MWANZA KAMA DAR TU, MADUKA YAMEFUNGWA “HATUTAKI SIASA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 91

  • @thomasmassaga4430
    @thomasmassaga4430 7 місяців тому +15

    Upande wangu naona wamefanya vyema kabisa mana saiv tunaendeshwa kwa vitisho. Kama mkuu wa mkoa anaaza kuleta siasa kwenye biashara za watu haiwezi kuwa kweli

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 7 місяців тому +11

    Jamaa ameongea vizur sana, wanaweka Kodi lukuki ili wao na watoto wao waish vizur,inshort viongoz wetu ni majambaz na ni wakatili hawana huruma hata kidogo,wanawaza kutunyonya tu lazma tuamke

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 7 місяців тому +1

    Kuna mtu alimkejeli Magu “SITAKI KODI ZA DHURUMA”. Sasa Huyu jamaa wa Mwanza anasema “WANAKUSANYA KODI KWA MITUTU YA BUNDUKI”

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 7 місяців тому +8

    Sio Hatutaki siasa Sema Hatuitaki Ccm tumeichoka

  • @samyspesho1698
    @samyspesho1698 7 місяців тому +1

    VP KAMA SERIKALI NAYO IKIFUNGA MASIKIO

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 7 місяців тому +5

    TRA Iondolewe serikali iweke mfumo ambao tutalipa kodi na pesa zitaingia moja kwa moja hazina na sio kupitia kwenye mikono ya vishoka TRA ni vishoka

  • @jervinbronze9143
    @jervinbronze9143 7 місяців тому +2

    Kodi ita ifikike kias gan bado sio suluhu ya nchi kujikwamua kiuchumi, Serikali lazima ijue hilo. Vinginevyo wananchi tutazidi kuwa masikin na weny maisha magumu mno kisa Kodi lukuki!

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 7 місяців тому +2

    Wakati huo wawakilishi wetu wabunge wanabwabwaja madomo yao bungeni. Hakuna bunge tulilonalo, ni kikundi cha wezi na wanyanyasaji wa wananchi

  • @Noooonat-o5s
    @Noooonat-o5s 7 місяців тому +3

    Maandamano

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 7 місяців тому +3

    Walitulazimisha tumsahau JPM kwanamnahii nivigumu kumsahau

  • @abednego3876
    @abednego3876 7 місяців тому +10

    Kuna mama yupo bize na wasanii 😂 yeye wafnya biashara walaa 🚮

    • @JninjaH2R
      @JninjaH2R 7 місяців тому

      😂😂😂😂 usiseme ukweli

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 7 місяців тому +1

    Mwingulu anachangia sana kuiharibu hii nchi

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 7 місяців тому +1

    Nasisi wakulima karibia tutaanza mgomo wa stakabadhi ghalani manake inatubana sana

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 7 місяців тому +2

    Watanzania vipi hatuna macho hatuoni ndugu zetu wa kenya wanavyo fanya ni wazi kabisa promotion za kutumia uchawa kwa wabunge mpaka wasanii haziendani na performance ya uongozi wetu lakini sisi tunaangalia tu

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 7 місяців тому

    mama samia jiuzulu unatuzingua tu. wanakusifia bure tu. huna huruma we mama

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 7 місяців тому +1

    Safi snaa

  • @AbubakariBausi-zd6xf
    @AbubakariBausi-zd6xf 7 місяців тому +1

    Ukweli tumechoka na siasa za ujinga na sifa zisizo na masilai na wananchi Kila kitu media viongozi Kodi inazidi kiukweli hatuwataki viongozi kabisa mana wanachumia matumbo hawana lolote unafiki madhalim makubwa bunge la ujinga na utopolo tuu hawatetei masilai ya wananchi

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 7 місяців тому +1

    Safi sana

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 7 місяців тому +3

    Serekali ya mama ni dhaifu

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 7 місяців тому

      WALIMFITINI Magufuli ili iwe hivyo

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 7 місяців тому

    Kazi ipoooo

  • @jervinbronze9143
    @jervinbronze9143 7 місяців тому +1

    Kuna haja ya serikali kuwa na vyanzo vingine vya mapato nje ya kutegemea kodi ya mwananchi mmoja moja kisa anabiashara anafany ni ujinga uliokithiri, lasilimari mbona zipo tele tatzo mfumo mbovu wa usimamizi wa serikali ndo unapelekea mwananchi wa hali ya chini kuwa masikini zaidi.

