KUENI MAKINI NA HUYU WAKARA WA SHETANI ANAPOTOSHA WENGIEV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2023
  • #0766998994 #0788871769 #2

КОМЕНТАРІ • 216

  • @GamalieliMusembi-wv6sg
    @GamalieliMusembi-wv6sg 8 місяців тому +80

    Nawasihi sana kueni makini nahuyu Paulo cassian.. Me huwa napenda kumwita Paulo kutokana nakila nikitaka kuita jina lake fasaha najikuta namwita Paulo... Kwann nasema tuwe makini naye? Nihivi huyu mtu mdogo sana kwene ulimwengu wa macho ya mwili yani nikama haonekani hivi.. Au anaweza kuonekana nimtu flan ambaye anatafuta kiki kwakuwasema watu.. Ndugu zangu ngoja niwambie me nawaamsha kutokana na kitu ambacho moyo wangu unaniambia sijui kama ni Mungu au mawazo yangu me sijui! Nikitu kinasema kila leo ndani yangu... Ndugu zangu huyu Cassian nikinywa cha Mungu moja kwa moja nisauti ya Mungu isemayo kwa hasira... inawezekana asieleweke japokua kila anenapo shetani hujaribu kuwapumbaza watu wamdharau nakumpuuza nakumchukulia kawaida tu au mtu anayetafuta wafuasi mtandaoni.. Li nikazi yashetani kuwapumbaza watu hata wale walioamini kweli ya Mungu.. Cassiani nisaut ya Mungu inayotetea watoto wake wasipotee inahitaji ufahamu wa Kristo kumuelewa Cassiani.. Me nawaonya juu yakumdharau mtu huyu leo watu hawapendi kuonywa wanapenda maneno laini laini,,, sasa wakiubiliwa nenola kweli wanaona ni maneno yenye ukakasi sana masikioni kwao... Mungu yupo cazini Cassian cyo mdogo kama wanavomnena Cassiani kapandishwa juu na Jehova nihekima inayopaza sauti... Ole wenu mwene sikio na asikie siku zimeisha tunakaribia nyumbani.. Ole wetu.. Mungu akubariki sana Cassiani.

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 8 місяців тому +4

      Tutaifahamu Kweli na Kweli itatuweka huru. Kwa hiyo huku msibani hata wafiwa wasile?? marehemu analiwaje msibani?? Uuuwiiiii... 😢😢

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw 8 місяців тому +3

      Ubarikiwe kwa mafunuo hayo

    • @eddyjunior2881
      @eddyjunior2881 8 місяців тому +3

      Hakika barikiwa sana Kwa kulijua hili,,

    • @jeremiahakonaay1842
      @jeremiahakonaay1842 8 місяців тому +1

      Mimi binafsi sina tatizo na mahubiri yake! Kila mtu ametumwa na Mungu kwa kazi maalum hivyo kuwasema watumishi wengine na kuwaonya wao wenyewe na wafuasi wao ni utume wa Mungu! Tatizo langu kwa huyu mtumishi ni matangazo anayoruhusu katika vipindi vyake kwa mfano hii clip ilianza na mziki usioshuhudia anayoongea! Kwa uelewa wangu hilo ni tangazo la biashara ambayo wanamlipa mwenye kipindi kama ndivyo kweli ni halali/hekima kutumia matangazo kama hayo katika vipindi vyake??

    • @bernardbaitan6539
      @bernardbaitan6539 8 місяців тому +3

      Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU aliye hai. MUNGU akutie nguvu na akupe ulinzi pande zote maana wamchukiao MUNGU wanakusagia meno. Barikiwa sana mtumishi.

