![RAMIYA WETU TV](/img/default-banner.jpg)
- 1 430
- 720 865
RAMIYA WETU TV
Приєднався 7 вер 2020
Ramiya Wetu
Ramiya Wetu ni channel pendwa ya kukupa habari za kidini khaswa historiya za wanazuoni wetu africa masharik na kukuburudisha kwa qaswida ,quran kwa njia ya tajweed inshaallah naomba tuwe pamoja kwa kusubscribe maneno mekundu hapo chini Yaloandikwa (Subscribe)
Zaidi nikufuatilia na kufanyia kazi pia Ruhsa ushauri,maoni na Ujumbe tunapokea kwa Maono mbali mbali na fikra Tufuatilie Whatsapp +254726068683 +254784546717 , +255748022635
Ramiya Wetu ni channel pendwa ya kukupa habari za kidini khaswa historiya za wanazuoni wetu africa masharik na kukuburudisha kwa qaswida ,quran kwa njia ya tajweed inshaallah naomba tuwe pamoja kwa kusubscribe maneno mekundu hapo chini Yaloandikwa (Subscribe)
Zaidi nikufuatilia na kufanyia kazi pia Ruhsa ushauri,maoni na Ujumbe tunapokea kwa Maono mbali mbali na fikra Tufuatilie Whatsapp +254726068683 +254784546717 , +255748022635
UFUNDI WA QUR'AN TAJWEED || QARIU JUMAA KINYASI MBELE YA RAIS WA QUR'AN TZ
UFUNDI WA QUR'AN TAJWEED || QARIU JUMAA KINYASI MBELE YA RAIS WA QUR'AN TZ
Переглядів: 431
Відео
NASWAHA YA MWENYE BABA KWA WAPINGAO MAULIDI YA MTUME S, A, W
Переглядів 35321 годину тому
NASWAHA YA MWENYE BABA KWA WAPINGAO MAULIDI YA MTUME S, A, W
LIVE PRINCE WA SAUDIA MUHAMAD SALMAN AKIWA NA RAIS WA URUS NA USHIRIKIANO WAO
Переглядів 1,3 тис.21 годину тому
LIVE PRINCE WA SAUDIA MUHAMAD SALMAN AKIWA NA RAIS WA URUS NA USHIRIKIANO WAO
ALMARHUM SHEIKH ADAM AHMAD MAISHA YAKE YALIKUWA YA QUR'AN
Переглядів 96321 годину тому
ALMARHUM SHEIKH ADAM AHMAD MAISHA YAKE YALIKUWA YA QUR'AN
KWA HILI SHEIKH ISMAIL DIDO YUKO PEPONI MANENO YA SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY
Переглядів 69121 годину тому
KWA HILI SHEIKH ISMAIL DIDO YUKO PEPONI MANENO YA SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY
SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY || TUWALEE WATOTO WETU MALEZI YA MTUME S,A,W
Переглядів 24021 годину тому
SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY || TUWALEE WATOTO WETU MALEZI YA MTUME S,A,W
NYUNDO YA SAYYID SWALEH AL-AHDALY KWA MASHIA
Переглядів 6 тис.День тому
NYUNDO YA SAYYID SWALEH AL-AHDALY KWA MASHIA
ALIYEKUFURISHA MAULIDI ALIPULIWA NA SHEIKH ALHATIMY WA KENYA
Переглядів 5 тис.День тому
ALIYEKUFURISHA MAULIDI ALIPULIWA NA SHEIKH ALHATIMY WA KENYA
PROF OTHMAN MUJAHID YOUTH EMPOWERMENT PROGRAM WITH HELPING HAND
Переглядів 7614 днів тому
PROF OTHMAN MUJAHID YOUTH EMPOWERMENT PROGRAM WITH HELPING HAND
PROF OTHMAN MUJAHID YOUTH EMPOWERMENT PROGRAM PART TWO
Переглядів 3714 днів тому
PROF OTHMAN MUJAHID YOUTH EMPOWERMENT PROGRAM PART TWO
PROF OTHMAN MUJAHID YOUTH EMPOWERMENT PROGRAM PART - 3
