SHEKH BACHU NUKUU VIZUR ALOYASEMA SHEKH MIMI BINAFSI SJASKIA KAMA KASEMA ANAMFATILIA SANA ANAMSOMA SANA LAA KASEMA ALIPOENDA ARAFA KAKAA KWENYE DARSA YAKE MPAKA IKAMALIZA NA AKAENDA KUMSALMIA
very wise answer from sh.Mohd Bachu to the khurafi said ali hassan.. Very sad they are trying to divert the truth but Allah has provided answer from a very young wise student of knowledge.. Subhana Allah said hassan will never have an answer for Bachu junior hafidhahu Allah.. Allah Akbar
@@Muharram-c5n Na mtume SAW alikuwa akifunga kwa muandamo wake kwahiyo na yeye apewa udhru ? Kisha hebu tuambie mtume alikuwa akifanya ibada za siku kumi za dhu alhija kabla ya kufaradhiwa hija , sasa alikuwa ikifanya kwa mujubu wa hija gani ?
Nyie ndo vichwa mboga waambien mashehe zenu waache uongo huyo shehe wako katoa dalili kwenye kitabu Kwa kukata kata vipande mwambie asome maelezo kama alivonukuu Muhammad bacho mana kitabu ni hiko hiko😂
Halafu video inavianza mwanzo tu inaanza na video ya shehe wenu wa kisufi mkubwa tu anaitwa shehe jumaaa anasema Arafat ni Moja siku wakisimama wahujaji na ramadhan watafuata Kila mtu mwez wao Sasa sheikh wenu Saidi na huyu sheikh jumaa mkubwa nan kielimu? Au hujaona hapo iyo video
Wewe na hio akili yako timamu unavyoona ni sawa arafaa jumapili kweli . Ulimwengu mzima wako makkah sasa basi watu wenge simama kila mmjoja na siku yake alivyotaka
Kama waislamu wa sasa wanakoseswa kufunga arafa na masufi, hao waliofunga zamani vip wote waliipatia au dini inabadilika badilika kama kinyonga. naomba elimu katika hili.
Binafsi Mungu ataenda kuniuliza kuwa kanipa ufahamu kutofauti zuri na baya , duniani kuna kukosea na kupatia,, binafsi Mambo ya Ki sunna hayawezi kunitoa kwenye mstari , Kuna Hijja na Kufunga ni ibada mbili tofauti, Alio Hijja hawafungi basi tunaofunga ni sisi tusio hijja😢 sasa sioni haja ya watu kuwa wakali kiasi hiki
Kazungumzia Arafa ilivyo halfu akagusia mambo Ya sheikh ibn uthaimin kaongelea mambo Ya akida mbona amuyafatilii kama sheikh anamfatilia sheikh mwenzie
Asalam alaykum sheikh Allah akulipe kheri na akuhifadhi lkin tukitizam hiz clip matangazo yanakuwa mengi hususwa ya kuchukuwa mkopo wa riba jitahidi kuyaondowa Allah akulipe heri
Sasa basi tuambieni miaka 50 iliopita wakati wa babu zetu hakuna simu wala tv walijuaje watu kule wako arafa??? Jiulize hilo halafu zingatieni. Au walikua hawali eid? Au walikua hawafungi arafa??
Mm nauliza kwan sisi tumeambiwa tufunge mwez tisa au tumeambiwa tufunge siku ya arafa jamani mbona tunazongana zongana kwani mtume anasemaje sheikh bachu Allah akuhifadhi pamoja nasi
Hahhhhh mtihani..Sh Mohd Bachu hayo maelezo ya Sheikh Uthaimin umeyaelewa kwanza au umeyavamia hapo hapazungumziwi saumu ya arafa ni kuhusu mahujaji Na half mbn ushajibiwa kitambo
Safi sana muhammad allah akubariki na amtie peponi baba ako
Aamiin
جزاك الله خير الجزاء
شيخنا الفاضل محمد باشو
ونفع الله بك.
Wa kwanza kulike nipeni zawadi zangu wadau Ma Shaa Allah nipo karibu Sana na hii chanal Ma Shaa Allah
Barakallahu fiikum sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi amiin
Sheikh okoa nafsi za watu ,watu wana masikio lkn hawssikii subhanaaAllah ,Allah akuhifadhi u r doing great job mashaaAllah.
Jazzakallah Tabarakallah shekh muhammad bachu Allah akuhifadh na akubariki sana. Ukweli mtupu ulio sema . Makhurafi hawana hoja bali bid'ah na ujuaji mwingi tu. Allah atuongoze na atuepushe na watu madhalim .
