ALIE MUWEKEA SUM MAKONDA KIFO CHA MAKONDA! SERIKALI WIVU UMEWAJAA EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @PhinaEdmund
    @PhinaEdmund 2 місяці тому +17

    Mtu wa Mungu Yesu akulinde unapofanya kazi ya kukemea na kukaripia.. Ulichosema kuhusu Paul makonda.. Imebeba ukweli na Mungu aingilie kati maisha ya makonda.. Yesu akayeyushe hiyo sumu.. Na mabaya waliyotenda Mungu akayarudishe kwao.. Ktk jina la Yesu.. Ameeeen.

  • @JacksonPetro-Tv
    @JacksonPetro-Tv 2 місяці тому +7

    Mungu akubariki sana kwa ujumbe kuhamasisha maombi kwa ajili RC MAKONDA.

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 2 місяці тому +11

    Viva Makonda ! Mungu akutetee .Fanya kazi yako kwa mkono Wake.Baba wa mbinguni umbariki nakumsimamia katikamapito yake Amina.❤🎉❤🎉

  • @MorisTolotolo
    @MorisTolotolo 2 місяці тому +12

    Luhanga Mpinga, Jerry Slaa, Paul Makonda, nawakubali mno utendaji kazi wao Mungu awalinde vijana hawa

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 2 місяці тому

      Jiongeze na Jitambue ak 47 katumbuliwa

  • @imanimwaijumb4934
    @imanimwaijumb4934 2 місяці тому +18

    Dhambi ni aibu ya watu wote bali HAKI huokoa Taifa...! Time will say..! ni heri SISIEMU mungebaki kuwa wezi na walafi wa Mali za uma kuliko kuhujumu maisha ya watenda mema. machozi ya watanzania Kuna siku Mungu atayafanyia kazi..! Kwa jina la YESU Makonda uwe mzima Amina.....!

  • @SolomonNkoze
    @SolomonNkoze 2 місяці тому +15

    Naongea kwa kumaanisha in jesus name I destroy the poison from makonda through fire 🔥 of god, nishamalizana sitaludia tena maneno maana sumu ishatoka na makonda anaishi kwa amani

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 2 місяці тому +26

    Kwa kweri mtumishi wa Mungu makonda tumuombee sana jamani tutapaje watu kama hawa tusipowaombea jamani bila kujali itikadi zetu makonda anafanya kazi nzuri sana ya jamii mtumishi wa Mungu umenitoa machozi kuhusu maelezo yako tanzania atuna uzarendo kabisa kuhusu watu wazuri wa nchi hii

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 2 місяці тому +15

    Mungu ampe uzima makonda nampenda sana kiongoz mzuri

  • @viviankihiyo1076
    @viviankihiyo1076 2 місяці тому +100

    Damu ya Yesu imtunze huko aliko. Mungu akumbuke yake mema aliyoyatenda amponye katika Jina la Yesu!!!!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому +1

      🙏

    • @zainabuhamisimmbaga1840
      @zainabuhamisimmbaga1840 2 місяці тому

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾😭😭

    • @Japhary-sx3je
      @Japhary-sx3je 2 місяці тому

      Mungu ampe nguvu mungu waangamize wote walio na roho mbaya tunajua apa duniani tuna pita

    • @AzizaMayemba-td8po
      @AzizaMayemba-td8po 2 місяці тому +1

      🙏🙏

    • @Dominant97
      @Dominant97 2 місяці тому +1

      Hawa manabii na mitume n wengine kama hao wakaonueshe muujiza huko kwa mpendwa wetu miujiza mikuu

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 2 місяці тому +8

    OOoo kumbe mwalimu wawanasiasa jpm alitolewa hivi hivi sasa maama Samia tusaidie kutafuta watega sumu hao, wao mashetani washindwe may god bless Paul christian makonda poleni sana na Salam kutoka Jinja city Uganda

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt 2 місяці тому +7

    Mheshimiwa makonda watanzania tupo na wewe .mungu akulinde make wewe ni mtenda haki unawatetea wanyonge. Tunakuombea mungu akupe maisha marefu tuna iman na wewe wanyonge wote wa Taifa la Tanzania hvo ushauri wangu kwako usile vyakula hovyo kula chakula cha mke wako tu.