Переглядів 3214 днів тому
PROF OTHMAN MUJAHID YOUTH EMPOWERMENT PROGRAM PART - 3
UMUHIMU WA MUHARAM || UKHTY MARIAM SAID WA SAUDIA
Переглядів 35314 днів тому
UMUHIMU WA MUHARAM || UKHTY MARIAM SAID WA SAUDIA
BACHU AANZISHA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI
Переглядів 8 тис.21 день тому
BACHU AANZISHA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI
RAIS WA TZ ALIVYOSHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE ZANZIBAR
Переглядів 15021 день тому
RAIS WA TZ ALIVYOSHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE ZANZIBAR
QISWA CHA KWELI BAINA YA MZAZI NA MWANAE ALIYEMLETEA BOYS FRIEND WAZIWAZI
Переглядів 19721 день тому
QISWA CHA KWELI BAINA YA MZAZI NA MWANAE ALIYEMLETEA BOYS FRIEND WAZIWAZI
SHEIKH MUHARAM MZIWANDA IKIWANI MASWAHABA HAWA KUANGALIA TV BASI USITUMIE HATA SIMU WALA BASI
Переглядів 198Місяць тому
SHEIKH MUHARAM MZIWANDA IKIWANI MASWAHABA HAWA KUANGALIA TV BASI USITUMIE HATA SIMU WALA BASI
WAKENYA WAMKASHFU GA CHAGUA KWA KUMKASHFU MR NURDIN HAJJ
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
WAKENYA WAMKASHFU GA CHAGUA KWA KUMKASHFU MR NURDIN HAJJ
GOVERNOR WA MOMBASA ABDUSWAMAD AKIWATEMBELEA WAGONJWA WALOATHIRIKA NA MAANDAMANO
Переглядів 389Місяць тому
GOVERNOR WA MOMBASA ABDUSWAMAD AKIWATEMBELEA WAGONJWA WALOATHIRIKA NA MAANDAMANO
KIBATI CHA REKEBISHO KWA MTOTO WA BACHU JUU YA MASHEIKH
Переглядів 53Місяць тому
KIBATI CHA REKEBISHO KWA MTOTO WA BACHU JUU YA MASHEIKH
DARSA LA SAYYID MUHAMAD ALBEIDH BUNGOMA
Переглядів 262Місяць тому
DARSA LA SAYYID MUHAMAD ALBEIDH BUNGOMA
PRO OTHMAN MUJAHID || UNLEASH YOUR POTENTIAL
Переглядів 90Місяць тому
PRO OTHMAN MUJAHID || UNLEASH YOUR POTENTIAL
UST MUHAMAD ALBEIDH || SIKUIZI WAFALME WA SUUDI NDO HUTOWA FAT'WA MASHEIKH NDO WANAFUATA
Переглядів 218Місяць тому
UST MUHAMAD ALBEIDH || SIKUIZI WAFALME WA SUUDI NDO HUTOWA FAT'WA MASHEIKH NDO WANAFUATA
SIFA ZA MTUME S,A,W ZIKIMIMINWA NA WABARAWA
Переглядів 155Місяць тому
SIFA ZA MTUME S,A,W ZIKIMIMINWA NA WABARAWA
Jamani cc tunao comment ni kharamu kumuita muislamu mwenzako kafiri tujirekebisheni jamani sote lengo letu JANNA
Hawa mashekhe ndo kioo chetu wanafanya haya cc tufanyeje
Mashekhe mitihani hii
Allah atuongoze njia iliyo nyoka
Na ali Abubakar hutomuweza ujuwe yeye na nasoro bachu niwandugu kiimani nakielim kwahio uwe umerudi umejipanga vizur
Wewe unarudi tena hunarohokweli walikuita kwenyemnakasha ukakwepa unarudikufanyanini? Mnachokifaham ni uganga na unajimu tulishawagundua namukiendelea mtazidi kujiaibisha tulichokiona kwenu elim hamna nyie nikuzuazua katikadini
Huyu ni chizi tuu hakuna usayyid wowote