Sio muhimu kuwafuata watu wa Makka wakati kuna tofauti katika muandamo wa mwezi mpya. Hii ndiyo mitazamo sahihi zaidi ya wanachuoni, kwamba kila nchi ina muandamo wake inapotokea tofauti kuhusu hilo.
❤Mashallah Allah azidi kukupa ilimu ili utuelimishe na uwafunze wenye kupotosha watu. Allah akulipe khery Dr Muhammad bachu. Yni Leo umetumia ilimu na hekma kubwa sana ktk majibu ulomjibu uyo sheikh Allah akuhifadhi❤
Mimi KUANZIA Leo WATOTO WANGU hawataenda kwenye maulidi am a NDIO haya unayoyasema MTUME uwa anakuja kwenye maulidi !!! Sasa mbona hawayaweki bayana haya unayoyaaema.ALLAH ATUNUSURU.
Safi sana muhammad allah akuhifadhi
MashaAllah sheikh wetu,endelea kutuongoza kwa njia ya haki na Allah atakulipa kwa hili InshaAllah
Sheikh shukran sana Allah akubariki kwa kila Kheyr.Lkn Sheikh ningeomba kufahamishwa kitu cz mm c kusoma lkn kuna Mengine hayahitajii usomi.kuuliza Swali langu ni hilii Kabla hakujaingia Mitandao Mababu zetu waliifaidi Vipi hii Funga ya Arafaa kabla ya mitandao kuwepo chengine Fat'wa ya Said Hassan na yako zote zipo kwa hiyo Majmuul fatawa ya Sheikh Swaleh RahimahuLlahu Sasa tuelewe vipii huoni km huo ni mgonganoo Shukran sana
Mashallah nakuelewa sana umenizindua kwny mambo mengi wallah Allah(sw)akupe nguvu na afya njema ktk kuipigania dini yake
Allahumma aamin 🤲
Dalili tosha ndio hio mashaAllah
Mungu atuongoze pia wewe Bachu
Nakupnda wallahi kwa ajili ya haqqi.
Ustadh Bachoo tumezoea unapokosoa unaelekeza kurekebisha Maneno aliyosingiziwa au ufahamu wa shekh sasa tunaomba tupate faida kweli ibnutaimia kasema maneno aliyosema huyu Shekh ahsante
A alykm hii n comment yng ya mwanzo, nmefurah sana kwa kuwazndua weng Allah akulinde na akulpe kila lakher
Mashallah ya sheykh allah akuhifadhi akupe na umrii umma tufaidike mashallah baraka llahu fika
YA'ANI WE MUHAMMAD BACHU UNAJUA{ALLAHUMA BAARIK ALAYHI}🤗🤗🤗
Maa sha Allah! Shukran sana Sheikh Allah akulipe kheri na akuhifadhi daima.Aamin.
Mashaallah Allah amuhifadhi sheikh wetu
Anaitwa mzee wa ufasaha like father like son
Improved genes: more than the father.
Hkn kiumbe fassha alkamalu lilah
MashaAllah
@@abdulbandari1551 ndio mnavyojidanganya hivyo mawahabi?
Twamuomba Allah akuzidishie Elimu ili nasi tuweze kustafid.
Ma shaa Allah Sheikh wtu Allah akuhifadhi akupe umri mrefu uzidi kutuongoza kwa njia ya sawa
Masha'Allah, Sheikh Muhammad Bachu Umetumia Elimu Yako Vizuri Kuelimisha Umat Muhammad 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
MashaAllah, jazaka Allahu kheira, umetoa faida kubwa
Simba Mohamed Nassor Bacho,Allah akuzidishie ilmu na hekma na ubusara
Mashallah Mashallah Allah akujalie afya njema na akupe elmu.
Jamani huyu kijana anaonekana anauelewa mdogo maskini lakini ajiona amepatia kweli na inaonekana watu wengi wanaokomenti wako hivyohivyo shekh uthaimini kwahapa amezungumzia ibada ya hija kule maka yatekelezwa kwa kuzingatia mwezi wa maka ima fatwa ya funga ya arafa ameitanguliza
HAJAELEWA KWAMBA HIZO NI FATWA MBILI TOFAUTI
Sikiliza kwa roho ya ukunjufu tufaidike sote wapita njia
ujinga ni mzigo
Mtihani
Nahwu ni kitu kingine Unatakiiwa utulize akili naona bachu anaongelea tofauti
Mpaka msemeeeee mpaka haqqi ijulikane
الله يزيده الإخلاص والمتابعة ، بارك الله فيك يا شيخ
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Barakh Allah Kher sheikh
Mashallah Shekh wetu Muhamad Bachu
Allah akuhifadhi sheikh nassor ... shukran
UNGESEMA YALE MANENO SIYAKE IBUN UTHAIMIN UMEMSINGIZIA KAMA NIYAKWELI BASI ACHA WATU WAFUATE
MashaAllah MashaAllah may Allah guide us all
Mashallah .dhekh muhammad ww ni kiboko yao. Wabkishe ukaidi tu ila kauli zipo waz wazi hizo. Watu wa twarika waache ubishi na kupotosha
Kiboko kabisaaa.