  • @edinamwalukisa9000
    @edinamwalukisa9000 2 місяці тому +3

    Yesu Kristo ,Kikombe hiki kitu epuka ,Najisikia Vibaya ehee Mungu Baba na kusihi Mungu unikumbuke Baba ,naomba ututunzie PAUL MAKONDA

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn 2 місяці тому +27

    Hakika Mungu amlinde amuepushe na mauti na adui zake wote Mungu ashughulike nao katika jina la Yesu

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 2 місяці тому +6

    Eehe Mwenyezi Mungu, tunakuomba Umnusuru kiongozi wetu ambaye wewe Baba ndiye uliyetupatia dhidi ya sumu aliyolishwa na watu wabaya.
    Mwenyezi Mungu, tuokolewe Makonda dhidi ya sumu aliyolishwa.
    Tunaomba hilo kwa Jina kubwa kupita yote Bwawa wetu Yesu Kristo.
    AMEN.

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 2 місяці тому +5

    Mungu amuponye ninamupenda piya kwa sababa ana mwoyo wa kujishusha na kupenda wanyonge❤❤❤

  • @finiaskagenda6258
    @finiaskagenda6258 2 місяці тому +3

    MUNGU Baba, Muumba wa vitu vyote, mwenye uweza wote, unayejua yote, Ninakuomba umponye Paul Makonda ktk Jina la YESU. Kama kazi uliompa kamaliza basi mapenzi yako yatimizwe Amina.

  • @brigethsauzand3926
    @brigethsauzand3926 2 місяці тому +50

    Mungu Wa Mbinguni nakuomba kama uishivyo Paul Makonda Aishi kama ni amepewa sumu dawa yoyote hata maji akipewa apone Kwa jina la Yesu

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 2 місяці тому +8

    Hii dunia ata ukiwa mtu mwema vp wanadamu hatuna shukran...ni bora huishi maisha yako tu ni bora uwonekane na roho mbaya kuliko kuonekana mzuri

  • @johnshusho5840
    @johnshusho5840 2 місяці тому +46

    Makonda rise up again!!! Hutakufa bali utaishi na kuzitangaza fadhili za Bwana.Amina

  • @juliennekibatcha2958
    @juliennekibatcha2958 2 місяці тому +11

    ❤❤❤❤ so wa Tanzania tuu wachagulia wengi wenye uwepo wa MUNGU wana Damu wenye sumu ya Kishetani awakubali watu Kama na awa
    apokee uponyaji katika jina la YESU kristo

  • @brighterkids8416
    @brighterkids8416 2 місяці тому +3

    Tunamfunika Mh Makonda kwa damu ya Yesu huko aliko Mungu wew unamuona na unajua Mungu zuiya chochote kibaya juu yake🙏🙏🙏🙏🙏Mungu sikia maombi yetu🇹🇿🇹🇿

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 2 місяці тому +22

    Makonda ni moja ya viongozi wanaoweza kufanya transformation katika Nchi hii. May God bless him.

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 2 місяці тому +10

    katika jina la Yesu, ewe Jeová, namuombea RCmakonda umkomboe katika matizo yalio mkuta.ewe mwenyezi Mungu nisaidie ámen 😢

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 2 місяці тому +12

    Tunaomba ulinzi wa Mwenyezi Mungu kwa Mh. Paul Makonda. Damu ya Yesu imfunike milele. Kama ni kweli Mwenyezi Mungu atatenda miujiza na kumpa uponyaji wa haraka mtetezi wa Wanyonge wanaodhurumiwa na kunyanyaswa.

  • @ZaidHamasiZaid
    @ZaidHamasiZaid 2 місяці тому +47

    Mungu mlinde Makonda, Dar tunakulilia, wanyonge tunakuhitaji, ni chapa ya mzee baba Magu...

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 2 місяці тому +15

    Watanzania Mnaleta Aibu kweli kabisa yani Akili zenu hazipo .yani leo Makonda anafanya kazi vizuri mnataka kumuwa apana kweli .yani Watanzania

    • @mwonajeremia5323
      @mwonajeremia5323 2 місяці тому

      wewe mwenye akili una cheo gani???,,,Acha wivu na maneno ya vijiwenu😮 Makonda ni kiongozi mzuri ndo maana wanaomchukia ni wengi

