UKIOTA NDOTO HIIUJUE UNASALITIWA NA MWENZIO ANACHEPUKA NAMTU MWINGINE +255657990471

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2022

КОМЕНТАРІ • 122

  • @florencemkamburi2815
    @florencemkamburi2815 Рік тому +4

    Ukiota Muna ngombana na bwanako Kisha unamkimbiza mbio sana Kisha kukawa na Barabara Iko juu Kisha chini Kuna kama maji magi na mawe Kisha akaniambia huwenda uka anguka chini Kisha akaendelea mbio sana za Kasi Mimi nikatuwa kwa mti juu Kisha chini kukawa na watu wawili waka nisaidia Kisha nikaamka

  • @user-kw6qc5io9t
    @user-kw6qc5io9t Місяць тому +2

    Dah mi naota kila siku ndoto moja mme wangu namfumania na wanawake tofauti tofaut kila sik. Nimeota zaidi ya mala 3. Hiyo inamaanisha nn

  • @ZuberKivava
    @ZuberKivava 10 днів тому +1

    Ndoto nirioota kunamtu anatembea NAMKEWANGU nikamuota nimempazawad nini tafsili

  • @EunicePatrick-h2d
    @EunicePatrick-h2d 8 днів тому

    Nimeota mtoto wa mama yangu mdogo anaolewa gafura mwanaume amegari akataka kunioa mm na mm nikaburi inamaana gani🙏🙏

  • @JanetCherotich-v7w
    @JanetCherotich-v7w 19 днів тому

    Nikiota mume wangu amejungua nguo ya ndani na stepmother na kufuka uchawi ndani ninamaana gani

  • @user-lw6mg2he7b
    @user-lw6mg2he7b 2 роки тому

    ماشاءالله تبارك الله sikuwa najua hilo Allah akubariki ustadh alafu swali hapa na ukiota ndugu wako tumbo moja awe wa kiume au wa kike amefariki inamaana gani

  • @rayansaldivar2796
    @rayansaldivar2796 15 днів тому

    Mimi nimeota mama yangu anafanya harusi na amekuwa kijana mdogo

  • @eunicesyonzi1662
    @eunicesyonzi1662 Рік тому +1

    Niliota nikiwa nimeenda kumslalimia mama kisha wakionyesha mahali pa kulala dada zangu kitanda nilikuwa nimenunua mto mimi wakanitotela wa kanipa mzee nikaikataa nikaweka hiyo mpya ikawa ni kushindana wakitoa naweka na mum alikuwa kwa umbali anatuangali but tulishindia tu hivo

  • @user-yy4hb6xd5j
    @user-yy4hb6xd5j Місяць тому +1

    Mimi nimeota amempost mpenzi wake wa zamani

  • @khamishajihamad
    @khamishajihamad 16 днів тому

    Nataka utafsiri kulala mchana ukaota kama niusiku uko kwa ndugu zako

  • @mamundossy9464
    @mamundossy9464 Рік тому +1

    DOCTOR NIMEOTA mpenzi wangu anamwanamke mwingine kisiri

  • @salomeraymond2051
    @salomeraymond2051 Рік тому +1

    nimeota natoa michang sikio langu la kulia jamanii sina Aman nasisiamka mda wote natesekaaa😭😭😭😭😭😭😭😭msaadaaa jaman anaejuaa

  • @fatumaabdul4997
    @fatumaabdul4997 2 роки тому

    Asalaam alykum niliota ndoto (Kuna wanyama watatu (3) weupee wanafanana na swala ila wanaafya kuna dune,like,na mototo kwa bahati mm nikamkamata mtoto wakati naenda kumuhifadhi nika nikaamka

  • @cosmasmajira4989
    @cosmasmajira4989 Рік тому +1

    Docta nimeota mpenzi wangu anachepuka anfanya mapenzi na wanaume wengine na nikamkamata je inamaana gani

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 2 роки тому +5

    Je doctor ukiota mbwa anachinjwa hii ina maana gani!?