  • @ignusrwelamila7355
    @ignusrwelamila7355 Місяць тому +3

    Uko vizuri ndugu yangu fanya kazi ya Mungu Yesu yupo mahali hapo ulipo awezi kukuacha ukiliubiri neno na kukemea uharibifu na upotoshaji wewe ni mshindi songa mbele

  • @deborahomart61
    @deborahomart61 Місяць тому +2

    Ongera sana mutumishi pascal damu ya Yesu Christo ni dawa tosha twaliamini hilo bila shaka Yesu unaye mushuhudiya akutiye nguvu nakukuteteya pia

  • @millyaketch4968
    @millyaketch4968 8 місяців тому +8

    Uu mwalimu wangu wakweli,kwa neno la MUNGU, AMEN,

  • @user-sf4hf1my3m
    @user-sf4hf1my3m 8 місяців тому +5

    Mimi nakuelewa sana Mtumishi wa Mungu..... endelea paza sauti nyikani asiyekuelewa atakuja kuelewa alisha poteza mda.

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 8 місяців тому +5

    Mutumushi Mungu akurinde sana na apanuwe vipawa ndani yako juu ya kuwawokowa watu wake🎉❤

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 8 місяців тому +4

    Mungu akubariki mtumishi kwa kufunua waabudu shetani kabisa hawa lakini nashangaa maaskofu wanajua watu hawa lakini hawawaambii watu ukweli mpaka mimi mwenyewe natamanii nipate hata chombo cha midia niwaambie hawa wabudu shetani live

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 8 місяців тому +5

    MUNGU azidi kukubari mtumishi... Mungu amsamehe maana hajui anachokisema

  • @mpesastatements2265
    @mpesastatements2265 8 місяців тому +5

    Amen 🙏🙏 mtu wa mungu ubarikiwe sema yote

  • @HenuriBuluba
    @HenuriBuluba 3 місяці тому +2

    Umekosa kazi ya kufanya we hubiri ne o la mungu na sio kuponda

  • @user-ww9gd8pb7o
    @user-ww9gd8pb7o 8 місяців тому +1

    Umesema ukweli mtumishi wa Mungu, P. C, nakubaliana na wewe ktk hilo,kuna Doctrine nyingi zinashangaza sana., Asante kwa ufafanuzi

  • @tausimwinuka
    @tausimwinuka 8 місяців тому +3

    Usipokuwa na Mungu utapata taabu sana hapa duniani...,.,

  • @elizabethnapeyok6703
    @elizabethnapeyok6703 8 місяців тому +3

    Acha mungu atupiganie na atuonyeshe njia ya kweli 😢❤❤

  • @justinbaguma9912
    @justinbaguma9912 8 місяців тому +4

    mimi binafsi sili chakula msibani wala sioshi mikono yangu msibani nimetazwa kwenye ndoto wala huyo kuhani simjuwi mimi nipo congo
    tuwe waelewa na tujuwe kwamba kila mtu mungu amemupa ufunuo
    miomi nilikatazwa kukula chakula msibani wa kunawa mikono msibani siyo uongo ndugu zangu tuele mandiko
    hata wewe siyo mkweli kila mtu njia zake anaona yuko salama

    • @user-zj7dr2sy7t
      @user-zj7dr2sy7t 7 місяців тому

      Kwa hyo ww ukifiwa hata na mtoto wako watu wasile wa kupika chakula msiban

    • @ignusrwelamila7355
      @ignusrwelamila7355 Місяць тому

      Yote kwa yote ukiwa ndani ya YESUKRISTO hata utegwe nini vyote vitayeyuka mbele zako msidanganyike wapendwa Yesu ndiye kiboko ya mambo yote ukiwa naye haiwezekani nguvu yoyote ya giza ikakufuatilia au kukuweza
      Ushahuri wangu hebu watu wa Mungu tuweni makini sana na injiri za na mna hii kuwa makini mno injiri isiyo muinua Yesu haiwezi kukuokoa maana yeye ndiye mwamba ulio imara aijarishi uli chakula msibani au unawi msibani yote hayo hayawezi kukusaidia na hayana maana chenye maana ni kumchukua YESUKRISTO wala sio kingine mimi nakwambia Yesu ndio mwamba usio tikisika wewe kula tu utakuwa salama ukiwa na Yesu na shetani naye hatakuogopa mpendwa
      Hondokeni katika injiri za huongo kuhepuka chakula msibani kama wewe ni mtenda dhambi na bado ujahokoka na kulielewa neno la uzima uwezi pony
      Mwisho ushahuri kwa watumishi wa Mungu acheni kulipotosha taifa la Mungu damu za watu zitadaiwa mikononi mwenu ni hivi wafundishe watu UKUU WA JINA LA YESU NA NINI YESU AMEKUJA KUFANYA DUNIANI SIO KUWAAMBIA WATU EPUKENI KULA MSIBANI HII HAISAIDII KINACHO SAIDIA NI NGUVU YA JINA LA YESU KUTENDA KAZI NDANI YAKO ,,ASANTENI SANA