  • @veronicawilson4263
    @veronicawilson4263 2 місяці тому +29

    BABA ktk jina lipitalo majina yote wew ni Baba Mbinguni na duniani unatawala vyote MUNGU mweny Enxi yote namweka Mtumishi wako Paul Makona mikononi mwako mkono wako mwema iwe juu yake umlinde agiza malaika zako sawawa na neno lako Zaburi 121:1-8 BWANA atakulinda na mabaya yote utakapo na uingiapo Bwana linda nafsi ya Makonda ktk jina la YESU na kwa Damu ya YESU umfunike nimeomba nikiamini MUNGU umefanya sawasaw na mapenzi yako Ameeeeeeeen 🙇🙇🙇🙇🙏🙏

  • @ElizabethMwasonya
    @ElizabethMwasonya 2 місяці тому +2

    Mungu mponye Makonda na mteteee aliyoyafanya haya chini ya jua mngoe Kwa jina la Yesu damu kama wapo anguko lao liwe kubwa kisibaki kizazi Hadi vizazi vyao Mungu sikia maombi haya amen.

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 2 місяці тому +15

    Wivu Tu wao hawfanyi kazi tofauti wanachowaza ni kuiba Tu Mungu na awe pamoja na makonda

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 2 місяці тому +23

    Mungu achoki wala alali afya yake na mawazo yake yako mikononi mwa bwana. Mungu hamuepushe na husda za fisi wenye ngozi za kondoo. He,mungu mpe afyanjema kiongozi wetu Makonda.

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 2 місяці тому +38

    Selekari yote nimanyang'au tu. Magufuli walimuua. Ila makonda ataushi kwa jina la YESU Aliye hai. Mungu wetu Muumba wa mbingu amlinde. Amponye naulinzi amuangazie

    • @joycemwenura4120
      @joycemwenura4120 2 місяці тому

      Amen

    • @LucyRafeali
      @LucyRafeali 2 місяці тому +1

      Wakikamatwa wanyogwe wamezoeya kutuonderea watu wetu wazuli

  • @Nguvuyaasili
    @Nguvuyaasili 2 місяці тому +2

    Mtumishi nakupenda sana unasema sahihi viongozi ni wanafki kweli sio uongu Mtumishi sema kweli na Mungu atasimama na ww .

  • @farajaMezza-qn4be
    @farajaMezza-qn4be 2 місяці тому +15

    Makonda is a blessing to this generation! Whenever I see him I see Magufuli

  • @EvelynePeter-p3w
    @EvelynePeter-p3w 2 місяці тому +1

    ❤❤❤ mungu skubariki kwakua mkweli huyu ni magufuli aliyefufuka

  • @zainabuhamisimmbaga1840
    @zainabuhamisimmbaga1840 2 місяці тому +3

    Mwenyeezi Mungu Amponye na Kumnusuru RC wetu😢😢🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @gastondofra9151
    @gastondofra9151 Місяць тому

    Mungu akubariki sana, kwakweli mambo ambayo makonda anafanya kweli watumishi wa serekali wasimwonee wivu.

  • @VenanceMwaisanga
    @VenanceMwaisanga 2 місяці тому +54

    Kama kweri makonda kanyweshwa sumu.basi mungu hatanyamaza kwa walio husika.

  • @methodkajuna4674
    @methodkajuna4674 2 місяці тому +1

    Asante MTUMISHI waambie vichwa vimejaa ufisadi awataki kusikia ukweri Lakini Mungu yupo

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 місяці тому +24

    Amen Mtumishi, Tunamtaka Makonda.

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 2 місяці тому

    Hapa umekuwa mtumishi wa Mungu wa ukweli ( Mungu akulinde mtumishi) Mungu amulinde Christian Makonda ,Mungu mpe afya njema

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 місяці тому +67

    Makonda atakua kama Mzee wetu MAGUFULI MWAMBA FOREVER 🙏

    • @LucyRafeali
      @LucyRafeali 2 місяці тому +5

      Makonda anapigwa vita kama Baba Yetu ila Mungu amsimamie amlinde na maadui wote

    • @estherkibajiro3480
      @estherkibajiro3480 2 місяці тому +1

      Nchi yetu Tanzania kama tumefikia kuuwana sisi kwa sisi tena tunauwa viongozi walio na weledi,kinachofuata si amani ni vita....Tanzania hatutokubari, Mumeuwa Magufuli bado Munamfuata Makonda Duh!!