A.alaykum sheikh bachu,ndg yangu pole sana,wote nyingi mnatngaza na kujifurahia makundi yenu tu(madhehebu)kama unavokariri bila haya ati wewe ni muwahabi!! Hebu tuirejee 22:78 kisha 3:103,105 na 30:32 halafu utufafanulie umeyaelewaje na ulinganishe na maneno yako uliyoyatamka ktk mada ya arafa,tafadhali tuifuate qurani ndg zanguni.
Alhamdu lillah kwa kuujua ukweli zamani tu na sina shaka na Arafa moja tu tena ipo makkah
Allah akulipe Kila lakheri tuna stafid kutoka huku moshi kilima njaro
Tumewapa Uthmaan Maalim wakatupa Muhammad Bachu....watanzania hawajui walicho kipoteza
JAZAKALLAHU LKHAYRY
Mashallah tabarakallah jazakallah kheir Allah atuongoze cc na vizazi vyetu amiin
Maa sha Allah Jazaqallahu khaira
ALLAH ATUONGOZE KTK NJIA ILIYO ONGOKA AMEEN
Amin
am the first one .
Gonga like
Maaashaaallah sheikh bachu Allah akuhifadhi kwkwel
Masufi hua wanaumia wakimskia bachu anawaharibia sahani zao za kulia wanashtuka sana bachu is here to stay Bi Idhnilaah
Watu wa muridi (twariqa) wanaharibu dini ,Allah awaongoze ktk haq
Kijana wallah bado sana kweli afu tena aona anajuwa
Wewe ndo Bado sana shehe zenu wanatumia sana uongo kama anamfatilia bin uthaymeen kwanin asione hayo maneno hapo kuhusu hija na ayanukuu tofaut na maneno yanayohusu ramadhan? Shehe bacho kumuomba vizur tu Kwa heshima kwamba akasome tena hiyo miatar Wala hamna tusi hapo
Kijana huyu bado Sasa ww ulokuwa Tayari yapinge hayo kihoja.
Humjui wewe huyu Like lion kwa watu wa bidaa
@@yussufsule4793 kkkk kakimia kamezesho mate mombassa na kutoroka hadharani nAni hakuoba
Yaani ni kweli BADO SANAAAAA
DR ALI JUMUAH SIO MWANACHUONI WAKISHAFII NDIO MAANA HAKUTOWA FATWA KUTEGEMEA MADH'HAB YA AL IMAAM SHAAFI3YY KWA HIVYO HATUMTEGEMEI KATIKA SWAUM YA ARAFA HATA KAMA NI WETU WA TWARIQA ...
SI NYINYI PIA MUMEMUWACHA MKONO IBNU UTHEYMIIN KATIKA MUANDAMO WA RAMADHANI !!!!!
KIELEWEKE..
Hapo ndo ujuwe pia uwahabi ni chombo cha kuwapeleka watu motoni. Kumbe ramadhani shekh wao kasema wafate kwenye mji walo kuwemo ndani ila wafuasi hawajiulizi wanakazi ya kuwatukana masufi mtachelewa sana minyoo ya saudia.
Sijawahi kucoment ila leo niseme2 حفظك الله
Well said. Shukran
Nmeamin kweli masuufi n masifa tu virembaa😢 vikuubwaaa uelewa ni punje ya mchele!
Alaf masufi ni wavivu kusoma !!!
Huo ndio ushabik wko ulivofikia badala kujua kwamba suala hili Lina ihtilaf kauli nyingi unaanza kushtumu masufi ?
Hakuna ikhtilaf wowote ya suufi jaahil, utakosa fadhiila ya arafa na kukosesha ummah pia. Unajifurahisha na ikhtilaf na kupotosha watu@@binaamour318
Acha kuwatetea masufi@@binaamour318
😂😂😂 kabisa
Unapotea ilihali ni muislamu. Badala ufatwe nyia sahihi unaleta ushabiki kweny dini
بارك الله فيك ويزيد لك في علمك.
