TAHADHARI:USIFANYE MAKOSA HAYA UNAPO TAKA KUINGIA CHOONI//SHEIKH NUHU OTHUMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 тра 2021
  • TAHADHARI:USIFANYE MAKOSA HAYA UNAPO TAKA KUINGIA CHOONI//SHEIKH NUHU OTHUMAN
    #tahadhari #makosa #kuingia #chooni #sheikh

КОМЕНТАРІ • 150

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez Рік тому +3

    Shukrani. Mashaallah❤❤❤. Mwenyezimungu akuzidishie uumri mrefu na akuzidishie Imani. Na akuepushe na husdazawatu na Wachawi

  • @AdnanOmar766
    @AdnanOmar766 22 дні тому

    Asalam Alekm,shukran kwamafudisho mazuri .Allah azidi kukuogoza.

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 Рік тому +3

    Mashaallah Masha Allah

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 2 роки тому +5

    Nashukuru Sana kwa Elim japo mimi ni mkristo

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 2 роки тому +28

    asante kwa kunielimisha ingawa mm mkristo 🇰🇪🇰🇪 Allah bless you.

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q Рік тому

    Subhana Llah! Kuna wafusi wa siasa kule Pemba walisha kuwa wanatia mavi ndani ya visima vya maji ambayo binadamu wenzao wakiyatumia kunywa, kupikia, kukogea, kufulia, kutilia Udhu...

  • @onyaluoma848
    @onyaluoma848 Рік тому +2

    MashaaAllah ❤️

  • @furahawaziri6746
    @furahawaziri6746 Рік тому +2

    Shukran❤❤

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 2 роки тому

    Alhamndulillah Shekhe kwa somo zuri ALLAAH Hakuzidishie Afya njema AMEEN Yallaabii Ameen 🤲🤲🤲

  • @VcM-ec8cy
    @VcM-ec8cy Рік тому +1

    Allihamdulillah,,nimeelimika

  • @allykhamisidambonamzeesana2597
    @allykhamisidambonamzeesana2597 2 роки тому +1

    Mashaala kwakwelu nimejifunza mengi mungu akubariki

  • @mariamselemani1366
    @mariamselemani1366 2 роки тому +1

    Mansha'Allah 🙏🙏

  • @mejumwinyi5404
    @mejumwinyi5404 2 роки тому +2

    Shukran sheikh ❤

  • @annakinyami2998
    @annakinyami2998 2 роки тому

    Naamin katka Imani sjuwi kuhusu mapepo immani yangu itaniongoza

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 2 роки тому +5

    MashaAllah Tabaraka Allah

  • @fgg8794
    @fgg8794 7 місяців тому

    Kweli kbs brother mungu akubariki

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 2 роки тому +1

    Shukrani sana shekh ubarikiwe sanaaaaa

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 2 роки тому +4

    Shukuran jazakum Allah kheiran

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 2 роки тому +4

    Shukran Sana Ma Sheikh.

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 2 роки тому +7

    Assaalm alaykum warahmatullah wabarakatu co kila kipindi lazima muhudhurie eneo hucka Masha'Allah kipindi kizuri lakin mazingira hapana maana kuna wengine hawapend kuonekana humu mitandaoni lakini ghafla ajiona tenah atoka choon subhanallah

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 2 роки тому +1

    Mashallah♥️🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @samiaalriyami3488
    @samiaalriyami3488 2 роки тому

    Shukraan jazakallahu lkheir Allah maalim

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 роки тому +3

    Mashaallah shukran

  • @sabraabdalla61
    @sabraabdalla61 2 роки тому +3

    Mashallah mad nzr

  • @shahiramussa6037
    @shahiramussa6037 2 роки тому

    Shukran kwa ukumbusho Allah akulipe

  • @ongarasanakwaujumbesayd1438

    Asnt kaka

  • @jokha431
    @jokha431 Рік тому +1

    Mashallah

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 роки тому +1

    Shukraan sana kaka ila hapa bongo wazazi wengi hawazingatii maswala ya madrasa au chuoni wanazidi na skuli tuu yaani dunia wanaipa kipao mbele kuliko akhera