Ahlu bidaa acheni hizo bidaa mfate sunnah ya mtume msifate uzushi, hakika uzushi ni upotevu,mtume kawa achia ibada chungu nzima alizoletewa na mola wake,mpk nyingine hamzinfanyi mnazusha
Hiyo ndio Sunna baba
@@Abuusaad-uy5cx nikweli bidaa kwenu ndo sunnah na sunnah kwwnu bidaa ndo hali ya mzushi ilivyo sunnah ya mtume ndo bidaa lile la uzushi ndo sunnah,kaa chini umsome mtume muhammadi vzr utajuwa sunnah ipi bidaa ipi
@@user-yj5on8cz3ekaa chini usome Baba
Kwaio Tahweed tatu zimewachwa na mtume @@user-yj5on8cz3e
14:47 hakuna ukaribu kati ya #Waislam na #mashia 15:59 jiulize hili swali Muhimu sana ewe muislam kama unajitambua 17:57 kwani shida ni nini? Ni hoja na dalili nzito nzito za #mashia? Shida ni mali na njaa za wengi katika Ahlu twariqa ndio zimetufikisha huko!! وأخرى تحبونها Mna mengine #myapendayo zaidi nayo ni Dunia na #Mali! Lkn ukweli unaoumiza ni kwamba vyote hatujaja navyo na #hatutoondoka_navyo. 18:05 #pesa na #mizigo ni mizigo ya siku ya Qiyama. Subhanallah
19:04 Sababu ya ulaini na uswahiba wa Watu wa watwarika kwa #mashia. 19:13 anaogopa kusema kuna #unafiq pia ndani ya watu wa maulidi, lkn ni kama kweli vile, ulaini na uswahiba wote kwa maadui wa #mana_zetu si bure bure. 21:07 Istiqamah (msimamo) ni kitu kikubwa sana walichokikosa wengi. Istiqamah ndio sababu ya kupata utukufu Duniani na Akhera. 19:23 anafahamu hata hayo maneno aliyoyanena yatam 'cost' lakini potelea mbali kayasema kuihami dini na kutafuta Radhi za Allah ﷻ. Masheikh wenzake wengi sana #hawawezi, bali watakuwa ndio wa mwanzo kumruka.
Sisi #waislam tunampenda Allah na Mtume wake ﷺ . Pia twawapenda Maswahaba zake na Watu wa nyumbani kwake kwa #mapenzi ya kikweli kweli yaliyo ya dhati tena ya kisheria, bila ya kuvuka mipaka katika kuwapenda. Kuhusu #mashia wao yao ni madai tu na wala si wakweli katika madai yao ya kuwapenda #AhlulBayt. Hicho ni kichaka mlichokitumia kuuficha #ukafiri na #uzandiki wenu na ni uchochoro mnaoutumia kutapika nyongo zenu za chuki kali mliyonayo kwa kwa watu bora kabisa katika Uislam nao ni #Maswahaba wa Mtume Muhammad ﷺ. Pazia mlilojifichia linafanana na pazia walilolitumia #wakristo kujifichia na kudai eti wanampenda Iysaa na mama yake kikweli kweli kumbe ni #uongo. Kama kweli Wangempenda Iysaa (yesu) Wangempenda na kumuamini Mtume Muhammad ﷺ. Nanyi #mashia tunawaambia; kama kweli mngekuwa mnawapenda #Ahlul_Bayt basi mngewapenda #maswahaba na #wake za Mtume ﷺ #mama_za_waumini. Mnapoanza kutafuta visababu sababu na hoja za kuokoteza na kuunga unga ni Dalili na #ushahidi tosha kuwa nyinyi #mashia ni #WAONGO na wala hamuwapendi #AhlulBayt, mnajifichia nyuma yao ili mpitishe #agenda zenu chafu za kuutusi na #kuubomoa Uislam na hamtafanikiwa #mtashindwa kama walivyoshindwa wenzenu waliowatangulia katika #kufru na #unafiq na #uzandiki.