Masha Allah
Umejichanganya sana bachu
Acha nikusaidie hyo fatwa ulotoa ww
HAPO IBNI UTHAEMEEN ANAKATAZA MAKKA KUFUATA MIANDAMO YA NCHI NYENGINE
YAAANI MAKKA ITAZAME TU MUANDAMO WA SAUDIA ILA SIO PENGINE
leo bachu nimeona kumbe wasoma sana ila huelewi ulichosoma
Na NDIO MAANA MAKKA HAWAFUATI MUANDAMO POPOTE DUNIANI
Huo ndo ukweli
Halafu kwa makusudi baada tu ya kusoma hicho kipengele badala ya kutafakari kwa kina majibu ya sheikh Uthymin anakurupukia kwenye mada zingine, hii ni dalili ya mtu mdanganyifu!
Allah azidi kukupa Afya na faham Alhamdulillah...
Shukran sana sheikh Bachu!
Kila mwama nyie ni watu wa mashaka juu ya ibada ya funga majibu mnayopewa na viongozi wenu huwa mnayatilia shaka
@@gelamuyombo6783hatuyatilii shaka tunaekana sawa tu
Ostadh Bachu allah akuhifadh
Shekh Muhammad bachu Allah akuhifadhi uzidi kuwelimisha umma
Wananukuu yale wanayotaka wao tuu ila ALLAH anawajua zaid nafsi zao
Yaani bado hamujaona huyu kazi yake si kuendeleza ilimu bali nikupinga ma shekhe. Yaani akae tu kuskiza wengine awakosoe. Hii tabia c nzuri . Mungu atuongoze yaraby .
Shekh allah akuhifadhi ila unapozunguza jaribu kuwa nauwangalifu na unachokisema
Simba wa Allah ❤️❤️❤️ unajuwa mpaka unajuwa tena Allah akulinde
Mashallah.. allah akuhifadhi
ماشاء لله بارك لله فيك
SHEKH BACHU NUKUU VIZUR ALOYASEMA SHEKH MIMI BINAFSI SJASKIA KAMA KASEMA ANAMFATILIA SANA ANAMSOMA SANA LAA KASEMA ALIPOENDA ARAFA KAKAA KWENYE DARSA YAKE MPAKA IKAMALIZA NA AKAENDA KUMSALMIA
Barakallahu fik sh Muhammad bachu
Allah akulipe kheri Shekh..
Uko vizuri ALLAAH akulipe kheri
very wise answer from sh.Mohd Bachu to the khurafi said ali hassan..
Very sad they are trying to divert the truth but Allah has provided
answer from a very young wise student of knowledge.. Subhana Allah
said hassan will never have an answer for Bachu junior hafidhahu Allah.. Allah Akbar
Sasa duniani kuna mashekh wetu na mashekh wenu😢 Subhanalla, kumbe mnashindana kwa mashekh na sio dini yetu ya Uislam,
Bachu Allah ti abençoe ❤❤❤
Allah akuhifadhi sheikh
🎉🎉🎉 Allah akuthibitishe shekh wetu
IBADA YA ALLAH NI MIEZI MIANDAMO TU.
Hiyo Sauti ambayo umekwa siwo sauti ya Sheikh. Imeweka sauté on top of the video -
Kwahiyo qarne 14 watu waliokuwa wakifunga kwa muandamo wao akiwemo mtume SAW ilikuwa saumu yao sio sahihi ?
Hapo sasa…?! Manake social media haikuwepo wakati wa mtume alafu sheikh asema miji ya kiarabu ama?
Hao wanapewa udhuru,hukmu itazingatiwa baada ya kujua kila kinachoendelea hapo Makkah
@@Muharram-c5n
Na mtume SAW alikuwa akifunga kwa muandamo wake kwahiyo na yeye apewa udhru ?
Kisha hebu tuambie mtume alikuwa akifanya ibada za siku kumi za dhu alhija kabla ya kufaradhiwa hija , sasa alikuwa ikifanya kwa mujubu wa hija gani ?
صدقت..!!
Ndugu yangu Bachuu kasome tena kasome tena kasome kumjibu Sheikh said Ali Hassan. Hata ukucha wake huupati.