  • @ElijahAmon-uq6zk
    @ElijahAmon-uq6zk 8 місяців тому +2

    Ubarikiwe sana mtumishi Wa mungu

  • @CosterMchumila
    @CosterMchumila Місяць тому

    Mungu akubariki mtumish kwa kazi njema

  • @anastazia3014
    @anastazia3014 8 місяців тому +3

    Nikweli huyu nambii nimesali sana kwake Mara Leo mtapewa jiwe,mafuta kwenye asikio mnawekewa, mdomoni,kwenye macho , Mara udongo, Mara yakwaza nilipomsikiliza ambae huang anatangaza kanisani akaaza kueleza au kusoma matangazo ya hapo nikasikia nunueni maji ili kuosha kutoa mikosi, ndio nikasema huyu mtumishi nimuongo

  • @melkzedeknyagawa7553
    @melkzedeknyagawa7553 8 місяців тому +3

    Pia inashangaza kwani mtazikaje msipo mshika maiti, msiguse kwani mtazikaje?

  • @yohanakinyunyi
    @yohanakinyunyi 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana mtumishi

  • @EricMaingi-f8b
    @EricMaingi-f8b 26 днів тому

    Amen, Yesu alitutakasa kwa damu yake.

  • @user-df3jl4mc5c
    @user-df3jl4mc5c 8 місяців тому +1

    Sha kuelewa mtumishi piga kazi uliyoitiwa na yesu

  • @user-df3jl4mc5c
    @user-df3jl4mc5c 8 місяців тому

    Kuna kitu nilikiona nikawa na swali kichwani mi nasema Asante yesu hukawii kujibu kuhusu huyu kuhani mungu amenijbu

  • @user-qf9uj2oc1b
    @user-qf9uj2oc1b 8 місяців тому

    Mtumishi wa Mungu Pascal cassian Mungu akutie nguvu ,Hivi serekalini hakuna watumishi wa Mungu? Mbona tanzania himevamiwa na watumishi wa uongo?

  • @Erishaernest-ik3kk
    @Erishaernest-ik3kk 8 місяців тому

    Mtumishi wa Mungu barikiwa sana tunakuerewa

  • @Jus378
    @Jus378 8 місяців тому +2

    Huyu anajulikana kabisa sio mtumishi wa Bwana

  • @user-ii1gv4mn3f
    @user-ii1gv4mn3f 5 місяців тому

    Amina ubarikiwe na MUNGU AKUTUMIE zaid🎉

  • @bettykinyami5096
    @bettykinyami5096 Місяць тому

    Wewe wasemao, unajuwa shida ni kwamba kusanyiko kubwa ndo watu wanajuwa Kuna Mungu hebu muombe roho mtakatifu kwa kufunga na kuomba akupe ukweli,

  • @RebeccaFrancis-tb3we
    @RebeccaFrancis-tb3we Місяць тому +1

    Amina Amina

  • @user-ww9gd8pb7o
    @user-ww9gd8pb7o 8 місяців тому +1

    Tunatakaswa na Damu ya yesu 🩸🩸🩸🩸Amen 🙏🏻🙏🏻

  • @mariamashale6691
    @mariamashale6691 6 місяців тому

    Ahsante Mtumishi barikiwa sana

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi5504 8 місяців тому +2

    Ataleo wanaose mkono🔥🔨🔨🔨🔨

  • @KulwaJanila-fh9wc
    @KulwaJanila-fh9wc 7 місяців тому

    Tangaza neno la bwana mtumishi bila kujali watu watasema nin, kikubwa ni kusimama katika kweli ya neno la mungu, roho wa mungu awe pamoja nawe, wapotoshaji wasikurudishe nyuma, simama imara maana yesu alisema tufuate nyayo zake