Maashaallah
رحم الله شيخنا الفاضل المثقف السيد حسن بن السيد أحمد البدوى
ua-cam.com/video/ivsAWIdjBg0/v-deo.htmlsi=JLXWqUBsqPccjMVx
ua-cam.com/video/IjjY2ZB9LU8/v-deo.htmlsi=dwlPfB3hVOwFk2wj
ua-cam.com/video/flZRCb4THNg/v-deo.htmlsi=JSI8UgInxYwdl79Q
ua-cam.com/video/UZxGN4n-QOc/v-deo.htmlsi=HiQZAvFy6k4ajp3H
Allah amrehem shariff hussein badawy...amuweke na mtume wake
Maktaba inayotembea hasa
Hawa Wana dini yao ya SHIA lakini Wana dai wao ni waslamu
Huyu shaikh ni mkuweli
SUBSCRIBE RAMIYA WETU TV LIKE COMMENT AND SHARE +254726068683
MASHAALLAH❤❤❤ kondoa kwetu
MASHAALLAH❤❤❤ kondoa kwetu
MASHAALLAH❤❤❤ kondoa kwetu
Watu kusoma yaliyo kiarabu kwa kiswahili tena ndani ya vitabu swahih imekuwa matusi? Mbona uko kimya kuhusu yazid laanatullah alayhi kwa kumuua imam husayn na kizazi cha mtume karbala mbona mnaficha? Ach kutetewa uchafu wa banuu umayyah ambao hata khalifa mwema umar bin abdulnazi aliujua na alijaribu kurekebisha baadhi ya mambo likiwapo la kumlaaninsayyida ali r.a. katika swala ya ijumaa ali alikua analaaniwa kwako hilo ninsawa? Ninwaliofanya hayo wako sawa? Shenzi mkubwa ww usituletee fitna na mbona huna rejea yoyote unaongea kwa kuvuta hisia badala ya facts?
Salman rushdie kamtukana mtume mtoa fatwa dhidi yake ni shia khomeini,mlikua wapi? Au kutukanwa mtume kwenu no poa, waislam wanpalestina wanachinjwa hivyo, mtume kasema asiejali madhila ya mwislamu mwenzie si mwislamu, anaepambana na zionist ni mshia iwe houithi wa yemen hizbullah lebanon hasbu shaabi iraq au iran yenyewe nyie wapenda maswahaba na sio mtume mkonwapi mbona mnaogopa kama mashoga kwa hadithi ya mtume nyie bado ni waislam? Pumbavu kabisa hatudanganyiki
Mashaka haya
Maswahaba wa mtume ni wengi sio moja au wawili Swali unayotakiwa kuuliza ni kwa nn wanatukana masahaba hawa tu na sio wengine
@MoA-uw3gf kwa sababu hao maswahaba ndio walio anzisha mtafaruku no mzozo kati ya waislam baada ya kifo cha mtume saw, baada ya kifo cha mtume swa,hao ma Khalifa wenu wametishia kuchoma nyumba ya Ally na BiFatma, na Faruku wenu ajambananisha BiFatma na mlango mpaka ikamsababishia mimba kutoka.
@@razackndeze-pv5bm Mashia kwa uongo hamjambo wala hatushangai mnapozua tuhuma nzito nzito. Yaani mnaushambulia na kuubomoa Uislam kwa jina la uislam!!!
@@razackndeze-pv5bm Mashia kwa uongo hamjambo hivyo hatushangai mnapozua Amesema Imam Shafi (Rahimahullah) "sijawahi kumuona watu waongo sana kuliko Rafidhwah (Mashia)" Akasema pia: "Mimi nakubali ushahidi wa watu wa ahwaa wote isipokuwa #Rafidhwah (Mashia)" Akasema pia Imam Shafi Rahimahullah: "Mm naona Allah hakuzuia (midomo ya) watu kuwatusi maswahaba wa Mtume wake isipokuwa ili #awazidishie_thawabu wakati matendo yao yatakapo katika (baada ya kufa kwao, waovu waendelee kuwatusi tu)" Rej.📚 مناقب الإمام الشافعي للرازي ص127 قال الشافعي: "ما أرى أن الله تعالى لا يمنع الناس عن شتم أصحاب رسول الله إلا ليزيدهم ثوابًا عند انقطاع أعمالهم" 📚 مناقب الإمام الشافعي للرازي ص127
