NDOTO ZINAZO WEZA KUKUJULISHA MKE AU MME KAMA KACHEPUKA/SHEIKH ABUU JADAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2020
  • NDOTO ZINAZO WEZA KUKUJULISHA MKE AU MME KAMA KACHEPUKA/SHEIKH ABUU JADAWI
    #ndoto #mke #mme #sheikhabuujadawi

КОМЕНТАРІ • 69

  • @arafaabdulrahman645
    @arafaabdulrahman645 2 роки тому +5

    Asante kwa darsa hili ni juzi tu nimemuona nyoka mweusi mdogo anatembea mbele yangu anakuja kunizuru lakiniakuwai kunizuru nikaamka yarabii niepushe na uadui huo😭

  • @khadijaathumanikhadijaathu9031

    Suhana Allah mungu.tusaidie jaman waja wako.Alla.tunakuomba tusaidie

  • @user-hx3pe8hv8k
    @user-hx3pe8hv8k Місяць тому

    Asante sanaa mim naotaga napambana na nyoka so mara moja naoyoga tu kila siku asant sanaa

  • @marthamashinji6830
    @marthamashinji6830 Рік тому +3

    Ni kweli ndoto za nyoka zimenisumbua sana mwisho wa siku nikamfuma mme wangu

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Рік тому

    🙏 🙏 🙏 Asante sana kwa tafuziri sa ndoto...

  • @khamishemedsaid2134
    @khamishemedsaid2134 Рік тому

    Mimi mmoja sheikh yani hamalizi mwezi basi ndoto Kali za nyoka wakubwa sana sheikh

  • @Ruthmpoa-sv9ul
    @Ruthmpoa-sv9ul 28 днів тому

    Sasa hii yangu ni ng'ani niliota, nimeshika nyoka nikaikata nikaipika na nikaikula nyama ya nyoka 😢😢😢

  • @PhilipinaBajuta
    @PhilipinaBajuta 17 днів тому

    Mm Huwa naota mume wangu ananisaidia kuua nyoka

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 2 дні тому

    Nimeota Nyoka alikuwa mkubwa sana ila amekatwa katwa vipande vipande ila haikudhulu mtu

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 Рік тому

    Asante sana sheikh

  • @ramadhanimussa2106
    @ramadhanimussa2106 Рік тому

    Ramadhani mussa

  • @rahmalove531
    @rahmalove531 Місяць тому +1

    Nime ota ndoto nyoka ipo kitandani pamoja na mserebani yani mjusikafie nyokaiyo imekua nyeupe sijuwimana ake😢

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe Місяць тому

      Nyoka ni roho zamizimu nawe😅😅

  • @stivemathiasi3056
    @stivemathiasi3056 2 роки тому +2

    Habar mm huwa naota mmewangu akitoka namwanamke mwingne naakinitishia kuniacha inamaana gani🙏

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 Рік тому +2

    Sheikh wangu mimi nimeota joka amekaa tu

  • @emanuelgeofrey3859
    @emanuelgeofrey3859 Рік тому +1

    Nimeota nilikuwa natembea nikakutana na nyoka wawili weusi wamebebana nilivopiga kelele wakakimbia xana

  • @YassirKhalfan-cv5zm
    @YassirKhalfan-cv5zm Рік тому +1

    Nifanyeje kujua mume kama wangu anamwanamke wa nje

  • @user-xv1mj9ge9y
    @user-xv1mj9ge9y 10 місяців тому

    Nikweli shekhe nimewahi kumuota nyoka sema nilimuua

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому

    Hongera

  • @user-nd1nx1bf4r
    @user-nd1nx1bf4r 4 місяці тому

    Jamani mimi nimeota napita barabarani nikakuta nyoka mrefu sana alafu ni mwembaba kakatisha barabarani alafu mweupe nikamwangukia kila nikitaka kunyeyuka nashindwa akaning'ata kichwani nikamtupa inamaana gani

  • @emanuelgeofrey3859
    @emanuelgeofrey3859 Рік тому +1

    Mom nimeota nimekutana na nyoka wawili weusi wamebebana nilivopiga kelele wakaanza kukimbia wote

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 роки тому

    Asanteee umetafsiri vizurii sanaa.....

  • @user-nz5kn7ln5r
    @user-nz5kn7ln5r 6 місяців тому

    She ukipewa taraka ya hira za kichawi unaswii

  • @user-rn1ed8fj9d
    @user-rn1ed8fj9d Рік тому

    nimeota nyoka ana mkia nusu anaingia ndan nandan yuko mkewangu

  • @mohamedimnembwe1342
    @mohamedimnembwe1342 11 місяців тому

    Mimi huwa naota nacheza na nyoka mwekundu na rangi nyingi tofauti na Wala hawanizuru

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому +1

    Nimeota nimelala na mbuzi yaani mtu lakini alibadilika kuwa mbuzi

  • @RabieGerard
    @RabieGerard Рік тому

    .mm nilikuwa nimejifungua kiukweli mtt wa kike ambae sasa Anamosa 2 lakini kipindi yuko na miezi 2 kipindi namnyonyesha nikaota nyoka kumbwa sana limetanda chumbani jeusi kipindi namnyonyesha likarefusha shingo lake akamginga mwanangu kwenye paji la uso nikapiga kelele akapotelea dalini hapo tulikuwa tumepanga maana yake nini

  • @fathiyaishak3154
    @fathiyaishak3154 2 роки тому

    Asalm alykoum mimi nimeshaota nyoka mweuc mara 2 napigana nae ila mara y kwanza nilisoma sana dua akpotea mara ya pili nmepgana nae hdi nikamchoma n moto nn maana yke