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 7 місяців тому

    Mkuu wa mkoa wa dar ameanza usenge mama toa uyo atumtaki anajua sisi ndoo tulio xhika hii inchii analeta usenge apa uyo chawa aka chalamila😢

  • @adrianoadriano-ys6bm
    @adrianoadriano-ys6bm 7 місяців тому +2

    False knowledge is worse than criminals. Wasomi wetu elimu yao ni duni hawawezi kutatua matatizo zaidi ni kuzalisha. Tuna wabunge takataka kabisa, ni kujidaganya kutegemea lolote toka kwao

  • @Keyjop
    @Keyjop 7 місяців тому +1

    Mbeya wanasemaje jmn tupeni habari

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 7 місяців тому

    Wafanyakazi wanalipa kodi kubwa sana Tena sana KULIKO hata wafanya biashara wengi na WAKUBWA hapa nchini. Basi wafanyakazi nao wagome ili wapunguziwe Kisangani cha kodi wanayolipa yaani PAYE (pay as you earn)

  • @bonywahab9565
    @bonywahab9565 7 місяців тому +5

    Ni vyema mkadai haki zenu! Maana wengine hapa wanaongea Utumbo kwakua wanategemea kula kwa Mama zao... msikate tamaa Serikali hii inatutia Umaskini tuu Kodi kuubwa alaf hakuna tunachakipata.

  • @ChachaMalwa-x1o
    @ChachaMalwa-x1o 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂 tunaumia

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 7 місяців тому

    apo ndo k koo ya kwao??

  • @ChachaMalwa-x1o
    @ChachaMalwa-x1o 7 місяців тому

    Aridhi yenye utajili wa kilimo nchi nzima,watu zaid ya million 60,bandari,madini,gesi,maziwa ,buga za wanyama, Bado hali ni iii kweli 😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 7 місяців тому

    Ipo siku tutachoka ma TRA yakija kufunga maduka chamtemakuni yatakipata mana tunawachekea sana hawa

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 7 місяців тому

    Kwan doctor wa uchumi anasemaje,
    Au ni siasa tu

  • @victorfungo
    @victorfungo 7 місяців тому +4

    tuna mbuga za wanyama nyingi,vivutio vingi vya utalii, madini,misitu,wawekezaji kibao! kwanini masiwaache wafanyabiashara wapumue kwa kodi nafuu? nchi ina viwanda hafifu ambavyo haviajiri vijana wengi,watu wanaamua kujiajiri kwa biashara!!!! wapunguzieni kodi

    • @NdilanhaBoniphace
      @NdilanhaBoniphace 7 місяців тому +1

      Madini yenyew yashaenda na wathungu😂😂😂 pia mbunga

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 7 місяців тому +1

      Kwakweliiii

  • @georgemahenge
    @georgemahenge 7 місяців тому +2

    Mukinukishe TZ nzima.i

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 7 місяців тому

    Kuna mtu alikuwa baada ya Magufuli, akakejeli, “SITAKI KODIZA DHURUMA”. Sasa huyu jamaa wa Mwanza anasema, “WANAKUSANYA KODI KWA MITUTU YA BUNDUKI”

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 7 місяців тому

    Haya yote yanasanabishwa na nchi za nje,Some how like a a neo-colonialism,They direct us on what should be done na mbaya zaidi mikopo tunayochukua ndio inapelekea yote haya kwa sababu budget yote ipo fixed na miradi ya maendeleo inategemea mikopo kutoka nje,Hii changamoto.

  • @mayazamzam7274
    @mayazamzam7274 7 місяців тому

    Rule of a 100

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 7 місяців тому

    😂😂😂😂

  • @NicksonNicksonmassawe-pw3kr
    @NicksonNicksonmassawe-pw3kr 7 місяців тому

    No swahili

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 7 місяців тому +3

    Chaguz wa mwakan inatakiwa wapiga kula wawe na TN na usimamiz wa uchaguz usimamiwe na wafanyabiashara kusudi mbunge na rais atakaeingia madarakan awe na uchungu wa Kodi za wavuja jasho

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 7 місяців тому

      Wafanyakazi wanalipa kodi kubwa sana Tena sana KULIKO hata wafanya biashara wengi na WAKUBWA hapa nchini. Basi wafanyakazi nao wagome ili wapunguziwe Kisangani cha kodi wanayolipa yaani PAYE (pay as you earn)

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 7 місяців тому +1

    Watafungua tu

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 6 місяців тому

    Copy paste Kenya is best ?