    • @dulamanya165
      @dulamanya165 2 роки тому

      +0

    • @salummzee9739
      @salummzee9739 Рік тому

      ww una sumbulia na wachawi ktk familiana ww huna utakuwa huna thamani maishani mwako mpk mauti yk

    • @sistertrashid2488
      @sistertrashid2488 Рік тому

      @@salummzee9739 😭😭😭😭😭Allah aninusuru na imani ataniepusha na hayo yote amiin

  • @mwajumafadhili9268
    @mwajumafadhili9268 Рік тому

    Nimeota nimemfumania mme wangu na mchepuko nkamchukua yule mchepuko nikampiga nikawa namburuza chini huku akiomba msamaha

  • @eunicesyonzi1662
    @eunicesyonzi1662 Рік тому

    Kisha nikaona mpenzi wangu ambaye ni mchumba wangu tunatarajia kuoa hivi karibuni alikuwa ametangulia mahali na mi nikamfuata akafika mbele yangu nami nikiwa karibu naye nikakuta watoto wakawa wananivuta mguu nisifike kwake but nikawasukuma nikaenda kufika nikapata amekasirika akaondoka na akaacha kupokea simu nikalia sana kisha badae akapokea but akaongea kama ambaye hataki, hii ina maana gani

  • @chimakoramadhani1882
    @chimakoramadhani1882 2 роки тому +1

    Je ukiota unafukuzwa na m'mbwa alafu wakuome mikono yote miwili uku m'mbwa nahuku m'mbwa

  • @biommy6700
    @biommy6700 2 роки тому +1

    First to like n comment, dr.hud unifanyie offer nitakuimbia wassup nikueleze tatizo langu, na km huna ngombe ndoto hii

  • @amoswamakote7462
    @amoswamakote7462 2 роки тому

    Niliota mke wangu anaumwa hati amechifua na inzi imenjaa kwake hati wanangu wamemusingira Jana vile Babu hivyio hivyio, tena niliota nimebeba maiti tena inanuka sana

  • @GraceBoniphac
    @GraceBoniphac 8 місяців тому

    Ukiota ndugu anafanyiwa sherehe na wewe ukaenda kula wal utumbo na kinywaji

  • @mjagadigambaligo2453
    @mjagadigambaligo2453 25 днів тому

    Naomba kutafsiriwa ndoto ya kulima na nog'ombe na pia kuota kundi la ng'ombe

  • @wardaadam5694
    @wardaadam5694 2 роки тому +1

    Asalam alaikum me naomba nitfsiriwe ndoto hii. Nimeota mchumba wangu anaoa mwanamke mwengine me bila kujua nakuja TU kusikia kua ameoa na Wala hatukua na ugomvi wowote

  • @AnnemarieSikabwe
    @AnnemarieSikabwe 3 місяці тому

    Naitwa Anne Marie nime hota mume wangu amepokea ma Ali yangu kama baba yangu

  • @lameckpasikali2997
    @lameckpasikali2997 Рік тому

    Mimi niliota nyoka mukubwa ananikibiza yure nyoka nikamuacha lakini cha kushagaza wakati narundi nyubani nikamukuta yure nyoka aliye kuwa ananikibiza kasha fika nyubani tafazali naomba tafisili ya ndoto hiyo

  • @daudmwasampeta9368
    @daudmwasampeta9368 6 місяців тому

    Ukiota bibiako Alie kufa zaman ukaota anakupa chakula sa ili uanze Kura unajikuta unaamka unamanisha nn😊

  • @letisiajohn2253
    @letisiajohn2253 Рік тому

    naitaji unitafasitiye doto ya mfano nimejituta Nina siriki na mme ambaye sija rara nae kitandani nanikaoneswa kuwa nimtu naemju maana yake mini

  • @hassanmustaphaabdallahabda3838
    @hassanmustaphaabdallahabda3838 2 роки тому

    Mashallha

  • @abezadamuor7358
    @abezadamuor7358 Рік тому

    Asante sana 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @hijamafya916
    @hijamafya916 Рік тому

    Assalam alykum warahmatullah wabarkt ....shekh mm nilitak kujua man ya ndoto hii mm noat mara nying2 mmewang nilionay hnipnd anawanawak wengine..hii ndoto inamaan gan xhkh..