  • @taqiyashabaanharoun2545
    @taqiyashabaanharoun2545 2 роки тому +1

    Jazza kallah khair

  • @hanifarajab9006
    @hanifarajab9006 2 роки тому +1

    Shukrn kaka kwa kutukumbusha

  • @khadijamohammed2855
    @khadijamohammed2855 2 роки тому

    Maasha Allah shukran

  • @switsalma2322
    @switsalma2322 2 роки тому

    Shukurani ustadhi nimejifunza vizuri na nimeelewa

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 2 роки тому +2

    MashaAllah shukran sheikh wetu

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 роки тому

    Shukran sana

  • @zuhuranassoro791
    @zuhuranassoro791 2 роки тому +1

    Insha Allaha

  • @nasrawhite4159
    @nasrawhite4159 2 роки тому

    Asante kwa mafundisho

  • @kondeboy6007
    @kondeboy6007 2 роки тому +1

    Shukran kwa kutuelimisha ustadh. mungu akupe umri mrefu,uzidi kutuelimisha

  • @zabirashzabi2846
    @zabirashzabi2846 2 роки тому

    Masha Allah shukran

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 2 роки тому +2

    Masha Allah

  • @JamilramadhanJamal-ow6ms
    @JamilramadhanJamal-ow6ms 11 місяців тому

    Manshallah 🙏

  • @salhashaban3009
    @salhashaban3009 Рік тому

    shukrani 🙏

  • @daughterofzion135
    @daughterofzion135 2 роки тому +2

    Napenda tu salamu zenu,, sema niregelee siwezi😂😂,, thanks a lot bt mm ni mlokole

    • @filbertstephano8038
      @filbertstephano8038 2 роки тому

      Sidhani km umeokoka halafu ukapenda uislamu

    • @jamalnamkuna3961
      @jamalnamkuna3961 2 роки тому +2

      @@filbertstephano8038 usimnyime mtu uhuru wa kuelezea hisia zake

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому +1

      @@filbertstephano8038 hata yesu isa bin mariam alikua muislam kama hujui fatilia

  • @shaniahamza6491
    @shaniahamza6491 2 роки тому +1

    Mashaa Allah

  • @abdhiahusein2614
    @abdhiahusein2614 2 роки тому

    Shukran shekh

  • @salmaissa8289
    @salmaissa8289 2 роки тому

    Shukrani shekh

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 2 роки тому

    Asante sana

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 роки тому

    Shukran sheikh

  • @halimarajab3897
    @halimarajab3897 11 місяців тому

    Shukran

  • @user-bh6lt8wr1r
    @user-bh6lt8wr1r Рік тому

    Thanks you

  • @laylatmapishi2314
    @laylatmapishi2314 2 роки тому +2

    Mashaalhwa

  • @ramrathjuma1631
    @ramrathjuma1631 4 місяці тому

    Manshaallaah

  • @AdnanOmar766
    @AdnanOmar766 22 дні тому

    Asalam Alekum : je kabla sijaigia kwa choo nikasema Athubilahi minnashwetanirajim nikaigia kwa choo nimakosa

  • @hamdanvitalis2576
    @hamdanvitalis2576 2 роки тому

    Allah akulipe memaduniani na akhela

  • @flstudio12channeldaxbeatz15
    @flstudio12channeldaxbeatz15 2 роки тому +1

    Mashaalah

  • @mwanamisali
    @mwanamisali 2 роки тому +1

    Mashaallah🙏

  • @salamaalawi166
    @salamaalawi166 2 роки тому

    Mashaallah

  • @samiamohammad7281
    @samiamohammad7281 2 роки тому

    A aleikum waramatulah wabarakatu samahani mm nina mwali nakutema mate choni ina mana gani na kama cho ndo bafu kama nyumba za siku hizi

  • @khadijamgambo6874
    @khadijamgambo6874 2 роки тому +3

    Assalam Alaikum... Uyo Dada anaeanza kusema apo kbla hujaanza kutangaza apo kaka basi yy sauti yake ni shubha, hapakua na haja yakuweka sauti ya kike apo Hususan kwa Redio zote za kiislam. SHUKRAN

    • @mohammedgop1883
      @mohammedgop1883 2 роки тому

      Waakumu ssalaam warahmatullah. Ukhty lkareem Khadija Mgambo, Issue hapo ni kupokea na kuufanyia kazi ujumbe ulopostiwa..