Nyie ndo vichwa mboga waambien mashehe zenu waache uongo huyo shehe wako katoa dalili kwenye kitabu Kwa kukata kata vipande mwambie asome maelezo kama alivonukuu Muhammad bacho mana kitabu ni hiko hiko😂
Halafu video inavianza mwanzo tu inaanza na video ya shehe wenu wa kisufi mkubwa tu anaitwa shehe jumaaa anasema Arafat ni Moja siku wakisimama wahujaji na ramadhan watafuata Kila mtu mwez wao Sasa sheikh wenu Saidi na huyu sheikh jumaa mkubwa nan kielimu? Au hujaona hapo iyo video
Sasa tuko kwenye maudhui ya Arafa umeruka kwenye Burdah. Al hamdulillah @@saidimkwinzu9106
@@saidimkwinzu9106Ninge kujibu nanikutukane lakini Mtumi hatukani sawa sisi ni mboga lakini one day you will recover soon inshaAllah
Wewe na hio akili yako timamu unavyoona ni sawa arafaa jumapili kweli . Ulimwengu mzima wako makkah sasa basi watu wenge simama kila mmjoja na siku yake alivyotaka
Kama waislamu wa sasa wanakoseswa kufunga arafa na masufi, hao waliofunga zamani vip wote waliipatia au dini inabadilika badilika kama kinyonga. naomba elimu katika hili.
Good job 👏
Shukran
Shukrani sheihewetu
Binafsi Mungu ataenda kuniuliza kuwa kanipa ufahamu kutofauti zuri na baya , duniani kuna kukosea na kupatia,, binafsi Mambo ya Ki sunna hayawezi kunitoa kwenye mstari , Kuna Hijja na Kufunga ni ibada mbili tofauti, Alio Hijja hawafungi basi tunaofunga ni sisi tusio hijja😢 sasa sioni haja ya watu kuwa wakali kiasi hiki
WALLAHI BILLAHI TALLAHI KAMA MUTAMUANGALIA KWA UTULIVU SANA HUYU BACHU MUTAKUTIA NI MNAFIKI NA SURA YAKE NI YA KINAFIKI .
Mashallah
Allah akuhifadhi tuzidi kunufaika
Mashaa Allah.
Wewe Bachu ndio hujaelewa hapo unatusaidia Sisi kumuelewa zaidi Shekhe Uthaimin
Wewe ndo hujaelewa arafa ni Moja duniani
@@LovelyBrain-wz7si sasa umeambiwa kuna wanofunga siku mbili?
Soma
Wallahi bachu huna hoja unaporoja tu hufai hata kusikilizwa habari ya maulidi inatokea wp hiyo mada ilikukokojoza na ukakimbia
Allah hapendi hivyo
hauna adabu wewe wala hautomfikia bachu hadi utakapo ingizwa kaburini
Kazungumzia Arafa ilivyo halfu akagusia mambo Ya sheikh ibn uthaimin kaongelea mambo Ya akida mbona amuyafatilii kama sheikh anamfatilia sheikh mwenzie
Acheni hujail nyinyi na chuki za kidin ktk madhheb
Asalam alaykum sheikh Allah akulipe kheri na akuhifadhi lkin tukitizam hiz clip matangazo yanakuwa mengi hususwa ya kuchukuwa mkopo wa riba jitahidi kuyaondowa Allah akulipe heri
Mmh mbn me cjaonaaa
mashekhe wetu hamuwakubali wenu mwawakubali
Sasa basi tuambieni miaka 50 iliopita wakati wa babu zetu hakuna simu wala tv walijuaje watu kule wako arafa??? Jiulize hilo halafu zingatieni. Au walikua hawali eid? Au walikua hawafungi arafa??
Hapo sasa tatizo watu hawataki kusoma wanafuata mihemko tu 😂
Maashallah
Kweli Hali Ni mbaya leo Masufi ndio wakutangulizwa mbele ya kina Fawzan na Masheikh was SaudiArabia.
nakukubali Sana bachu
Mtume saw asema mukiona miezi . Ahhilla ni miezi hilal ndo moja . Kwa nn katumia miezi.
Mm nauliza kwan sisi tumeambiwa tufunge mwez tisa au tumeambiwa tufunge siku ya arafa jamani mbona tunazongana zongana kwani mtume anasemaje sheikh bachu Allah akuhifadhi pamoja nasi
Umejichanganya leo
Hahhhhh mtihani..Sh Mohd Bachu hayo maelezo ya Sheikh Uthaimin umeyaelewa kwanza au umeyavamia hapo hapazungumziwi saumu ya arafa ni kuhusu mahujaji
Na half mbn ushajibiwa kitambo
Ww ndo ulijibu au nan..nyny wapingaji
Sasa mbona hapo sheikh bn ghuthaymin ajataja swaumu ya arafa hapo yeye kazungumzia mundamo na ibada ya hija unasoma na huku huoni
Unaakili sana
Ufahamu mbovu wa Mohd bachu utawapotosha watu wengi wasiojua