  • @EsromuKamwela-ol9uo
    @EsromuKamwela-ol9uo 7 місяців тому

    Mmekuwa mkapange

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 7 місяців тому +1

    Viongozi mnafeli wapi? Hawa wahuni wachache wanadanganya wafanyabiashara

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 7 місяців тому +3

    Nendeni kenya mkajiunge nao watanzania hatuna kawaida hiyo acheni maramoja😊

    • @8pistons194
      @8pistons194 7 місяців тому

      Acha ushoga ww

    • @selemanibilali8405
      @selemanibilali8405 7 місяців тому +1

      Unamatatizoo ya akilii ww

    • @WilfredMsomea
      @WilfredMsomea 7 місяців тому

      so watu wasidai haki zao?..

    • @Niika870
      @Niika870 7 місяців тому

      Jibwa wewe

    • @Papaa_Hillary_Mrema
      @Papaa_Hillary_Mrema 7 місяців тому

      Kenge wewe unakula ugali wa shikamoo haujui uchungu wa wafanyabiashara matako ya nyani. CCM imefeli kama ANC ni suala la muda tu

  • @sungisungi6589
    @sungisungi6589 7 місяців тому +2

    Hawa watu hawataki kulipa Kodi. Tutajengaje nchi?

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 7 місяців тому +3

      Wala sio ivyo anzisha biashara then nenda tra utaona

    • @ntiliyothomas225
      @ntiliyothomas225 7 місяців тому +1

      We ndo hujui hakuna mfanyabiashara anayekwepa kulipa kodi ila TRA wamezid sana unamtaji wa milion nne humo ulipe kod lesen ushuru ulipie usafi wa mji au jiji afu TRA kwenye hiyo milion nne unaambiwa ulipe kod milion moja na laki tano hivi kweli utajenga utasomesha watoto wako yani hata ujijitete vp hawaelewi yani mpka ulipe kod kubwa usipo lipa ila wanayotaka waoo unaewa kes ya uhujum uchum aseeeeh tunateseka sana wafanyabiashara

    • @samayrakindago9947
      @samayrakindago9947 7 місяців тому

      Kama sokoni kupo wazi fungeni tuu

    • @luluray2115
      @luluray2115 7 місяців тому

      Wee huelew Hawa watu wameanza Hadi kukaagua had taftal za mauzo si usenge huu

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti 7 місяців тому

    Ningekuwa raisi mimi ningeongeza makomeo madukani kwenu na kuwafutia leseni wote

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 7 місяців тому

      Acha ujinga kama haikuumizi nyamaza kabisa Kula ugali kwa wazazi wako ulale.

    • @AnnoyedDove-oo3kk
      @AnnoyedDove-oo3kk 7 місяців тому

      Tena ukome kabisa kaa kimya anus ww

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 7 місяців тому +1

    Endeleen kuiga mtajuta shule zinafunguliwa shule hazijui mgomo wenu

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 7 місяців тому +3

    MAMBO YA KUIGA MATAIFA MENGINE NI UJINGAAA. NCHI INAENDELEA SASA MNAIGA NCHI ZILIXOENDELEA???? HOW STUPID!!! INASIKIYISHA SAAANA MNAVUNJA AMANI YA NCHI

    • @ZuwenaseifKayumbu
      @ZuwenaseifKayumbu 7 місяців тому +3

      Ww ndio mjinga wakwaza hapo ulipo ata huna ara biashara moja unayo miliki hauna ndio maana unaona ni ujinga

    • @mudub0etz
      @mudub0etz 7 місяців тому +1

      Shoga ww. Au naww nimpigaji. Jinga sana ww

    • @fredlammar3347
      @fredlammar3347 7 місяців тому +1

      We ndo matako kweli

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 7 місяців тому +1

      Kama wewe ni MwaNaume Hebu jaribu kuchunguza sehemu zako za siri

    • @idrissaissa5607
      @idrissaissa5607 7 місяців тому +1

      Fikilia kabla ya kutenda ttz TRA sio poa kabisa

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 7 місяців тому

    Wafanyakazi wanalipa kodi kubwa sana Tena sana KULIKO hata wafanya biashara wengi na WAKUBWA hapa nchini. Basi wafanyakazi nao wagome ili wapunguziwe Kisangani cha kodi wanayolipa yaani PAYE (pay as you earn)

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 6 місяців тому

    Copy paste Kenya is best ?