  • @user-yo4om9gw8q
    @user-yo4om9gw8q 3 місяці тому

    Amina mtumishi endelea kutuerewesha wanaoo

  • @MussaObedi
    @MussaObedi 3 місяці тому

    Naomben mnisaidie yesu akasema kulen mkate huu kama mwiliwangu kwa ukumbusho akakitwaa kikombe akasema kunjweni damuyangu apo unaelewa nini

  • @jamesherbalclinic7665
    @jamesherbalclinic7665 8 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu yaani watu wanaingia kingi bila kujijua. Watu Hawa wamekuwa waongo kupita kiasi. Hapo katengeneza maji kama maji yakutakasa kumbe uongo mkubwa. Leo mtu anatakaswa na damu ya Yesu na Roho mtakatifu. Barikiwa sana mtu wa Mungu.

  • @PaskalFweda
    @PaskalFweda 8 місяців тому +2

    mungu tuokoe sisi wanao 😭😭😭

  • @JenySimchile
    @JenySimchile 6 місяців тому

    mungu akutangurie katika huduma yako paskali awepamoja na wewe amen

    • @CalmClogShoes-fu9qu
      @CalmClogShoes-fu9qu 6 місяців тому

      Mtumishi pascal mungu akutie moyo maana unayoyasema ni ya kwel

  • @faidayaya7417
    @faidayaya7417 7 місяців тому

    Kweli inabaki kweli,hata wanadamu wapinge kweli,kweli itahubiriwa katika jina la Yesu...roho mutakatifu aendeleye kumuongoza mtumishi wake..niko congo( Rdc) naitwa Bigy.

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 8 місяців тому +2

    Kuhani Musa Hana ufahamu

  • @angelemmanuel7143
    @angelemmanuel7143 Місяць тому

    Mtumishi Mkuu ni Yesu Kristo pekee

  • @JenySimchile
    @JenySimchile 6 місяців тому

    nakukubali sana mtumishi hendelea kutufungua ufahamu maana tumefungwa

  • @stumaisanga9519
    @stumaisanga9519 Місяць тому

    Bado hujasema...... My spiritual dady forever kuhani musa

  • @user-sy7hd6il3b
    @user-sy7hd6il3b 6 місяців тому

    Mungu azidi kukutumia mtumishi wa bwana

  • @user-jo4zx3oo6g
    @user-jo4zx3oo6g 6 місяців тому

    Aka kajamaa ni kawakala ka shetani .huyawezi Mungu. Kaliumwa Nusu kufa Tumekaombea kamepona kanaanza kuponda Watumishi wa Mungu. 0:14

  • @user-xq5pw7bl4r
    @user-xq5pw7bl4r 6 місяців тому

    Polenakaziyamungu hakikakweli umejitoakufanya❤kaziyamungu huwenamoyohuwohuwo wengihawa pendi kuhamini ninawapa poleyao

  • @iambaizo
    @iambaizo 4 місяці тому

    Yes
    Mmmh
    Hapo sasa
    Asante baba kwa neno
    Ahhhhh
    Nmmmmmmh
    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 3 місяці тому

    ni kweli kabisa nando yesu alibeba dhambi zetu

  • @neemashega8243
    @neemashega8243 8 місяців тому

    Ninakukubal sana mtumishi wa Mungu.