@@razackndeze-pv5bm Mbaya zaidi #uongo kwenu ndio #dini yenu na ndio dini ya baba zenu na hana dini asiye kuwa #muongo!!! Amesema #Jafar_Swadiq imam wa 6 (hapa mnamsingizia kama kawaida yenu) "Taqiyyah (uongo) ndio dini yangu na ndio dini ya wazee wangu, na hana imani asiyekuwa na Taqiyyah (yaani asiye muongo hana imani!)" Bali kwa #mashia asilimia 90% ya dini yao yooote ni uongo (usaniii) asilimia zilizobakia ndio mambo mengine! Amesema Jafar Swadiq "sehemu 9 ya dini yote (90%) ni #taqiyyah (uongo) na hana dini asiyekuwa na #taqiyyah (asiye muongo)!!!" Kasome 📚Alkaafi ya Kuleini juz. 2 uk.218
Sheikh jahili kweli huyu Ameanza vizuri kuhusu msimamo nikadhani anataka zungumzia vita vya makafiri dhidi ya uislam kumbe anazungumzia hawa wapuuuzi talafy? Sheikh ovyooo kabisa huyu
Hawa wabarawa wadangaywa kua kipofu yuaona mbali tafakari sharif barawa
الله اكبر
"قُل لَّا أَسْأَلُكُمْ عَلَيْهِ أَجْرًا إِلَّا الْمَوَدَّةَ فِي الْقُرْبَىٰ" surat shura verse no: 23
Hasani acha upuuzi ikiwa huelewi kasomeshwe na wapuuzi wenzio
Nyundo gani?!?! Upuuzi mtupu. Kwani maswahaba wote walikuwa wema?!? La wengi wao walikuwa wanafiki na makatili, vile vile sio wake wote wa mtume walikuwa wema, la kuna baadhi waliokuwa na tabia mbaya, ndio sababu naipenda Shia kwa sababu wanaelezea historia ya uislam kama ilivio bila kuweka pazia. Nyinyi endeleeni na mapenzi yenu kwa asuhaabuSakiifa, nasi ma Shia tutaendelea na mapenzi yetu kwa Ahlul-Bayt. Mind you're on business & leave us with ours. Kila siku hutuba zenu Shia,shia.shia, hamuna kazi nyingine ya kufanya.
@@razackndeze-pv5bm shia ni makafiri tu,Wala hawana history yoyote ya ukweli,we endelea kuipenda shia kwasababu ya kula na SI vinginevyo.shia kafiri no1 duniani
@@razackndeze-pv5bm Wala mashia hamna mapenzi na ahlilibayt. Mnawapakaa ahlibayt mafuta kwa mgongo wa chupa.
@HamadHamduni Nyinyi hamna jipya bali fikra zenu sawa sawa na ISIS na babu zenu Baniumaya na As-hab sakiifa, kila anaetofautiana nanyi ni kafiri, nawatakia kila la kheri kamikaze jana yenu na akina Wahashi na Bibi yenu Hindi pamoja na Babu yenu Abusofiani.
@@razackndeze-pv5bmAlokosa adabu ni mke wako ww kama amekushinda useme
@swabrianwar1020 always ISIS huwa hamjuwi dini na hoja zenu za kijinga, akili zenu sawa sawa na za sidiki wenu pamoja na faruku wake.
mashaAllah mashaAllah ALLAH akulipe kwa kusema haq
Barakallahufik sheikh wetu
Allahuma amin
Shkh wangu mbona ndo unakumbuka shuka kumekucha!!! Halafu msalie mtume vizuri shkh wang..
kwani ni matusi au ukweli wanaosema mashia fikra za mashekhe wengi ni fupi kudhani kwamba maswahaba wote ni wema ingali waovu wapo uovu walioufanya nd usemwe ili tufuate wema na sio waovu.
Wao walikuwa ni wanadamu na ndio maana tunawaombea dua, lakini wanayosema mashia ni ya kuzusha dhidi ya maswabaha!!!
Msema kweli ww unaonaje ukaanza kutuorodheshea uovu wa wazee wako waliokuzaa kisha ututajie na maovu ya kina ayatollaat Khomeini, Khamenei, na sistani. Au unataka kusema walikuwa wema na hawana uovu walioufanya? Tuambie tu ewe shujaa msema kweli,,, Anza na hao kwanza kisha ndio uje kwa Marafiki na Vipenzi vya Mtume wetu Muhammad ﷺ utatukuta tunakusubiri.