  • @maymunayahya-qx9ru
    @maymunayahya-qx9ru 10 місяців тому

    Mm nimeota mume wng ameowa alaf baada ya kuowa ananidharau san sjui itakua na maan gani

  • @wilsonniyo1564
    @wilsonniyo1564 2 роки тому +1

    Bwana ndugu Mimi Nina penda video yako ina nielewesha sana kabisa. Ninataka unitafusilie ndoto hii. Mimi nimeota Pepo mahaba linaningilia matakoni halafu ubowangu ukadinda sana halafu nikamwanga mbengu imetokea malatatu

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 роки тому

      Mpigie

    • @avalonking1655
      @avalonking1655 2 роки тому

      Daaah! C mchezo ndugu lkn iyo ndoto yako wewe ata aitaki kutafsiliwa ipo open ndugu wewe jitaalishe na kufirwa ktk maisha yako

  • @Bakar-ql4jo
    @Bakar-ql4jo 2 місяці тому

    Allah Akupe Afya

  • @bitwivyawe9141
    @bitwivyawe9141 Рік тому

    Mimi naota ngombe ikiwa inanilimbiza lakini ni ngombe zenye nakuta mahali pengine

  • @user-xr4qo8hz4c
    @user-xr4qo8hz4c 5 місяців тому

    Mm nimeota mwanaume wangu yuko na mtu mwengine ambaye namjua yani naumia sana

  • @RabieGerard
    @RabieGerard Рік тому

    Mimi nimeota nimemfumania mume na mwanamke ambae sijamjua nikafanya fojo sana maana yake nini

  • @JacquesJelly
    @JacquesJelly Місяць тому

    Nime ota naongeleya bibi yangu baharini hiyonini baba

  • @sebastianmathew3277
    @sebastianmathew3277 Рік тому +1

    Ukiota mtu anakukojolea maana yake ni nini?

  • @judykambura7996
    @judykambura7996 2 роки тому

    Niliota doto nyoka wawili wa green lkn mmoja ni mkubwa akajaribu kumesa mtoto wa mama mwingine lkn akummla alimpaka mate tu nikangana nikamgonga kicwa niambie nini nitsukuru sana

  • @taqwaally4547
    @taqwaally4547 Рік тому

    Aslm Alaykum km ukiota mkeo anaishi na wame wawili ktk nyumba moja ambayo sio yako nyumba hiyo yaana wewe mumewe wa halali na mume mwengine mnaishi ktk nyimba moja nini maana yake?

  • @unkown-pt3dr
    @unkown-pt3dr 3 місяці тому

    Niliota nimepelekwa ukweni na mzazi mwenzie alikuepo inamaana gan hii kupelekwa ukweni??

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 2 роки тому

    Shukran.ila ndoto ya nazi inamaana gani

  • @gshbnz4368
    @gshbnz4368 2 роки тому +1

    🙏🤝💖

  • @bahatikengese744
    @bahatikengese744 2 роки тому

    Wengine tunaelekea kuzeka sijawai kuota
    ndoto ya ngombe

  • @sufianndege1081
    @sufianndege1081 2 роки тому

    Asalam aleykum . Ukiota haupo inchin kwako upo inch nyingne kwa utaftaj inamana gan

  • @kulthumidd886
    @kulthumidd886 2 роки тому +1

    Asante

  • @johnsonproductions254
    @johnsonproductions254 2 роки тому

    Yes 🤞

  • @bintimbuto5740
    @bintimbuto5740 Рік тому

    Je mwanaume akiota ameangusha bakuli na imevijika iyo inamahana ngani?

  • @pricillarkatana9491
    @pricillarkatana9491 Рік тому

    Ukiota Unafanya mapenzi na babako mzazi nashakufa manake nni kakaangu plz

  • @user-zx5nf1zk6v
    @user-zx5nf1zk6v Місяць тому

    Asalam Alykm ostaz

  • @user-ud4jr8bd7i
    @user-ud4jr8bd7i 27 днів тому

    Ukiota umechotwa unyayo

  • @fauziaomary4440
    @fauziaomary4440 Рік тому

    Asalaam aleykum
    ukiota unampakulia chakula mait lkn hujampa maana yk ni nn?

  • @neemahaji7778
    @neemahaji7778 2 роки тому

    Na je ukiota unafukuzwa na ng'ombe ina maana gani

  • @alvinchen857
    @alvinchen857 Рік тому

    samah naitwa alvin kutoka morogoro....Sio mda kutoka sasa mida ya saa 9 na dakika zake Nimeota mama yangu mkwe kafa na walipomuifanzi (kuzikwa) ni sehemu unayoweza kwenda kufunia na ukamuona na nina lia sana nikikumbuka (ndan ya ndoto) nikamuona mtoto wa kaka wa marehemu nikamuelekeza nilichokiona ile namchukua nikamuoneshe nikashtuka usingizini...samahani naweza pata tafsili ya ndoto iyo?