  • @elizaedward1851
    @elizaedward1851 6 місяців тому

    Mungu akubariki, maana watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli

    • @TausilaWissa
      @TausilaWissa 19 днів тому

      Kwakweli kwanza manabii ni waongo tu kilichobaki ni kujitakasa maana yesu yu karibu kuludi

  • @maryamnjagila3896
    @maryamnjagila3896 3 місяці тому +1

    KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NI BABA LAO. ❤❤❤

  • @user-wf5ee6cf3s
    @user-wf5ee6cf3s 7 місяців тому

    Amina mtumishi

  • @EinothKissiri
    @EinothKissiri 7 місяців тому

    Mungu atupe macho ya rohoni maana sisi ni vipofu

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 8 місяців тому +1

    Mtumishi sema watu wajue nini haya yanayosemwa na hao watu na mafundisho yao maana hataukisoma Neno unaona hayapo kabisa

  • @EliewahaChedieli
    @EliewahaChedieli 3 місяці тому

    Paskali sema kweli tunawatambua kwa matendo yao

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 8 місяців тому +2

    Walio wengi sio hoja, hata wanadangwa ila hawaoni. Alisikia wapi kua ukila msibani umemla marehemu, niende msibani nitoke bila kula, nani alisema? Mbaka nile, tena nishibe. Heri tuwe wachache na tuhubiriwe kweli.
    Walio wengi na wachache bora wawe wanahubiriwa injili iliyo hai, Mungu yupo pale.
    Mwinjilist, hata nawe unao watu wengi muno, wengi wao ni silent followers tena uko maarufu machoni pa Mungu hata kuwaliko.

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому

      Si Kila vya kula ni lazima ule kweli mambo ya rohoni yatambulika Kwa watu wa rohoni na siri za Mungu Zi pamoja na wamchao pole

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 8 місяців тому

    Yani tusipo soma Neno la Mungu nakulielewa tunapelekwa kuzimu bila kujua tunaenda wapi kila asomae afaham nyakati tulizonazo jamani akina IIbrahim Baba wa Imani alipofariki hakukua na chakula kwenye msiba wake nyama ni ng!ombe inakuaje amelwa marehem

  • @samsonmwita5419
    @samsonmwita5419 8 місяців тому +1

    Emeeen

  • @user-tw3wt1gg4e
    @user-tw3wt1gg4e 3 місяці тому

    mungu akurehemj

  • @Yesslarry
    @Yesslarry 6 місяців тому +1

    Endeleeeni kumsema vibaya lakini sisi tunaendelea kusali kwake kama kawaidaaaa kuhani musa baba laooooo

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 2 місяці тому

      Kwaio nawew unakubal ukla msban ni kumkula maiti? Umepotea

    • @TausilaWissa
      @TausilaWissa 19 днів тому

      We mbaka yesu aludi ndo utajua ukweli ulikua wapi

  • @sashalemmoh3264
    @sashalemmoh3264 6 місяців тому

    Ameni mtumishi wamungu

  • @user-jo4zx3oo6g
    @user-jo4zx3oo6g 6 місяців тому

    Aka kajamaa ni kawakala ka shetani .huyawezi Mungu. Kaliumwa Nusu kufa Tumekaombea kamepona kanaanza kuponda Watumishi wa Mungu.

  • @StellaNgulukulu-pz8qr
    @StellaNgulukulu-pz8qr 8 місяців тому +2

    Atuonyeshe maandiko yasemayo mtu akila msibani anakuwa najisi, bure kabisa!!!!

    • @fatumakalombo392
      @fatumakalombo392 7 місяців тому

      NYINYI MNAOSAPOTI HII HOJA, ACHENI UJINGA WOTE LENU MOJA MMEYAPANGA ILI MKOMENT MWANZOMWANZO JUUJUU MVUTIE WATU ILI WAKUBALIANE NAANYI, SASA NAWAULIZA MMEONA AYA AU MAANDISHI YOYOTE KWENYE VITABU VYA DINI YANAYOSEMA HIVYO? AU MNAONGOZWA NA MAWAZO POTOFU YA HUYO MCHUNGAJI? NANI KAWATIA UPOFU????

