ITAKUSISIMUA: SIMULIZI YA MFANYAKAZI WA CHUMBA CHA KUHIFADHI MAITI, AFUNGUKA USIYOYAJUA KUHUKU KAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

КОМЕНТАРІ • 36

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 7 місяців тому +3

    Imagine alivo mzuri hivo na ajachagua kazi alafu kuna malaya anasubir akadange ndo ale🙌.. Keep going beautiful dada❤

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 7 місяців тому

    Hongera mpendwa kwa kujitoa mungu azidi kukupigania katika kazi yako

  • @neemaisrael688
    @neemaisrael688 7 місяців тому +1

    Hongera ni kazi ambayo wengi wanaogopa Maiti . Chapa kazi dada.

  • @monicambuya-sq9ms
    @monicambuya-sq9ms 7 місяців тому

    Dada nimekupenda bure ulivyo mzuri hutumii mkorogo piga kazi dada Mungu akutetee

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 7 місяців тому

    dah Chenyewe nikizuli barah ongera dada aaswa we nimuzuli na utumii mukorogo Asante sana

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 7 місяців тому +1

    Uko sawa dadaa wewe fanya kazi

  • @RestutaTusime
    @RestutaTusime 7 місяців тому

    Unaweza

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 7 місяців тому

    Nimempenda bidada mana Yuko wazi sana.napia anapenda kazi yake.safi sana my dada piga kazi. Msisikilize ya watu.

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 7 місяців тому

    Namalizia coz hii pia Bugando tunaipenda san hawa watu hawasumbui kabsaa tofaut na. Alie hai i like my job

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 7 місяців тому +2

    Mzuri mwenyewe Mungu akutunze

  • @tuwenasitv9695
    @tuwenasitv9695 7 місяців тому +1

    Big up sister🎉

  • @jamillahkheir6536
    @jamillahkheir6536 7 місяців тому

    Mzuri sanaa❤

  • @SophiaNamala
    @SophiaNamala 7 місяців тому +2

    She is beautiful

  • @martha4788
    @martha4788 7 місяців тому

    Dada Mremboooo

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 7 місяців тому

    Hongr dada mingu akupe moy

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 7 місяців тому

    Hondera sana dada,ila ningekushauri,ulivyo na hiyo roho.Aply Nchi za nje ,kama Europa na Marekani utalipwa vizuri mno

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 7 місяців тому +1

    Huyu shangazi mzuri mashallah

  • @danielx8
    @danielx8 7 місяців тому +1

    Africa kifo watu wana kiogopa sana,

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo Місяць тому

    Mauza uza lazima 😂😂😂

  • @innocentchristopher7571
    @innocentchristopher7571 7 місяців тому

    Dada mzur San

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 7 місяців тому +4

    Ile unafunga tu jokofu mara unaskia oy sister ee me sijafa bhana😂😂😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂

    • @Salmakikuli
      @Salmakikuli 7 місяців тому

      Sas si anamtoa kwa frig

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 7 місяців тому

    Dada mimi nakupongenza sana kanzi nikanzi kwavire unapokea pesa yako ya alali piga kanzi kwamimi kiupande wangu siwenzi ila nakupongenza sana sana pambana

  • @ShabanMainde
    @ShabanMainde 7 місяців тому +1

    Sina witoo jaman

  • @CalmGlassRose-oy3qv
    @CalmGlassRose-oy3qv 7 місяців тому

    Tuelewe neno ina uwito tena ina uwito hasa

  • @AholeLifilima
    @AholeLifilima 7 місяців тому

    Nishushe ata mshahara Milioni 😂😂😂

  • @babynahya8038
    @babynahya8038 7 місяців тому

    Mmmh saf dada ila moyo uwo daaah kiukweli sina uongo zambi ila nakupongeza kipenzy

  • @ArnoldJoely
    @ArnoldJoely 7 місяців тому +1

    KAZI NJEMA SISTER

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 7 місяців тому

    Maiti haitishi ila ikifa vibaya ndio utusha hongera dada chapa kazi kwa moyo na bidii Allah yuko pammoja nawe

  • @habasJafar
    @habasJafar 7 місяців тому

    Mdogo wangu fanya kazi nawala usiogope ninakumba ufanye uolewe kama huja olewa kwakuwa ukiondoka kuenda nyumbani upate mtu wakukuliwaza

  • @EsmaIsaack
    @EsmaIsaack 7 місяців тому

    Jmn mm sijaelewa Mkoa wa Temeke ni wapi?

  • @witnesrobson
    @witnesrobson 7 місяців тому +1

    Ni mrembo malikia wa nguvu

  • @MaludaSaleh
    @MaludaSaleh 7 місяців тому

    Vp dada umeolewa au