    • @LucyRafeali
      @LucyRafeali 2 місяці тому

      @@estherkibajiro3480 Yaani inaumiza sana Mungu aonekane kwa hili

    • @GiliardKashimba
      @GiliardKashimba 2 місяці тому +1

      Jamani watanzania MUNGU amefichua ukweli bado mnahamini baba ni gonjwa la moyo ndo lilimtoa apa duniani ???

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 2 місяці тому

      Mkuki kwanguruwe lakini kwabinadamu nimchungu

  • @ahmedaljabri1206
    @ahmedaljabri1206 2 місяці тому +2

    Subuhana Allah makonda wetu mwenyezimngu amuepushe walimwengu wanayoongeya

  • @SabinaVicent-l8w
    @SabinaVicent-l8w 2 місяці тому +5

    Mungu atamponya tu kwasababu anamakusudi makubwa makubwa kumuweka ili awe msaada kwa watu wake mungu atamjenga na kumtia uponyaji zaidi hata madactari wanaotibu huko mungu baba mwenyezi ukawe kiongozi wao katika huduma wanazompatia mungu baba mwenyezi ukamsimamie nakumwekea ulizi wako Amina🙏🙏

  • @SubilaMwambughi
    @SubilaMwambughi 2 місяці тому +1

    Huh❤❤❤❤❤kwamoyommoja maombi

  • @INUMBUMWANDU
    @INUMBUMWANDU 2 місяці тому +11

    Makonda tunakutakia kila laheri mungu aokoe maisha yako ili utimize doto zako nawatanzania kwa ujumla

  • @MamaDieudonne-mq2sq
    @MamaDieudonne-mq2sq 2 місяці тому

    Na Sisi wa congomani Tunamuombeya mtumishi Makonda Mungu afanye jambo kwa ajili ya maadui wake, Mwenyezi Mungu awapatishe haya nawashikwe kwajina la yesu kristo wanazareth Amina.toka Congo uvira

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 2 місяці тому +42

    MUNGU amsaidie appnee inshallah na iyo sumu igeuke kuwa dawa mwilini mwake inshallah

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 2 місяці тому

    Pole sana ndugu yetu, kiongozi wetu Makonda mwenyezi Mungu akufnyie wepesi Upoke

  • @annacyril5832
    @annacyril5832 2 місяці тому +62

    Rc makonda usile kila sehemu , beba lunch box yako toka nyumbani baba.Mwenyezi Mungu akulinde.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому +1

      ni kweli

    • @fridaminja7191
      @fridaminja7191 2 місяці тому

      Binadam wanaroho mbaya sana, naumia mpaka basi, naomba Mungu yasijetokea kama ya magufuli jaman, anaekuua nimtu wa karibu yako hata ukiwa unaenda kula nyumban asubh mchana usiku bado watakuwinda tuu, maik pia nihatar sana

    • @gracemairusya2950
      @gracemairusya2950 2 місяці тому

      Tena hata asisheki hands kabisaaa

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому

      @@gracemairusya2950 kabisa. ndomana
      Samia ana kusanya mikono yake miwili kuashiria SALAAM!

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому

      naskia hivi punde kuwa yuko Dubai kwa medical checkup za kawaida. ss sijui kweli au?

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli 2 місяці тому

    Uko sawa Mtu wa Mungu. Binafsi naumia Baba. Mungu atusaidie kumponyaaaaaaaaa Eee Munguuu!!

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 місяці тому +9

    Tunaomba Mungu ampiganie 😢😢 wallah inauma sana. Halafu serikali inatudanganya eti Mh yupo likizo. Serikali ya Tz mbovu, husda, wivu umetawala 😢

  • @AnnaMsigwa-oi8do
    @AnnaMsigwa-oi8do 2 місяці тому +2

    Uwiiiii kakangu,kipenzi Cha watanzania kakaangu makonda mungu mnusuru uyu kaka awe hai,mungu mponye uyu kaka,heee mungu nashindwa Mimi naumia najua wewe upo na upo kwajili yetu unatujua tulivyo,unawajua watu wako,Fanya kitu Kwa uyu kaka.