  • @damariswanza9195
    @damariswanza9195 Рік тому

    Mimi nimeota nyoka nyeusi kwa mlango,

  • @fortunatuselisa421
    @fortunatuselisa421 2 роки тому

    Ukiota nyoka mkubwa mweusi amekatwa kichwa ila ananifuata na nikamuwekea stick kifuan kwake pia nikaota nyoka wawili wakijani wawili wadogo wananizunguka katika ndoto hiyo na ghafla nikastuka

  • @trainermaganga3795
    @trainermaganga3795 2 роки тому

    Salam alykum shaikh mda sasa hatuoni program zako

  • @mwanaherimo9462
    @mwanaherimo9462 2 роки тому

    Nataka number

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому

    Sheikh mimi niliota yani kama kausingizi kamenipitia kidogo tu,naona naona nyoka wawili weusi umoja amenipita kwenye katikati ya mapaja na tumbo yani katikati Ingine imenipita haraka kwenye mkono wangu wakulia alafu akapanda ju ya ukuta kibambazi penye nalala nikashtuka haraka kama vile naona kweli nyoka mbili nyeusi zinapita hapa sasa mbona sizioni najuwa nashanga mwenyewe tu,ila yote nimemkabizi Allah ndiye mjuzi yeye ndiye anaona cha siri na cha zahiri.

  • @mohamedimnembwe1342
    @mohamedimnembwe1342 11 місяців тому

    Mimi naota nyoka was rangi mbili nyoka mwdusi au kijani lakini nikiamka sku aishi nawAona ndani ya fensi

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому

    Naota
    Magali yananikimbiza mpaka kwenye njia za milima nikishuka galinalo linashuka

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 2 роки тому

    Mimi nimeota natembea na tumbo naninasipidi kutwa nashindana na magal

  • @zuwenaodaizuwenaodai1999
    @zuwenaodaizuwenaodai1999 2 роки тому

    Mim naota nyoka anatoka shimoni mblele yangu halafu ananifukuza lkn hanikamati

  • @sospeterjuma3867
    @sospeterjuma3867 6 місяців тому

    Niliota nyaka nyeusi akiwa kwasimo maanake nini

  • @shaurimfungoni1772
    @shaurimfungoni1772 2 роки тому

    Assalam aleykum...nimeota nyoka mweusi lkn nikiwa na rafiki yangu kipenzi...na akamshika tulipotoka nje akamponyoka lkn akamwagia mafuta taa akamuawasha moto lkn aliwaka huku akikimbia....naomba tafsiri tafadhali

  • @robertjoshua3094
    @robertjoshua3094 3 роки тому +1

    Mm niliota nakmbizwa na nyoka mkubwa mno mwenye rangi nyeusi na nyeupe na tulikuwa wengi lkn akawa ananifata mm tu namkimbia namchenga kbsa lkn ananiona Tena lkn hakunidhuru nn maana yake

    • @lewismpangala927
      @lewismpangala927 2 роки тому

      Niliota pia

    • @ruu6592
      @ruu6592 2 роки тому +2

      Nyoka sio dalili mbaya yategemea umemuota vipi

  • @saiame641
    @saiame641 Рік тому

    Vip ukiota nyoka anabadilika rangi kutoka nyeusi kuwa nyeupe???

  • @amiriabedy4511
    @amiriabedy4511 2 роки тому

    Me nimeota nakimbizwa nakanyoka kadogo tu karangi yagoldi imeng'aa sana nimekimbia Sana lkn kakanifkia nakuning'ata

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 2 роки тому

    Mnaswali kwanza, hamdokoi dokoi mali za mayatima au viakiba vya watu mlivyoaminiwa muvieke???

  • @arafaoscar5083
    @arafaoscar5083 2 роки тому

    Kuna mtu kaniotea mm nimeviringishwa na nyoka mkubwa mweusi na ninahangaika kumkata na kisu lkn kisu nilicho nacho ni kibutu sikuweza kumkata ,, hii inamaana gani ??

  • @nasibually4137
    @nasibually4137 2 роки тому +1

    Salam alaykum mimi nieota nampika nyoka mweusi kwenye sufuria ndoto hii ina maana gani shekh

    • @abuuyoga6736
      @abuuyoga6736 Рік тому

      Kwa ninavyofahamu umeushinda uadui lakin zaid ufanye udadisi

    • @abuuyoga6736
      @abuuyoga6736 Рік тому

      Kwa ninavyofahamu umeushinda uadui lakin zaid ufanye udadisi

  • @hidayatondogoso8652
    @hidayatondogoso8652 2 роки тому

    Tatzo hawajbu msj hapo ndio wanafeli wanatoa clip tunawauliza maswali hawajbu wakitoa namba ukiwapigia hawapokei wala msj hawajibu jmn

  • @officialSkuBy
    @officialSkuBy 2 роки тому

    Ukiota una mahusiano ya kimapenzi na nyoka maaana yake nn

  • @gervasnangomo4865
    @gervasnangomo4865 3 роки тому

    Mimi nimeota nyoka ameanguka toka juu na anataka kummeza mwanangu wa kiume mm nikampiga mkiani yule nyoka akapotea ghafla nn maana ya ndoto hii

  • @irennaserian1450
    @irennaserian1450 Рік тому

    I dream somebody try to put the black snake inside my body mean what

    • @WillyHamza-iw7ot
      @WillyHamza-iw7ot Місяць тому

      I can say it's mean kind of cheating with your man