    • @neemasp7322
      @neemasp7322 Рік тому

      Alvi Chen ndoto cio ya kawaida omba kuzuia roho ya mauti juu ya hio jinsia anawez asife yey lkn akaf mtu WA Kam umri wake umeoneshwa Ili uzuie Kam ucipoomba hio ndoto itatimia
      Kingine Kam ni mama mkwe htjui unaish nae vp ama yko na tbia zpi maan nyngne huenda Kuna mahal kafungwa nafsi yake imekamatw nyie mnaon tuko nae kmbe Kuna mahala mtu halisi yupo
      Omba juu ya hayo 🙏🙌🙌

  • @forgivemoja9297
    @forgivemoja9297 2 роки тому

    Naomba Tafsiri,, nimeota nagongewa muhuri mwekundu ktk passport na alienigongea ni mtu ananifahamu.

  • @josephbaraza2915
    @josephbaraza2915 2 роки тому

    Mwanamke akinyamba Na ni Rafiki inamaanisha nini

  • @jacklinemwikali2656
    @jacklinemwikali2656 2 роки тому

    Sikuwa najua asante sana

  • @ashleystarqueen8780
    @ashleystarqueen8780 Рік тому

    Nikiota anaongea na msichan?siku ingine nikaota ameomb nmb mtu mwengine na pia kuna sku niliota anafnya mapenz na nsichana alfu nikamfumania aatoroka maan nilimfum kwa ndoto wakifnya mapenzi uchi iyo inaaaanisha nini lkn hizo mbili zlkuw ukwl maana kuna venye alinijibu nikajua n ukwl

  • @Bossnyawonlinetv
    @Bossnyawonlinetv Місяць тому

    huyo nijini mahaba we we unalo lonakugomnanisha n.a. mumeo

  • @fatumamadende1925
    @fatumamadende1925 Рік тому

    Sadaka Ni sh ngapi

  • @tumainkaduma1864
    @tumainkaduma1864 2 роки тому

    Nimeota mpenzi wangu ana mke mwingine

  • @pendoemanuel9059
    @pendoemanuel9059 2 роки тому

    Naomba unambie Kama mtu akiota ndoton ameona vitumbua mtu amevibeba akamwomba akampa inamaana gan hiyo ndoto

  • @husseinshabani9577
    @husseinshabani9577 Рік тому

    Umeota umekoswa na kijiwe kidogo maeneo ya usoni

  • @JokerstarMillionaire
    @JokerstarMillionaire 6 місяців тому

    Ukiota watu wanafanya sherehe ya kuzaliwa mtu (birthday).Na watu hao unawafahamu ni familia ya upande wa baba .Maana yake ni nini?

  • @kelvindaudi698
    @kelvindaudi698 2 роки тому

    Nimeota ndoto na gongwa natreni maan Nini kiongoz

  • @andersonnzai193
    @andersonnzai193 Рік тому

    Ndoto ya kuchinjwa na kisu ameona amekuua kumbe bado amemwendea dadako nae anachinjwa

  • @tumainkaduma1864
    @tumainkaduma1864 2 роки тому

    Napia nilishawahi kuota nilisimama juu yaukuta lakini ndoto hii ilmuhusisha had padre labda ndoto hii ilikuwa na maana gani?

  • @joshuahamfrey523
    @joshuahamfrey523 Рік тому

    Ukiota unapigiwa saluti naupo nawalinzi kulia nakushoto naomba tafusili hiyo

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 Рік тому

    Ukiota mkeo anamimba ya mtu mwingine iko na maana gani

  • @tinaagnes2301
    @tinaagnes2301 Рік тому

    Nimeota nagombaniwa na waume.... Inamaanisha nini

  • @issasilima1973
    @issasilima1973 2 роки тому

    Nini maana ya ndoto uko unawalisha njiwa au unawalisha wakiwa na makinda yao

  • @user-xl9og9yp3t
    @user-xl9og9yp3t 4 місяці тому

    Nimeota kikundi chawatu wananizomea

  • @simonseth8816
    @simonseth8816 2 роки тому

    Ukiota ndoto unacheza mpira maana yake nini

  • @user-mr1rw8ly4e
    @user-mr1rw8ly4e 4 місяці тому

    Ukota ndota upo na ex wa zamani inamana gan

  • @florencemakanda7946
    @florencemakanda7946 Рік тому

    Doctor,nini maana ya kuona takataka?