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 2 місяці тому +47

    Tuko katika kizazi cha laaana na waovu wanatawala ulimwengu 😢 DUNIANI SIO MAHALI SALAMA😢 MUNGU AMPIGANIE MH.MAKONDA✍️🙏

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 2 місяці тому +4

      @@LeonardEdward-fb2bn Sawa kabisa na Makonda ni mwongoni mwa waovu amedhulumu haki ya watu ya kuishi anatumia udhaifu wawajinga na masikini kujinufaisha kisiasa

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 2 місяці тому +1

      ​@@erickmsigala138Vp aliowadhulumu nafsi zao unaweza kututajia?? Vp sasahiv utekaji, mauaji kulawiti vp anahusika Mh Makonda?? Au na ww ni mmoja wa waovu acha fitna ndugu tunza kinywa chako

    • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
      @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 місяці тому

      ​@eriSHETANI MUKUBWA WW?ckmsigala138

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 2 місяці тому

      @@AlHamra-k4u wewe ni giza hakuna unacho jua zaidi ya kuwa chawa Kasome ripoti ya haki za binadamu, pia mwuulize anaruhusiwa kuvuka kwenda Marekani mnaye mshabikia huyo ni mazuzu mliye zoea kudanganywa kama kuku wa kuenyeji anaye jikamatisha kwa mtama

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 2 місяці тому

      ​@@erickmsigala138
      Propaganda za kijinga kweli kweli. Onyesha hata sehemu ndogo tu kua Makonda kahusika.

  • @EmmanuelMukengere
    @EmmanuelMukengere 2 місяці тому

    Mungu ndiye Ali weka makonda penye uongozi katika inchi ya tanzania Mungu amu ponye

  • @everlinekanuya9198
    @everlinekanuya9198 2 місяці тому +20

    Mungu amtete kiongozi wetu makonda.. Mungu naomba uponye popote alipo

  • @alphonsinamorice3907
    @alphonsinamorice3907 2 місяці тому

    Tuna muombea uzima, damu ya Yesu indelee kumfunika, tunampenda sana, tunabatirisha taarifa mbaya kwa jina la Yesu amina

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 місяці тому +11

    ASANTE SANA BABA CASIAN..MUNGU AKUBARIK NAPENDA VILE MUNGU ANAKUTUMIA PLZZZZ BABA ANAOMBA UZID KUMUOMBEA SANA MAKONDA

  • @marselinadena7618
    @marselinadena7618 2 місяці тому

    Mungu aikumbuke kazi yako Paul wetu

  • @AnuaryKISEGE
    @AnuaryKISEGE 2 місяці тому +20

    MAKONDA HANA UJANA BALI MAFISADI HAWAMPENDI MTENDA HAKI MUNGU MJALIE MAKONDA

  • @annanangu1832
    @annanangu1832 2 місяці тому +1

    Eeeh mungu wangu mtangulie apone kwa damu ya yesu hatakufa bali ataishi

  • @priscahbosire4608
    @priscahbosire4608 2 місяці тому +66

    Makonda, natamka kwa mamlaka ya jina la Yesu hutokufa bali utaishi wewe ni mtumish wa Munga watakufa wao wanaokutafuta kwa jina la Yesu

  • @MagdalenaShaudo
    @MagdalenaShaudo 2 місяці тому

    Mungu aliye juu amlinde paul makonda

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 2 місяці тому +5

    Hii nihatar kwa upande wagu nawakubali sana Makonda naJelly Slaa pomoja naMpina Mungu awalinde

  • @pejesalum615
    @pejesalum615 2 місяці тому

    😭😭😭MUNGU Amtengeneze upya aludi kakaika haliyake ee Mungu mteetet makonda EeUngu wewe ndio unaetutengeneza ka kutubomoa naomba Mungu amtengeneze binadam hana uweza kwako Emungu na alietengeneza ivyo anyongwe kabisa asizalishe wengine ashindwe kabisa milele Amina🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲💯

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 2 місяці тому +4

    Inauma Sana kwann mtu mwema hadumu dunian kwann mungu katupa fumbo gumu kwa wale tuwapendao

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid 2 місяці тому

      Jaman nimeliyaaa mungu atusandie sanaa

  • @wamburamalwa770
    @wamburamalwa770 2 місяці тому +1

    Mungu humlinda kila alie wake kwa jina la yesu kristo wa nazaleti mponye kiongozi wetu mtetezi wa wanyonge!!

