TAFSIR YA NDOTO: MWENEYE KUOTA PERIOD USINGIZINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 сер 2021
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar

КОМЕНТАРІ • 33

  • @FurahaAugustin
    @FurahaAugustin 10 місяців тому

    Asante sana nashukuru maana ndoto zako nazi kubali sana mengi yame nitoke

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому

    Jazaakallah khayrii

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 10 днів тому

    Je ukiota una mimba ila ile mimba ukawa unaitaji kujifungua upo kwenye hali ya kupush mtoto yule anayekuzalisha anashangaa mbona damu na siyo tena mimba je inamaana gani, shekhe

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 роки тому

    Asante sana

  • @NathamOmar-ls3dm
    @NathamOmar-ls3dm Рік тому +1

    Asalam aleykum shekh Mimi niliota hedhi usingizini Alf asubuhi naamka kweli nimeingia kwenye siku inamaan gn???

  • @aishajuma468
    @aishajuma468 Рік тому

    Asante kaka

  • @doreenpontian8255
    @doreenpontian8255 2 роки тому +1

    Mm nimeona kitambaa cha piliod kinadondok mbel za watu nn maan yake

  • @user-ok5oh9lo6q
    @user-ok5oh9lo6q 10 місяців тому

    Asaramuareikum shehe mmnimemuota jiraniyupokwenye hedhi ndionini

  • @JacklinAyubu
    @JacklinAyubu 2 місяці тому

    Samah shehk nimeote nipo mtoni nafua pedi napedi ilikua na dam nikaona imwekwenda na maji nini maana yake

  • @nadiaharoon9648
    @nadiaharoon9648 Рік тому

    Asalamu Aleikumu sheikh nauliza ukiona hedhi ya mtu mwingine Inamanisha nini?

  • @saraphinamyinga8773
    @saraphinamyinga8773 2 місяці тому

    Samahani shehk na ukiota umemaliza hedhi yako na kuna mtu kaiomba ile Pedi uliyokwisha kuitumia na kuichoma moto

  • @abdiyalove7111
    @abdiyalove7111 5 місяців тому

    Mimi nimeota mimba imeharibika natokwa na damu nyingi inamaanisha nini hiyo ndooto ?

  • @gulammohammed3806
    @gulammohammed3806 Рік тому

    A,alaikum kama mtu nimtumzima haingii tena kwenye hedhi ila kila siku anaota anaingia tafsri yake nini

  • @kenyanbae2476
    @kenyanbae2476 2 роки тому

    Mwalimu assalam aleikum warahma tullah wabarakat mm mumewangu ndie alie niota niko kwenye hedhi je ina maana gani

  • @user-hz3fb2tb8x
    @user-hz3fb2tb8x 8 місяців тому

    Assalamu aleykum mm sheikh nimeota nimeona damu ya hedh nyeusi

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 Рік тому

    Mi.mbona nimesraibu video zako mpya sizipati

  • @kilimoajira2457
    @kilimoajira2457 Місяць тому

    Minimeota mtu kaja kaninyoa nywele kichwani alafu akachukua Pedi yangu akaondoka nayo

  • @mozaabdulla476
    @mozaabdulla476 Рік тому

    A alaykm mm nmeota nimepata hedhi ila asbh yk nipoamka nmeona maji maji na cio hedhi

  • @ShamHassan-bv9xf
    @ShamHassan-bv9xf Рік тому

    Ustadhi kama ukiota umeingia chooni ukakuta damu ya hedhi yamtu mwengine uka ona kinyaa ina maana gani

  • @MarryChrispine-uy4mf
    @MarryChrispine-uy4mf 10 місяців тому

    me nmeona hedhi ya rafik ang inamaan gn

  • @ngusakalima9899
    @ngusakalima9899 Рік тому +1

    Jeukiota umechuchumaa na unatoka hedhi Nini maana yake

  • @user-jp7pu9fd1u
    @user-jp7pu9fd1u 5 місяців тому

    Je kuota uchi wa mama yako n vizuri kwel

  • @aluamasudi6326
    @aluamasudi6326 2 роки тому

    Mwalimu Asalam alaykum warahmatullah ta-allah wabarakatu. Mimi naishi Congo lakini nina kuwa naota vitu tafauti sana leo naota mimi kwanza ni mwislamu sasa naota naenda kanisani kufika kanisani nikafukuzwa pale nafukuzwa ikanza ugonvi mimi na mwanamke umoja tunaanza ku tupiana mayayi ya kuku yakuachwa kisha ule mwanamke akakimbia chumbani kwake namimi nikakimbia nikaenda kukuta kisima chamadji nikachota madji ili nidjisafishe na yale uchafu wa ma yayi hapo nikaweza kusituka uzingizini nini manayake mwalimu wangu 🙏

  • @PriscaPrincess-jn5pr
    @PriscaPrincess-jn5pr Рік тому

    Ukiota una nunuanguo zamtumba kisha nikazifua

  • @neemaelias626
    @neemaelias626 2 роки тому +1

    Mi nimeona nimeona damu ya hedhi ya rafiki yangu

  • @FurahaAugustin
    @FurahaAugustin 10 місяців тому

    Sija elewa hiyo Namba 7

  • @fatmakhalid942
    @fatmakhalid942 2 роки тому +1

    A’aleykum ustadh mim nikiwa nakaribia kuingia hedhi nakua naota kwanz alaf haichukiw mda naingia kweny hendhi