KWA NN KHALIFA ATHUMANI AMEULIWA NA MASWAHABA BAADA YA KUZINGIRWA KWA MUDA?JE JESHI LA WAISLAMU MASWAHABA LILIENDA WAPI?NA KWA NN HUYU KHALIFA ATHUMANI AZIKWE KWENYE MAKABURI YA WASIOKUWA WAISLAMU?NA JE KWA NN BIBI AISHA ALIKUWA AKIMWITA ATUMANI KUWA NI NAATHAL(MYAHUDI)?MBONA INAONEKANA HII SUNNA YA KUWATUKANA MASWAHABA ILIANZISHWA NA WAO MASWAHABA WAKIWEMO BAADHI YA WAKE ZA MTUME (SAWW)?KWA KWELI HAYA MAMBO HUYU MZEE(SHARIFU) HAJIELEWI NA NI JAZBA TU IMEMUINGIA NA KUTAPIKA MUHARO?ILA NI MAGUMU MNO NA YANAHITAJI UTULIVU NA UKOMAVU MKUBWA.ila pole mzee kama nimekujeruhi ila rudi darasani ukapekue polepole kuna mambo nikiyasema hapa hayafai kwa wanafunzi ila yalifanywa na baadhi ya wale unaowaita ni WATUKUFU
KWA KWELI HAYA MAMBO NI MAGUMU NA INAONEKANA HUYU SHEKH HAJACHUKUA MUDA KUYATWALII. -KAMA KUMTUKQNA SWAHABA NI HARAMU MBONA WAO WALITUKANANA? -KAMA LAANA NI HARAMU MBONA MASWAHABA WALILAANIANA? -MBONA WALIUANA? -MBONA WALIZUA TARAWEHE,TALAKA 3PAMOKA,SWALATU KHEIRUN MINA NNAUM N.K? -MBONA BAADHI YAO WALIRITADI? -KUWA MKE WA NABII NI SABABU YA MKE KUWA MTUKUFU NA HAKOSEI?MBONA WAKE WA BAADHI YA MANABII WAMEPIGIWA MFANO WA UBAYA NDANI YA QURAN?
ww ni mbora kuwashinda?
Ikiwa wazazi wako watatukanana je, wewe mtoto itafaa kuwatusi wazee wako kwa hoja hiyooo?
Sasa kama wake wa mtume s.a.w. walikua waovu na makafiri kwanini Quran haikuelezea ukafiri wao Bali iliwatakasa na kuwaahidi pepo? Aswalaat khairu mina naumi haikuzuswha iliadhiniwa kipindi Cha mtume s.a.w. Wala hakuipinga, na tarawehe sio uzushi alianza kuisali mtume s.a.w. je ni mtume Gani au imamu Gani Alie asisi adhana ya kishia kwa ujumla? Yaani ashahadu ana Aliya waliyu llah n.k. vitabu vya kishia vimekua kama biblia agano jipya, vitawapoteza Sana kwasababu vimejaa historia za kutunga za uongo zenye chuki,fitina,kufuru na ushirikina, kuweni makini Sana nyie mnaokurupuka nakuingia kwenye ushia kwasababu ya vyakula na pesa kid
Hilijambo lakuwatukana maswahaba sijambo jema wao wapombele yahaki sisi tufanye yaletulio amrishwa mbona hatufanyi leo tarkusala niwengi Sana sheikh
Kunahaja kubwa tukae kuzungumza kuliko kuwa napaparazi zakuwa mamboyetu yadini mitandaoni
Sisi sooote niwaislam maneno hayana natija
shia Ithna asharia sio waislamu wanasema hii qur an hawaiamini sasa uislamu uko wp
Wewe ni seyyid wa tumbo tumbo. Hakuna seyyid ambaye anakubali wauwaji wa imam Hussein na familia zake.
tutajie hao walomuua na kama yy amewakubali?
Nyie masufi na masunni hamjielewi. Kwani maswahaba ni Abuu bakar,Omar na Uthman pekee?? Maswahaba wako wengi. Kuna wale ambao ni waovu kama akina Muawiya, Waliid bin utba, Khalid bin waliid na wengeneo ambao hawafai.
ww ndo wafaa?
Surati alimunafiqina imeteremka Kwa watu gani wacha kuyaangalia mambo Kwa jaziba wewe una chochote ninda na jaziba zako.
Shek mbona watu wanamtukana MTUME NA WANAMCHORA KATUNI UMECHUKUA JUKUMU GANİ????? Acha unafik , shekh hata maswabwa walikuwa na Surtul Bakra na sura zingine pia lakini bado walichaguana Saqifa Shekh elimu unayo ila ipembenuaji HUNA