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 2 місяці тому +78

    Makonda ni Hazina kama alivyo kuwa Magufuli 🎉🎉🎉

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 2 місяці тому +5

      @@albertinamichael6123 Makonda ni hazina ya wapumbavu wasio jitambua wanaopenda kudanganywa na maigizo

    • @selemaniigosha
      @selemaniigosha 2 місяці тому

      Mpumbavu ni ww na genge lako la waekaji wa sumu​@@erickmsigala138

    • @Mariam-w9s3b
      @Mariam-w9s3b 2 місяці тому +4

      ​@@erickmsigala138 Wewe aliyekua mwerevu ndio miongoni mwa mafisadi lazima umuone makonda anaigiza na wala sikushangai Kwan Ata Malaika WaPo wanaomchukia Yaan mashetan vp wewe mwanadam

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 2 місяці тому

      We ni fisadi mkubwa unaetuibia nchi yetu, shenzi kabisa!​@@erickmsigala138

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому +1

      ​@@erickmsigala138ukapime akili yako, ona comments zote na yakwako then jitafakali

  • @magdalenalaban8895
    @magdalenalaban8895 2 місяці тому

    Mungu akuponye Mtumishi wa Mungu huko uliko Damu ya Yesu Kirsto Alie hai ikuponye

  • @barakamwangama9109
    @barakamwangama9109 2 місяці тому +14

    Kama roho yake imetoka nairudisha kwa njia la yesu nimemaliza Wala sirudii na ninavyojua yupo hai kama mungu wangu haishivyo

  • @christaeletlawe
    @christaeletlawe 2 місяці тому

    Mungu naja mbele zako namleta kiongozi wetu makonda umlinde mtie nguvu mzingire kwa damu yako na katika hili naomba mponye katika jina la Yesu Amen

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 2 місяці тому +3

    MUNGU MULINDE MPINA, MPONYE MAKONDA.Amen

  • @Thomas-wu4ie
    @Thomas-wu4ie 2 місяці тому

    Makonda utapona kwa jina la Yesu na urejee kwenye majukumu yako. Hakika watu wabaya watachonwa moto wa Mbinguni, Bwana atende jambo juu ya afya yako. Amen

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 місяці тому +6

    Mimi ni musalaam lakini nampenda sana makonda mungu amlinde na watu mahasidi Amen ❤❤❤

  • @RucyMakapa
    @RucyMakapa 2 місяці тому

    Polee kipenz cha watanzania mungu atawafedhehesha wotee wanaopenda kuwauwa watu kama wamejiumba wenyewe watambue watakufa vifo vby cku yao ikifka

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 місяці тому +5

    Mimi ni muislam namuomba Mungu kwa niyaba ya hawa waliokosa wa kuwasemeya ewe Mola ya rabi mlinde huyu komredi.

  • @clemenceernestshooga
    @clemenceernestshooga 2 місяці тому +1

    Umenena vyema sana tatizo lipo kwenye wivu tu....Kuna watu wanatafuta watu bila hata ya sababu mi naamini Kuna mda watu watawafatilia viongozi na wa2 makini bila ya sababu ila waTZ tungeomba tuishi kwa pa1 na kulijenga Taiga letu Big Up sana mtumishi.....Kikubwa tuishi kwa amani kwenye hili Taifa letu..!!?

  • @MichaelMalamu
    @MichaelMalamu 2 місяці тому +31

    Mkimua Mkonda mtakuwa mtenda dhambi kubwa sana.

  • @BuseiniKibandiko-up2eq
    @BuseiniKibandiko-up2eq 2 місяці тому

    Mungu akusaidie kukulinda Mtumishi wa Mungu, na ninashukuru kuusema ukweli kuhusu kiongozi shupavu mweshimiwa Makonda tuzidi kuombea Mungu atuepushe na roho ya mauti

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 місяці тому +46

    YESU ALIKUFA, ALIFUFUKA , YESU YU HAI NA MAKONDA YU HAI KWA JINA LA YESU..