    • @mashumiashuu1008
      @mashumiashuu1008 Рік тому

      Nilijifungua mtoto wa kike, nikaota anauliwa na ng'ombe mke, nikiwa kwenye arobaini haijaisha. Nn maana yake?

  • @hamisishaaban8147
    @hamisishaaban8147 2 роки тому

    Nahitaji. Tafsiri. Yandoto. Yapesa. Kuharibika. Kuwavumbi. Shekhe

  • @robertgervase9346
    @robertgervase9346 2 роки тому

    Ukiota unapewa pesa maana yake ni ipi

  • @user-no1xc9tv5z
    @user-no1xc9tv5z 3 місяці тому

    Mimi.naulizandoto.yambwa.kulala.kwenye.nguo.nyepe

  • @nininahazweshakila6681
    @nininahazweshakila6681 Рік тому

    Docter kam ukiota unafukuzwa kazi maanayake nin?

  • @user-sn9yd9qm8q
    @user-sn9yd9qm8q Рік тому

    Ukiota umeachwa na mume wko inamaana gni

  • @lamechagwanda5810
    @lamechagwanda5810 2 роки тому

    Mtu mara kwa mara unaota kuwa make wako ana mtu mwengine.Ina maana Gani?

  • @mariamasibo4384
    @mariamasibo4384 2 роки тому

    Ukiota mmeo ameamia kwa nyumba nyingine

  • @neemandayikumba741
    @neemandayikumba741 2 роки тому

    Mwanaum akiota mke amezaa wakati han mimba

  • @johmangistics8507
    @johmangistics8507 10 місяців тому

    Ndoto ninataka Moira kiwanjani

  • @natashasaidy.
    @natashasaidy. Рік тому

    Nimeota nang'oa mihogo maana yake nn

  • @marypaulo710
    @marypaulo710 Рік тому

    Kuota unakimbizwa na ng'ombo

  • @thaniakassim7687
    @thaniakassim7687 6 місяців тому

    Kama huna ngombe jeee

  • @mullypallangyo5157
    @mullypallangyo5157 Рік тому

    Ukiota wanaume usiowajua wanapigana

  • @samsonmakori3244
    @samsonmakori3244 2 роки тому

    Kuona shamba kubwa la miwa

  • @hamimwach5202
    @hamimwach5202 2 роки тому

    Kuota miezi miwili imeandama

  • @Akramkasim
    @Akramkasim 2 роки тому

    nataka utafsiri ukiota umevaa vazi la dhahabu

  • @hsduud5517
    @hsduud5517 2 роки тому

    Hi

  • @djdrbwille3952
    @djdrbwille3952 Рік тому

    Ukiota ndoto make kuchepuka na mtu

  • @nunuuabdallah3051
    @nunuuabdallah3051 2 роки тому +2

    Je ukiota upo chin ya bahar na kuna haruc je ndot hii maana yke nn

    • @louisdaughter6829
      @louisdaughter6829 2 роки тому

      Nmeota ng"ombe ananikimbiza nikvunja pembe zake zote mbili akaniachia...inshort na wanyama wengine na mpaka panzi wamanishambulia lkn nikawakimbia...

  • @neymakubi173
    @neymakubi173 Рік тому

    Naot

  • @hassanrajab6000
    @hassanrajab6000 Рік тому

    NDIO

  • @beatricemgalami98
    @beatricemgalami98 2 роки тому

    Je nini, maana ya kuota mtoto wako ana jinsia mbili ikiwa yy wakike lakn unaota ana jinsia ya kiume na kike

  • @jerrymgalama5526
    @jerrymgalama5526 2 роки тому

    Meota nimekiona kisogochangu sijuwi inamaana gani

  • @tifaxkirumbi3080
    @tifaxkirumbi3080 2 роки тому

    Nimeota mpenzi wangu anataka kunioa

  • @bakarykarekezi5909
    @bakarykarekezi5909 2 роки тому

    Ukiota unao wajua wamefunga ndoa?