  • @mariamshija6445
    @mariamshija6445 2 роки тому

    Mashallah 👏📿

  • @zaituniupete6275
    @zaituniupete6275 2 роки тому +2

    mashallah jazakallah kheira

  • @azraonlinetv5792
    @azraonlinetv5792 2 роки тому +2

    Mashhallah

  • @elizzajohn8735
    @elizzajohn8735 2 роки тому

    Hpn nadhani vidio hii nimeangalia bahati mbaya siwez nikaamini mimi ni mlokole

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому

      Kwani uliambiwa fanya machafu au inaelekeza usafi ulitaka nguruwe yesu pia alitawadha kwa hiyo ww ulimfata mlokole kwa hiyo ni muislam yesu mfaye yesu isa bin mariam ndugu wa mitume wote fatilia dini

  • @loyluckykulwa525
    @loyluckykulwa525 2 роки тому

    Duu kweli bila Yesu masharti kibao .

  • @jacklinemankamanka5549
    @jacklinemankamanka5549 2 роки тому

    Sawa sawa

  • @zaitunishee4431
    @zaitunishee4431 2 роки тому

    Alhamdhullih shukran jazila

  • @abbulyhamisi4127
    @abbulyhamisi4127 2 роки тому

    Oh good

  • @yusuphmuhidin7410
    @yusuphmuhidin7410 2 роки тому +2

    Mashalah

  • @helenamusa432
    @helenamusa432 2 роки тому +1

    Nashukur

  • @bethinamaganza8853
    @bethinamaganza8853 2 роки тому +3

    Nina lindwa na Mungu kwa njia ya imani

  • @zainabukivale5824
    @zainabukivale5824 2 роки тому +3

    Naonba niulize mimi natatizo la kutoka mkojo mala kwa mala je navoenda msikitin nakuwa si hesabiwi sala yangu? Naomba sheeh nijuze

    • @shamsaog2998
      @shamsaog2998 2 роки тому

      Pole ndugu yang je ulienda hospital kwanza

  • @ummuzuhayrally6118
    @ummuzuhayrally6118 2 роки тому

    Shukra Allah akujaze ilmu

  • @user-bh7nb2kn5o
    @user-bh7nb2kn5o 8 місяців тому

    Samahani ni kwa waislamu tu ama

  • @marimman4821
    @marimman4821 2 роки тому

    Asante sheikh

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 2 роки тому +3

    Duhiiiiiii

    • @mwakabulufuahmed8494
      @mwakabulufuahmed8494 2 роки тому

      ndiyo nini mnawazalilisha watu hapo mlangoni kwani hamkuweza kisimama sehemu nyingine.hadi msimame kwenye milango ya choo. ovyoooo

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +2

    Shehe wetu kama ukiweka udhu choni inakuwaje nahusomi duwa ebu tujuilishe

    • @ibnshaukhanuthaimin
      @ibnshaukhanuthaimin 2 роки тому +2

      inasihi kuchukua udhu choon dua utaisoma moyoni bila kutoa sauti kubwa

    • @twaybachellah914
      @twaybachellah914 2 роки тому

      @@ibnshaukhanuthaimin hakika maana tuliopo gulf kutawadha ni chooni tu nilikuwa najiuliza sana inakuwaje lkn nilifanya tu hakunasehem nyingine na wanaume harusiw kukuona

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 роки тому +2

    Ndo nn mmekaa katikati ya mlango mnawapa wasiwasi wanaoingia chooni

  • @nasmachitanda3896
    @nasmachitanda3896 2 роки тому

    Dua ya kuingia nyumbani

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 2 роки тому +1

    mashaallah shukurani

  • @asinthagervas2751
    @asinthagervas2751 2 роки тому

    Hatupo chini ya sheria

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 роки тому +1

    Asee nimemwona anko anatoka kunya humo chooni, nimempigia simu kakiri ni yy mwenyewe