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 місяці тому

    Mungu atende miujiza BABA KEGANI uludi katika majukumu Yako AMEN

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 2 місяці тому +10

    Daaa inaweza ikawa kweli??
    Mbona kutakuwa hakuna kiongozi Tz tena aisee

    • @lulurubby2235
      @lulurubby2235 2 місяці тому

      Inasemekana kweli sema daah roho inaniuma kweli

  • @rosemtandika2983
    @rosemtandika2983 2 місяці тому

    Mungu msimamie Makonda asife tunamhitaji sana, tumeingia imani kuwa tumempata Magufuli Mungu,Mungu pokea maombi yetu

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 місяці тому +35

    Mtumishi Pascal Naungana nawe kabisa, Tufunge na kuomba, Makonda awe Salama, sina furaha kabisa 😭

  • @AgnessZephania
    @AgnessZephania 2 місяці тому

    Mungu aikumbuke ile sadaka yake anayotoa madhabauni kila akienda kanisan mungu ukamponye paul makonda

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n 2 місяці тому +40

    Makonda nichombo ,anafaa kua rais

  • @tonybake7120
    @tonybake7120 2 місяці тому

    Mtumishi wa mungu baasi baba maneno yako yameniliza sana kama kweli kapewa sumu mungu atawaangamiza

  • @AmAl-x9j
    @AmAl-x9j 2 місяці тому +5

    Hivi serikali ya samia ina laana gani??
    Hivi wameshindwa kusema ukweli juu ya makonda????

    • @chandeyusufu9570
      @chandeyusufu9570 2 місяці тому

      Inaauma sana wallah😭😭😭😭😭😭

  • @monicasemsey1125
    @monicasemsey1125 2 місяці тому

    Tumuombeee sana makonda .Mungu amtetee na kumpa nguvu na afya njema

  • @titosimon4360
    @titosimon4360 2 місяці тому +7

    MUNGU mponye p.mkonda katika jina la YESU na damu ya YESU hesabu 23 /23 na zaburi 16/19 nafunga roho ya mauti juu ya p.makonda

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 2 місяці тому

    Asante sn kwa kutusemea mkuu inasikitisha sn

  • @KazunguMataza-Tk
    @KazunguMataza-Tk 2 місяці тому +12

    Huyu jamaa ana Kibali kutoka kwa Mungu ni kiongozi anaeweza hata kuiongoza Tanzania kwa ujumla

  • @barubukarehema1013
    @barubukarehema1013 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 2 місяці тому +5

    Makonda yuko wapi serikali

  • @JosephMpangala-wd5mp
    @JosephMpangala-wd5mp 2 місяці тому

    Ee Mungu amponye mtumishi wako Paul Makonda, kwajina la Yesu kristo, Àmina.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 місяці тому +11

    Magufuli wapili huyu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 місяці тому

      Ndo maana wanataka wamuue kama walivyomuua Magu, yaani hii ndo itadhibitisha walimuua

    • @khadijayusuph2634
      @khadijayusuph2634 2 місяці тому

      Jamani ikitokea wamemuua"wananchi Wagoner uchaguzi ujao kabisa

  • @SamwelAminiel
    @SamwelAminiel 2 місяці тому

    Hakika Mungu mwaminifu asikiaye maombi ya watuwake atampona amen❤❤

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky 2 місяці тому +3

    Tanzania ukiwa unapenda kuisimamia HAKI za watu ,,,,unapigwa VITA , ee Mungu umpe wepesi Mt. Makonda apone ktk jina la Yesu kristo

  • @JenniferJohnmshi
    @JenniferJohnmshi 2 місяці тому

    Mungu akulinde makinda wetu Mungu akupe uzima Amen

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 2 місяці тому

    Kwa hili kiukweli Makonda niwakuombea. Mungu bana mwenye nguvu na uweza tunakuomba mkumbuke tena makonda,mfufue uhai wake tumuone tena,ee Mungu mwenye rehema nakuomba msimamishe Makonda tumuone watanzania.Nanyenyekea kwako ee Mungu mwema mpe makonda afya njema isiyotikisika.Anafanya mambo mazuri katika nchi yetu ee Mungu usiruhusu adui atunyanganye atunyang'anye Makonda wetu mkuu wa mkoa wa Arusha.Ni mtu mzuri sana katika maisha yetu,Makonda ni mtu muhimu sana katika Taifa letu.Ee Mungu teta na wanao teta na Mkuu wetu wa mkoa Paul Makonda.Asindoke machoni petu Ee Mungu mwenye uweza nakuomba nikiamini utatenda.Aaamen❤

  • @chrissyjessiemawondo3514
    @chrissyjessiemawondo3514 2 місяці тому

    Eeemwenyezi Mungu mulinde Paul C. Makonda uko aliko kwani uongozi wake ni wakipekee na tunatamaani aendelee kutuongaza .Mpe afya njema 💯uko aliko🙏