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому

      Hesabu 25;1-9

  • @WilliamMandwanga
    @WilliamMandwanga 2 місяці тому

    Mtumishi usimwite mtumishi. Mtumishi wanani wakati anaenda tofauti namandiko

  • @user-bg9yw4uz2g
    @user-bg9yw4uz2g 8 місяців тому

    Amen

  • @CHRISMACHOMBE
    @CHRISMACHOMBE 8 місяців тому +3

    Christopher Raphael from mbagala,. TIMOTHEO 4:1-5 Basi roho anena waziwazi yakwamba nyakati zamwisho

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 6 місяців тому

    Yaani hao wanaochombeza sijui yes wanakera

  • @mmangadp2083
    @mmangadp2083 8 місяців тому +1

    We kiĺa mchungaji shetani ulaniwe kenge we

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому

      Usilaani usiye mjua tumeamriwa kuonya ukweli unauma

  • @user-hc8zh1bc8j
    @user-hc8zh1bc8j 7 місяців тому

    jamani ! mbona ufalme unapingana?kwanini mnaojiita watumishi wa Mungu mnapingana na huku mnajiita wakristo?jipelelezeni na kama unaona ndugu yako anapita papaya mfuate niweke sawa mnatuchanganya.ufalme haufitiniani.

  • @jenendanu6870
    @jenendanu6870 2 місяці тому

    Yes mgonjwa haponi bila dawa dawa Yao ni kuelezwa ukweli ili wapone na kama chungu wateme

  • @estermhema4570
    @estermhema4570 8 місяців тому

    Kwakweli tunahitaji kuijua kweli na tukiijua kweli tutatambua yule robo atendaye kazi katika Wana wa kuasi hivi wapi ilipoandikwa ukila msibani umemla marehemu eeyesu tusaidie kusimama na kweli yako maana ulisema umeona kondoo ambao wamekuwa kama wamekosa mchungaji yesu!!!yesu Yesu ukowapi?fanyahima tuokoe Yesu!!!!yesu tuokoe.

    • @TausilaWissa
      @TausilaWissa 19 днів тому

      Uongo tuu yani hyo nae awaonyeshe palipoandikwa ukila msibani unamla marehem

  • @user-ib3jb6bv7m
    @user-ib3jb6bv7m 7 місяців тому

    Achani aseme

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 7 місяців тому +1

    Sio kweli ukiona hivo na wewe ni mchawi

  • @user-jm3mx8ex1d
    @user-jm3mx8ex1d 8 місяців тому +1

    Kuwa heshima acha kumponda mtumishi wewe kibaraka wa shetani

  • @KulwaJanila-fh9wc
    @KulwaJanila-fh9wc 7 місяців тому

    Wanaokutukana zidi kuwaombea maana hawajui walitendalo, adui yetu shetani ndiye aliye ziba ufaham wao wa kutoyachunguza maandiko

  • @user-kr9xx8br4o
    @user-kr9xx8br4o 8 місяців тому

    HUYU ALISEMA INAMPASA AMALIZE IBADA MAPEMA, ETI KWAKUWA ANATAKIWA KUTOA RIPOTI KWA yesu KUHUSU KAZI YA SIKU HIYO JUMAPILI ILIVYOKUWA.
    HUYU MWISHO WAKE UTAKUWA SAWASAWA NA KAZI YAKE

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 8 місяців тому +1

    Kwani mungu kakutuma uje ufanye upelelezi kwa watumishi wamungu ndivyo umetumwa bakia hapo hapo na wao wabaki apoapa kwani wewe unaleta vita kwa wana wa mungu kwani wewe ulikua wapi tangu mdogo kama yesu acha siasa wewe