  • @natrinemweha8625
    @natrinemweha8625 2 роки тому

    🤔🤔🤔

  • @wakembetajaphary3648
    @wakembetajaphary3648 2 роки тому

    Mungu ndye muweza wa yote mashart mengi sana,

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому +3

    Bass haya

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 2 роки тому +1

    Mashallah jazakallah kheir

  • @angrylion951
    @angrylion951 2 роки тому

    😁masharti kama waganga wakienyeji

  • @winnerhapila155
    @winnerhapila155 2 роки тому

    Hapo wengi wanafeli

  • @fauziamwakunena2681
    @fauziamwakunena2681 2 роки тому +6

    Nina swali mfano mm na mume wangu tuingie chooni tuoge hapo hapo mm na mume wangu tuingiliane chooni maana tumeoga pamoja na akatani na mm nikampa chooni jee ni Sawa au sio sawa

    • @shangazshangaz4222
      @shangazshangaz4222 2 роки тому

      🤣😂🤣😂 hapana cct hilinalo nikosa kubwa sana

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 2 роки тому

      Asee una kiu kikali sana cha mapenzi, hadi chooni? Bora mwende vichakani

    • @fauziamwakunena2681
      @fauziamwakunena2681 2 роки тому +2

      @@avitusmichael5 sio kiu ukunielewa yaani mfano naoga na mume wangu chooni ile arakati za kuoga pamoja atake kimapenzi basi nishajua ni kosa nimejifinza, vichakani haswa kuna nyoka miba nayatakiani

    • @fauziamwakunena2681
      @fauziamwakunena2681 2 роки тому

      @@shangazshangaz4222 Asantee daa nimeelewa ni makosa kuanzia leo kila mtu aoge pekeake sasa

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 2 роки тому

      @@fauziamwakunena2681 ahahaaah! Poa samahan, ila vichakani ndo kuna raha zote hata nyoka akitokea anabaki kushangaa kisha anatimua mbio. Sisi tunaoishi vijijini ndo tunaijua raha ya kufanyia vichakani

  • @ashuraally2382
    @ashuraally2382 2 роки тому

    ,

  • @eliathomas8446
    @eliathomas8446 2 роки тому +7

    Yesu Ni bwana....na kwa maana hiyo mm siyo mganga wa kienyeji..niingie chooni na masharti...najirusha niwezavyo maadam Niko na Yesu😂😂😂

    • @Utulivu
      @Utulivu 2 роки тому +9

      Humu hujaalikwa vo! Wala hakujakukhusu hasa! Kajirushe huko huko, sie tuache na yetu

    • @mtumwamohd4212
      @mtumwamohd4212 2 роки тому +2

      Aliekulzmsh ufate ni nani we jirushe na yesu wako na sis tuwache na sharti Zetu na mambo yetu

    • @bornvillagevlog4566
      @bornvillagevlog4566 2 роки тому +1

      Elia Thomas, wewe humpendiyesu kabisa wala yesu hakupendi kabisaaaa tafakari hayo🙄

    • @Denicshoo
      @Denicshoo 2 роки тому

      Hakuna sheria ya kuingia popote

    • @issamkombo7300
      @issamkombo7300 2 роки тому +1

      Hujawahi kuwa na Yesu ww wala hakutambui subiri mauti yakukute ndo utaelewa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifunz quran kusom na kuandik gusa p

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 2 роки тому

    Mtakuwa mapumbavu tu ywnu ni vyooni tu hata akili zenu ni vyooni tu!

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому +1

      Dini ya kislam ni dini ni ilio kamilika kama hujui hata yesu pia ni muislam ila Ww mpumpavu hujamfata yesu wa ukweli isa bin mariam alitawadha wakati wa kuabudu mmungu alikua msafi

    • @issamkombo7300
      @issamkombo7300 2 роки тому +1

      Wewe una kiburi Pengine ni afya uliyonayo inakudanganya kama huna cha kuongea nyamaza

  • @zainabuibrahimu2691
    @zainabuibrahimu2691 2 роки тому

    Shukran sana

  • @fatimafm8942
    @fatimafm8942 2 роки тому +1

    Masha Allah

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 2 роки тому +2

    Shukran

  • @pilikagoma7511
    @pilikagoma7511 2 роки тому

    Mashaallah

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 2 роки тому +3

    Mashaallah

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 2 роки тому

    Shukran