    • @emmanuelmsengi7060
      @emmanuelmsengi7060 7 місяців тому

      MUNGU akurehemu kwani hujui kwamba Kanisa sasa hivi limevamiwa na shetani

    • @emmanuelmsengi7060
      @emmanuelmsengi7060 7 місяців тому

      Amerdakavishe hivi huoni kuwa Kanisa sasa hivi limevamiwa na shetani

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому

      Kamtuma aje akemee na kuonya watumishi wa uongo

    • @AmerdaKavishe-pu3cf
      @AmerdaKavishe-pu3cf Місяць тому

      Achini ubaba ishaji shetani unamjua au uliambiwa anarangi gani mweupe mweuzi shida niufamizi acha mungu ashuulike nauofu wao sodoma alimpelekea nani tarifa mpaka akaangamiza akuna kitu napinga kama maneno yakuambiwa au usilo jua au sihasa kwa watumishi acheni kusumbua watu nakuaribu watu tunapambana kiroho na sio kimwili uyu kaka namchukia sana mnafiki mkubwa simpendi ata kumsikia mungu anajua apeleke kikizake mbali awaokoe basa awafae awaambie mungu kanituma nasio uwaribifu kwa mtaa au mtandaoni awatibu watu kwakuwaendea ana ogopa nn kama ni mwanafuzi wa yesu nakatumwa

    • @AmerdaKavishe-pu3cf
      @AmerdaKavishe-pu3cf Місяць тому

      Yeye ni wakweli

  • @user-ij8cj7zl7b
    @user-ij8cj7zl7b 6 місяців тому

    Mwenye sikio naasikie asiye sikia apotelee mbali sikio lakufa halisikiidawa kula dawa hiyo uliye na sikio lakufa pita pemben

  • @mathayoju2832
    @mathayoju2832 7 місяців тому

    Ni kwel San mtumixh unayoyasem tupo nyakati za mwish

  • @user-md9xc4gr7n
    @user-md9xc4gr7n 7 місяців тому

    Tafuteni pesa kwa karama zenu siyo mpate pesa kwa kuwasema vibaya watumishi wa MUNGU Nidhambi kubwa sana mnafanya

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 8 місяців тому +4

    Kuhani Mussa Richard mwacha nimpakwa mafuta Toka mbinguni.

    • @emmanuelmsengi7060
      @emmanuelmsengi7060 7 місяців тому

      Beatricekagali yaelekea nawewe ummoja was huyo Musa huyajui maandiko Soma BIBLIA UFUNGULIWE akili na macho pia

    • @emanuelamos5595
      @emanuelamos5595 2 місяці тому

      "Maandiko ndio yatatuambia je huyu ni wa ukweli au wa uongo" Ev. Paschal Kassian.
      Paschal kassian hajasema kwa shauri lake mwenyewe bali ni maneno ya MUNGU katika Maandiko. Na MUNGU hujifunua kupitia neno lake(Maandiko) hivyo unapaswa kuomba upate nguvu ya kusoma na kutafakari Neno lake ili akufundishe ukweli na sio kumtegemea mtu

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому

      Pole sanaaaaaaa nakuhurumia Kwa usiyo yajua

  • @user-vx3cj1bv4q
    @user-vx3cj1bv4q 2 місяці тому

    Iyo imeandikwa wapi sasa unapotea

  • @gonzarojozzy4340
    @gonzarojozzy4340 6 місяців тому

    Samaki mkubwa anamla mdogo

  • @RichardStephano-zr3qf
    @RichardStephano-zr3qf 8 місяців тому +1

    Kaka ungeendelea na huduma yako acha kumuita mtu wakara wa shetani

    • @jamesherbalclinic7665
      @jamesherbalclinic7665 8 місяців тому

      Mbona Mimi namuona anachokisema ni kweli? Acha aseme maana hapa hakuna kukaa kimya. Lazima watu waamushwe

  • @GeoffreyKuria186
    @GeoffreyKuria186 6 місяців тому

    Ukweli mtupu 🙏

  • @sophiakunache4982
    @sophiakunache4982 7 місяців тому

    Tena shetani wa mashwetani ,huyu,Watumisho wooote wabaya mzur.yeye,tuwe macho na hili Kassiani ,shetani ana mbinu nyingi za kuangusha kanisa,Wanakuja kama.kondoo kumbe mbwa mwitu

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa8483 6 місяців тому

    Mbona huyu mtu anapiga makelele kwenye kichaka?

  • @seraphinmsongamwanja778
    @seraphinmsongamwanja778 7 місяців тому

    Mm napingana na wewe kabisa naona kama wewe ndiyo wa kuzimu kama watu wanatoka kuzimu wanakuja kuokoka yaan nakuomba ndugu yangu jitathimin usije ukaachwa hata Yesu atakaporudi mara ya pili ondoa moyo huu wa farao isije bahari ya shamu ikakumeza

    • @TausilaWissa
      @TausilaWissa 19 днів тому

      Hakuna bahar ya Sham wala nini kikubwa kutengeneza mahusiano yetu na mungu achana na hao manabii maana

  • @gloriaaugustino8031
    @gloriaaugustino8031 8 місяців тому

    Ukitaka kujua chakula Cha msibani kina maana kwanini mtu akifa kifo Cha kutetanisha Huwa chakula hakipikwi na arobaini haifanywi?

  • @user-jo4zx3oo6g
    @user-jo4zx3oo6g 6 місяців тому

    We sio mchungaji Wala chochote unatafuta Kiki kwa Watumishi wa Mungu.

  • @DavisIssangya-kc3rm
    @DavisIssangya-kc3rm 3 місяці тому

    Wewe ibilisi hata unavyo onekana tu

  • @GabrielMwabulo-hi5lt
    @GabrielMwabulo-hi5lt 8 місяців тому

    Huyu kuhani ni mpotoshaji mkubwa. Ana maana kama atafiwa hatakula chakula,? Pascal uko sahihi. Huyu jamaa ni wakala wa shetani.

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 7 місяців тому

    Sasa kama ni mama yangu njo amefariki ni sile awa manabii wa muchongo

  • @Werema3760
    @Werema3760 8 місяців тому

    Hakika

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 3 місяці тому

    Wee chakula Cha msibani kitamu balaaa nakiwazaga mno na lile kabich na tumaharage we tutamu balaa

  • @Yesslarry
    @Yesslarry 6 місяців тому

    Kama na wewe mungu amekutuma pascal cassian ni sawa ila saidia watu waponye na wewe fungua kanisa hubiri injili tembea na mikoani hubiri sio huku pia unaweza kuamtumishi ila ukapoteza focus ya kulisema neno la mungu mtangaze mtete yesu kwa watu wabatizwe waombeee sio kusema wachungaji achaaa kabisa

  • @victoramnonivictoramnoni1241
    @victoramnonivictoramnoni1241 3 місяці тому

    Mtumishi mi nnashida na mawasilino yako nipo mbeya

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 8 місяців тому

    Wivuuuuuuu,kajinyongeeeeee,unataka waumini wake utamuweza?acha wivu,waumini wake wanamwelewa,

    • @emmanuelmsengi7060
      @emmanuelmsengi7060 7 місяців тому

      Mnamuelewa kwakuwa ameshawateka ufahamu wenu kwa NGUVU za giza hivyo nyote mnatumbukizwa kuzimu

  • @DavisIssangya-kc3rm
    @DavisIssangya-kc3rm 3 місяці тому

    Wewe ndo mpinga kristo mwenyewe Huna utumishi wowote tapeli tu

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому

      Mbona mnamtetea kama ni mtumishi wa Mungu kweli basi Mungu atampambania wajinga ndio waliwawo

    • @angelemmanuel7143
      @angelemmanuel7143 Місяць тому

      Mpinga Kristo ni yule asiye kiri Yesu Kristo ni Bwana soma maandiko upate maarifa

  • @MikaNyalusi
    @MikaNyalusi 11 днів тому

    Nyie mnaempinga kasian ukweli unawauma na mtaenda motoni kama kondoo machinjon

  • @user-hb9sy5pq4u
    @user-hb9sy5pq4u 3 місяці тому

    Nirichoona nikwamba manabii wengi nawachungaji wame ipita biblia waowapojuu kuliko nenoramungu